Askofu Musomba aweka wazi/Mafuta ya Upako/Kutangatanga/Uvivu wa Kiroho/Kutaka Miujiza.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Kwa Ujasiri mkubwa Askofu Stephano Musomba kwenye Mahubiri yake katika kanisa la Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Mbezi Jimbo kuu la Dar Es Salaam, Siku ya jumatano ya Majivu, ameonyesha wazi kutokufurahishwa na hali ya waumini wakatoliki waliopata Sakramenti zote kukingiuka na kuchanganya Imani zao na zile ambazo hawana misingi nazo ikiwemo wengi wao kutaka uharaka wa Maisha kwa Kukanyaga mafuta na kutafuta Miujiza bila ya kujua yote hayo yanachangiwa na mahangaiko ya maisha ambayo mwisho wake hayana tija ya kweli katika maisha yao.
    Askofu Musomba ametoa mifano kadhaa ambayo licha ya uchungu wake bado mifano hiyo inabaki kuwa dawa kwa wale wanaopenda kupata matibabu ya kweli katika Kristo.
    CHUNGU KUMEZA LAKINI INATIBU.
    #BreezOnlineTv​​​​​​​​​​​​​ #TubuninaKuiaminiIsnjili
    Breez Online Tv
    S.L.P 38655
    Dar Es Salaam Tanzania
    Phone No: +255 756494796
    Barua pepe: izackbreez11@gmail.com
    Mitandao Mingine ya Kijamii:
    Facebook: breez online Tv
    Facebook Link: / breez-online. .
    Instagram:Breez Online Tv

КОМЕНТАРІ • 69

  • @paulmsape163
    @paulmsape163 11 місяців тому

    Nafikiri ni ufahamu tu,wengi wetu wanapenda miujiza kuliko neno la Mungu

  • @simonnjovu586
    @simonnjovu586 2 роки тому +1

    Mapadre waache uvivu wa kuwafundisha waamini. Wajibu maswali yanayowasumbua waamini na wao wenyewe. Wakristo wafundishwe na wahimizwe kusoma Neno la Mungu na kuliishi. Huwezi kuwa mkristo safi na mwaminifu kwa Mungu kwa mahubiri ya dakika 5-15 mara moja kwa juma.

  • @zablonshisia364
    @zablonshisia364 Рік тому

    Wow very nice maubiri

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 7 місяців тому

    Nakushukuru mtumishi sema watu tupone maana mie nashangaa sana sie wakatoriki wengi tunahangaika ukimkataza anakuchukia wengi wamekufa muundelee kutuelewesha na kutuongoza kipindi hiki ni kigumu msichoke semeni

  • @jordanjuma6709
    @jordanjuma6709 2 роки тому +1

    YESU KRISTO anasema ijue kweli nayo itakuweka huru

  • @samwelgaspar7361
    @samwelgaspar7361 2 роки тому

    Amina

  • @milley7185
    @milley7185 2 роки тому

    Baadae wanalazwa na miunguuuuu......n kelele maskio kila mmoja Alalama

  • @deborahmgedzi7269
    @deborahmgedzi7269 2 роки тому

    Mungu Mwenyezi Awabariki viongozi wanaochunga kondoo waliokabidhiwa na Baba.

  • @jordanjuma6709
    @jordanjuma6709 2 роки тому

    Mbona hatuonagi uponyaji kanisa la katoriki mnaabudu sanamu zisizoweza kusema tuombe Tina kwa BWANA YESU

  • @marie-laurene.
    @marie-laurene. 2 роки тому +1

    Asante Baba!!!
    Mungu akulinde Mtumishi.👍🇨🇩

  • @thobiasbeda7204
    @thobiasbeda7204 2 роки тому

    Hongera Sana baba huo ndio ukweli siku za mwisho tuache kuhubiri dini tumhubiri Kristo uvivu wa kiroho ndio tatizo wahasham wanalala usingizi wameridhika kuhudumiwa na masista kutembelea magari makubwa Sasa wauza mafuta ,vitambaa vya upako Sasa ndala za upako na mazingaumbwe na kujazwa mapepo kumbu 13:1--12 onyo kwa wote

  • @julianadaudi8541
    @julianadaudi8541 2 роки тому +1

    Asante baba kwa neno zuri .

