BALOZI SEFUE AFICHUA KOLABO YA MEMBE NA KIKWETE "MARAIS WA MAREKANI WALIKUJA"
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5 - Розваги
Hawa ndo wasomi tulionao. Kutembelewa na watawala wa magharibi hakuna faida yoyote kwa nchi masikini. Nikutweza utu wetu. Nakumbuka lami kudekiwa. Wahuni wa nchi hii wanauswaiba. Tuwaogope Kama ukoma!
Usitutajie MARAIS waliokuja, tuambie walileta nini Cha Maana??!!
Nonsenses
Mbona hapo zamani ulikuwa husemi hii ndio tabia yetu husifiwi mpaka ufe
May his soul rest in eternal peace. Please Ombeni stop talking about foreign aid!!! We need a different way of thinking. Crying for foreign aid 60 plus years after independence??? We need to manage better our resources and do away with foreign aid!!!!!!
Mwizi ni mwizi tu huwezi kutomtetea mwizi au fisadi mwenzie. Pesa za kujenga miundo mbinu.!!!! Ni ipi iliyojengwa wakati wa Kikwete? Acha uongo.!!
Kachero mwenzako
Wewe Sefue Marais au viongozi wa juu wa Marekani hawaendi sehem yoyote hivi hivi ispokua kuna uporaji wa Raslimali. Matokeo yake tumeyaona Symbions, Barrick Gold, Accacia na Makinikia. Usitufanye wajinga...
Kwani vijana hakuna kila nafasi wapewe wazee tu tumewachoka
Wewe sef ombeni nakupenda sana wewe ni kiongozi bora