MCHUNGAJI ALIE TUKANA QU'RAN SASA YAMKUTA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 683

  • @samxx411
    @samxx411 Рік тому +37

    Sheikh mwaipopo masheikh wetu wa kiislamu wasikuvunje moyo, wao kazi kubishana na kutukanana wao kwa wao, wamewaacha ndugu zetu hawa wanapotea na tumeamrishwa kuwalingania ili waje kuokoka na moto, saivi watu imani imeshuka sana masheikh ndio wanaotakiwa kuongeza jitihada ili imani watu zirudi, wao ndo kwanza wanatukanana, mie nipo pamoja na wewe na ukikosea nitakwambia umekosea mkamilifu ni Allah peke yake ila nipo pamoja na wewe sheikh wangu..ingawa utachukiwa lkn usijali hata mitume wa Mungu walichukiw. Sheikh wallahi unajuwa..

    • @mwalimutajiri
      @mwalimutajiri Рік тому +1

      Daa umeongeza ukweli

    • @swaleheally8134
      @swaleheally8134 Рік тому +1

      Nilivo ona picha ya muchungaji tu sikuona umuhimu wa kusikiliza mana yemwenyewe yopo kama dishi lime yumba

    • @kimsi682
      @kimsi682 Рік тому

      @@swaleheally8134Ni wengi nyakati za Yesu waliongea kama were adi mpaka Yesu aliposulubiwa wakasema: "kweli, huyu alikuwa mwana wa Mungu" maneno ya biblia.
      Ndipo saa zingine unaambiwa, " do not judge the book by it's cover.

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 Рік тому +18

    Mungu aendelee kukubariki shekhe wetu mwaipopo tuwasaport mashekhe wetu na tusikubali dini yetu ichafuliwe na wahuni wa kanisan

    • @wilisonmikate1652
      @wilisonmikate1652 20 днів тому

      Sema shetani aendelee kumbariki sio MUNGU aliyeumba mbingu na nch.

    • @KhamisAli-r1w
      @KhamisAli-r1w 16 днів тому

      @@wilisonmikate1652 Bangi izo!!!!.

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 20 днів тому +2

    Mtume meshak Mungu akubariki tunaomcha Mungu hatujisifii usomi wala elimu maana neno la Mungu wakweli linatafsiriwa kwa Roho Mtakatifu,,mpokee YESU KRISTO mwipopo akuondolee majini

  • @mohamwamadimwamadi4344
    @mohamwamadimwamadi4344 Рік тому +6

    Assalam alaikum, Sheikh Mwalpopo uko Sawa,Mungu akupe afya na nguvu za kuendelea kuitangaza DINI ya Mungu na usichoke kuutetea uislamu na Allah atakulipa duniani na kesho Akhera.... Aaaamiiiin..!!

  • @thamani5842
    @thamani5842 Рік тому +9

    Jazakallahu lkheir Shekh. ALLAH akulipe kila la kheir

  • @ArafaSuleiman-db9pw
    @ArafaSuleiman-db9pw 20 днів тому +1

    Barakah ALLAHU fiiqum hbbi mwaipopo Allah swt akulinde na kila aina husda na balaa na akupe mwisho mwema aaamiin ahsatum xnaa hbbi

  • @mjakazieunicelucas
    @mjakazieunicelucas Рік тому +3

    Mungu awape macho ya rohoni...hamjajua kazi ya Roho Mtakatifu...1 Wakorintho 2:14
    Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.

