HASHEEM IBWE "FEI TOTO ATABEBA SANA TUZO/SIMBA NA YANGA KIWAKUTE CHOCHOTE/KWETU LIGI NDO IMEANZA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Azam,Hasheem Ibwe akitamba baada ya Ushindi wa Bao 4-0 dhidi ya KMC katika Uwanja wa KMC Complex...

КОМЕНТАРІ • 6

  • @SadamSarita-t7z
    @SadamSarita-t7z 5 годин тому

    Jamaa hajitambui anafikiri Simba au yanga nilefo ya Azam Yani Azam kwamashindano yanje hamfikii hata singida

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 5 годин тому

    Huyu sijui anajielewa kweli

  • @Recho-yo4xj
    @Recho-yo4xj 5 годин тому

    Mzee wa probably katika ubora wake

  • @JosephNgasa-j7l
    @JosephNgasa-j7l 6 годин тому +1

    Hata usitambe saaana wewe ibwe leo bahati imekuwa upande wenu siyo kwamba ndo kawaida yenu kufunga hivyo,na wala siyo mko vzur sana yaan nyinnyi ni moto wa mabuwa unalipula mara moja nakuzima mara moja wala hamuwezi kuendeleza kushinda zaid hata ya mara tatu,kama mgekuwa wazuri sana pamba jiji ndo kwanza imepanda daraja na bado ina hofu ya kushindana lakini mlitoka ulimi nje na tena pamba walipata goli mkapata utetezi wa lefa

  • @omarymuya142
    @omarymuya142 5 годин тому

    Leo mumeokota embe kwenyemti so wa muwembe

  • @shyakaemmanuel6042
    @shyakaemmanuel6042 5 годин тому

    Abafana ba rayon sports twanze azam fc mwaradutengushye kudatsinda apr fc koko muzigaye mwaraducishije amazi