RECAP: WASANII wanaharibu maadili kwa WATOTO kupitia nyimbo zao, NYIMBO za MATUSI zimeongezeka sana

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 місяці тому

    Brother Leo nimekuelewa zaidi..
    Mungu atuongoze Insha'ALLAH

  • @tomsijohni
    @tomsijohni 2 місяці тому +1

    Very nice point brother big up Wasanii wanachangia sana kualibu watoto kwa nyumbo zao

  • @MauBonde
    @MauBonde 2 місяці тому

    Point nzuri Sana tunapoelekea tutakua kama Kongo Tu,kuzalisha wanamuziki ,sio watu wa mana kusaidia kujenga taifa,matusi kibao kwenye nyimbo tunazalisha wahuni tuu.

  • @alexandrucarmen3185
    @alexandrucarmen3185 2 місяці тому

    Bongo 5❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MosesMzungu-v9j
    @MosesMzungu-v9j 2 місяці тому

    Kabsaaaa brooo

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 місяці тому +1

    Ni Kweli Brother, Juzi Niko kwenye Daladala, ikapigwa Komasava, kuna madogo Wawili wamevaa na Hijab, Walikuwa Wanaimba mwanzo mwisho, kuanzia intro mpaka autro, mpaka kile kizulu, hadi Mimi nilikuwa najiskia vibaya... Kiukweli niliogopa sana... Sanaaaa... Mtaani kuna mitihani mizito...
    Na Wasanii WAO hawana hata chembe ya huruma, KWASABABU ni Waongo, Wanafiki na wako Kwa AJILI ya pesa.. Wako tayari kufanya chochote kwa AJILI ya pesa....
    Huo ni ukweli tunalaumiana huku Juu, Ila kuanzia kwenye Familia ni Hovyo kabisa....

  • @omante194
    @omante194 2 місяці тому

    Kweli

  • @witnaofficial
    @witnaofficial 2 місяці тому +1

    Kwa nini unapenda kushika mikono hivo uki pumzika kuongea??

  • @ISSASHABANI-sw7lx
    @ISSASHABANI-sw7lx 2 місяці тому +2

    Wewe lini ulishawahi kumzungumzia mungu hapo kwenye hicho kiofisi chako ushuzi ?

  • @mdeeyoofficial813
    @mdeeyoofficial813 2 місяці тому

    Leo hiii

  • @Oman-k4j
    @Oman-k4j 2 місяці тому

    Acha kulaum watoto sababu ni wasanii mana ndo sabb wanaimba nyimbo hazina madili wala hazina mana lkn tukumbuke dunia tunaishi na kuishia 😢

  • @kizibotv9661
    @kizibotv9661 2 місяці тому +1

    Kweli kaka unacho kisema

  • @MasanjaMasanja-mz3ll
    @MasanjaMasanja-mz3ll 2 місяці тому

    Yaani katika siku zote Leo umeongea la maana,,,mbona kuna wenzentu wa Congo wanaimba Lugha nzuri na wanatoboa mfano Kofi olomide na Fally ipupa..Mfano diamond ajifunze ,komasava imehit kimataifa bila ya yeye kutukana,,,,mfano wa kuigwa ni Ali kiba hutosikia tusi kwenye Nyimbo zake.

  • @kizibotv9661
    @kizibotv9661 2 місяці тому +2

    Nipeni like zangu leo wa kwanza mimi

  • @JLMEDIA-35
    @JLMEDIA-35 2 місяці тому +1

    inamahan waachane nakuimba watoto wasome kwanza shida ni wazazi kaka

  • @kenjaboy8070
    @kenjaboy8070 2 місяці тому

    Sasa. Kizazi na muziki vinaingilianaje apo arfu tuacheni kufananisha muziki wa zamani na sasa sisi tunatumia ele kutengeneza nyimbo mpaka kuitoa ko wew unadhani ela yangu italudi vp nikiimba nyimbo yakuelimisha watoto ele yangu italudi vp 🤑🤑🤑🤑

  • @michaeljuma254
    @michaeljuma254 2 місяці тому +4

    Hapo bro Mimi nakupinga asilimia 100% acheni kutupia lawana wasanii broo. Nataka unipee majibu Kwa nini uko ulaya, Nigeria, kule duniani wasanii wanaimba maudhui yote mpaka hayo maudhui mnayosema ni machafu lakini huko vijana ndo wanaendelea zaidi tena ni wasomi kushinda hata waafrika, Kwa nini? Nijibu Hilo swali. Kwa mfano generation iliyo pita mnayoisifia kua ndowaliokua na maudhui mema vilibadilisha nini??? Tatizo sio Wanamziki Wala mziki tatizo ni watoto. Ulaya kote na hizo nchi zilizoendelea wanafanya hayo yote ila hata nusu ya mafanikio Yao. Hapo nakupinga

    • @mg_panther
      @mg_panther 2 місяці тому +2

      Mmmh. Mi naona kama huyu bro anaongea point cz anahimiza watu kuludi kwenye maadili ila ni haiwezikani tena mana dunia imesha toka kule hivi watu hawataki chochote zaidi yanyimbo za mahaba😢

    • @renatusamos9018
      @renatusamos9018 2 місяці тому

      👏

    • @MasanjaMasanja-mz3ll
      @MasanjaMasanja-mz3ll 2 місяці тому +2

      Hauwezi kufafanisha utamaduni wa ulaya na huku ,,ndio maana tunaharibika Kwa kuiga utamaduni wa ulaya

    • @hamoudcreator6343
      @hamoudcreator6343 2 місяці тому

      Yani Kwa akili yako Huko Ulaya ndo watoto wameendelea😂😂😂 nenda kafanya research Jombaaaa...
      Huko ndo kumeoza...
      Na WAO ndo wanataka na sisi tuwe kama WAO.. Ili na sisi tuharibike, WAO walishaharibika Siku nyingi...

    • @michaeljuma254
      @michaeljuma254 2 місяці тому

      @@hamoudcreator6343 Ukichukua mentality ya waafrika uchanganue na mentality ya watu wa huko duniani utajua ni Kwa nini Africa tunachukua muda mwingi sana kuendelea