Waislam, Bakwata na Mfumokristo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 70

  • @lodilofa9485
    @lodilofa9485 9 років тому +2

    Mzee Mohamed Said Nakukubali sana kwa Hekma zako na Darsa zako.
    MUNGU Akuongeze Nguvu na Afya.
    Amiin

  • @muharamkigogo2955
    @muharamkigogo2955 5 років тому +1

    Inshaallah allah akupe kila la kheri na hii ndio radio ya kislam inayo takiwa kwenye mtandao kwa diaba yetu wachangiaji

  • @HabibaHabiba-mi1ez
    @HabibaHabiba-mi1ez 7 років тому +2

    Nashukur kwa histori nzuri yenye mafunzo Allah akuzidisie kila la kheri Allah akulipe janaat firidaus Amiin

  • @chriskatoto2322
    @chriskatoto2322 3 роки тому

    Sheikh Muhamed Said: shukran kwa kutuelemisha. Tumedanganywa mengi mda mrefu. Nyerere katuminya sana

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 роки тому +1

    Kweli Allah anawalaani Bakwata tunawadharau na tumewajua Alhamdulilah.

  • @saidakarim1043
    @saidakarim1043 7 років тому +2

    Allah akulinde sheikh wetu

  • @talhiyahafidhi9484
    @talhiyahafidhi9484 8 років тому +3

    inshaallah Allah akupe hekma

  • @amirithabit5802
    @amirithabit5802 9 років тому +1

    Mungu akupe maisha marefu

  • @mwanamisipofu3212
    @mwanamisipofu3212 7 років тому

    Mwenyezimungu akulinde mahadui inshaAllah

  • @Noahhersi
    @Noahhersi 7 років тому +10

    bakwata maana yake ni baraza la kuumaliza waislam tanzania

    • @ibrahimgwasma1223
      @ibrahimgwasma1223 7 годин тому

      Ndo tafsiri yake kwa faida ya wale ambao hawajui?

  • @allykindendenga4717
    @allykindendenga4717 7 років тому

    kweli sisi tumepotea sana allah atufanyie wepesi

  • @kassimtanzania5901
    @kassimtanzania5901 9 років тому

    Mashallah

  • @AbdallahAbedy-yk9ft
    @AbdallahAbedy-yk9ft 6 місяців тому

    Ukweli haujifichi tumechoka namifumo kirsto inayotumika nabakwata

  • @chriskatoto2322
    @chriskatoto2322 3 роки тому

    Assalaam alaykoum wa rahmatullahi wa barakatuhu. Idadi ya Waislam ni ipi Tanzania ?
    Ahsante

  • @AbdallahAbedy-yk9ft
    @AbdallahAbedy-yk9ft 6 місяців тому

    Kamabakwata nidini alioileta Allah ifuateni ilasikupunzi inakata ndipo hakiitajulikana ikowapi japo ukwelihaupingiki

  • @lgffumbuka183
    @lgffumbuka183 3 роки тому +1

    He is great a bit biased but scholarly. Watu wake ni manyema na waislamu wa Kariakoo

  • @alisalimo2861
    @alisalimo2861 Рік тому

    Huyo lanatullwal aliyekua akijafanya hatokufa yuko wapi mungu mkubwa zulma aliotufanyia molla atakulipa na kichapo akipata huko

  • @dullybang7246
    @dullybang7246 3 роки тому

    Huyu sheikh si walimtupia Bomu nyumbani kwake da mungu amuweke..ila bakwata hamna kitu..

  • @khalilyjuma4325
    @khalilyjuma4325 3 роки тому

    Ni khatar

  • @saidmaulid7668
    @saidmaulid7668 4 роки тому +1

    Tatizo waislamu hatuna umoja tunapenda dunia kuliko ahera laiti tungekuwa wamoja makafiri wangetulia tu

  • @hamidubakary
    @hamidubakary Рік тому

    k h bakwata inalindwa kuhakikisha waislam wasifulukute to 12255

  • @issasuleiman9198
    @issasuleiman9198 7 років тому +3

    Faustin Luambano ww unajua nini nyinyi kazi yenu nikupiga makelele tu makanisani nakudanganywa na wachungaji Huyo yesu wenyewe hamumjui yeye nimuisilamu safi nailikua hatoki misikitini huko Yerusalem hakuna hata aya moja inayo thubutu kusema kua yesu aliingia kanisani

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 Рік тому

    Waislam na Bakwata yetu tunashindwa kuwatumia wafadhili matajiri Wa mafuta waislam wenzetu kujijengea Mahospitali ya rufaa vyuo vikuu mashule bora yanayopasisha na vitega uchumi kama vile hatuna wasomi

    • @yassinhamza1969
      @yassinhamza1969 5 місяців тому

      Huyo tajir akitoa hizo pesa atafilisiwa kwa kodi

  • @salumshomary7360
    @salumshomary7360 4 роки тому

    Tumewasafishia njia wenzetu wanateleza tu

  • @faustinluambano9942
    @faustinluambano9942 7 років тому +1

    Hii siyo sahihi anamsemea nani huyu mchochezi mbona hakamatwi? Polisi mko wapi? Hivi mtu hawezi kuwa muislamu Hadi Uwe punguani unayehisi ukristo ndiyo adui. Unakuwa muislamu ili ushindane na wakristo au umuabudu mola wako?.

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 6 годин тому

    Umesema TANU ilikuwa ya Waislamu Je Dini zingine hazikuepo kabisa wkt huo?
    Na kusema 76% ya wabunge ni Wakristo wa katoliki je wanapataje huo ubunge wanachaguliwa na wakatoliki?

