Aki yilima mimi Nikita Zama nyimbo zako huwa naguzwa sana natamani sana niwe dancer wako napenda unavyo mtumikia mungu naomba ushi zaidi ubariki wat u na ufafanye huduma said peas isifanye uache mungu👌👌👌👌❤
@@puritymueni6430mimi nimefurahia sana dad william na mungu akubariki sana na akuongezee kipaji chako zaidi ya chenye uko nacho mimi ningefurahia sana kujiunga na wewe unifunze mengi kuhusu huyu mungu ni vile mimi ni mtoto mdogo sana lakini nafanyanga kazi ya nyumba ndio nisaidie wazazi wangu ningetaka kuwa dancer pia
Mungu akubariki mtumishi wa Bwana, Lakini ulipoanza ulikuwa rohoni zaidi kwa nyimbo zako kama vile shika sana,umulungu mwinza nk, Mungu awe nawe kuzikumbuka enzi zile za kuwa na Mungu halisi
Amen....mimi nyimbo zako William zanipa faraja moyoni ..wacha Mungu azidi kuinuliwa juu zaidi kupitia kipaji alichokupa ,taifa langu la Kenya wacha nguvu ya Mungu ikaweze kutawala
l rem when l was going through hardship in life when my daughter was very sick and when l was rejected home with my daughter this song gave me strengh and faith to pray and believe with god all is possible pastor for real all your songs touches my heart every day may you live long
Ilove this song❤❤🙏😪
Kweli nguvu ya Mungu iko mtumishi wa Mungu nyimbo zako uniguza sana Man of God
Aki yilima mimi Nikita Zama nyimbo zako huwa naguzwa sana natamani sana niwe dancer wako napenda unavyo mtumikia mungu naomba ushi zaidi ubariki wat u na ufafanye huduma said peas isifanye uache mungu👌👌👌👌❤
Nabarikiwa sana nanyimbo zako haki nikweli hunaenda mbali mungu akubariki sana tunakupenda sana sisi wakenya
❤
😂😂😂❤❤
Nabarikiwa sana na nyimbo hizi
@@puritymueni6430mimi nimefurahia sana dad william na mungu akubariki sana na akuongezee kipaji chako zaidi ya chenye uko nacho mimi ningefurahia sana kujiunga na wewe unifunze mengi kuhusu huyu mungu ni vile mimi ni mtoto mdogo sana lakini nafanyanga kazi ya nyumba ndio nisaidie wazazi wangu ningetaka kuwa dancer pia
Kweli nguvu ya Mungu upo ... I thank God I have life
I always listen to this song before stepping out of my house every morning
Aaameeeni❤
Asante sana mtumishi kupitia kwa wimbo huu najua ntatimiza ndoto zangu sababu mbingu ziko wazi,.haleluya🎉🙏🙏
Listening to your song in my sick bed, feeling the presence of God 😢
Ata mimi nadai kweda Tanzania ❤❤❤
Haleluhya
Naipenda
Amen
Jina la MUNGU lihimidiwe
Ameen
Najua kupitia kwa wimbo huu mimi Swabrina ntatimiza ndoto zangu.Amen
Nimebeba nguvu ya mungu hakik ninakushukuru mungu wangu
Amen amen
Sina lakusema,Bali ubarikiwe mtumishi wa MUNGU,na utuombee sisi tunaotamani uduma kama hii kibali kishuke hasamimi ubarikiwe sana
Ameen 🙏🙏🙏
Amen mbarikiwe sna mtumishi wa mungu
Mungu akubariki na wimbo nzuri hii wimbo inanifanya niokoke
Amen mutumisi
AMEN 🙏 Nguvu ya Mungu iko mahali hapa🙌🙌🙌 Powerful song there 🙏🙏🙏
huu wimbo hunijaza sana... ubarikiwe sana wiliam
Amen
❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤
When I hear this song for real barikiwa yillima sina mengi yakusema
Huu wimbo hunipa ukurasa mpya ktk maisha yangu
I have listened this song countless times, so inspiring be blessed servant of MOST HIGH
Nyimbo zako zina nitia moyo,amen
Nguvu ya mungu iko mahali hapa, kweli kabisa huu wimbo umenigusa sana mtumishi
nabarikiwa sana nyimbo zako
Kweli nguvu za mungu na zikatawale Nchi yetu Ya KENYA kwa jina la yesu🇰🇪.❤
Barikiwa sana mtumishi wa mungu hakika nimeiona una nguvu ya mungu hakika ameni
This song blessed me,,,,I was singing and crying when I don't have ticket to travel,my visa was almost to expire...but miracles happened
, 9 8p
Hakika ii wimbo n tamu sana nikitazama natao machozi mungu akubaliki mtumishi
Nikweli kaviza nguvu ya mungu iko
It's a blessing to listen to your songs very encouraging, food for soul.
