Mnajichumia laana. Mbarikiwa awatahadharisha magereza, polisi, mahakama, serikali kuwatesa WAFUNGWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 46

  • @scolasticakaduma5143
    @scolasticakaduma5143 6 місяців тому

    Wimbo una ujumbe mzito. Machozi yananilengalenga. Ubarikiwe sana Mtumishi kwa kusema ukweli.

  • @KaseMwaliyoyo-mb3wp
    @KaseMwaliyoyo-mb3wp 6 місяців тому

    Eee mungu msikie mtumishi wako mbarikiwa mpe miaka mingi

  • @BahatiMpalanzi
    @BahatiMpalanzi 6 місяців тому

    Kwelii kilakitukinamwishowake munguukutienguvu baba

  • @JosephAkida
    @JosephAkida 7 місяців тому

    Mungu we Mungu hasira yako tunaijua baba kabla ya kuhukumu hawa watesao wanyonge okoa roho zao walau wageuze kama Paulo kwa kuwabebesha mzigo wako

  • @nicholaswaemmanuel7221
    @nicholaswaemmanuel7221 7 місяців тому

    Hakika wanajichumia laana ya bule bila kufahamu kuwa KILA KITU kina MWISHO, na DUNIANI TU WAPITAJI TU! MUNGU akupe UHAI MWINGI NA UPONYAJI BABA. UBARIKIWE SANA, AMEN🙏🙏🙏

  • @KaseMwaliyoyo-mb3wp
    @KaseMwaliyoyo-mb3wp 6 місяців тому

    Watakutana na mungu sijui watajibu nini hukumu ipo duniani kabla hawajafa

  • @PhotoGrapherByYusuph
    @PhotoGrapherByYusuph 7 місяців тому

    Amina Kakika uwafikie ujumbe huu makari waliyo nayo

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 7 місяців тому

    Hongera mchungaji kweli wanajichumiamlaanna

  • @EdwardMwasyamula
    @EdwardMwasyamula Місяць тому

    Tanzania viongozi lidini katika njia nzuri kueni na UTU na watu ubinadamu IMEPOTEA kanisa daa

  • @abelmghana2843
    @abelmghana2843 7 місяців тому

    Sema kweli hata siku ya hukumu ukiuliza ulitenda nn ue na lakusema uwezi unaona maovu yanatendwa na watawala unakaa tu haifai

  • @IsakaHosea-g9g
    @IsakaHosea-g9g 7 місяців тому

    Very good ❤❤

  • @WinifledyMbugi-ur1hq
    @WinifledyMbugi-ur1hq 7 місяців тому

    Hivi kwanin wafungwa wengi ni maskin?

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 7 місяців тому

    Kweli wanajichumia laana ya bure.

  • @JosephMwamalumbili-x4m
    @JosephMwamalumbili-x4m 7 місяців тому +1

    Ameeni baba

  • @EmmanuelAlberto-f3g
    @EmmanuelAlberto-f3g 7 місяців тому

    Ujumbe mzito.mwenye.sikio.asikie.asiye.sikia.aenderee.kuchuma.raana.uzidi.kubarikiwa

  • @jofreymbembela7810
    @jofreymbembela7810 7 місяців тому

    Hakika Wanajichumia LAANA Buree. MUNGU Akushike na Akusimamie Sana baba.

  • @jacksoncharles5411
    @jacksoncharles5411 7 місяців тому

    Ameen ❤❤❤❤❤

  • @musasimbeye7829
    @musasimbeye7829 7 місяців тому

    Hakika mtumishi ujumbe umewafikia.Japo hawawezi kuelewi maana walishalewa madaraka Kwa muda mrefu.

  • @KaseMwaliyoyo-mb3wp
    @KaseMwaliyoyo-mb3wp 6 місяців тому

    Kakangu kyala akutule

  • @josephfkinyaghakinyagha7046
    @josephfkinyaghakinyagha7046 7 місяців тому

    Barikiwa MBARIKIWA MUNGU amukusudia kwa wakati Kama Huu kusema ukweli, na wanao onewa, hii ndo kazi ya watumishi wa kweli,,, Wengine wamenjamaza

  • @AmisiLulacha
    @AmisiLulacha 7 місяців тому

    MUNGU akupe akushindie majaribu unayo kumbana nayo

  • @helbalchota9417
    @helbalchota9417 7 місяців тому +1

    Mbalikiwa mwakipesile wewe kweli umeitwa na MUNGU hata wanaokuchukia ukweli wanaijuwa kwamba ni mtume wa kweli wa MUNGU napenda kukufuatilia maana una moyo wa ujasri zaid ya simba

    • @jesaminzo
      @jesaminzo 6 місяців тому

      Nakubaliana nawe mtumishi wa BWANA, tumwombee tu mtumishi wa Bwana Mch Mwakipesile

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 6 місяців тому

    Nyimbo inagusa!!