  • @zenajimmy6603
    @zenajimmy6603 Рік тому +7

    Soma vizuri kijana yesu nabii ISSA a.s alikuwa anatabiri mtume MUHAMMAD S.A.W

    • @heritier5119
      @heritier5119 Рік тому +2

      Yesu na ISSA ni watu wawili tofaut kabisa kwa ushahidi wa Quran na Biblia

    • @rehemawanjala-bu5oq
      @rehemawanjala-bu5oq 19 днів тому +1

      @@heritier5119 Yesu ni Issa wacha masiara ww

  • @ZainabRashiid
    @ZainabRashiid 2 місяці тому +2

    Upo sahihi shekhe wetu allah akulinde

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Рік тому +6

    Ostaz mwaipopo nakukubal
    Sana shekhe wangu

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Місяць тому +5

    Yesu Kristo ni njia kweli na uzima kama unataka kupona na jehanamu ndugu yangu Muislam mpokee Yesu Kristo leo.Pasipo Yesu Kristo mbingu kuiona haiwezekani

    • @smadon5638
      @smadon5638 27 днів тому +2

      Tatizo Yesu si Mungu😂

    • @rehemawanjala-bu5oq
      @rehemawanjala-bu5oq 20 днів тому

      N sawa what is the key to heaven ukipata basi mm nawe leo hii mkristo😂😂😂

    • @RastaSuma
      @RastaSuma 20 днів тому +1

      Wakristo mnafeli kwa sababu ya kusikiliza propaganda za wachungaji feki na manabii, someni ili mumjue mungu wa kweli aliyekuwa anaabudiwa na mitume wote.

    • @karimuabdala3234
      @karimuabdala3234 17 днів тому

      Wewe utatumia njia gani ili uende peponi??

    • @rehemawanjala-bu5oq
      @rehemawanjala-bu5oq 16 днів тому

      @@RastaSuma waambie ukweli

  • @rahimudikholoma8362
    @rahimudikholoma8362 Рік тому +6

    Mashallah, sheikh Mwaipopo Allah akujaze kheri

  • @luqmansudi
    @luqmansudi 23 дні тому +2

    شكرن شيخنا الفاضل مويبوبوا

  • @NyangamtambalaYohana
    @NyangamtambalaYohana Рік тому +6

    Uko sawa mtume meshaki mtume Mali ya bwana hakuna mtu atakae elewa unayo yafundisha ispokua wale wanao ongozwa na roho mtakatifu bwana yesu asifiwe Sana🙏🙏🙏🙏

  • @fatimajuma8900
    @fatimajuma8900 Рік тому +2

    Allah akuzidishiye kheri juu ya Kheri zote za duniyani na Akhera

  • @hajiabdulrahmani9204
    @hajiabdulrahmani9204 Рік тому +10

    Allah akuongoz shekh kwenye kheri

  • @AminaAbdullah-ws3wy
    @AminaAbdullah-ws3wy Рік тому +8

    Asalaam aleikum ,,, Masha Allah mwaipopo your doing great job

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 Рік тому +2

    Nikweli hatuabudu mungu wa izraheli ila tunabudu mungu waulimwengu mzima bila kuchagua inchi Allah akuifazi sheikh mwaipopo ❤❤🎉🎉🎉😊😊

  • @seiflugendo7141
    @seiflugendo7141 Рік тому +4

    Huyo mchungaji alivuta sana bangi

    • @rahmahasan32
      @rahmahasan32 20 днів тому

      Alivuta sana tena alipitiliza siku hiyo pole sana

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 Рік тому +2

    MashaAllah shekhe wetu nikiwa kenya nafatilia sna nakuskiz mawahidha

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Рік тому +3

    Allah akulinde shekh wetu

  • @SophiaShabani-xx3xe
    @SophiaShabani-xx3xe Рік тому +1

    Shekh Allah akuhifadhi na uendelee kutuelimisha

  • @hamidasaid2544
    @hamidasaid2544 4 дні тому

    Ma Shaa Allah Allah Akuhifadhi amin

  • @ArkamBakar
    @ArkamBakar 20 днів тому +2

    Huyu pastor naona anatafuta kick tu laana za Allah zimshukie kafiri mkubwa

  • @MwanaHamedi
    @MwanaHamedi 17 днів тому

    Mashallah nakupenda shekhe Wang kwa ajili ya mwenyez mungu

  • @mtindikoja8837
    @mtindikoja8837 Рік тому +1

    Allah ukuzidishie Askari wamtume muhammad ( saw)

  • @ramadhanjaku2913
    @ramadhanjaku2913 5 місяців тому

    Assalaam alaykum
    Jazaaka llah khair sheikh mwaipopo.
    Waislamu kweli haya makundi yanatukosesha umoja nguvu kuutangaza uislamu kwa wakristo.

