Shukran jazakallah kheiri shekhe wetu Mselemu. Hakika darsa lako ni fundisho kubwa kwa jamii yetu ya Kizanzibari iliokwisha potea. Kwa Siasa Chafu, Dhulma, ugumu wa maisha na kukosa misingi mizuri ya kidini kama tulivokulia cc ktk miaka ya 70s na 80s. Lkn nakunasihi Shekhe wetu kama utasoma msg. Usiwe Mkali sana au Kubeza beza watu wanaotaka kujuwa zaidi au kuuliza masuala. Wahu wanaokuja kuku sikiliza wanataka kuelewa. Kwassbabu ndio wanajifunza. Kuna wakati watu huuliza masuali kama unavosema ya Ajabu ajabu. Lkn ndio uwezo wake huyo mtu wa kutunga hilo suali na kuuliza hivo kiajabu ajabu. Sasa wewe wape majibu ya upole usiwabeze. Mbona mashekhe wetu munakosea kwenye Elmu ya Psycology 🤔🤔🤔
Mashaallah
ALLAH akujaze kheir sheikh mselem
ishallah .allah akubarik sheikh wetu
Allah akupe maisha marefu sheikh wetu .darsa njema
Shukran jazakallah kheiri shekhe wetu Mselemu. Hakika darsa lako ni fundisho kubwa kwa jamii yetu ya Kizanzibari iliokwisha potea. Kwa Siasa Chafu, Dhulma, ugumu wa maisha na kukosa misingi mizuri ya kidini kama tulivokulia cc ktk miaka ya 70s na 80s. Lkn nakunasihi Shekhe wetu kama utasoma msg. Usiwe Mkali sana au Kubeza beza watu wanaotaka kujuwa zaidi au kuuliza masuala. Wahu wanaokuja kuku sikiliza wanataka kuelewa. Kwassbabu ndio wanajifunza.
Kuna wakati watu huuliza masuali kama unavosema ya Ajabu ajabu. Lkn ndio uwezo wake huyo mtu wa kutunga hilo suali na kuuliza hivo kiajabu ajabu. Sasa wewe wape majibu ya upole usiwabeze.
Mbona mashekhe wetu munakosea kwenye Elmu ya Psycology 🤔🤔🤔
Darsa nzuri 🎉🎉
Allah akuhifazi