Jolmaster ata wakutukane vipi wewe ndio tanzania one mwenye uchekesheji wa pekeee keaping shinning and pull up your soksi to become a african comedian because your talented halaf ww sio wakushindanishwa na watoto wajuzi keap going my g
Usimfananishe leonado na huyu, huyu kinachombeba ni uzoefu wa muda mrefu jukwaan lkn ukwel hajui kuchekesha ukilinganisha na leonado, yaani huyu anatumi a nguvu nyingi sana kuchekesha na anatumia nguvu nyingi sana watu wacheke kiufupi analazimisha watu wacheke
@@shabidenis5424 bro usishangae sana Tz akitokea msanii mpya wanafos KUMSHUSHA wa juu ili wa chin apande wengi waneuliwa imeshindikana kwa mond tu maana jamaa kajipanga lkn angekuwa regerege sahiz tusinge kuwa na hiz cheka tu maana maadui kama buku ndo anacho kifanya huyo et Jol hawez kisa Leonard yaani ujinga mtupu
@@lisarichard8767 contekt kwasabab ata mdaa wake tuu hamna af contekt zero hapa eliud anaweza ingia tuu ukacheka mwanzo mwisho af sasa lafuzi anayo tumia hata mtoto ana mwelewa sasa mavi how come
Duh kweli uzoefu ni kitu muhimu sana, nimemuona Leonardo ana punch ila amekosa uzoefu. Kuna kitu cha kujifunza hapa, jamaa kapita na idea moja tu ila kailink vizuri
Amejitahidi lkn kwa uzohefu alionao jukwaani ukilinganisha na Leonardo Kwa mtazamo wangu Leonardo kamkalisha Jol master,jol master analazimisha watu kucheka,lkn Leonardo Watu wanacheka bila kulazimishwa,yaani Leonardo mwenyewe ni comed tosha Jol master jiongeze bro...all in all show nzuri
Many ppl here are commenting nagative about ths guy...there is an aspect of comedy that you've not understood...this guy is still reigning. Standup comedy is all about how u can awake the laugh feelings in ppl, how u can put the house "on fire"..ur appearance, facial expressions, ppl interaction... With Leonardo, he is great but Soo "dead" on the stage. He needs to borrow a leaf from this guy.
Broh.. I've understood u.. cause I tried to explain something, that people they don't understand about the live comedy... Still jol mastar have high knowledge and focus about this industry... Bigup for Jolmastar.
Shooow imekuwa nzito kabisa ila jifunze ujazo Wa maneno yenye busara saluti sana jon a
Mast
Yan dk chache 2 zimetosha kuonyesha jamaa n mtu mwenye kipaj kiasi gan😁
Jolmaster ata wakutukane vipi wewe ndio tanzania one mwenye uchekesheji wa pekeee keaping shinning and pull up your soksi to become a african comedian because your talented halaf ww sio wakushindanishwa na watoto wajuzi keap going my g
Jol anamakelele sana tofaut na leornado yupo ciriaz sana co bigUP kwa LEONARDO
Ili tofali laleo dogo hawezi nyanyuka 😂😂 Joel master mwamba 💪💪
Jolmaster, leornado, madevu beib ndio cheka tu yanguuu
Leonard hatari Sana 🔥 🔥
Huyu ni kelele tu Leonardo anaongea kisomi
Sisi tunacheka
Sure
Issue watu wachk
Tunachokitaka ni kucheka na tumecheka
Ss Lazma tucheke t na istoshe Leonardo hta kushinda n kumpa t ila mshindi alikuwa ni eliud
gifted, talented 👏👌
Oya we. Akuna awalimbovu unajua unajua unajua tenaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿✍️
Huyu jamaa ndie hukuwa funny kwa hii Show😂😂😂
❤️from🇰🇪
Home boy msenge sana aseeee 😂😂🙌🏽🔥🔥🤴🏽💰🇹🇿🙌🏽
WaBongo wana stresses wanajichekesha....😁😁
Leonardo hatari sana🔥🔥🔥🔥😄😄😄😄
Juyu jamaaa ni chizi sanaaa
@jolmaster mtake msitakee anajuwaa bhnaaa yan anabowa yan
Dah! Joel umefunika san naongea toka moyon
Usimfananishe leonado na huyu, huyu kinachombeba ni uzoefu wa muda mrefu jukwaan lkn ukwel hajui kuchekesha ukilinganisha na leonado, yaani huyu anatumi a nguvu nyingi sana kuchekesha na anatumia nguvu nyingi sana watu wacheke kiufupi analazimisha watu wacheke
Leonardo ndo anamda mref kwenye uchekeshaji kuliko huyu sema ww ndo umemjua leonardo juzi
@@shabidenis5424 we uliwahi muona wapi leonado kwenye stage kubwa kama hizo?
