Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

NIPELEKEN KWA QASIM MAFUTA NIPO TAYAR KITABU KWA KITABU NUKTA KWA NUKTA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 гру 2023

КОМЕНТАРІ • 182

  • @fadhilimussa5067
    @fadhilimussa5067 7 місяців тому +4

    Jazakallah khairaaa shekh. Ila nakushauri ukaongeee na mashekh wenzio ili msuluhishane kwa hakki kama unavyo sema ..naona kbsa huna kinyongo ..kulikonkuongeleaa mtandaoni hivi.. inaleta picha tofauti.

  • @masawangandomondo185
    @masawangandomondo185 6 місяців тому +1

    Assalamu alaykum
    Ndugu zangu Tumcheni ALLAH WAPENDWA HII DUNIA Tunapita

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 7 місяців тому +11

    Pia maneno ya Shekh Abuu Mu'aawiya kwenye muhadhara wake wamwanzo, tukiyaangalia mengi yanayo tokea kwenye swafu ya masalafi ni kutokana na makosa walio yafanya walimu ktk kuwalea wanafunzi wao, na kukosa maarifa, elimu kua ndogo, na kukosa akhlaaq, na kuto kujua vigawanyo vya ikhtilaaf ili tuamiliane na mtu kwa kiwango cha ikhtilafu yake nasisi.
    Kwa kuto kueleweka haya ndio matatizo mengi yaka jitokeza, nahuu ndio ukweli ulivyo.
    Pia hatuko sirias kwenye Da'wah, Taqwa ya Allaah nindogo mnoooo, nahii ni katika vichochezi vya vurugu tunalo liona.
    Na hili sio kwa masalafi hawa wadogo tu, bali hata baadhi ya Maulamaa ukiwasikiliza kwa mazingatio utaona wazi Taqwa ni ndogo sana na inswaaf pale wanapo wazungumza Maulamaa wa Kisalafi mfano wao.
    Kwaio ndugu zangu, walio kosea ndio washa kosea tuangalieni maslahi ya Da'wah kwanza, kuliko malsahi yetu binafsi, na tuacheni hasad ama roho mbaya kwa masalafi na wana Sunnah wenzetu.
    Pia tuacheni ushamba ktk uwanja huu wa Elimu, bali nivyema na nafasi bado ipo, tukae kitako kwa Maulamaa tusome Dini, na Wanafunzi waliokwisha pata faida kutoka kwa Maulamaa walio makinika ktk Elimu na Akhlaaq na Taqwa.

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 7 місяців тому

      ALLAH akuhifadh Akhuy

    • @adamh1751
      @adamh1751 7 місяців тому +1

      Akhalaaq ni huyu abu mawiyah ndio hana kaleta vurugo katika dawah na kukejeli masheikh wa kisalafi! Na wallahi sheikh hao hawana kitu cha kibinasfi tumeka nao tumewachungza kwa kila hali na Alhamdulillah Allah kweli kawapa qubul katika dawah yao...

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 Місяць тому

      Utakwenda kusimamishwa na shekh abuu mu3wiya hasani awadh ALLAH amraham shekh wetu kwa kumdhurum nyie alisema kama shekh Abul fadhwil Qasimu bin mafuta. Yupo tayari nukta kwa nukta kitab kwa,kitab . Au waende kwa shekh rabii . Mbona mafuta amekaa. Kimya mpaka ALLAH amemchukua. Shekh abuu mu3wiya hasani ibnu awadh ALLAH amraham. Kwakweli Allah amuongoze mafuta aaache. Chukiiiii???​@@adamh1751

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO Місяць тому

      Punguza mihemko soma uzuri apo juu na ongea kwa insafu ​@@adamh1751

    • @yahyarashid8038
      @yahyarashid8038 9 днів тому

      Ukiwa unayo yasema ni kweli bas umefaulu na kama sio kweli ujuwe utaenda kujibu siku ya kiama
      Wallahu aghalamu

  • @user-el3fh4dw5e
    @user-el3fh4dw5e 7 місяців тому +2

    Qassim mafuta Hana elimu katika vijana na haswa katika maduuati wa sunna hayumo ni jasusi na kibaraka ma watawala

  • @user-dn3jh6oz8s
    @user-dn3jh6oz8s Місяць тому

    Kipimo cha elimu ni nini mpaka useme qassimi ana elimu kuliko MAWAHABI WOTE Tanzania

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 7 місяців тому +2

    KUWENI KWAMBA CHUKI ZENU!!
    KUWATAJA WANAFUNZI WA SHEIKH MUQBIL BIN WAAD ALWAADIGH
    BILA KUMTAJA KHALIFA WAKE !!SHEIKHANA YAHYA BIN ALLY ALHAJUURY ALLAH AKUHIFADHWI!!

