Shughuli nzuri ya kiislamu wana dufu hao wanaume wenye dufu wako vizuri wamevaa kiislamu ila wenye shughuli wengi wenu mmezingua hamukuvaa kiislamu kiviiiilee yani hamujajifunika vizuri vichwani vyenu
@@feynation3739 Yaani kwa uswahilini kapendeza haswa my, hao hawawezi paka makeup ya laki 1 hawezi apo ni shoga ake tu kampaka na wigi lake au anazima anavaa habari imeishaaa yuko pambeeeee tu😁🥰
Hiyo vanga sio maulid nabawiya Zai umezifuma Leo ila Sasa hazina maendeleo sababu kesho shoga nae anangoma unazichukuwa hizo hizo unaenda kutuza yaaa uswazi ni balaa
Subuhanallah mtihani Alllah akufanyie wepesi uijuie na Diniyako uisome ndiyomtetezi sikuya mwesho lnshaallah ... Ushaulitu Dada yangu. ...... Allah akukuzie wanao wawewema🤲
😏😏😏😏
Mi sijaelewa hyo ni maulid au kigoma
MashaAllah ❤Hongera da Zai😍😍 Allah amjaalie awe mtoto mwema🤲
Hongera Da Zai,mngu akuwezeshe umlee kwa raha,furaha na Amani na stara ya maisha.
Hongera sana dazai kwa arobaini yamwanao manshallah Alhamdulillah 🙏🙏
Gea habibu ongera kwa kumtunza dada zai pili zai ni msanii mkubwa jamn ila clouds mmezingua mmeshindwa kumuandalia shuhuli
Mashaalla mwenyezi mungu amuhifadhi mtoto wetu na wazazi wake
Hongera dada zai napenda mineno yako Karibu sana Zanzibar
Masha Allah, iwe kheri insha Allah.
Mashaallha da geah umemwagawekundu wamsimbaz
Hongera zai wetu Allah akukuzie kizazi chango
Masha Allah Hongera sana
MashaaAllah hongera zai
Masha Allah ❣️
Mashaallah Alf Mabrooq kwa 40 ya mtt wako da Zsi
Mashaaallah Allah Amkuze mtoto wetu
MashaAllah uweza da zai wallah pambe mno
Mashaallah 🥰
Mashallah hongera zai
Mashallah ❤❤
Mashaallah, zai shoga angu nakuja kukusaidia kuhesabu
Mashaallah zai wetu🙏🙏💓💓💓💓
Hongera zai wetu na mtt wetu Nillan
Huna baya na mtu dada geah, Nakupenda sana, pambeeeeeeeeeee💞💞
Maa shaa Allah
Mashaallah, Allah amkuze na amkinge na hasadi na Shari za kila kiumbe alicho kiumba. Vp ilo buzi la kafara ushachinja😀😀😀😀😀mwanza ata sikukujuwa
Maasha Allah
Hogera sana dada zai 🥳🥳🎊🎊🎊🌺🌺💐💐🎊🎊💃💃
Da geah , na Da zai nawapenda jamn mukicheka na mm uku oiii adi raha💃♥🤣
Hongera sana mdgo wangu Zai
Mjumbe kapendeza mashallah
🤣😂🤣Hongera Zaiiiii🥁🥁🥁Na umependeza wajidai dai😂🤣🤣😂😂kwa Raha zenu wavijiwe nongwa na kamati yako ya Ulinziii🤣😂🤣❤️❤️❤️🤣😂😂😂
Hongera dazai mungu akuvue hili najengine inshaallah
Mashaallh
Gea ban
Mash Allah
Imani
Mashallah Allah amkuze vema
Nimeipenda hyo saf da geah humuachi zai nyuma, much love😘😘😘
sana Geah mama shughuliiiii🥰🥰
Hii ngoma sio dufu
Vanga la kizaramo kwakweli!!
Wowowowo💃
Ngoja mzee Ngota aje amuibe
Hongera jmn
Zai umependeza sana, 👌👌
Km siyo yy kumbe niyy
Chibonge chenyewe good baby
Zai umependeza sana leo sijakujua
Daaah nilikuwa naisubir sana
Congratulations zai
Zai leo kapendeza ongera da zai
Kidufu km Cha kwenye kombolela 😘..
