Kinachotokea mtu anapokufa ( ulivyoeleza) , ukihusianisha na kifo cha Yesu hadi kufufuka kwake. Mbona km kuna tofauti . Mhubiri 9:5, vp. Yohana 20:17 vp
Marekebisho kidogo 30:58 Mchungaji Amieli, neno Uislamu haimaanishi utakatifu bali 'Submission' kwa kimombo yani mtu aliyejisalimisha,tusirudie makosa hayo tena tafadhali. Asanti
Mchj Amaniel, nisaidie, wengi ktk makanisa ya kiroho, wanatajwa Mungu wa mwamposa, Mungu wa geordavie, Mungu wa gwajima nk hii inaakaje kibiblia, kwamba roho zao zimeunganishwa Yesu kuabudhiwa siyo.
Asante Yesu kwa ajili ya mchungaji Amieli na team nzima ya promover TV, hakika thawabu yenu Ni kubwa sana mbinguni
Amen .mch. ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU. Naomba ufundishe zaidi kuhusu makaburi MTUMISHI
Asante sana Mtumishi Kwa Neno nzuri la Mungu.
Asante sana Mtumishi Kwa Neno Nzuri la Mungu
Yesu atusaidie, tusimwache Yesu wapendwa
Amen nabarikiwa sana, Kwa ujumbe huu,napiga hatua moja hadi Nyengine Kila siku. Be blessed
Mungu akubaliki akukumbuke mtumishi wa mungu
Amen mtumishi watufungua macho kweli Yesu ndio Bwana wa mabwana
amen tuko pampja katika jinala yesu abewasifa sana 🙏
PROMOVER TV wana wa Mungu mbarikiwe sana.
Ameni Mungu akutunze.
tunabarikiwa sanaaaa from kenya
Hakika Mchungaji Amieli Mungu akubariki Sana 🙏🙏🙏
UBARIKIWE SANA MTUMISHI AMEEEEN
Tunabarikiwa mtandaoni mwambie katekela asitusahau wengin red tuko ujerumani asitusahauu jamani lakini tunabarikiwa sana kwa jina la yesu Kristo ameni
Atuunganishe na ss tunaomfuatilia kwa njia ya mtandao
Amen
Amenaa
Kinachotokea mtu anapokufa ( ulivyoeleza) , ukihusianisha na kifo cha Yesu hadi kufufuka kwake. Mbona km kuna tofauti . Mhubiri 9:5, vp. Yohana 20:17 vp
🔥🙏🙏🙏💪👍
Masikio yangu hayachoki kumsikia huyu jamaa kila wakati
Marekebisho kidogo 30:58 Mchungaji Amieli, neno Uislamu haimaanishi utakatifu bali 'Submission' kwa kimombo yani mtu aliyejisalimisha,tusirudie makosa hayo tena tafadhali. Asanti
Mchungaji katekela MUNGU akuongezee nehema
Mchj Amaniel, nisaidie, wengi ktk makanisa ya kiroho, wanatajwa Mungu wa mwamposa, Mungu wa geordavie, Mungu wa gwajima nk hii inaakaje kibiblia, kwamba roho zao zimeunganishwa Yesu kuabudhiwa siyo.
Acha unafiki Wewe nimesali kwa Gwajima sijasikia unachokisema mmekalilishwa mkiona mtu Ana Watu wengi Ni mbaya.
Asante sana Mtumishi Kwa Neno Nzuri la Mungu.
Amen
Amen
Amen