  • @abuahlaam
    @abuahlaam Місяць тому

    Sijaskia aya wala qauli za wanachuoni kwanzia mwanzo mpaka mwisho ni story tu kuwataja watu na kujikwexa na kuwatia lasoro qenyine
    lakin yambiwa ni muhadhara wa kielim !!!!?

    • @yahyarashid8038
      @yahyarashid8038 9 днів тому

      Una chuki naye t wewe ila Allah atakupa haki yako usipojirekibisha wallahu aghalamu

  • @abudardaiasaa7700
    @abudardaiasaa7700 7 місяців тому +1

    Masheikh wa kisunnah wallah muna turudisha nyuma hamujui kuwa muna babaisha wanafunz nyinyi wategemewa musikae... Wallah mtihan mkubwa sana heeh allah awaongoze na cc kwa ujumla

    • @abdallahjuma4397
      @abdallahjuma4397 7 місяців тому +2

      Soma. Soma wewe unanababaishwa sababu ya kutokusoma

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 7 місяців тому +1

    Kwani sheikh ulikua wap Tangu kipindi sheikh Qasim mafuta anazungumza, leo sheikh kanyamaza wew ndio wajitokeza?

  • @user-iu3me2sm2h
    @user-iu3me2sm2h 7 місяців тому +3

    Kwa mitarafu iyo ndio mana ukatengneza wanafunzi wasio na chembe ya tawaadhui Akina bachu hta kma alingania Sunna ila ajikweza sana akiaza minaqasha hajiegemezi kwa Allah hana tahmidi Wala tahlili.Twakupnda ila na sheikh qasim twampenda zaidi.

  • @abubakarilugina-zw4gt
    @abubakarilugina-zw4gt 7 місяців тому

    Allah Awaongoze katika manhaj sahihi Enyi kikundi Cha Fitna

  • @WahabuKombo
    @WahabuKombo Місяць тому

    Inakuwaje mnashidwa kuunganisha nyoyo za wanafuzi wenu?

  • @muadhihassan4486
    @muadhihassan4486 7 місяців тому +4

    Baada ya kusikiliza muhadhara wako mpaka mwisho ,nimeelewa allah akubaarik na akuzidishie elmu na kuomba nipate namba yako shkh nije nijifunze kutoka kwako

  • @mussakatoro8079
    @mussakatoro8079 7 місяців тому +3

    MAWAHABI WOTE NI WAJUKUU WA IBILISI, wazee wa rushwa na ugaidi

    • @kisomekiguwa3706
      @kisomekiguwa3706 Місяць тому

      Achana na ushabiki na mihemko isiyofaa ktk dini

  • @Mursalhasan-ye8ff
    @Mursalhasan-ye8ff 7 місяців тому +1

    Shukran Sana abuu muawiyh,Mimi sikubaliani na masalafi Wa sikuhizi Ila Kwa mazungumzo hayo umenivutia,hapo nitaendelea kustafidi kutoka kwako pia nitakutembela au nitakwalika unitembelee

  • @Abutwaibah001
    @Abutwaibah001 7 місяців тому +3

    KWANI KWENDA SHEIKH RABBIA NDIO UME KWENDA MTUME S.A.W . HEBU KUENI NA IKHLAAS NA DINI YA ALLAH ENYI MADHAKHILA.

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO Місяць тому

      Kwani lazima mkoment? Jambo liloongelewa apo na comment yako inakwepana. Hebu tulia kijana usichangie

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO Місяць тому

      Muogope mungu wako

  • @ABUUDARDAAI
    @ABUUDARDAAI 7 місяців тому +1

    juhudi zako tunaziona shekh bainisha haqi wapo tunao fahaamu

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO Місяць тому +1

      Assalam alaykum. Unakijua unachokizungumza lakini au unaongea ongea tuu?

