- 12
- 118 332
Wb TV
Приєднався 31 січ 2023
Відео
Tazama-mtoto waajabu akiponya wagonjwa_na kutoa mapepo kanisan.
Переглядів 49Рік тому
Tazama-mtoto waajabu akiponya wagonjwa_na kutoa mapepo kanisan.
Mukatae mukubali mimi ni ndiye yesu..
Переглядів 1,8 тис.Рік тому
Mukatae mukubali mimi ni ndiye yesu..
Yesu akataa Kusulubiwa 😢hayo ni maneno ya watu.
Переглядів 4 тис.Рік тому
Yesu akataa Kusulubiwa 😢hayo ni maneno ya watu.
huyu yesu ni wa kila mtu 😆 anapenda Kula.
Переглядів 955Рік тому
huyu yesu ni wa kila mtu 😆 anapenda Kula.
Kumbe Nabii Enock ni mama_maajabu ya yesu wa bungoma.
Переглядів 109 тис.Рік тому
Kumbe Nabii Enock ni mama_maajabu ya yesu wa bungoma.
yesu wa bungoma na manabii wake waibika
Переглядів 533Рік тому
yesu wa bungoma na manabii wake waibika
Hai niwapumbavu walio changanyikiwa na maishamagumutu, kwanini msiwanyonge?
If then anyone says, 'See, here is the Christ!' or: 'There he is!', don't believe it. For false Christs and false prophets will appear who will perform great signs and wonders to, if possible, deceive even the elect. See I warned you in advance. "So if anyone says, 'He is there, in the desert!', don't go out; or, 'There he is, inside the house!', don't believe them. Matthew 24:23-26
kenya hatari
🤣😂🤣😂
Unapojihita yesu unatakiwa uwe na maandiko yanayokuhusu wewe maana maandiko ya bible yanamhusu Yesu wa nazareti
Mufunge huyu mkora
Mufunge huyu mkora
Ukuje umalize vita congo
Yesu fika congo
Yesu alitimizia bibliya ama maneno yake ilitoka mbinguni kwa Mungu
Read the Bible very well before you lie,stop spoiling our good religion
Kama nigekuwa mm nahoji makofi yagekuhusu mke na mme pumbavu wakola nyinyi nimewapenda sana mashehe
Ramadhan jinsi hao wafuasi wa yesu wa tongaren wanavyokusikiliza ukihoji yesu wao, naona wakikuwa waislamu hivi karibuni.
It is better to make another joke, than to make jokes with the name of the Lord, you find promble in your life, my brother just only one way ask God for giviness your sin, you man you never get a peace in your life and.
Shekhar it's kill me 😂😂😂😂😂 interviewer Jesus tongaren
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wameshindwa interview.Wajinga hawa
Asulubiwe huyo Yesu bandia
I love the questions
MUNGU Awarehemu
Tunamusubiri lini 😁
Interviewer congrats good job. You have exposed hao mafala wa tongareni
Hawa watu waache bangi
😂😂ati malaika 😂😂😂yesu amelala.kwani malaika ni binadamu.
Huyo mtu ni mchinga ,,yesu alikua na mke?shetani yeye.
Munaimba kama sura mmelamba ndimu
Hawo moto wagehonomu unawa ngija kwahamu kubwa
Ningelikuwa karibu ningewapa bakora hawo washenzi sana eti niwamungu wangine wamalaika shehe nimekupenda kwakuwauliza maswali wanakwepa sana
Hawa Ni bangi ya bugoma imewachanganya
Alhambdullilah sisi kama Waislam uaga hatuna watu wa ki ajab ajab kama Hawa na wakitokea bakora kwa wingi.....
Wanajita Mungu na Malaika watapigwa Radi kama vile brazil.... Ndio mana Kenya Maisha Sai hayaeleweki....
Mungu hakusamee
heri angejiita mweshimiwa wa tongaren
Unaijua wewe SABATO? Utahukumiwa wewe. Tubu dhambi zako upate msamaha. Acha klifanyia biashara JINA TAKATIFU LA YESU Mjinga wewe. Utahukumiwa. Unamtukana Mungu aliye mtakatifu. Wapi unasoma kuwa Mungu alioa?tena matala? Bible yenyewe huijui. Jibu maswali unayo ulizwa.
😄😄 mm nawashaur mcwe mnawahoj wakiwa wamevuta bange mnke wanachksh sana
Watu wa mathare chukueni hii kinyangarika mkampime akili
enyewe hizi ni mikundu kabisa kwani zinadhani mungu nikiumbe cha kuchezea alafu tena mungu hajaumbwa vipi wewe waumbwa kwa iyo wewe ni sawa na shetani aliyemukashfu mungu kipindi alipewa mamulaka kidogo sio
Huyu SI yesu nimpenda kukula fala sana
Nice job
Kuna Mahali kifaranga imefinyiwa na mwewe videadly,,,,
Huu ndo ukafiri kabisa 😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
Haki kwa nini wakristo mmeanza kunitia aibu 😢😭😭😭😭💔💔💔💔 MUNGU unawaona hawa wakora kweli?????😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔
😂😂😂 nime cheka sana Aisee!
Ai,,lakini mimi nimeogopa wabukusu.hadi wako na malaika wamama
Na atuonyeshe alama za vidonda mikononi
Muulize kama Ni yeye alisulubiwa
Mulizeni ka atasurubishwo
Yaani huyu baba ni mgonjwa wa akili