Amen and Amen
🎉Aky ubarikiwe sana; mm napenda nyimbo zako zote
Atlist through the message from this song nimefeel relieved
Mungu akubariki mtumishi wa Bwana,
Lakini ulipoanza ulikuwa rohoni zaidi kwa nyimbo zako kama vile shika sana,umulungu mwinza nk,
Mungu awe nawe kuzikumbuka enzi zile za kuwa na Mungu halisi
Amen 🙏🙏🙏
Napend saaaaan wimb zak naptikna🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Amen nimeguzwa sana na hii Wimbo
Nuimbo zako zanitia nguvu Na ujasiri katika maisha yangu,mungu anzidi kukuinia katika Jina la yesu
Hii song inamek na flashback matanga ya father.Naipenda sana
Ameeen..Ameenn🙏🙏🙏
🙏 amen
Amen....mimi nyimbo zako William zanipa faraja moyoni ..wacha Mungu azidi kuinuliwa juu zaidi kupitia kipaji alichokupa ,taifa langu la Kenya wacha nguvu ya Mungu ikaweze kutawala
Barikiwa sana bro yilima napenda sana nyimbo zako ni za Baraka kwangu
Ameen barikiwa mtumishi
May the almighty God bless you mightly mwimbaji,
Aki kupitia huu wimbo mungu naomba mume wangu aweze kupata kazi tumeteseka ya kutosha na degree akona nazo lakini akuna kazi😢😢😢😢😢😢😢
God will open doors for him dear
Was listening this song after surgery it really ministered in my sick bed in 2020. I love this song so much may God bless you yalima
Nimebarikiwa kutoka 🇰🇪
Nabarikiwa nikiwa 🇰🇪 Amen 👏👏👏
Amen 🙏🙏🙏 plaster, ubarikiwe sana n mungu akujaze n roho mtakatifu uzidi kumtumikia
Amen 🇰🇪
Powerful more grace man of God much love from 🇰🇪
Amena
Amen. Hii song Ilifanya nika Overcome nguvu za Kiza, Ahsante sana Mtumishi Wa MUNGU
Mungu yupo kweli
I feel comforted with beautiful songs of nyilima God will make your generation happy
Ndugu uko na upako,waja mungu akuonekanie
Amina mtumishi mungu akuinue Hadi viwango vya juu sana
Ur songs ever touches my soul
It's true,be blessed
Hallelujah 🙏🙏🙏
l rem when l was going through hardship in life when my daughter was very sick and when l was rejected home with my daughter this song gave me strengh and faith to pray and believe with god all is possible pastor for real all your songs touches my heart every day may you live long
Amen pastor
umurungu akuliki wee mjenzii wee nene namwazembe ndli padar ipa
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Napenda sana hizi nyimbo zinanitia nguvu sana ubarikiwe
Feel blessed by ua praise
Amen wacha Mungu aendelee kukutumia kwa kazi yake njema
👋👋👋💖💖
Aki wimbo huu unaningia Kuna nguvu hapa
May God bless you unani balikingi na iyo wimbo nakubmbuka 2019 mungu alinitoa bali mungu yu mahali hapa na ninaenda bali
Unanigusa Sana kwa nyimbo hiI
Amen ata mimi sijakata tamaa naamin nguvu ya mungu iko pamoja nami 🙏🙏🙏
Man of God mungu akubariki sana
Blessings blessings blessings
Ameeeeeen with God all things are possible in Jesus mighty name 🙏 🙌
Amen barkiwa san mtumish wa mungu uinuliwe Zaid na zaid
❤❤❤❤may God knows your life amen
Nikiskiza huu wimbo huanaguzwa Sana moyoni
Am blessed through this song
God strengthen
My wife Florence was murdered on 15th December,2023. Pray for us. God reigns
Pole brother, it shall be well in Jesus name
Mungu akuinue sana akuongezee kibali uwaimbie watumishi wake miaka yote amen
God bless you nikisiza nyimbo zako.unitia nguvu wakati ninapo taka kukataa tamaa ya maisha
Am so blessed for ur songs
Nyimbo nzur
Marvelous
U really expire me alot, mungu akubari sana
Hiyo nguvu weeeh 😭😭😭😭
Endelea na huduma hii,na husipungikiwe na chochote mtumishi,amen
May God bless you more than hapo
Amen 🙏 let it be done ✔
Natamani uyo yesu William
Mungu azidi kukubariki man of God,,,unapozidi kubariki watu wako naye Mungu azidi kukubariki