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO Місяць тому +1

      Usiwe unaongea ongea tuu bila ya ushahidi

  • @user-dn3jh6oz8s
    @user-dn3jh6oz8s Місяць тому

    MUJASSIMA KUFRU YENU IMEPITA MPAKA KUMFANYA ALLAH ANA MWILI KWA HILI HAIFAI KUSALI NYUMA YENU HUO NI UKAFIRI WA WAZI

  • @RamadhaniMuhidini-nn2kg
    @RamadhaniMuhidini-nn2kg 7 місяців тому +1

    Jamaa anajitutumua,, Allah akuongoze

  • @muadhihassan4486
    @muadhihassan4486 7 місяців тому +3

    😢😢😢😢😢😢 shkh machozi yananitoka naomba msaada wako nipate fursa yakusoma shkh..mwanzo nimesikiliza hadi sasa nimeshuhudia kifua chako kimekunjuka kwa ndugu zako hata kama wao wapo kinyume nawe

    • @yahyarashid8038
      @yahyarashid8038 9 днів тому

      Na ndivo alivo wamemdhulumu ila Allah atabaguwa hata kama ni kiama wallahu aghalamu

  • @muhammadbamba9445
    @muhammadbamba9445 7 місяців тому +3

    Huyu Maftuun hawezi kufaulu Mpaka atubie

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 7 місяців тому +3

    Abuu mu3wiya hassan awadh ALLAH amuhifadh nampenda kwa ajiri ya ALLAH na mafundisho yake yakunaswihiana haongei kwa matamanio ila yuwatumia elimu

    • @adamh1751
      @adamh1751 7 місяців тому +1

      Anaongea kwa matamanio mbona ana kejeli ma sheikh wa sunnah!

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq Місяць тому

      ​@@adamh1751anaekejel ni mafuta talaf wa pongwe

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq Місяць тому

      ​@@adamh1751anaongea kwa matamanio ni hizbu qassimu bin oil

  • @abubakarally3413
    @abubakarally3413 7 місяців тому +2

    Ikiwa masheikh wasunna wanaashiria kutokua waadirifu je tutegemee nini Enyi walimu wa kisalafi tambueni kwamba sisi wanafunzi tunajua mchele na pumba ila tumekaa kimya tunawaheshimu acheni chuki binafsi na tambueni Allah ndio mkubwa kuliko chochote

    • @shabaniissa3464
      @shabaniissa3464 7 місяців тому

      Hakuna mashaikh wa kisunna hapa acha kutuongopea bana

    • @abudardaiasaa7700
      @abudardaiasaa7700 7 місяців тому

      Sasa huu Ni mtihani jamn

    • @user-lo1uk8dp5f
      @user-lo1uk8dp5f 7 місяців тому

      Vunjana wenyewe mawahabi sisi tuko kimya twaaangali namna mnavoumana

    • @RamadhaniMuhidini-nn2kg
      @RamadhaniMuhidini-nn2kg 7 місяців тому

      acha dhana, watu wamejitoa kwa ajiri ya dini. Sio waadilfu kivp?!

  • @user-dn3jh6oz8s
    @user-dn3jh6oz8s 7 місяців тому

    Elimu haipimwi Kama maleria kuwa unayo au huna Wala si uhodari Wa kusema
    Kuna mashekhe wakubwa lakini wapo kimya KAZI Yao kusomeaha tu
    Shk MUHARAM JUMA DOGA
    SHK ABDALLAH BAWAZIR
    n'a wengi lakini husikii kukosoa Watu wala kukashifu wanakuja IKHTILAAF ZIPO

  • @user-bp6fb6wo5u
    @user-bp6fb6wo5u 7 місяців тому

    Kwa hiyo tumkubali Mohammad Imam kuwa mashia na sisi dini yetu ni moja na ni ndugu zetu sio???!!! Haya utakaa wewe huko kwa mashia na mashekhe zenu, maana ukitetea mbona mashekhe wengi hawakuwakubali mashia hata hajawira pia wamewakataa!!! Mumekaa nyinyi mashia golo!!!