  • @salimalriyami7654
    @salimalriyami7654 Рік тому +2

    Brother Mwaipopo your true.

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Рік тому +5

    Masha Allah sheikh mwaipopo pasua majipu hayo usiache hata kipele huyo pastor emechoka hata nywele zinavumbi

    • @hamadeddymaclayz
      @hamadeddymaclayz Рік тому +1

      Nywele zake kama mavuzi ya Punda huyu anaejita paster

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Рік тому +1

      @@hamadeddymaclayz hahahahaha

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Рік тому +1

      @@hamadeddymaclayz uishi miaka mingi 😂😂

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 Місяць тому

      Halafu mbona huyu mchungaji anaonekana Kama mpiga debe kwenye madaladala

    • @KhamisAli-r1w
      @KhamisAli-r1w 16 днів тому

      @@chikuiddy9946 umeona eeh!! Mi nilikutana nae mwembe yanga alikua anagombana na konda kisa 100 alimzulumu alitakiwa ampe 500 akampa 400

  • @mwangimuhammad-sx9hb
    @mwangimuhammad-sx9hb Рік тому +6

    Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu sheikhuna Mwaipopo. Safi sana.

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 8 місяців тому

    Allah atakulipa cku y kiyama endelea kueneza dini ustadh usikufe moyo

  • @ramadhandawuudalbertmachan6726

    Shekh allah akupeshifa usidi kuwaeleza ukweli ,asalamu aleykum

  • @KhalidiSamata-gv8gq
    @KhalidiSamata-gv8gq Рік тому +1

    Allah Akupe uhai mrefu shekhe wngu n

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 Рік тому

    Ubarikiwe shehi wetu ishallah kwanza hajui kutamka neno la kuru Ani anasema kuruwani mpubavu yéyé lakina asuburi jibu la kuru Ani likimfikia machoni yake ataona.miujiza ya kuru Ani

  • @IdrissaMillanzi
    @IdrissaMillanzi 26 днів тому +1

    Nakupenda sheik wangu apa nataka nikulushie ela kwenye namba Yako sasaivi tupe dawa maana waislam wenye elim wamelala wanakufa na elim bila kututangazia mambo ya kiislam Sasaivi wanaongele mpila

  • @FauziaMohamedi
    @FauziaMohamedi 18 днів тому

    Shekh mwaipopo nakupend kw ajili ya allah

  • @asa121aminahta.nakshfrombu5
    @asa121aminahta.nakshfrombu5 Рік тому +4

    mwenyezimungu akujaliye umri mrefu sheikh wetu😋🙏🙏

  • @AishaBarie
    @AishaBarie 21 день тому

    MashaAllah shekhe uko sawa ALLAH akulinde

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Рік тому +8

    Allah akulipe pepo Sheikh wangu🤲

  • @MsafiriCharange
    @MsafiriCharange Місяць тому

    Mungu akutangulie uko sawa

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 Рік тому +5

    Mwaipopo hongera

  • @bakandehussein6507
    @bakandehussein6507 Рік тому +8

    Umesema kweli sheikh,

  • @HappyKunambi
    @HappyKunambi 21 день тому +1

    Waislam mpokeeni Bwana Yesu maana ndiye Mungu wa kweli na Haki mtayajua mambo ya Rohoni

    • @IssaMbaru-qw6ug
      @IssaMbaru-qw6ug 19 днів тому

      Mungu wakwel kivip acha ujiga unamkubali bina dam kama wewe alika tumbon kwa mama yake mwez 9 nakanyonya kama wew leo unasema ndio mungu uko lofa sana