  • @judithnzisa9048
    @judithnzisa9048 2 роки тому

    Asante Baba Askofu kwa kuwakumbusha kondoo kwamba washike imani kikamilifu na kuwa na msimamo wa kiimani.Mungu akubariki..Baba

  • @thobiasbeda7204
    @thobiasbeda7204 2 роки тому

    Baba huko Ni kujazwa hofu uchonganishi kusifia uchawi kumpandisha mapepo pia huko wanatoa pesa bila kupenda akili zao zimefungwa lakini kanisa liludishe maombi ya kweli yenye nguvu ili watu wapokee upako wa kweli itawasaidia wasiende hongera

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 2 роки тому

    Ahsante BABA

  • @jordanjuma6709
    @jordanjuma6709 2 роки тому +1

    Mnajihesabia haki kama wale mafarisayo

  • @restitutanjau2585
    @restitutanjau2585 2 роки тому

    Asante sana Baba kwa Somo,nimepata kitu ktk imani yangu

  • @raphaelnzulimwashibanda3762
    @raphaelnzulimwashibanda3762 2 роки тому

    Amina baba mm E A G T Ila huu ni ukweli sema kweli watu wapone nami nipote hii ndo injili ya kweli

  • @chazyshadrack2558
    @chazyshadrack2558 2 роки тому

    Amina baba .kwa neno ubariwe sana 🔥🔥

  • @annamazengo975
    @annamazengo975 2 роки тому

    Acha majungu kwenye madhabahu hubiri neno,kinakuuma,unaharibu watu Wala huwajengi.

  • @sixtuscharles1788
    @sixtuscharles1788 2 роки тому

    Ubarikiwe sana baba

  • @marrylimu6968
    @marrylimu6968 2 роки тому

    Asante baba kwa neno nzurii Mungu atusaidie sana

  • @victorpatrickmnyika5948
    @victorpatrickmnyika5948 2 роки тому

    Asante baba kwa mafundisho mazuri

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 роки тому

    Wakatoriki mnajichanganya sana kuyasema makanisa mengine.tukiwachambua hamuwezi simama wekeni mdahalo wa nani anafanya kazi ya MUNGU na anae fanya kazi ya wazungu

    • @prophetislael5265
      @prophetislael5265 2 роки тому

      Mungu wao nimwanamke bikija malia

    • @Lokadesh85
      @Lokadesh85 3 дні тому

      Usilolijua wala usilizungumzie​@@prophetislael5265

  • @patrickshirima3583
    @patrickshirima3583 2 роки тому

    Ujumbe mzuri sana hongera kwa ujasiri huo

  • @mamertkibori2450
    @mamertkibori2450 2 роки тому +1

    Asante baba, kwa neno lenye afya Mungu akubariki. I 🙏🙏🙏

  • @samwelysilungwe9767
    @samwelysilungwe9767 2 роки тому

    Asante kwa SoMo zuri Baba sema yote tupone. Ubarikiwe sana

  • @jordanjuma6709
    @jordanjuma6709 2 роки тому +1

    Kwanini mnamtukuza bikira maria mmeweka na sanamu hamsini kama mnawapeleke watu motoni

  • @brownmtofole
    @brownmtofole 2 роки тому

    Watu wanafuata imani inayotenda kazi...