  • @user-lr2wd3zs1k
    @user-lr2wd3zs1k 7 місяців тому

    Hv kwan nyiny mawahad naona nyinyi kwa nyinyi munakilana

  • @user-lr2wd3zs1k
    @user-lr2wd3zs1k 7 місяців тому

    Mm nahs nyinyi mawahad itakuwa kuna ktu kat yenu kwasababu naona nyinyi kwa nyinyi hamupatan itakuwa sio bure nyinyi kuna ktu kinaendelea watu hawajui tu

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 3 місяці тому

    Tatizo mmekuja na manhaji mpya hamtopatana mpk mrudi katika hakki na usalafi wa kweli, walofundisha wema walotangulia saivi chuki zimetawala ninyi kwa ninyi, kuliko hata mnavyowachukia masufi, ninyi kwa ninyi utoana katika njia ya sunna,hivyo kwenda hivyo so mwendo sahihi wa mtume,masalafi walipendana japo walihitilafiana maswala madogo lakini waliswali pamoja wala hawakutoana katika duara la sunna ndo mwendo sahihi wa maswahaba walivyoishi, sasa ninyi kwa ninyi mnatuhumiana na kuwashambulia kundi fulani kuwa so masalafi mmejiona salafi ndo ninyi peke yenu, arafu mnawashambulia badhi ya wanazuoni na kuwatia majina mbali mbali hizbi,mubtadii hali ya kuwa mtu yupo katika sunna tofauti labda masuala ya kiamalia, mimi naona laiti watu wa sunna mngeuungana mkawa kitu kimoja wallahi dunia ingesalimika na bidaa na batwili mfano watu wa bidaa ni wengi makundi potovu ilitakiwa, ndo muyalinganie katika hakki, lakini husda ninyi kwa ninyi mfano leo mmewaona mpk answari mmewatoa katika sunna nakati manhajji yenu na yao inalingana tuu, tofauti ndogo ndo ziwafanye mmewatoa wenzenu kwenye sunna ,wakati nyote tawheed ni moja tofauti hawa kutoa video photo ninyi audio ni masuala ya jitihadi za wanazuoni tuu,na ihtilafu ndo muwatoe wenzenu kwenye sunna yani wote dawa yenu kupiga vita shirki na ibadati lkubul kwa ahlu bidaa lakini sasa mngekuwa kitu kimoja wanasunna wote bila kubughudhiana wenyew kwa wenyewe wallahy mngevunja ushirikina na wengi wangerudi katika sunna

  • @naimaabdallah4002
    @naimaabdallah4002 7 місяців тому +2

    Wamekua samaki walana waokwa wao

  • @NMJAsaid
    @NMJAsaid 4 місяці тому

    Mashekhe wetu wa sunna muna nini?

  • @salehaljadidi8206
    @salehaljadidi8206 5 місяців тому

    Usibishane na mpumbavu anayejiita Kassim Mafuta ya nguruwe utapoteza muda wako, huyu anawachukia waarabu hasa wayemen na wapalestina. Hana heri mkongomani huyo. Kazi yake kuchukua pesa za mawahabi wa Saudia tu.

  • @abubakarilugina-zw4gt
    @abubakarilugina-zw4gt 7 місяців тому

    Ninyi mahajaawira itikadi zenu ni kama za mashia , Kwa kumtuhumu swahaba mtukufu kuzua bidaa

  • @salehaljadidi8206
    @salehaljadidi8206 5 місяців тому

    Mwambieni huyo Kassim Mafuta ya nguruwe asiingilie kuzungumzia Yemen haimuhusu. Yemen sio Africa, mambo ya waarabu awaachie waarabu kwanza yeye sio mwarabu. asijiingize kwenye ugomvi usiomhusu. Alitaka aende Kongo kwao akawapatanishe ndugu zake.

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO Місяць тому

      Unaongea kimihemko sana uyo Ni sheikh Kassim mafuta na sheikh abuu muawiya wote ni masheikh ao lako jicho apo usijitie kimbelembele

    • @salehaljadidi8206
      @salehaljadidi8206 Місяць тому

      @@MALELEMBARIMO Sheikh wa Al Qaida na ISIS wauaji wakubwa.

