FRIJI BOVU:ALIKAMWE ITAKUWA NI FUNDISHO KUCHAFUA BRAND ZA WATU,MANARA MNAFKI,YACOBA NA YANGA NI MUDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 83

  • @GeradLeonard
    @GeradLeonard День тому +2

    Upo sawa big up

  • @OmaryAlly-h3h
    @OmaryAlly-h3h День тому +2

    Nakufuatilia sana FRIJI BOVU uko sawa Kwa hili , tuache usimba na Uyanga , umechambua sahihi

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 17 годин тому

      BWEGE WEWE KACHAMBUA VIZURI KUHUSU NINI?YEYE NDO WAKWANZA JUPONDA JEZI ZA YANGA KASHITAKIWA NA NANI?PIA USICHOJUWA FRIJI BOVU NI SIMBA MTIIFU NA KILA KUKICHA KUIPONDA YANGA HALAFU USISEME TUACHE USIMBA NA YANGA HUYO FRIJI BOVU MPUMBAVU HUJIELEWI NJAA TU ZINAWASUMBUA

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 14 годин тому +1

    Hili suala inatakiwa wakae meza ya mazungumzo walimalize tu maana mambo haya yanamadhara makubwa

  • @christophermlaponi6769
    @christophermlaponi6769 День тому

    Friji Bovu upo vizuri,Nilikuwa nakusikiliza kwa Makini,hili jambo umelifafanua vizuri sana.

  • @nicholasmkama2877
    @nicholasmkama2877 9 годин тому

    Hana hekima,ni mropokaji.Kumbuka wakati Juma mgunda akiwa kocha wa Simba,aliwahi kusema akiwekewa Andazi na kocha wa Simba(Mgunda)ili achague kimoja wapo alisema atachagua Andazi..Acha aadabishwe.

  • @YacuobMohammed-ri7cp
    @YacuobMohammed-ri7cp 14 годин тому

    LKN HUU ULIKUWA UTANI WA SIMBA NA YANGA .SANDALAND AMSAMEHE ALLY KAMWE

  • @AbdallaAli-dn6xp
    @AbdallaAli-dn6xp 12 годин тому

    Ali kasema simba sana lkn hajafanywa chochote.asikebehi kampun wana mkono mrefu.

  • @AbdallaAli-dn6xp
    @AbdallaAli-dn6xp 12 годин тому

    Yanga hamumsaidii bwamdogo hamumpendi.

  • @AbdallaAli-dn6xp
    @AbdallaAli-dn6xp 12 годин тому

    Simba haongei biashara za gsm.Ali kamwe kiburi kingi yanga hawatamsaidia.

  • @rahimukisandu9961
    @rahimukisandu9961 14 годин тому

    unajua kuna vitu vya kujifunza sheria lazima ichukue mkondo wake ndogo amezengua yanga uacheni akapambane na hali yake mwana kulitafuta mwanakulipata

  • @IddyRyogo
    @IddyRyogo День тому +1

    Hakuna cha maana hapo

  • @AbdallaAli-dn6xp
    @AbdallaAli-dn6xp 12 годин тому

    Ali kamwe aponde simba sio kampuni ya watu.

  • @DullyTz-z4w
    @DullyTz-z4w День тому

    Kuna vitu Hupaswi kuzungumza kama we upo kweny Uongoz wa Timu. Utani wa hivyo Acha tuseme sisi Mashabik. Tuliwatania kuhusu Jezi zao za vitenge. Ila Ahmed Ally Ajawai zungumza. Tunasema sisi Mashabik Nje na uongozi wa Tim.

  • @EmmanuelJohnMussa
    @EmmanuelJohnMussa День тому +1

    Wewe una jihita friger bovu, nilikuwa Nakwamini sana katika Uchambuzi wa soka mchini, nimekuja kugundu una chambua mpira kiushaki ni simba wewe ni mjinga sana wewe

  • @kadirichannelonlinetv4258
    @kadirichannelonlinetv4258 2 дні тому +1

    We kama unavojiita firij bovu ni bovu kwer had hakili huna

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 10 годин тому

    Hii ni kwa sababu imetokea kwa Sanda kushtaki, asi geshitaki hakuna hata mmoja alisema kama Kamwe alikiuka miiko, leo kila mtu atajifanya anajua saana kuwa alikuwa anafanya kosa, mbona hakuna hata mmoja aliyemshauri kabla? Utani una level gani?