Jaman da zahi anamtoto mungu amjalia
penda sana Geah hana roho mbaya 🥰🥰🥰
😁😁 nilikua nisha msahau dazai kapendezaa hongera da geah kwakumtuzaa dazai
dollars 150
Kwaraha zenu
❤❤❤❤
🥰🙏
Maashallah team Kombolela wameshusha wote kule Tahiya kashusha Alhamdulillah nae kafanya maulid ya mwanawe bado Zuhura Kaoge
She is baby umeon Wapi tahiy kazzz
@@faudhiaamerii6692 kaweka Insta story anatoka maulidi na mwanawe kamshika kapendeza hatari
Jmn zuhur kaoge ana tumbo
@@nicerjoseph2904 Unauliza ujue au ndy unatujibu
@@Official83640 Tahiya kaolewa juzi
Jamani zai asinge ongea hata nisinge amini kama niyeye kweri mekapu inambadilisha mtu 😘😘
Me bado bamtafuta na hapa nimeshasngalia zaidi ya nusu video
Hv da zai iko kigom au dufu
Mnacheza maulidi Ayo au vanga subhaana llah mtihani huu dah geya noooo he! 🤔 Yaa Rabbi
Wapi mama mjumbeeeeeeee
😂😂zai kapendeza mashaallah ikisha katulia unadhani sie bikusema
Uzaz kaz kwel yan zai umebadilika atar
Kumbe ulikuwa na mimba zai? Hongera mungu atukuzie
Kamshange kumbe nae balaa😀
Wa kwanzaa
Ma mjumbe kapendeza sijamjua
Mashallah zai kapeneza allah amuekee mwanae
Munanifurahishakweli
😂😂😂ila zai🙌😂ndomana napenda nipitege kwao apo nimuone tu😂😂
Wapi
Mama mjumbe nakuona💜😂
Ongera mama
Mengine uwe unabakisha Dada zai usijimalize Sana, Dunia waja na waja wote si wazur
Ila Gea na zai mmeendana yaani hahahahaha
Nakuona dada mkubwa umefanya yako kwa udugu wako
Pambeeeee dufu
Haha wa pili leo na hongera sana kwa da zai
Dada Zai tunakupenda Sana, ila ilidufu si dufu kama mkinda hadi nyimbo,mmmh!🤔.
😆😆😆😆😆😆
Dada geah umetunza
Wee
Haya maulidi au mkinda
Shughuli nzuri ya kiislamu wana dufu hao wanaume wenye dufu wako vizuri wamevaa kiislamu ila wenye shughuli wengi wenu mmezingua hamukuvaa kiislamu kiviiiilee yani hamujajifunika vizuri vichwani vyenu
Zai kumamake akalishe watu ugali🤣🤣🤣😜
Arafu mkavu😂😂😂😂😂
😁😁
Dufu la mchongo 😁😁
Zai hongera ba mtoto yupo wapi
Zai jaman makeup kakufanyia mke mwenzio ? Mbona kama umepakwa jivu sio kwa ubaya nguo nzur ila makeup na wigi hapana 🤍
😂😂😂 Niache bc
makeup za kiswahili wala sio mbaya
@@dorcaskidoti249 sawa 😒
@@feynation3739 Yaani kwa uswahilini kapendeza haswa my, hao hawawezi paka makeup ya laki 1 hawezi apo ni shoga ake tu kampaka na wigi lake au anazima anavaa habari imeishaaa yuko pambeeeee tu😁🥰
Hii maurd wakijiwe nongwa wanacheza kama ngoma
Zai leo km sio yy
Da geya pambe eti piga dufu ilo haaaaaaaaaaa
Zai ndo kapodok hivyo😂😂😂😂😂😂😂😂
mbona kafupi jamani
Yani mtoto wa kijiwe nongwa wala hashangai. Anafurai Atari kwakigoma anacheka kabisa
Hiyo vanga sio maulid nabawiya Zai umezifuma Leo ila Sasa hazina maendeleo sababu kesho shoga nae anangoma unazichukuwa hizo hizo unaenda kutuza yaaa uswazi ni balaa
Ma mjumbe na geah sio wa mchezo mchezo ni misimbazi tu
Mambo kwa Dada zai wewe
Hongera dada zai mtoto anaitwa nani?
Nilan
Yani zai kanishinda tabia
Zai kijiwenongwa
😂😂😂😂 waliozoea shughul ubwabwa
Wamekutana na ugal
wakwanza
Zai nani kakufalisha Wiggi na lipstick
Gea km kawaida
kwan iki kigoma au dufuu🤔
Dufu la mchongo kigoma cha ulugwai