    • @HappyKunambi
      @HappyKunambi 16 днів тому

      @@IssaMbaru-qw6ug hauwez kuelewa mambo ya rohoni kama upo mwilin mpendwa

  • @MwajumaOmary-l3u
    @MwajumaOmary-l3u Рік тому +1

    Nakupenda sheikh mwaipopo kwaajili ya Allah

  • @HajiMkomwa
    @HajiMkomwa 18 днів тому

    Duu!! Nimecheka sana mungu amekula kichapo

  • @RacheleRamadhan
    @RacheleRamadhan 12 днів тому +1

    Mamoja na yote haya
    Miye namshukuru sana yesu kwakunipa wokovu👏

    • @HamzaAkilimali
      @HamzaAkilimali 12 днів тому +1

      Kasome Biblia kwa makini wewe:- (KINGI JAMES VERS. 1952)SOMA 15:7 MATHAYO na 7:24 MATHAYO

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 Рік тому +1

    Hasbiyallahu waneema lwakiil uyu MJINGA sana

  • @MaliwaMajidi
    @MaliwaMajidi Місяць тому

    Shekh Mwaipopo uko sahihi sana tu

  • @AhmedRawahi-i4q
    @AhmedRawahi-i4q 23 дні тому

    Allah akuzidishie sheikh mwaipopo akupe nguvu zaidi kwa kuinusuru dini na kuwatoa mashimoni waliopotea katika giza nene

  • @jumaramadhan1013
    @jumaramadhan1013 20 днів тому +1

    Nyinyi mnajuwa maana ya jina mtume wa Mungu ,vitabu vyote vya Mungu viliwatabiri kuja kwao,tupeni aya katika biblia ilupo mtabiri huyo unaye mwita mtume wako kuja kwake duniani,nyinyi hamumjuwi Mungu wa kweli

  • @masoudnzowa4608
    @masoudnzowa4608 25 днів тому

    mashallah sheikh mwaipopo

  • @masudimwinyi7301
    @masudimwinyi7301 Рік тому +1

    Sheikh wangu mueleze ukweli uyo mpumbavu qur an hauna Shaka ndani yake Allah anaupenda uislam

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Рік тому +1

    Nakuamini sana shekhe mwaipopo

  • @mkambasalehomar7436
    @mkambasalehomar7436 Рік тому +3

    Shekhe mwache huyo ni muhubiri shoga.

  • @MichaelMaro-hj7yo
    @MichaelMaro-hj7yo 20 днів тому

    Masamehe hajui atendalo

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 Рік тому

    Inshaallah mwenyezi Mungu akupe kheri

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 Рік тому +12

    Huyu mtume Meshach NI mtume wa YESU KRISTO

    • @TALLUBOY
      @TALLUBOY Рік тому +3

      Nitafutie mstari uliyo
      Andikwa kristo ni dini
      Kwenye bibilia zote
      Agano jipya na agano la kale
      Alafu niambie mstari fulan

    • @ernesttomas85
      @ernesttomas85 Рік тому +1

      @@TALLUBOY wewe ndio umesema KRISTO ni dini,lakini maandiko hayasemi unachosema umedanganywa, KRISTO ni Mungu na pia mtoto wa mariam alirithi na kupewa Hilo jina kama alivyopewa jina YESU,na maana ya neno KRISTO ni mpakwa mafuta yaani alikubaliwa aliyepata kibali na MUNGU aliyechaguliwa hii ndio maana ya KRISTO.sasa Basi Mkristo NI nani?, NI mtu anayemuamini KRISTO ambaye ni mtoto wa mariamu sasa anayeamini na kufata mafundisho yake ambalo ni neno la Mungu huyo anaitwa MKRISTO,MWAMINI,WANAFUNZI,THENASHARA WALIOOKAKA, WATAKATIFU,WATEULE.kwenye maandiko kuna maneno ya MUNGU hakuna dini,Dini inaanzishwa na wanadamu lakini maneno ya KRISTO yanaletwa na Mungu mwenyewe

    • @TALLUBOY
      @TALLUBOY Рік тому +1

      Bibilia kitabu cha nani?