  • @user-cy1od5xr8x
    @user-cy1od5xr8x 7 місяців тому

    Nyinyi hamuangalii mambo vizuri lakn ukifuatilia utakuta SALAFI wote hawako katka Haki ni masilahi tu kama anaswali au mazungumzo yoyote nipo tayari na nitakutajia uislam sahihi ni upi Kwa ushahidi

  • @athaum05
    @athaum05 7 місяців тому

    Hivi nyinyi maharibiko ya jamii yote hamyaoni?
    Kwa nini mnakuwa na macho mapungufu ya Waislamu tu lakini dhambi zinazoharibu jamii hamzioni!?
    Au ndio ile
    زين لكم الشيطان أعمالكم؟
    ULEVI, KAMARI, RIBA, UZINIFU, WIZI, RUSHWA nakadhalika hizi zote hamzioni?

    • @adukturhamisi5473
      @adukturhamisi5473 5 місяців тому

      Wewe unaziona kaka. Pia ni jukumu lako kuwakataza unaowaona katika machafu. Usisubiri sheikh. Baarakallaahu fiika

  • @meksd2418
    @meksd2418 7 місяців тому

    Haaya hizoo ndo fitnaa zakisalafii na mawahabii kumbe wenyewe kwawenyewee vurugu tupu sasa tumfatee nanii nyinyii masalafii

  • @khamisali5978
    @khamisali5978 7 місяців тому +1

    Watu wana mambo yao.

  • @mkubwamasoud2776
    @mkubwamasoud2776 7 місяців тому

    Wacha sifa za kujigamba mwenye elimu hajisifii bali anasifiwa daaah madaraka yanakupeleka mbio Allah akuongoze na vile vile acha uongo kuna mambo mengi unazungumza ya uongi

  • @user-wf8tp8vw4h
    @user-wf8tp8vw4h 7 місяців тому

    mwaga taalum sheikh hassan awadh .chama cha salafy tanzania wababaishaj tu

    • @user-wf8tp8vw4h
      @user-wf8tp8vw4h 7 місяців тому

      Chama cha salafiy tanzania wagombe ubunge na uakilish tu kama chadema maana usalaf c kujiita n manhajj na itikadi tu wao wameanzisha chama adam khamis kavurunda kur an ktk khutba hawajamradi mpaka leo c waadilifu

  • @fikratulmuhibbonlinetvismail
    @fikratulmuhibbonlinetvismail 7 місяців тому

    Ukiwatikana walimu wa watu wanafunzi wako watakutukana tuuu sasa tujitathmini

    • @KaitaKatema
      @KaitaKatema 7 місяців тому

      Hiyo nikanuni na bado tutayasikia na kuyaona mengi mm zamani nilikuw mjinga sana nikidhani wale waliotoka kwenda kusoma Saudia nilikuwa naona ndiyo wasomi lkn ss hivi ndyo nimegundua kumbe wanakwenda kusoma fitna bass kila anaetoka huko ni vurugu tu.

  • @muadhihassan4486
    @muadhihassan4486 7 місяців тому

    Kweli unauwezo ila kwa sampuli ya mazungumzo yako ,hilo halitawezekana
    Lakini jambo la msingi shkh muhammad imaam mwanzo alipewa udhru kwamba ametinzwa nguvu ,ila baada ya hapo alitoka kwenye khutba ya idi kwamba yeye hilo hajatinzwa nguvu wewe unapingaje hilo

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 7 місяців тому +1

    Mhh! Langu jicho

  • @rajabmohamed9935
    @rajabmohamed9935 7 місяців тому +2

    Kassim Mafuta Asumbuliwa na Kibri.....