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 День тому

    Haji manara kajipendekeza kwel anatafuta kiki tuu lkn Ali komwe wa UTOPOLO kayakanyaga safari hii😂😂😂

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan День тому

    HILI NALO NI JINGA KABISA...AHMED ALLY ALISHAWAHI KUWAITA YANGA "MAITI" MBONA HUKUROPOKWA WEWE JINGA

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo День тому

    Wewe mwehu huyo sandal and njaa ndo inamsumbua utani wa Simba na yanga hakuna Cha ajabu alichofanya Ally kamwe we mwehu sana sijawahi kukuelewa

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 17 годин тому

    YAANI WEWE FRIJI BOVU NINAVYOKUCHUKIA YAANI UKOLO WAKO UMEKUZIDI KIASI KWAMBA UNACHOONGEA UNASAHAU JUZI JEZI ZIMEZINDULIWA UMEPONDA SANA JEZI ZA YANGA NANI KAKUSHITAKI?ACHA USENGE BROTHER UNAKUWA KAMA DEMU UNAONGEA SANAA NA YANGA YETU

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 2 дні тому

    Ila kushauri wangu acheni kuchambuwa kesi Tena kesi zenyewe zimekaa kiroho mbaya tuuu alafu na nyinyi mnapita mule mule kukandamiza na kuropoka na mnajisahau nanyi Mnataka majina ya watu kwani amjui Manara Naye ni Brand kubwa mnavyomuo gelea vibaya amuoni kama mnamchafua ?

  • @AshoooraMct
    @AshoooraMct 7 годин тому

    yani wewe msenge sana

  • @enalamlenga8419
    @enalamlenga8419 6 годин тому

    Analopokalopoka sana.hamna kitu alichonishangaza kama Ile clip kwamba mashindano ya kimataifa ni yanga TU ndo itaingia robo. Ona sasa mbona juzi wao ndo wamefungwa na alhiral.kazidi Hilo linamhusu na iwe fundisho.

  • @ramadhaniiddi9930
    @ramadhaniiddi9930 11 годин тому

    Mbna yanga huwa anasemelewa mabaya hamsemi?

  • @goldenfinger2388
    @goldenfinger2388 День тому

    Pasko aujui utani wa jadi chochote kinacho usisha simba au yanga ni utani tu Sanda kama awezi ajikatae acha ushamba

  • @ChristoophermisungwiKusekw-p8h

    Kitu mimi nakukuballi sana unajua aaaana mpila kaka use unawafundisha watoto wasiokua nanidhamu kama alikamwe

  • @dr.allyahmada
    @dr.allyahmada 10 годин тому

    We frige bovu bovu kweli, kwani Ahmed Ali haikashifu Yanga kila siku? Na huyo Sandaland yeye si walisema ameuza jezi zote zimeisha au hamkumsikia Ahmed Ali akisema jezi zote zimeisha sasa nini tena. Kama mzigo umebakia ajue kuwa hizo ni mbovu. ATAFUTE sababu nyengine

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 2 дні тому +1

    Ila mbona ata nyinyi mnao jiita wachambuzi uwa amuheshimu taasisi za watu pia ata amuheshimu wachezaji amuheshimu majina na brand za watu naropokaga tuuuu atumiii akili kumzungumzia mtu Wala kuzummzia taasis za watu Kwa heshima mnakandia tuu ona kama hapo mmefurahi kusikika allya anatakiwa alipe Bilioni tatu

    • @issaali1321
      @issaali1321 День тому

      Uyo mtangazaji ana kiherehere sana . Hafai kabisaa

  • @kasokawilliam
    @kasokawilliam 2 дні тому

    We kweli kishwa mbovu kama inawauma huwo niubaya ubwenge jezi seki hizo zasanda

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 2 дні тому

    Na mimi nakutuma nenda kamwambiye Sanda aache njaa ilichobaki agawe jezi bure tena vijijini sio Dar jiji kubwa

  • @LameckMbele
    @LameckMbele 2 дні тому

    usimsemee mwenzio ww ndy Huna lkn Ally kamwe huwezi kumshinda kesi simba na yanga ni watani wa jadi