    • @TALLUBOY
      @TALLUBOY Рік тому +2

      Aya kama kristo umekili
      Siyo din asiye kuwa na dini
      Ni nani kama siyo kafiri badilia
      Njoo kwenye din ya haki ambayo
      Itasimamishiwa kiama siku yamwisho

    • @ernesttomas85
      @ernesttomas85 Рік тому +2

      @@TALLUBOY umedanganywa, mwapotea Kwa sababu hamjui maandiko wala uweza wake, dini haimpeleki mbinguni mtu, Mungu ameleta Yesu ili kila amwaminiye asipotee(KUZIMU),Bali awe na uzima wa milele,na YESU anasema Mimi ndimi njia ,kweli na uzima mtu haji Kwa Baba ila Kwa mimi.sasa hapo kuna dini hapo,ili umuone Mungu unamuhitaji YESU

  • @juliusmkongwa40
    @juliusmkongwa40 Рік тому +1

    Wokovu ni mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 Рік тому +11

    Yamkuta wapi mbona bado anaendelea kufanya huduma,Acha uongo

    • @criminalminds7723
      @criminalminds7723 Рік тому

      Kufanya huduma sio shida,shida ni ww bado utamfata huyo Nabi chizi ambao kwenye bibilia mafundisho hayaeleweki??si kuna Aya hizo zatolewa kwenye bibilia????si wajiona kama ww ni chizi ndugu,😊😅😊😅😊muhimu hapa ni ww uelewe ukweli uko wapi,,na sio kukomeshana,

    • @mengirashidy-ld3lm
      @mengirashidy-ld3lm Рік тому +1

      Kwa sababu unakula unashiba soma kitabu chenu vizuri uwelewe vizuri

    • @ernesttomas85
      @ernesttomas85 Рік тому +1

      @@mengirashidy-ld3lm kinaeleweka vizur Kwa wale waliomuamini Yesu Kuwa Mwana wa Mungu

    • @helenamasinjisa1217
      @helenamasinjisa1217 Рік тому

      ​@@criminalminds7723 huyo ni chizi sawa ila Mungu mwema wewe mwenye akili timam Mungu akubariki, yote wa yote tunamuachia Mungu ndio mwenye kutoa hukum

  • @hassangasigati3342
    @hassangasigati3342 Рік тому

    Shekh fanya kaz ya ALLA achana na wababaishaji na sku ya mwisho utalipwa ujira wako inshaala

  • @ShabaniMussa-f3k
    @ShabaniMussa-f3k 17 днів тому

    Aa!! Mtu mwenyewe muhuni tu kumbe bangi Iko kichwani.

  • @AishaIssa-ld8lw
    @AishaIssa-ld8lw 21 день тому

    Mungu wa kweli baba Ako.

  • @nancykagera9197
    @nancykagera9197 Рік тому +11

    Mtume meshack Yupo rohoni Sana yaan hapa hata mkusanyike million yeye peke yake anaweza kuwadondosha wote... unajua kwa Nini YESU YUPO UPANDE WAKE.

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed Рік тому

    Maashaallah maashaallah maashaallah tabaraka Rahman SHEKHE WETU ALLAH akuhifadhi popote pale unapokuwa ktk kuufukisha ujumbe wa ALLAH inshaallah ALLAH akupe afya njema n.k inshaallah 🤲❤☝️