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO Місяць тому

      Sms yako iko kimihemko sana . Abuu muawiya na sheikh kassim wote wako sawa ni walimu wetu Sasa simpondi yoyote wala kumponda yoyote ila kama sheikh kassim kateleza sio kumvurumishia maneno ayo ni dhulma pia kwake

    • @rajabmohamed9935
      @rajabmohamed9935 Місяць тому

      @@MALELEMBARIMO hapo umeongea Kweliiiiii Akhui 🙏🙏🙏

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 7 місяців тому +5

    Kiukweli Abuu Mu'aawiya Elimu yuko nayo sihaba Maashaa Allaah, na anayo yaongea nihaqqi, ila tunamshauri asikemee kosa kwa kutumia kosa pia.
    Kuna baadhi ya mambo sio ktk hekma kuyataja alanan, kwa sbb hayafidishi chochote.
    Ila Shekh Qassim na masalafi wengine Wallaah wamemdhulumia na kumkosea sana Abuu Mu'aawiya, hakuna kufanyiana mujaamalah ukweli huu nisawa kuusema nasio sawa kuukalia kimya.
    Nami nimefatilia kipindi kirefu sana kuhusu kadhia ya Abuu Mu'aawiyah lkn sijawahi msikia salafi yeyote akizungumza kwa Elimu na Uadilifu kuhusu Abuu Mu'aawiyah, bali tuliokua tukiyasikia niwazi kua kulikua na chuki binafsi na sbb ya kufanya hivyo hatujaiona hadi leo, kwanini masalafi wamekua wasusuavu kwa Shekh Abuu Mu'aawiyah kwa kiwango kikubwa namna hii?!!!
    Ewe Allaah tunakuomba utuondoshee khiana na ubinafsi ktk Swafu zetu, na tuondolee fitna hii.

    • @adamh1751
      @adamh1751 7 місяців тому

      Kama kweli utasema sheikh khasim mafuta na sheikh Abdala humeid wana binafsi basi utakosea na kusema uongo na Allah atakuliza kuhusiana na maneno hayo! Hapa tatizo ni Abu muawiyah sikiza clip zake akizungzma kuhusu hao masheikh utaona wazi analeta vurugo na kweli ni hawa masheikh hawana mda huo...

    • @shabansaid2323
      @shabansaid2323 7 місяців тому

      Lakini hii ndio ndio tabia ya masaf.kukosa adabu ya kukosoa na ruduud zisizo na heshema

  • @binaamour318
    @binaamour318 7 місяців тому

    Hawataacha kusuguana wao kwa wao mpaka wajirekebishe uslub wa dagh awa yao wanayoitumia kw kuwasub waislam wenzao na kuwashambulia mashekh mbalimbal na waislamu kwa jumla kwa kukosa adabu ya ilmu

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 7 місяців тому

      Kwani masufi hawasugiani?
      Tafuta clips za Alhad na Abuu Idd

    • @ukhtysalama4184
      @ukhtysalama4184 7 місяців тому

      Kabisa

  • @user-bp6fb6wo5u
    @user-bp6fb6wo5u 7 місяців тому

    Tena anajidai mjuaji mpaka mbele ya shkh Rabi3 niko tayari!!! Wewe kama mkweli usingepinga maneno ya ulamaa juu ya huyo shia unaemtetea...

    • @yahyarashid8038
      @yahyarashid8038 9 днів тому

      Hayo uliosema yameshanukuliwa utaenda kujibu mbele ya allah kuhusu huyu mwanachuon na kama sio kweli unalako fungu

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 7 місяців тому

    KUFENI KWA CHUKI ZENU !!
    KUWATAJA WANAFUNZI WA SHEIKH MUQBIL BIN HAAD AL WAADIGH
    BILA KUMTAJA KHALIFA WAKE SHEIKHANA YAHYA BIN ALLY ALHAJUURY ALLAH AMHIFADHWI

  • @khamisali5978
    @khamisali5978 7 місяців тому

    Watu wana mambo yao kwa sasa na yeye afanye yake tu .

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 7 місяців тому

    Haya Mafuta chagua eneo kama upo na Elimu kweli

  • @Assalafiyyah637
    @Assalafiyyah637 7 місяців тому

    Kuporomoka kwa mabaraamika

  • @user-dp9rw7jv9s
    @user-dp9rw7jv9s 7 місяців тому

    Subhaana llahi wewe unayesema kwamba mawahabi ni wajukuu wa iblisi na wazee wa rushwa unaushahidi gani ktk maneno yako?