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b 14 годин тому

    HK Nijuwavyo Mimi Bakwata Ni Tawi la CCM 155 22 Ni Adam Toka Ubelgiji

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b 15 годин тому

    HK 155 Nijuwavyo Mimi Bakwata Ni Tawi la CCM Kwamaana Hivyo Serekali Ina Dini

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 5 місяців тому

    Bakwata sijawahi waona kwenye shida za waislamu bali kwenye makongamano ya ccm

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b 15 годин тому

    Kh 155

  • @shariffburuhani2690
    @shariffburuhani2690 9 років тому +2

    Allah akulipe kwa historia nzuri ba sahihi, je redio zetu kama sauti ya Quruani mbona hamwiti?

  • @abeidsaid4928
    @abeidsaid4928 8 років тому +5

    Asante shekh Mohamed said kwa kutueleza historia yetu tumejielewa sasa

  • @yusufige7030
    @yusufige7030 2 роки тому

    Maashaala Mohamed said tuliabiwa na sheikh wetu Mohammed Ahmed mcomoro maneno haya nilikuwa mdogo lakini nakumbuka Allah akufariji sheikh

  • @amaniabasi1818
    @amaniabasi1818 8 років тому +2

    shekh nakutakia maisha malefu na afya njema ktk darsa zako

  • @issasuleiman9198
    @issasuleiman9198 7 років тому +3

    Sheikh Muhammed Said umeongea ukweli mtupu Nyere alikua nimtu m'baya sana kwa waislamu nampaka leo mzimu wake unatutafuna

  • @allahuakbar6943
    @allahuakbar6943 7 років тому +1

    tuuungane tuswali tumshtakie allah kuhusu bakwata naserikali inavyotufanya tuombe nadua yaumoja

  • @msakuzikondo536
    @msakuzikondo536 2 роки тому

    Uhuru wa Watanganyika umepiganiwa na makabila pamoja na dini zote.Hakuna njema dhidi ya Waislamu.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 роки тому

    Kila ninapo sikia habari za Bakwata huwa naumia. Najikuta nabeba dhambi kwa kumchukia Nyerere na wengine wote hususani viongozi wa kiislam wa Bakwata.

  • @ambrosiamlinga8402
    @ambrosiamlinga8402 4 роки тому

    Nimemsikiliza kwa makini huyu shehe yeye analia kwa kusema watoto wa kiislam wanaonewa kwenye elimu na anasisitiza sana mambo ya shule hivi kwenye uislam elimu ni haramu? Mnaita elimu dunia, si watoto wa kiislam wanatakiwa wasome Quran tuu
    Hembu nielimisheni kwa hilo

  • @AbdulRahman-wx6iv
    @AbdulRahman-wx6iv 5 років тому

    Umeingea ukweli sheikh naenda viongozi wote wa kikatoliki watembelee Rome wajionee wenyewe wanavoabudu masanamu ya yesu na Maria.watembee ulaya wajionee wenyewe ..

  • @AbdulRahman-wx6iv
    @AbdulRahman-wx6iv 5 років тому

    Kuhusu bakwata Kuna kitu kiko ulimwengu mzima ,SS hv tunaongozwa na ulimwengu wa Freemason na Illuminati.....

  • @issasuleiman9198
    @issasuleiman9198 7 років тому +1

    Nyinyi wakiristo hamuipendi haki

  • @ahmedadan4720
    @ahmedadan4720 5 років тому

    Mm huwa namkubali sana shekhe mohamed said hajuwa mambo mengie sana najuwa waislam wa bakwata hawa mkubalie Mohamed said lkn hiko siku mmoja watakuja kumjuwa

  • @goodluckmhagama4236
    @goodluckmhagama4236 3 роки тому

    Tunaona viongoz was dini wanavyo shindana kujibizana kwenyemitandao

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 7 років тому

    Ipo siku yote haya yatakwisha tuzidisheni duaa na kufanya ibada kwa wingi

  • @kaishazabengesi2971
    @kaishazabengesi2971 5 років тому +2

    I love this great man for what he is and what he stands for. May HE WHO HE IS enlighten him to see what he as mortal cannot see.

  • @xinyingmiao4996
    @xinyingmiao4996 3 роки тому

    Mi ninge kua rais we mzee ninge kusweka ndani mana unaleta udini hufai ww

    • @yassinhamza1969
      @yassinhamza1969 5 місяців тому

      Ukweli umekuuma

    • @AbubakariMussa
      @AbubakariMussa 21 день тому

      Mpumbavu HUYO. Dhulma zote hizo zinazoelezwa Bado unaona Giza tu. SUBUHANA LLAH .

  • @abdullkilawi5504
    @abdullkilawi5504 8 років тому +1

    Shukrani kwa ujumbe

  • @mwanahistoriamohamedsaid4388
    @mwanahistoriamohamedsaid4388  10 років тому +1

    • @Noahhersi
      @Noahhersi 7 років тому +1

      Mwanahistoria MohamedSaid manshalah

  • @akwiliniswai5203
    @akwiliniswai5203 5 років тому

    Yaliyopita sindwele shehe tugange yajayo kamwe mfumo mzima wa dunia ulivyo hauwezi kumridhisha kila mtu hata tungekuwa watoto wa familia moja tusingeweza kulia sahan moja kila siku mfano mzuri ni watoto wa adam wao kwa wao tu walishindwa kuelewana naikumbukwe kwamba kuran imesema watu wakaribu sana na uislam ni manasara je mkigombana nao mtawageukia mayahudi na washirikina ?
    meza ya duara yatosha

  • @jacquelinemabula2519
    @jacquelinemabula2519 7 років тому

    kuna mashekhe wapumbavu sijawahi ona duniani