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 5 місяців тому

    Allah s.w. azidi kukubariki. ❤❤❤

  • @SophiaShabani-xx3xe
    @SophiaShabani-xx3xe Рік тому

    Shekh mungu akupe pepon ya firadaus

  • @louisejeanne8306
    @louisejeanne8306 Рік тому

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah Asante sana Yesu kwa ukombozi wako juu yangu 😢😢🙇🏽‍♂️🙇🏽‍♂️
    Kwanza unabii wa mtume Muhammad umetokana na kubanwa kwenye pango akiambiwa Muhammad soma , ajibu sijuwi kusoma. Izo hoja zaifu sana mwaipopo, mwenyewe shahidi kuusiana na kibano cha Muhammad kwenye mapango alafu mdai Padri akamwambia mtume Muhammad tayari umepata utume! Iyo haiwezekani abdahni eti nabii abanwe?
    Kuusiana na aibu ya Nuhu 😅duh! Pia iyo ni hoja zaifu, Muhammad mwenyewe kaowa Adija akiwa mtoto iyo sio aibu? Jaribu wewe kwanza kumuowa binti wa miaka 9 kama hutaenda jela, alafu aibu ya pili ya Muhammad kalogwaaaaaaa!!!

    • @chihoma-m4f
      @chihoma-m4f 21 день тому

      ww ndugu bangi zinakuzuru haya

  • @jumachawinga8147
    @jumachawinga8147 Рік тому

    Mashallah Ukitaka kufanikiwa kwenye dini ya MwenyeziMungu unatakiwa kuwa na Subira hutakiwi kuonyesha hasira

  • @helenamasinjisa1217
    @helenamasinjisa1217 Рік тому +3

    Najivunia kuwa mkristo, Bwana Yesu asifiwe

    • @fayeezabdallah2217
      @fayeezabdallah2217 Рік тому

      nakupenda helena Allah akuongz njia ya khr inshaAllah

    • @helenamasinjisa1217
      @helenamasinjisa1217 Рік тому

      @@fayeezabdallah2217 mimi ni mkristo najivunia kumju Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai na njia ya kweli na uzima

  • @ashrafissa778
    @ashrafissa778 Рік тому +3

    Shekha wetu mweipopo Allah akuifanzi inshallah

  • @joanesasalavaleriano9980
    @joanesasalavaleriano9980 Рік тому +1

    Dah mungu tuepushe
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏

  • @batuliwarioba-xd5yo
    @batuliwarioba-xd5yo Рік тому +1

    Ubarikiwe meshaki

  • @quintavitalis926
    @quintavitalis926 Рік тому

    Asante shekhe kwa kumleta huyu mtumishi ili mupokee injili ya Yesu Kristo , mumfuate ili muingie mbinguni

  • @KevineKataka
    @KevineKataka 10 місяців тому

    😢 waisilamu ni kweli nyinyi kweliwa bibilia amuwezi elewa ata bibilia emeshinda wakirsto kutafisirii but remember musema kweli ni yesu mwokozi wetu na muhumba baba yetu wabinguni Kwa ufunuo wa ROHO mutakatifu yesu ana sema wakirsto na waisilamu na watu weginee awataki kuja😢 kwa muhumba baba yetu wabinguni na mwokozi wetu yohana 5:39_

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 7 днів тому

    Imalilah wainalilah rajiun

  • @aishamzeehamissi6859
    @aishamzeehamissi6859 Рік тому

    Asallaàm. Mwaipopo. Na BABU mazingee. Toweni mahadhara.msiache na hata kuwenawengine mashekh toweni mihadharani mizuri

    • @heritier5119
      @heritier5119 Рік тому

      Wote Hawa kiboko Yao Mwalimu Ndacha wa Kenya anayo majibu Yote ya shaka ya maswali Yote kwa waislamu

    • @KhalidHashim-y4n
      @KhalidHashim-y4n 10 днів тому

      ​@@heritier5119yule mbabaifu

    • @KhalidHashim-y4n
      @KhalidHashim-y4n 10 днів тому

      ​@@heritier5119anabishana hadi na wakristo wenzie

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому

    Mwaipopo hoja zako ni nyepesi sana,shida ya nyie waislamu mnamuwekea Mungu mipaka yaani Mungu hafanyi hiki afanyi hii.
    Mnashindwa kuelewa Mungu ni roho na roho uchukua mwili.Kashindana na Mungu akiwa Kama mwanadamu.