  • @HelenaSoka-l1h
    @HelenaSoka-l1h 7 місяців тому

    Urisema nikotayari h

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 7 місяців тому

    Me nmekaa jela kaka miez 6 kama unafanya majukumu unayopewa hakuna mwenye shda na wewe kaka, na unaweza ukae mpk unatoka hujawahi kuonja hata kirungu. Ila ukiwa jeuri ndo utapata tabu xn tena xn t na utanyooka. Askari jela me nawatetea ni watu wazuri xn tofaut na wengine, wachache ndo wabaya hii ipo t hata kanisani kuna wahuni pia ila kiukweli wengi wapo peace km huamin bx inatosha

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 місяців тому

      Ulikuwa radhi kwa sababu uliiba au kuua kweli. Hivyo ulikuwa radhi na hayo kwa kuwa uliona ulihitaji adhabu kubwa zaidi. Ila waliosingiziwa au walioonewa hicho ni mateso.

    • @harunamtiko117
      @harunamtiko117 7 місяців тому

      😂😂😂​ ckuiba nilidhamini mtu nikapata dharura ckufka mahakamani nikatoa taarifa ila haikukubalika, nikapgwa rumande

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 місяців тому

      @@harunamtiko117 fahamu hapa tumezungumzia watoto wa maskini tu ndio wanaoteswa. Kama wewe walikufanyisha kazi unazofanyishwa nyumbani na kukulaza unavyolala nyumbani ndio maana huwezi kuelewa hiki tunachosema hapa.

    • @amirymwanda
      @amirymwanda 7 місяців тому

      Barikiwa sana mch, Mungu azidi kukupa afya njema, hekima na busara, tulitegemea kupata jumbe hizi na kweli watachuma laana sana sana 😮😢😢

  • @HelenaSoka-l1h
    @HelenaSoka-l1h 7 місяців тому

    Uriuria wembe mbona unaria hatukuelewi injiri yako haiw

    • @jesaminzo
      @jesaminzo 6 місяців тому

      Watoto wa Ibilisi kama wewe huwa hawajitambulishi kwa majina yao halisi, bali wanajulikana kwa "User.. @&... Ni Mungu akurehemu tu ewe user!

  • @joshuangonya-jt5dj
    @joshuangonya-jt5dj 7 місяців тому

    Hakika wanajichumia laana ya bure.

  • @ashelikilele167
    @ashelikilele167 7 місяців тому

    Wata PATA Lana ya bule

  • @KaseMwaliyoyo-mb3wp
    @KaseMwaliyoyo-mb3wp 6 місяців тому

    Mwikemo gwa bhikemo kyala abhatule

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 7 місяців тому

    Magereza hawatesi watu broo, matatzo yaanzia uko nje uraiani mt anabambikizwa kesi na mahakamani nako anafungwa kwa vifungu vya sheria, akipelekwa magereza km n mfungwa lazma atafanya kazi ambazo hata ww nyumbn unazfanya kama vile kulima, kufyatua tofali, ujenzi, usafi wa mazingira nk, kwa upande wa mahabusu wao hawafanyi kabsa kazi wanakula na kulala wakisubr trh ya kwenda mahakamani. Shda inaanzia nje ya magereza broo.

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate 7 місяців тому +1

      Unaongea vitu usivyo vijua tafuta watu wakupe mkanda kamili kijana

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 місяців тому

      Umewahi kukaa huko na ukaona wanafanya kazi kama nyumbani? Je uliona mahabusu wakila chakula kama nyumbani? Wakilala kama nyumbani? Siku zote mwenye shibe hamjali mwenye njaa

    • @WillyMwangomo-gv8hd
      @WillyMwangomo-gv8hd 7 місяців тому

      shalom barikiwe pastor

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate 7 місяців тому

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile kweli kabisa

    • @noeleliasi8401
      @noeleliasi8401 7 місяців тому

      Ndugu umekomenti sawa na mtazamo wako, ila ukweli ungeujua kuhusu wanayoyapitia wafungwa.. Hakika usingesema hivo.