@@shabidenis5424 bro usishangae sana Tz akitokea msanii mpya wanafos KUMSHUSHA wa juu ili wa chin apande wengi waneuliwa imeshindikana kwa mond tu maana jamaa kajipanga lkn angekuwa regerege sahiz tusinge kuwa na hiz cheka tu maana maadui kama buku ndo anacho kifanya huyo et Jol hawez kisa Leonard yaani ujinga mtupu
@@Saidkhel bro ukweli lazma usemwe leonardo anajua,
@@gnabrytech3598 tena anajua sanaaaa na hatumiiiii nguvuuuu
Big up saaaan broooo💪💪
Huy jamaa ata sjamuelew kabisaa Ushoga mwing
Yaaaniii mm ndo namchukuwa ilee mbayaaa
Eliud ndie comedy bana uongo sikazi
Kamkarisha wapiii ?hao zilipenwa🤣🤣🤣on top Léonardo
Amini bro ajafanya maajabu zaid ya kucheza tuu
Huyu jamaa uchekeshaji wake sijuagi uko wapi
Leonard mkal ww
Talented boy🔥🔥🔥
Tunajivunia wasukuma wenzioo kukuona stege piga kazi mambo ni moto 😂😂😂😂😂😂
Lakin wote si wa Mwanza mi najivunia Leonado maana ni mjita mwenzangu uk moja
Leornado ni zaidi ya huyu watoto waxoefu kinyama
Kila mtu ana nafas yake
@@lisarichard8767 contekt kwasabab ata mdaa wake tuu hamna af contekt zero hapa eliud anaweza ingia tuu ukacheka mwanzo mwisho af sasa lafuzi anayo tumia hata mtoto ana mwelewa sasa mavi how come
@@lisarichard8767 kweli kabisaa
Leonard mkali
Best sna
Leonardo next level anaweza kusimama nchi yoyote
Pandeni jukwaani mkachekeshe NYIEE basi DUU acheni maneno wote wanajua sana ty
Mimi nilijua TU huyuu jamaa atakalisha mtu
Uyo cjui Leonardo mi hata hanichekesh naon kama anasimulia matukio...guys achen unafik jol anachekesha we kama hakuchekesh kausha sio lazim
Dah big up San broo napendaga San ukiwa stagen
ClassicFunGuy🐐
Leonardo is a king
Namwelewa Sana mm huyu
Huyu jamaa sikuelewi hanichekeshagi kabisa labda anya nyota ya kupendwa
Johmaster fundiiiii mnoooooo
Huyu jamaa makelele tu Eliud na lionado ao wakali kwakweli awatumii nguvu
Jol🔥🥰🙌
Ah! Uyu jina kwa vile limekuwa kubwa, ila hamzidi yule dogo leonardo
Huyu bado sana
Jina linakuwaje kubwa bila kuwa na kitu jolmaster fundii miaka buku
Huyu hamuwezi lenado hata robo
Ntakuunga mkono
Hakika
Duh kweli uzoefu ni kitu muhimu sana, nimemuona Leonardo ana punch ila amekosa uzoefu. Kuna kitu cha kujifunza hapa, jamaa kapita na idea moja tu ila kailink vizuri
I love you jol master
❤❤❤❤❤❤💙💙💙💙💙
1st viewer
Huyu ni bure kabisa amesha expire, amuachie daruga Leonard
Mi hanichekeshi kabisaaa
Hulazimishwi mzee
Talented
Huo mdundo unaitwaje? Jamaa anakubalika sana. Pa kucheza beat pekee yake na watu kucheka hivyo sio kazi rahisi.👏👏👏👏
Jamani kuchekesha watu si kazi laisi yupo vizur
Second viewer
Huyu hauwezi muwezaa chizi sana 😂
Huyu jaaa🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽😂😂😂😂😂😂😂😂😂
kwa akili ya kawaida nasubiri mtu mzima wa mbeya...ELIUD
Yule bwana Eliud anawakarisha wote humu cheka 2 hadi coy mzungu mwenyewe Eliud hela nyngi
Eliudi yuko vzr hata kumzidi Leonardo
Atawauwa
Eriud na Ile lafudhi yake ya kinyaki dah!! Kama anapitia comment zetu jamaa unajua sana
Daaah sio mkali walann
Mwanzo niliwaza sana dakika mbona chache kumbe mwamba anajua 😅😅
haaaaa jamaaa nimoto nmemkubal snaaa
Leonardo msomi sana unacheka nakufundishika
Yan mm navoipenda cheka tuu 😁😁
Comedian mmoja weweeeee😆😆🤣🤣😁😁😁😁🤣🤣😆
Ata mm nilikuwa nafanyaga comedy kwenye chanel angu zpo
Talented✌️
Anachekesha tatizo lake fujo zinakuwa nyingi sana 😂😂
Ila unacheka?
