GOD YANGA:HATUJUI DUBE KAPATWA NA KITU GANI,WATANI WANATUTAFUTA UBAYA KWA WACHEZAJI WETU,ALIKAMWE…

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @Stewart-l6t
    @Stewart-l6t День тому

    Sahihi kabisa ndugu yangu

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 День тому +1

    Kwanza mashabiki wengi wa Simba na yanga wanasifia ujinga kwasababu wanapewa vi elfu kumi kumi maana ni njaa sana hawa mashabiki. Mm ni Simba damu lkn kwaupande wa Simba mchambuzi ambaye anaongea point ni kocha mwenda upande wa yanga ni Cyprian musiba bc maana hawa watu sio njaa au awafati upepo wanachambua mpira kikweli lkn sio hawa wachambuzi njaa na mashabiki njaa wanasifia ujinga

  • @teopistakomba2189
    @teopistakomba2189 День тому

    Upo sahihi God Yanga. Unaongea vizuri

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 День тому +1

    Mm ni Simba damu lkn kocha hatuna . Kocha haana kikosi chakwanza anapanga ma winga wote enelo la 18 wanakimbia kama nyumbu

  • @AffectionateAirboat-ug9we
    @AffectionateAirboat-ug9we 2 дні тому +1

    Bro nakubali ulicheza mpira

  • @FrankShaMazala-kt6gm
    @FrankShaMazala-kt6gm День тому

    Siyo Dube tu Ni karibia wachezaji wote wa Yanga.

  • @AffectionateAirboat-ug9we
    @AffectionateAirboat-ug9we 2 дні тому +1

    Tena bro was Ubutu kumtukana kibu watafungwa huyo mtoto wa dct wao

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 День тому

    Unatoa mimachoka kama kweli munaongelea mpira hamna kitu kichwani humo. Kachambue tarabu .

  • @EbambeWakilongo
    @EbambeWakilongo 2 дні тому

    Hiyo ni kweli haki 😢

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 День тому

    Ww ndo mjinga unasifiaga ujinga unafungwa mara tatu nfurulizo unasifia tu. Kwanza mpira ujui . Angalia watu wanaojua mpira sio ww unatia mimacho tu no point. Nfatilie vizuri Cyprian musiba na kocha mwenda wale watu wanaongea kimpira. Nyinyi wengine geukieni kwenye tarabu maana mpira ni dakika 90 sio kuropoka tu.

    • @BoniphaceHaran
      @BoniphaceHaran День тому

      Wewe ndo mjinga ulitaka akusifie wewe

    • @BoniphaceHaran
      @BoniphaceHaran День тому

      Musiba nani kwenye mpira ? Na huyo mwenda kafundisha team gan ? Wewe unakichaa

    • @bernardmboma1461
      @bernardmboma1461 День тому

      @BoniphaceHaran sikiliza point sio umarufu wakubwekabweka kwenye mitandao

    • @FirdausAlly-k6v
      @FirdausAlly-k6v День тому

      Mbona kolo kakosa UBINGWA mara3 mfululizo ilo ulioni mbwa koko ww😂

  • @PiusLaymond
    @PiusLaymond День тому

    Jamani azizi ki hatufai hajitumi tuachane nae akinyang,anywa mpra anatembea hatufaiii

    • @bernardmboma1461
      @bernardmboma1461 День тому

      @@PiusLaymond watu wanatakiwa kusikilza point za mtu hata kama nimwana siasa lkn point zake zikoje kimpira?

  • @FiliMsambwa
    @FiliMsambwa 2 дні тому

    Kweli god upasahihi