  • @raphaelnzulimwashibanda3762
    @raphaelnzulimwashibanda3762 2 роки тому +2

    Tupone baba tupone

  • @tecklamgomberi4253
    @tecklamgomberi4253 2 роки тому

    Amen

  • @jordanjuma6709
    @jordanjuma6709 2 роки тому +1

    Tatizo katoriki mmejaa mapokeo tu hamfundishi NENO LA MUNGU ila mapokeo tu fundisheni BIblia

  • @neemarenaida6667
    @neemarenaida6667 2 роки тому

    Sema baba wenye masikio tusikie

  • @alisasportsTV
    @alisasportsTV 2 роки тому

    Yn 14:13-14 SUV
    "Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya"
    Yaani huyu askofu ni wa mchongo kabisaa hana lolote anatoa majungu akiwa madhabahuni... amesahau kuwa kanisa la Roman katoliki linaamini zaidi kwenye mapokeo kuliko neno la Mungu..ndio maana kanisa limejaa masanamu kila kona na kusahau kuomba kwa Jina la YESU!! MUNGU ATUSAIDIE SANA KATIKA NYAKATI HIZI TULIZONAZO!

  • @annamazengo975
    @annamazengo975 2 роки тому

    Tokeni mtaani muone mateso ya watu,acha watafute uponyaji,hamna mbingu ya kupeleka mtu,hayo ni majungu Yesu hakaagi na wenye majungu.

    • @prophetislael5265
      @prophetislael5265 2 роки тому

      Wanaonesha wazi kuwa hawamuabudu Mungu kunakitu wanamuabudu hawajui kuomba hawajui kufundisha kaz kujifanya mtakatifu mtakatifu wakati niwalev

    • @joyceAdam-xn2yw
      @joyceAdam-xn2yw 6 місяців тому

      Wee anna una matatizo yako binafsi, mtu ambaye hana imani ndip anatangatanga, kama mwana mke malaya

  • @jordanjuma6709
    @jordanjuma6709 2 роки тому +1

    Pia imeandikwa lipo jina lipitalo majina yote ni jina la YESU KRISTO wa Nazareth sio bikira maria

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 2 роки тому

    ANZENI KUFANYA ISHARA ZA MITUME KAMA MATENDO 5:14-17. KIVULI CHA MITUME PETRO KILIINUA WAGONJWA, KANISA KATOLIKI WASHENI MOTO WA NGUVU ZA MUNGU ILI KUKOMESHA MAKANISA YANAYOINUKIA KTK NGUVU ZA KIROHO...SAA IMEFIKA MOTO WA KRISTO UTAWAKA MAHEKALU YATABAKIA WAZIIIIIII

  • @jordanjuma6709
    @jordanjuma6709 2 роки тому

    Pia mmejaa mapokeo kwa nini mnasema bikira maria atuombee wakati BWANA YESU ndiye anayetuombea kwa MUNGU upo hp

  • @milley7185
    @milley7185 2 роки тому

    He

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 2 роки тому

    Watu wanatafuta kufunguliwa sio
    mapambo ya maneno kama ameponywa na YESU kwann amuache,

  • @lemykiyeyeu5436
    @lemykiyeyeu5436 2 роки тому

    Songa mbele baba askofu tupone

  • @jordanjuma6709
    @jordanjuma6709 2 роки тому +1

    Msimseme mtumishi wa BWANA pia msijione kama katoriki ninyi kuwa mpo sahihi sio hivyo kila mtu anavyoamini lmani ni kitu kingine usiseme wewe upo sawa

    • @jordanjuma6709
      @jordanjuma6709 2 роки тому +1

      Ahaa katoriki mnaabudu sanamu zisizoweza kusema toweni hayo masanamu

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 роки тому +1

    Mnatakiwa kujibiwa na wasomi wa BIBLIA MNA MATENDO MENGI MABAYA .WIVU WA KIHUDUMA MMEKWAMA NA MAFUNDISHO YA KINYONGE WATU WANATAKA MAJIBU YA ROHO NA MAISHA YAO

    • @joyceAdam-xn2yw
      @joyceAdam-xn2yw 6 місяців тому

      Wewe mtakatifu, huna dhambi, tulia upashwe wewe mvivu wa kuamini

  • @ghatimakonge9383
    @ghatimakonge9383 2 роки тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @milley7185
    @milley7185 2 роки тому