  • @AbdallahSalumu-zr3te
    @AbdallahSalumu-zr3te День тому

    Kwanza friji unazungumzia jezi yamtu yanini wewe safisha timu yako unaongelea jezi yasimba inausu nini amuachietu manala afanye kazi yake

  • @FEISALAHMED-p4j
    @FEISALAHMED-p4j День тому

    Ata kama amazon asitoe wasenge tu hao huon Sanda msenge tutankhamen mpaka P diddy

  • @charlessomeke8992
    @charlessomeke8992 День тому

    Simba na yanga kutaniana haijaanza leo mbona hajatania jez za taifa acheni njaa hakuna kesi hapa

  • @OthmanMwela
    @OthmanMwela День тому

    Mbn ahmedi ali Huwa qnaichafuwa yanga Kila siku

    • @elimbotoraphael3940
      @elimbotoraphael3940 День тому

      Yuko makini sana na anacho ongea .huwezi sikia akitaja neno Yanga.zaidi ya kusema nyuma mwiko

  • @abbymkombozi4382
    @abbymkombozi4382 9 годин тому

    Watu waache kuropokaropoka tutafakari kabla yakusema,

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo День тому

    Shabiki wa yanga ndo wanaonunua jersey za Simba?

  • @Samweli331
    @Samweli331 День тому

    Je na wew ukishitakiwa na Haji pamoja na Ally na wew hujui mipaka yako. Acheni kutafuta kiki nchi hii nyie mnaojiita waandishi wa habari mnakuwa bendera fata upepo sana. Hata wewe jua mipaka yako.

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 2 дні тому

    Inaumaa eeeh inawabidi mzoweeee

  • @Almas120
    @Almas120 День тому

    Hamna kitu hapa, mara kadhaa hemedy ametania jezi za yanga

  • @MuhinaCharse-gt7og
    @MuhinaCharse-gt7og 2 дні тому

    Alikamwe hakusema sandalend pale ww mchaga usiejielewa Ali alisema Sanda hakuna kesi hapoo

  • @EstherMulinga
    @EstherMulinga 10 годин тому

    Nyie mbwa hakuna fundisho hapo wala hela hailipwi,bilioni 3 mnaijua nyie au mnaongea tu

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo День тому

    We mbona ulisuport issue ya sindano na kina Ahmed Ally nani aliwapeleka mahakamani

  • @MwitikeShaban
    @MwitikeShaban День тому

    Wewe ni joya

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA День тому

    HUYU Mwandishi akasome tene kuna shida kitaaluma.

  • @shaameshaame2837
    @shaameshaame2837 День тому

    Hata GSM ni kampuni ya kibiashara mbona Simba mlitaka kuandamana kua asiruhusiwe kufadhili vilabu vyengine? Kwa hyo na GSM atafute kipengele ambacho Ahmedi Ally au Kisugu akikuta kuna mahali kamgusia biashara yake aende mahakaman? Hii ni Tanzania Kupotea kibiashara ni dakika moja tu. Mm namshauri SANDA aache kuingia kwenye hivi vilabu viwili vitamtia hasara na kupotea kabisa kibiashara. Na anaetegemewa kuvaa jezi ya SIMBA sio mashabiki wa YANGA

  • @BWANGAAKIDA
    @BWANGAAKIDA День тому

    Sasa kama rangi ya Yanga mwaitakia nn

  • @JamilaMohamed-l9y
    @JamilaMohamed-l9y День тому

    huyo saada sijui saandaland mwehu km hawezi utani aache kutengeneze jenzi za simba ss ni watani wajaadi aache uaduii

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 День тому

    SASA KM NI MBAYA KWANI ZA KWENU?KOSA LAKE KUIDHARAU KAMPUNI ILA ANGEONGELEA TIMU KM TIMU C TATIZO.UONGOZI WA TIMU NDY UNAYEMLEA WAMEMWACHA AFANYE ANAVYOTAKA. NDY MAANA ALENDA KMC BILA TFF KUTOA RUHUSA. UONGOZI WAKE WAMETULIA.