  • @edshud
    @edshud Рік тому +14

    Awww.... Bwana Mwaipopo nakukubali kusema ukweli...kama waislam wangekuwa wa kweli uislam ungekua mbali Sana...

    • @mohamedhozi8110
      @mohamedhozi8110 Рік тому +1

      Ukifa ndio utaenda kutambua kwamba uislamu kumbe ndio ilikuwa ni dini ya mungu maana yesu alikuwa muislamu ssa wwe kufa na dini iitwayo ukristo ukaingie motoni

    • @saidathumani7543
      @saidathumani7543 Рік тому +1

      Uislqm umeharibiwa ili uonekqni hivisasq kama wewe unavyo sema hii nimipqngo ya mayqhud wanaotawqla dunia

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому +2

      @@mohamedhozi8110. Kasema km waisilam wangekua wakweli na hakusema km uisilam ungekua kweli.

    • @mwanashaali1109
      @mwanashaali1109 Рік тому

      Hadiii Munguu Amemuona

    • @haruniaisha5905
      @haruniaisha5905 Рік тому

      @@mohamedhozi8110 acha ujinga na akiri zako za kukalilishwa mashairi

  • @RamadhaniSalimu-r4q
    @RamadhaniSalimu-r4q 21 день тому

    MTUME MUHAMMADI SWA AMESOMESHWA DINI NA MALAIKA JIBRIL MIAKA 23

  • @HassaniHalidi-i1y
    @HassaniHalidi-i1y 19 днів тому

    Waislamu wa sampuli hii wanatakiwa kuwepo kwenyeu uislamu

  • @angelalexalex4386
    @angelalexalex4386 Рік тому

    Jmn yesu krìsto ni njia ya kweli na uzma,,mungu awàsaidie,,Queen sio kitabu cha mungu

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 Рік тому +1

      Huoni iabu kupita hapa wewe pinga kwa hoja au tujibu yessu ndio dini Nani si mnasema yessu ni Mungu Sasa mungu Tena njia ya kwenda kwa Mungu gani Tena

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      WEWE DINI YENU INARUHUSU KUSAGWA NA MWANAMKE MWENZAKO VP USHAMPATA BASHA WA KIKE?? FURSA HIYO 😂😂😂😂

    • @alwaladinswalihualwaladins4724
      @alwaladinswalihualwaladins4724 Рік тому

      Soma bibilia Yesu hakutumwa kwako usipotee soma utoe ujinga.Wakristo shule mnasoma lakini dini hamtaki kusoma munaaminishwa mijambo haipo mutakuja kujuta siku ya mwisho ,hamuna Mungu wala nabii wala kitabu nahiyo biblia si yenu wazungu wamewapoteza sana

    • @alwaladinswalihualwaladins4724
      @alwaladinswalihualwaladins4724 Рік тому

      Yesu hajatuma kwako soma biblia kwanza uelimike japokua i kitabu chako wakristo poleni sana Hamumjui Mungu wala nabii wala kitabu niwazungu wamewaletea biblia kila karne wanatoa hili wakiongeza lile.

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 Рік тому

    Injili ya yesu kristo Haimuhukumu mtu Imani yake,isipokuwa inamfundisha mtu Toba kunyenyekea mbele za Mungu, na kuacha uovu,injili ya yesu kristo,inaupendo na wenye thambi,ili. Wapate kuokolewa,

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 Рік тому

    kana njaa hauone sura yake ilivyokauka yani face yake haina hata nulu njaa mpaka kanatukana viongozi wengine wa kikirisu nakujiona kenyewe kako poa sana😂 ila kama ulivyosema kiongozi wangu hawa mbwa ukiwakalia kimya Inamaana umekubaliana nao alafu ndio wanazidi Allah akuhifazi sheikh wangu Mwaipopo usichoke kuwa fundisha huwenda wakapatikana wamchao MUNGU katika vizazi vyao

