KISA CHA MFALME SULEIMAN NA WAKE ZAKE 700 NA MAKAHABA 300

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 67

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 2 роки тому +3

    Mungu awabariki sana kwawale wanao fanya kazi yake Mungu

  • @barakambise181
    @barakambise181 Рік тому +2

    Amina

  • @charlesmashaur4487
    @charlesmashaur4487 4 роки тому +5

    Anaesema uoungo labda kuna suleimani wawili tofauti!!!!

  • @shokajr9714
    @shokajr9714 4 роки тому +2

    Nimependa ulivyopangilia hadith na beat. 👏🏽👏🏽

  • @ashiraf997
    @ashiraf997 2 роки тому +1

    saf

  • @geraldswai5492
    @geraldswai5492 4 роки тому +1

    Amin

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 3 роки тому

    Amen

  • @arnoldvictor8763
    @arnoldvictor8763 3 роки тому

    Concubine refers to a woman who lives with a man to whom she is not married. Although a concubine serves the functions of a legal wife, she does not enjoy any rights in a family or any spiritual comforts. ... A concubine is denied certain legal protections.

  • @casmirialfred6135
    @casmirialfred6135 2 роки тому

    Watoto wa mfalme suleiman

  • @arnoldvictor8763
    @arnoldvictor8763 3 роки тому

    Ni KOSA, KOSA KUBWA kusema Sulemani alikuwa na "makahaba"! Walikuwa maauria (concubines) na sio harlots. Kahaba ni mwanamke anayelala na yeyote anayetokea, mara nyingi kwa ujira. Lakini suria ni mke asiye rasmi. Ndio maana hao 300 walijulikana. Haikuwa siri kwamba mwanaume wao alikuwa Suleimani.

  • @johnshedrackjansohn8984
    @johnshedrackjansohn8984 2 роки тому

    Unatafta masilahi hii kazi haikufai faida utapata

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 3 роки тому +1

    Mal uun mkubwa, Suleiman n mcha Mungu, c mzinifu

  • @pascalkabombe1194
    @pascalkabombe1194 4 роки тому

    Biblia imemtaja kahaba kwa jina la kahaba, lakini hakuna sehemu wale masuria wametafsiriwa kama makahaba

  • @twilumbakabelege3426
    @twilumbakabelege3426 3 роки тому

    Mmmh unamzungumzia suleimani yupiii???

  • @ismailkaita8183
    @ismailkaita8183 3 роки тому +1

    Kama unamkusudia mfalme nabii Suleiman na kumsingizia uzinifu subiri hukumu yako

  • @manenoneno8243
    @manenoneno8243 4 роки тому

    Amin unachoamini

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому

    Nafata simulizi ambazo zimesibitishwa na adisi za mutume muhamadi naadisi zake sahihi mangine yote uongo mutupu MUTUME MUHAMADI S.A.W ndio anajuwa kweli wote wa historia za manabi

  • @arnoldvictor8763
    @arnoldvictor8763 3 роки тому

    Nilimaanisha "MASURIA"

  • @abuuasma3616
    @abuuasma3616 3 роки тому +1

    Ndugu staili nyingine za kutafutia kiki msiwachafue manabii kwakuwaita wazinifu hiv ww mpagani nn shik adab unapo wataja mnabii

  • @jaffarujudi3440
    @jaffarujudi3440 3 роки тому

    Acha uhuni

  • @salujuma6873
    @salujuma6873 4 роки тому

    Hakuna nabii alie kua na kahaba wala hakuna nabii alie zini msidanganye watu

  • @mabrukjuma3878
    @mabrukjuma3878 2 роки тому

    Wewe zungumzia vyongozu waupuzi walioko duniani hawa BT sio manabii unakosa adabu kwamungu kila nabii mungu ndio humfungisha ndoa

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому

    Apo uongo tu wawaeungu ata bibilia sio kitabo ca mungu bali kunabahazi ya maneno yamungu ambayo hayajacafulia mengi watuwameandika watakavyo nasikweli subirini Allah atawahukumu stori za ongo wake kama mufalme hakuwaeulumu kunashida gani wewe muongo

  • @mtuwawatuhoyee6549
    @mtuwawatuhoyee6549 4 роки тому

    Mosque na makanisa ya zamani ni illuminate.