  • @GodfreyLweyemamu
    @GodfreyLweyemamu День тому

    Kumbe we nae ni bwabwa tu

  • @mahhamajulius2330
    @mahhamajulius2330 День тому

    no demarcation on jokes hakuna utani hapo

  • @MosesGahutu
    @MosesGahutu 2 дні тому

    kumbee huna hakiri ww jinga huna chochote ww ndoo huna fara kubwa

  • @shadrackhelemani346
    @shadrackhelemani346 День тому

    Ww ni fara kama sanda

  • @gabrielnjiapanda3710
    @gabrielnjiapanda3710 День тому

    Hili jamaa jinga sana.

  • @abrahmanmussa1384
    @abrahmanmussa1384 День тому

    Yanga na Simba niwatani wa jadi ahamedi Ali alisema jezi za yanga vivitenge nae tumshitaki?

    • @abrahmanmussa1384
      @abrahmanmussa1384 День тому

      Ikiwa sandalendi kaingia yanga na Simba bila kuzijua hizi Simba na yanga atapata shida

    • @abrahmanmussa1384
      @abrahmanmussa1384 День тому

      Huna lolote unanjaa usitafute kiki

  • @NyangilaMwessanyangila
    @NyangilaMwessanyangila День тому

    Unajitahidi kutafuta kiki.

  • @kasokawilliam
    @kasokawilliam 2 дні тому

    Asheni ujinga hawo walikuwa Wana yanga wametengeneza vitenje, na wewe mupumbavu wewe ndimangapi wanawongea wasimba

  • @GodfreyKimario-c6n
    @GodfreyKimario-c6n День тому

    Anachosema ni kweli dube hamna kitu

  • @AgartonMheza-ul3ww
    @AgartonMheza-ul3ww 2 дні тому +1

    Kuma ww

  • @iddykakalike3149
    @iddykakalike3149 6 годин тому

    Shida utopolo huwa hamtaki kusikiliza mtu

  • @MwitikeShaban
    @MwitikeShaban День тому

    Wewe boya kumbe

  • @peterwachara4404
    @peterwachara4404 2 дні тому

    Kweli jezi ni mbaya

  • @sammangwana4523
    @sammangwana4523 2 дні тому +1

    Me nilijua we mchambuzi una akili kumbe mjinga tu. Mjajifanya mnajua kila kitu pumbavu mkubwa wewe

  • @AbdallaAli-ov3jg
    @AbdallaAli-ov3jg 2 дні тому

    Wacha Ukuma huo watu hawana shida ya Sanadaland ila hapo tupo kwenye utani wa Simba na Yanga wee kuma nin?

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n День тому

      Km ya mama Ako maana na yeye anayo,,huna adabu mbwa ww

  • @hamdunsaid7587
    @hamdunsaid7587 2 дні тому

    Wewe mchambuzi unaejiita friji bovu naona una matatizo sana tuna uchambuzi wowote wewe ni bendera fuata upepo suala la ally kamwe na bw Sunderland ni la kibiashara Sasa wewe umeshakua ndio hakimu mahakamani Mpira umekushinda acha ashtaki hiyo mwenye jezi mbovu watakutana mahakamani

  • @EmmanuelJohnMussa
    @EmmanuelJohnMussa День тому +1

    Huna lolote una chambua mpira kiushaki mshamba wewe 😂

  • @RajabkhamisRajab
    @RajabkhamisRajab День тому

    Hata wewe. pia kimaadili ya kazi umefeli sana

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 2 дні тому

    Ona Sasa ata wewe una fikrs za kumzungumzia mtu Kwa kumtaja mtu kama Haji je na wewe Haji akikushitaki WA kumzungumzia vibaya unasemaje?

  • @BWANGAAKIDA
    @BWANGAAKIDA День тому

    Nenda zako kenge wewe atakae kusapot ni Simba wenzako huo ni utani wa simba na yanga huo

  • @kasokawilliam
    @kasokawilliam 2 дні тому

    Jibu swali wewe bwege kakuuliza swali unachindwa

  • @Gmeninoclassic-b5o
    @Gmeninoclassic-b5o 17 годин тому

    Kuma wewe

  • @kadirichannelonlinetv4258
    @kadirichannelonlinetv4258 2 дні тому +1

    Mjinga2 wewe

  • @FEISALAHMED-p4j
    @FEISALAHMED-p4j День тому

    Wacha usenge wewe

  • @daudhamis1343
    @daudhamis1343 14 годин тому

    Mwehu wewe