MAKONDA AFANYA UKAGUZI WA JENGO LA HOSPITAL YA WLAYA KARATU NA KUSIKILIZA KERO
Вставка
- Опубліковано 23 тра 2024
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►UA-cam: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Makonda mungu akupe nguvu unapiga kazi sana
Kama vile Arusha Haikuwahi Kujulikana sana kama sasa!😂😂MAKONDA WA Waaa waaaaah!❤
Wakuu wa mikoa wote igeni mfano huu jamani kwa makonda msaidieni Rais Samia kazi mengine hayajui nyinyi viongozi Ndiy wa kumsaidia Rais Samia. Hongera sana Mh Makonda kazi nzuri Mungu akusimamie
Hii arusha nilikua nasikia kwa waty kuwawa tu Lakini sasa mashall ah ❤❤❤❤
Duh..! Makonda Barikiwa sana
Ngoja niende mazingira bora nikamsikilize my brother ......
Kweli makonda hama ulaya ya simanjiro
Mama Samia laisi wetu mungu alikuongoza kumuona makonda asante
Kwa nnavyo wajua Wanasiasa Basi watamfiini MAKONDA hadi basi
Makonda kazi nzuri
Hii Nchi ina madudu mengi sana,ubinadamu umeisha sana,sijui kwanin watu tumekuwa katili sana Mpaka viongozi wafike wafike hivi ni nini???
Kwa matatizo na kero kama hizi kweli watu weusi tunamatatizo sana sasa mtu ukija saa moja kumuona mgonjwa shida iko wapi? Mambo mengine hayana mashiko kabisa
Bro kazi ya kupeana chakula ni kwa nasi.
Haipendezi madaktari kuwa hivyo ni aibu sana
Arusha bana hospital hamunaga dawa
Shinda ya mwafrika ni mwafrika mwenyewe, maneno ya mwenda zake raise Moi. Yaani mwafrika mwenzako amesomeshwa na kodi unayolipa anakuwa daktari halafu anakuwa ndiyo anakuwa shinda kwa wanaichi. Roho ya utu ulienda wapi
Mike zenu muwe mnaweka karibu na Makonda tumsikie vizuri ndo tunataka kumsikia
Safi makonda
Dawa mahospitalini hakuna.
Ijengwe hospitali nyingine Endabash au karibu
Kazi ya kulisha wagonjwa ni ya wauguzi ndugu wanachangua kuleta chakula. Iwapo ndugu wamechelewa, muuguzi anasimama badala yake
Umeme unaakosaje ?
HONGERA, SS MASIKINI DAWA TUNANUNUA INCHI ZIMA
Hakika rais wa Arusha fanya kazi mioyo ya watu itulie
Camera zimuoneshe makonda tu 😂😂😂😂
😄😄
Tunahitaji rais kama makonda
KAZI YA DAKITARI ISIINGILIWE KABISA
🙄🙄🤔🤔🤔
Makonda kipi kaingilia hapo? Yeye amesikiliza kero na ametoa ushauri wewe ndio hujui kitu kabisaaa kaa kimya
Kwanini asingilie