    • @hanifaali9526
      @hanifaali9526 4 роки тому

      A devil worshiper like you thinks negative about the he almighty God.

    • @mtuwawatuhoyee6549
      @mtuwawatuhoyee6549 4 роки тому

      @@hanifaali9526 so sorry to be one of them.

    • @hanifaali9526
      @hanifaali9526 4 роки тому

      @@mtuwawatuhoyee6549 go to where you belong, and deceive those who will agree to fall in your stupid acts.

    • @mtuwawatuhoyee6549
      @mtuwawatuhoyee6549 4 роки тому

      @@hanifaali9526 truth pain but be a man.

  • @mabrukjuma3878
    @mabrukjuma3878 2 роки тому

    Tubu wewe kwaupuzi huu hakuna mtume wamungu aweza kuoa kahaba manabii wote niwasafi ,fata wachambuzi wamasomo yadini wakuelimishe lasivyo utajuta

  • @paulkichele8165
    @paulkichele8165 4 роки тому

    Suleiman alizaliwa na nan?

  • @hamisjangala6759
    @hamisjangala6759 4 роки тому +1

    Wakristo n waongo

    • @macksokaempire5233
      @macksokaempire5233 4 роки тому +1

      Unakosea kila mmoja na imani yake na njia yake pia

    • @hamisjangala6759
      @hamisjangala6759 4 роки тому

      Hayo umeyatoa wap kama s uongo

    • @manenoagrey1090
      @manenoagrey1090 4 роки тому

      @@hamisjangala6759 Biblia takatifu

    • @mbcgrams5415
      @mbcgrams5415 4 роки тому

      @@hamisjangala6759 yote yameandikwa kwenye Biblia

    • @Mrdigital.
      @Mrdigital. 4 роки тому

      Don't judge the religion cause those you judge trust God

  • @petrojohn8250
    @petrojohn8250 4 роки тому

    Sijawahi kulipenda Jina Daudi

  • @ldyialemah5244
    @ldyialemah5244 4 роки тому

    Makahaba ndivy ilivyoandikwa kwenye biblia???

    • @hanifaali9526
      @hanifaali9526 4 роки тому

      Bibilia inakasoro nyingi.

    • @kindolek9257
      @kindolek9257 4 роки тому

      Kahaba, suria Kwa lugha tulioziea "hawala"

  • @maspro6294
    @maspro6294 3 роки тому

    Hizi hadthi zako za biblia ni kutunga tuu uongo mtupu

  • @mariammalilo7125
    @mariammalilo7125 3 роки тому

    Kuweni wa islamu

  • @manenochales6954
    @manenochales6954 4 роки тому

    Huyu anaongea uongo

  • @georgekinyanjuinjeri9996
    @georgekinyanjuinjeri9996 4 роки тому +1

    This nothing new it all written in the Bible

  • @fadhilisaidi685
    @fadhilisaidi685 4 роки тому

    Acha uwongo unapotosha watu

    • @paschalkadama7327
      @paschalkadama7327 3 роки тому

      Acha kuchafua biblia hakuna sehemu iliyoandikwa ni dhambi kuwa na mke zaidi ya mmoja

    • @ilkayexquisite7592
      @ilkayexquisite7592 3 роки тому

      @@paschalkadama7327 Tafadhali kama hujui usiseme hamna soma biblia yako. Kumbukumbu la Torati 17:17 na 1 Timotheo 3:2

  • @charleswarioba4071
    @charleswarioba4071 4 роки тому +1

    Unaongea Kama unagundii mdomoni

  • @ameali1251
    @ameali1251 4 роки тому

    Lanatullah uongo mtupu . Suleman hakukufuru tena ni mcha Mungu .