Jolmaster firee
Leonardo is genius Jmn..... Khaa uyu anapiga tyu kelele 😢
Classic funny guy
Leonardo kiboko aisee hapa Jol atulie
Amejitahidi lkn kwa uzohefu alionao jukwaani ukilinganisha na Leonardo
Kwa mtazamo wangu Leonardo kamkalisha Jol master,jol master analazimisha watu kucheka,lkn Leonardo
Watu wanacheka bila kulazimishwa,yaani Leonardo mwenyewe ni comed tosha
Jol master jiongeze bro...all in all show nzuri
Jamaa anajuw
Ume ingia akilin mwang
Wote wanjuw ila jo uwkik broh
Kabisa uyu jamaa.... hamna kitu
Mimi nimecheka ya Joh Master inaweza ikawa Leonardo hauktumia nguvu ila material ya Joh ilikuwa ina chekesha na ametumia nguvu inapo stahilika
Kwa akili ya kawaida hapa unajua Leonard mkali zaidi
Joel ni noma sana
Papiiiiii🙌🙌🙌
Jolmaster next level
Hamna kitu hapo leonardo yupo juu.
Lakini Huyu Jol simuelewi elewi kimtindo😂😂
Jol kazingua,amekaa kwa Leonardo. Nado anakuchekesha na kukuimarisha akili lkn Jol anakuforce ucheke huku anakujaza ujinga.
kila mtu na staili yake
We huyo jol kiumbe anajua sana
@@bakarimlenge2027 kiushabiki kama ule wa kiba na mmakonde anajua ila kiuhalisia wa Wcb kama unawajua hajui
Umeua sanaaa jmo
Many ppl here are commenting nagative about ths guy...there is an aspect of comedy that you've not understood...this guy is still reigning.
Standup comedy is all about how u can awake the laugh feelings in ppl, how u can put the house "on fire"..ur appearance, facial expressions, ppl interaction...
With Leonardo, he is great but Soo "dead" on the stage. He needs to borrow a leaf from this guy.
Real broo
Broh.. I've understood u.. cause I tried to explain something, that people they don't understand about the live comedy... Still jol mastar have high knowledge and focus about this industry...
Bigup for Jolmastar.
Jolmaster ww N noma
Coy, where is the full show jamaniiii 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🔥🔥🔥❤️
Jamaaa anapiga fujo .. Leonardo anajua kumzdiiii Leonardo big gup
Sema wee mbwa unaweza
Kwenye batle huyu ndio KING
Mud kidgo maajabu makubwa
Jamaa anatumia Uzoefu... Kwenye comedy unapaswa kuwa mpya everyday. Don't assume that your audience knows you.
nakubali broo umenena vyema kufanya kitu kwa mazoea mbaya sana
Hatari sanaaa
Leonardo ni Next LEVEL....🎉
Huko mwisho umeaua kabisa! Hahahaah
😂😂😂😂😂 jol I love you bad
Leonard juu
First
🔥🔥🔥
Umetsha brother
achana na leonardoo wew
Hyu mmi naona anapayuko Sana, joke zake kama za masifa sifa ivi..
Bado ajamkalisha Leonard ni noma bado
DEOGRATIUS effect😎
Kwa hiy mmeona kwamb kamkalisha hebu kuwen ata na aibu na vichwa vya habar vyenu 😂mm Sion nachoon ni masifa tu ya jolly sio comedy
Hahahahaaaaa jamani wapya nao sio haba
Leonardo anatosha sana Leonardo yuko makini sana
Jamaaaa balaaaaaa
Juma n fara Sana uyu jamaa😂😂😂😂
Kila mmoja na utamu wake 😂😂😂
Kabisaa
Jol master jembeeee