    • @uqairsande7320
      @uqairsande7320 7 місяців тому

      Kma umekuuma kufa wtu wanakufa Palestine nyinyi tuhuma zenu Kwa hamasi Kwa mayaud kimya

  • @user-km5zc8zp8x
    @user-km5zc8zp8x 7 місяців тому

    Ayah yasemaje dah!!هههههھهههه

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven 7 місяців тому

    Mada ni nini? Kila kitu anaongea huyu Abuu Muawiya ni Sheikh gani?

  • @user-dp9rw7jv9s
    @user-dp9rw7jv9s 7 місяців тому

    Tunaomba ushahidi

  • @user-qz8dq3wu5y
    @user-qz8dq3wu5y 7 місяців тому

    Abuu muawiya maashallah umenikosha moyoni kwa kumueka sawa huyu jamaa anajidai sana huyu kwamba eti ana elimu na hana lolote majigambo na kuwatia watu farqa tu anawapoteza watu na vijana kudharau watu tuuu

    • @SameerMdumbemalongo
      @SameerMdumbemalongo 7 місяців тому

      Elimu anayo ....shaikh mafut...ispokua ukiwa mtu wa kupiga ngoma na kucheza cheza maulidini......huwezi elewa

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 7 місяців тому

      ​@@SameerMdumbemalongoKassim Mafuta elimu tena kubwa ila anakosea sana

    • @MusaMkata
      @MusaMkata 7 місяців тому

      ​@@mohdkhatib223anakosea wapi

    • @nasirhamadi8027
      @nasirhamadi8027 6 місяців тому

      Angalieni comment zenu izo wapi shekh kasim mafuta Allah amuhifadh kasema yeye Ana elimu?

  • @user-iu3me2sm2h
    @user-iu3me2sm2h 7 місяців тому

    انت تركتنا وتركناك.

  • @user-km5zc8zp8x
    @user-km5zc8zp8x 7 місяців тому

    Kulingana na maneno ya abu muawiyah kuna haja gani kuwabadiisha qutbiyyah??
    Maana pia wao wana ulamaa walio mpa udhuru sayyid qutb na kumtetea...
    Kadhalika nyinyi pia mwa wasena hajaawirah?
    Je wapo wanachuoni wanamzingatia hajuury kuwa ni mtu wa sunnah?

    • @ManhajSalafZanzibar
      @ManhajSalafZanzibar  7 місяців тому

      Hakuna hata mmoja anaemzingatia shekh yahya ni mtu wasunaa. Ktk wanawachuoni

    • @user-km5zc8zp8x
      @user-km5zc8zp8x 7 місяців тому

      Ok...sayyid qutby??

  • @mbaroukkhalfani9244
    @mbaroukkhalfani9244 7 місяців тому

    Ujinga mtupu baada hawa masheikh waliosoma kutuunganisha waislamu kazi kujibizana .kazi ya kutugawa sijui elimu zao zawapafikra gami au ndio hao wanatumikia mayahudi

  • @adamh1751
    @adamh1751 7 місяців тому +1

    Sheikh khasim mafuta na Sheikh Abdallah humeid Allah amewapa qubul sasa abu muawiya acha jazba kaa chini uwe na adhabu na ulama!

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 7 місяців тому

      Ww kinachokusumbua ni ushabiki ila sio haqq

    • @adamh1751
      @adamh1751 7 місяців тому

      @@abbaspaziaog2188 ni haqq na sio ushabiki kwa tarifa yako mm sheikh khasim mafuta wala sheikh abdala humeid hawanijui personaliy na ushabiki katika Dini haifai sasa usije ukasema ushabiki ama labda ni ww ndio una sifa hiyo, vipi baada ya miaka hizi zote aje tu abu muawiyah kisema sheikh khasim mafuta na sheikh abdala hawa elimu na hawana akhalaq? Ajua kweli manzila ya hao mashikh katika dawah hii.. ama ni jazba tu zake zinamtia katika fitnah? Basi kwa tarifa yake dawah hii itaendelea na wala hizo jazba zake zitaisha....

    • @ukhtysalama4184
      @ukhtysalama4184 7 місяців тому

      Tulia ww usomeshwe hakuna mkamilifu km unavyodhania

    • @adamh1751
      @adamh1751 7 місяців тому

      @@ukhtysalama4184 kusoma nimesoma Alhamdulillah na baado nasoma lakini huyu Abu muawiya ache kusema sema masheikh wakisalafi ama kama ana issue nao aje azungmze nao kwa hikmah na sio kupiga kelele huku!