    Viini macho hivyo

  • @kasianzulu3859
    @kasianzulu3859 2 роки тому

    Tunaambiwa kila sku ila kuelewa hua hamna lakini ni ukaid tu wakatolik wengi wanajua kabisa kuhusu kanisa letu

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 5 місяців тому

    Sijaona tofauti ya makuhani wakatoliki na manabii maana wote wanatumia vifaa vya kiroho katika Ibada zao hakuna tofauti nashangaa Kwa nini wanatupiana madongo au NI mwendo wa kugombea waumini ?

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 2 роки тому +4

    Wanafata uponyaji maana yake nikwamba nyie mnamaneno ya uzima lakini Uzima haumo ndani yenu

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 роки тому

    Uhuru wa kuabudu msitishe watu

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 7 місяців тому

    Hivi watu wagumu jamani mtu anaenda huku kuhangaika kwenye kukanyaga mafuta mie naenda katolic natoa zaka maombi yangu shida zangu mungu anajibu palepale siwadanganyi tusitangetange katolic mapadre wanafundisha vizuri pia kuna karismatic tuache mambo ya hovyo mathayo 24 soma sura yote

  • @warriouslendika1289
    @warriouslendika1289 2 роки тому

    Hakuna zehebu lenye watu, Bali watu ndio hufuata zehebu analotaka kila mchungaji achunge kondoo wake usiwapotoshe Kyle ama hapa ndio sehemu sahihi

  • @paulmsape163
    @paulmsape163 11 місяців тому

    Ujumbe huu utuguse kiroho,maana tuliowengi hatusomi Biblia tunasubili kusomewa tu

  • @dominickrukokelwa1284
    @dominickrukokelwa1284 2 роки тому

    Tusome kitabu cha Baruku

  • @rihannajoseph5796
    @rihannajoseph5796 2 роки тому

    Hayo mafuta mbona ww hukuyakataa kipindi unapakwa acheni uchoyo bora mwamposa alipakwa mafuta na yy ametumwa atupake amefata maandiko ya Bible yanavyosema kama husomi biblia au padre hajafundisha huwez kujua

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 2 роки тому

    Wachungaji wa katoliki inawapasa kuweka semina za Mara kwa Mara kufundisha. neno.Jumapili hadi Jumapili.tena saa 2 tu.Biblia siyo kipaumbele.hapo kuna shida Sana.hasa kipindi hiki shetani Ana mbinu za kisasa.

    • @shamimushittindi1418
      @shamimushittindi1418 2 роки тому

      Kuna novena mafungo mbona yanatosha kabisa ni umalaya tu wa imani na kutokujitambua

  • @gabrielsaelie8091
    @gabrielsaelie8091 2 роки тому

    Mwamposa aambiwe ukweli kuwa ni MPOTOSHAJI. Roma Catholic Church kemeeni hadharani hayo anayofanya Mwamposa yasiyo sahihi kulingana na neno la MUNGU. TUNAMLAANI ZUMARIDI MBONA TUNACHELEA KUMLAANI MWAMPOSA?

    • @matumizbinafsi4094
      @matumizbinafsi4094 2 роки тому

      Tuchapeni injili watu wanaomjua Kristo wapate kuongezeka

    • @godfreymwamaso2424
      @godfreymwamaso2424 2 роки тому

      Kwani Mwamposa anewafanya nini wakatolic hata siku moja sijawahi kumsikia akiwasema mapadri Wala maparoko mafundisho yake anawafundisha watu kimwili na kiroho na ameweza kuwafikia hata watu wasiyokuwa na Dini watu wa mataifa ambao kanisa katoliki limeshindwa kuwafikia tuache kuwakatisha tamaa watumishi wa Mungu kwa sababu tu wamelitikisa kanisa lenu acheni kujihesabia haki Mungu awabariki