  • @FrankKabuka
    @FrankKabuka 22 дні тому

    Kweli wahislam wanahangaika sana kazi yao kuponda tu na kufuatilia waklisto,endelehen kumwabudu muhamand na ss yesu kristo

  • @ramadhansizya9461
    @ramadhansizya9461 Рік тому +1

    Pambana shekh hii ndio dini. Mwenyezi mungu atakulipa usijali unayo yaona kwani ndivyo ilivyo. Shekh njaa ndio inatualibu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      MUNGU ANAKULA AU KWENDA HAJA KUBWA NA NDOGO?? MUNGU ANAENDA SOKONI?? MUNGU KATAHIRIWA NA BINDAMU ALIO WAUMBA??? MUNGU KAPIGILIWA MISUMARI NA BINADAMU MUNGU GANI DHAIFU HUYO???

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 Рік тому

    Ni kweli isiyopingika acha kupeleka watu kuzimu mwaipopo achia watu waokoke.... Huyo unayemtusi unamjua ww! Ametolewa bali na BW.YESU

  • @TatuRashid-d6t
    @TatuRashid-d6t 11 місяців тому

    Ukweli wako utaikuta skhera shekh,Kwan tutaonezhwa kama video zilivyo Sasa,Allahumma Aamin

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Рік тому +2

    Kule kwayesu wanafata pesa lkn dini yahaki niyakisilamutu

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 Рік тому +1

      Haki ya kuwa waganga na wakorofi wambea wagomvi

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому

      ​@irene kaluse WAGANGA UKOROFI MAJINI KUFUFUA WALIOKUFA USHOGA NA USAGAJI UPO KANISANI.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      ​@@irenekaluse3213 TAFUTA BASHA WA KIKE AKUSAGE UKRISTO UNAKURUHUSU 😂😂😂😂😂 FURSA HIYO.

  • @MathayoPaulo-jg5lg
    @MathayoPaulo-jg5lg 22 дні тому

    Shehe hugo mjings amess angelikana anajita mlokole

  • @TatuTatu-f1v
    @TatuTatu-f1v 7 днів тому

    Kafikiria mungu bibi yake

  • @thekingdragon8358
    @thekingdragon8358 Місяць тому

    safi ustadh

  • @lucywilson5875
    @lucywilson5875 Рік тому +5

    Huyu Mtume Meshack ni Mtume wa MUNGU wa kweli, asipuuzwe bali asikilizwe!!!!!!!!! Mwenye masikio na asikie

    • @chiefmkalikibz1503
      @chiefmkalikibz1503 Рік тому +1

      Ndio Maana Mukapelekwa SHAKAHOLA..
      SI BURE

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      HUYO MTUME MESHACK KATOKEA WAPI KIMBIJI??? AU TUWA NGOMA 😂😂😂😂

  • @HamisWawila
    @HamisWawila 18 днів тому

    Njukubari sana mwaipopo

  • @Yusufu_bin_Ahmad
    @Yusufu_bin_Ahmad Рік тому +3

    Good

  • @ramosfally2318
    @ramosfally2318 Рік тому +1

    Manshallah

  • @musachongowe1695
    @musachongowe1695 22 дні тому

    Hunalolote shekh mnafiki

  • @TatuTatu-o9v
    @TatuTatu-o9v 6 місяців тому

    Innalillah. Walnnalillah. Rajiun

  • @UstadhiRai
    @UstadhiRai 2 місяці тому

    LaaRaibafii 🎉❤❤

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 Рік тому

    Huyo mchungaji mwenyewe hajaisoma vizuri biblia. bila Shaka angeisoma angeona jinsi Mwenyezi Mungu anavyoweka maagano na Ibrahim kuhusu Ishmael.

  • @LAURENTCHEREHANI-mm4bd
    @LAURENTCHEREHANI-mm4bd Рік тому +1

    YESU anarudi kuchukua waliomwamini na kubatizwa ole wao ambao hawajamwamini na kumkri kuwa ni BWANA na mwokozi wa maisha yao!!!