Boss Kimaro | Free Full Bongo Movie
Вставка
- Опубліковано 13 січ 2025
- Baada Ya Mke Wa Adamu Kupata Ujauzito Ndipo Changamoto Zinapoanza Katika Familia Yao! Adamu Anafukuzwa Kazi Na Boss Wake [Boss Kimaro] Baada Ya Kuacha Ofisi Na Kwenda Kushuulikia Swala La Hospital. Na Ata Pale Alipo Jaribu Kutafuta Kazi Sehemu Nyengine Bado Boss Kimaro Aliendelea Kumfanyia Visa Mpaka Akafukuzwa Tena Hali Ya Maisha Inazidi Kua Mbaya Kwa Upande Wa Adamu Na Familia Yake Mpaka Boss Kimaro Alipo Amua Kumludisha Kazini Kumbe Lengo Lake Lilikua Kumlaghai Kimapenzi Mdogo Wake Na Adam [Mwana].
The challenges begin after Adamu's wife got pregnant! His boss [Boss Kimaro] fired him from his job, and when he started to work in another place his former boss still troubled him until he lost his job again. Life got worse for Adamu and his family, until Boss Kimaro hired him again at the office, but his only purpose was to deceive Adamu's sister[Mwana] into a false relationship.
Tunapatikana kwenye mitandoa ya kijamii kama vile:
/ kingsofbongo
/ kingsofrealbongo
/ kingsofbongo
#UA-camSwahiliMovie #SwahiliFullMovie2022 #LatestSwahiliMovie2021 #kingsofbongo
Wewe ni noma kaka angu nakukubali
Daaa hiyo kicheko Adam😁hapana😂😂😂😂
Zur sana
Vizuri sana kaka Adam lakin inabid usichoke wewe pambana nakuaminia very nice
Mbona ikifika part ya boss kimaro Haina sauti
Huyu boss kimaro hata nguvu zakulalisha mke anazo kweli??? Kiburi chako kitazushwa na mwenyezi mungu🤔🤔
Kwenye kuongea musiweke mziki
Ni kweli kabisa muziki unakera.
Very nice.
😂😂😂😂yaan wanawake tungekuwa hivi kwa waume zetu tungebarikiwa,ila nimecheka hicho kicheko cha adam
Jamani huyu ni daktari kweli???
Wadoctors wakutowa mimba ni wa criminals nilazima wahukumiwe na kufungwa ile ile miyaka inayopewa mwanahume alimubebesha ujauzito mwana funzi.
Awoteeeee.....!!!!!good job
Vizuri sana
Good boss kimaro kifaru block
Muziki unakera sana.
Mwomba Mungu hachoki,usikufuru kaka Adam pamoja na kuwa ni movie.
Halafu sehemu nyingine kelele nyingi.
Movi nzuri sana ongereni
Pamoja kaka
Sauti jamani
done subscribing
Adam unavituko sasa huko ndo kucheka🤣🤣 ongera movie nzuri sana brother
woow
Link ya kudownload ipo wapi?
Nzur sana
yan unajua
komaa na broh aadam utafika mbali
Saf boss kimaro
Hivi Maya amefariki au?
Aminia
Nataka kuona huyo maya mdogo sura🤣🤣🤣🤣
Wasichana wanawake musiwe munatowa mimba juhu asili 99% ya wa nawake huwa wapoteza mahisha juhu ya hiyo( abortion)ni dhambi kubwa ,munakima malipizi kihumbe cha Mungu hakikuwahomba mukilete ni juhu ya usherati wenu kwa hiyo kwanini kukitesa?
🤣🤣🤣🤣Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
🤣🤣 eti asnte pesa
Kiruuuuu🤣🤣🤣
Mmmmh,hilo neno kiruuu,umeiba wapi 😂
@@aishaomaryyousefomaryloiru1990 Kwan kiruuuu inamaanisha nn
woow