HATIMAE WAKILI WA KUJITEGEMEA ASHINDA KESI MAHAKAMANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @kheirdulla9046
    @kheirdulla9046 5 років тому +1

    Hongera ndugu Hassan Wawakilishi wengi hawajasoma ndo maana wanakurupuka

  • @mwadinihaji8447
    @mwadinihaji8447 5 років тому +2

    Hongera sana usichoke na Mungu atakusimamia wanyooshe hai wavunjifu wa katiba yetu big up Hassan.

    • @mohdmohd8428
      @mohdmohd8428 Рік тому

      Cjaona hongera yako alivoshinda kesi ya afande rama

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 5 років тому +1

    Hongera hassan kijoogo wewe ni kijogoo Kama jina lako

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 5 років тому +1

    Hongera kijogoo kwa kulipigania hilo,na endelea kuyapigania na mengine yanayokanyagwa kwenye katiba,yako mengi yashavunjwa na yanaendelea kuvunjwaa

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 5 років тому

    Hongera sana broo

  • @hassanshamte1610
    @hassanshamte1610 5 років тому

    Hongera sana kijogoo ww kushakuwa jogoo nawala sio kijogoo na ww ndie mzaledo walasio hawo wanaokaa barazani nakupigia makofi posho zao kwa kuwachimbia visima wengine.

  • @jamalnaeem9569
    @jamalnaeem9569 5 років тому +2

    Kijogooo kimewikaa Hongera zako.

  • @salmasaid2401
    @salmasaid2401 5 років тому

    Hongera my koner kijogoo haha

  • @amourhasaan7242
    @amourhasaan7242 5 років тому

    Hapanaa hongeraa mm ananikeraa kuwaa anatetea Moto tenaa ndoo mama waa maasii pombee mteja km yulee sio wakumpaa pawa mpaka ikafikia hivii

  • @zuwenasaleh9613
    @zuwenasaleh9613 5 років тому

    Big up

  • @fatmamohamed1099
    @fatmamohamed1099 5 років тому

    congrats

  • @khamisshehe8634
    @khamisshehe8634 5 років тому

    Congratulate Mr Kijogoo

  • @abuuashyam8417
    @abuuashyam8417 5 років тому

    duh
    jamani smz iyo mahakama hamuioni ilivyo chakaaaa

  • @harithmohd6318
    @harithmohd6318 5 місяців тому

    So jengo hilo la mahakama t hadi ikulu imechakaa yahitajika ccm zanzibar waondoke kivyovyot vile vinavyo kuwa tupigane kama kufa tushakuf md t sasa nikuikomboa zanzibar 2025 inshaallah wanzanzibar mupo tayariiiiii

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 5 років тому +1

    ilo jengo la mahakama taabani hali