Wakaazi wa Mombasa wagadhabishwa na hatua ya serikali kukata rufaa
Вставка
- Опубліковано 16 лис 2024
- Wakenya wameendelea kutoa hisia mbalimbali kufuatia uamuzi wa hapo jana wa mahakama kuu uliobatilisha uteuzi wa manaibu waziri 50 uliokuwa umefanywa na rais william ruto. Huku kukiwa na wale waliofurahia uamuzi huo wakisema utapunguza mzigo wa gharama kwa wakenya, kuna wale waliokosoa wakitaka serikali kuwachwa kufanya kazi yake.
Steven oduor nakuona sana rafiki
Let the revolution begin!
Wizi wizi wizi at I heading the SINGAPORE way with grand that and wastage??!!!! This govt is full of ghasiasm
Jamani serikali ya ruto itatufanyia lini kazi sisi wakenya tumechoka na ruto
Kwa sababu hamuwapi nafasi wajipange
@@SulaimanMohd-xl3jcwe ni mshenzii nini??Tuwape mda wa kuendelea kuiba na kucreate vitu haziko
@@mariashan2745 mbona matusi tena kijana tafuta kazi ufanye ule jasho lako usinitukane
@@mariashan2745 Mimi sijakutukana jomba sawa kila mtu na maoni yake matusi yanini
Ruto is international thief... He wants everything to Work on his way... Tapeli mkubwa huyo