    • @muhammadshaka8414
      @muhammadshaka8414 7 місяців тому

      ​@@ukhtysalama4184 ukhty

  • @adamh1751
    @adamh1751 7 місяців тому +4

    Abu muawiya ni pupa tu na hana elimu mbele ya sheikh khasim mafuta hafidhahullahu

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 7 місяців тому +2

      ALLAH akuongoze

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 7 місяців тому +5

      Abuu mu3wiya hasani awadh ALLAH amuhifadh haongei kwa matamanio bali yuwatumia elimu na dalili pamoja na kauli za wanazuoni ila akina qasimu mafuta pamoja na wenzake wanachuki binafsi

    • @HamadJuma-es8pw
      @HamadJuma-es8pw 7 місяців тому +1

      @@abbaspaziaog2188 kwanini useme shekh kassim mafuta ana chuki binafsi ,kama ni kadhia kuhusu muhammad al-imam na muhamad binhady ni maulama wakubwa ndio walosema ni watu wa bidaa.

    • @adamh1751
      @adamh1751 7 місяців тому

      @@abbaspaziaog2188 hujamjua sheikh wako huyu kaa nae vizuri umjuwe kabla ya kusema chochote,sheikh khasim mafuta kumjua na majua sasa hivi ni miaka 7 ni mwalimu Allah kampa elimu ya Dini na Allah ame mpa qubul sioni kama ana wakati wa chuki na mtu kwa eilimu alio beba sheikh,tume huduria muhadara zake na jalsa zake ni mwalimu mwenye hurma na adhabu to everyone! I am writing this message nikiwa Europe na Alhamdulillah hadi wa leo na sikiza muhadara za sheikh na wenzangu....

    • @abuurauzwat1006
      @abuurauzwat1006 7 місяців тому +1

      *Shekh Abulfadhil Kaona kwamba Shekh Muhammad IMAM amepinda kwa mujibu wa Maulamaa Wewe Abuu Muawiya unaona Shekh Muhammad IMAM Hajapinda kwa baadhi ya muono wa Maulamaa . Sasa apo tatizo lipo wapi la kumshambulia Abulfadhil ? Oo nataka mnakasha cjui twende wapi wapi kwani so wanawachuoni wametofautiana miono Yao ju Shekh Muhammad IMAM ? Naona Abuu Muawiya unatengeneza kama kwamba Abul Fadhil kakuchukia tu Kwa ishu zenu rabda za kibiashara ivii ! Unani Na Abul Fadhil Muawiya hem twambie una nini na Abuu Umeir Muawiya hem twambie una nini na Abuu Luqman Muawiya hem twambie una nini na Shekh Chichi Muawiya hem twambie unanini na Hasnuu Muawiya hem twambie unanini na Abuu Muhammad Salim nawengineo ? Kwa 7 wote HAO hawakupona na mdomo wako na wengineo kamwe hawakusalimika Hem sema ukweli khasa Muawiya Shida nini khasaa?.

  • @user-bp6fb6wo5u
    @user-bp6fb6wo5u 7 місяців тому

    Kwa hiyo tumkubali Mohammad Imam kuwa mashia na sisi dini yetu ni moja na ni ndugu zetu sio???!!! Haya utakaa wewe huko kwa mashia na mashekhe zenu, maana ukitetea mbona mashekhe wengi hawakuwakubali mashia hata hajawira pia wamewakataa!!! Mumekaa nyinyi mashia golo!!!

  • @user-bp6fb6wo5u
    @user-bp6fb6wo5u 7 місяців тому

    Kwa hiyo tumkubali Mohammad Imam kuwa mashia na sisi dini yetu ni moja na ni ndugu zetu sio???!!! Haya utakaa wewe huko kwa mashia na mashekhe zenu, maana ukitetea mbona mashekhe wengi hawakuwakubali mashia hata hajawira pia wamewakataa!!! Mumekaa nyinyi mashia golo!!!

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO Місяць тому

      Subhanallah hujui Ata unachokionge una mihemko