UJENZI WA SOKO KUBWA LA KISASA EAST AFRICA COMMERCIAL AND LOGISTICS CENTER / UBUNGO DAR ES SALAAM.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 90

  • @JoJo-xh7ph
    @JoJo-xh7ph Рік тому +1

    Magu alianzisha Samia alijenga. Samia apewe mauwa yake. Big up mama yetu. Hongera JPM

  • @kelvinmgendwa1438
    @kelvinmgendwa1438 7 місяців тому +1

    Duuuu aise tanzania uchumi unakuwa

  • @vom84
    @vom84 11 місяців тому +1

    Kariakoo inaenda kufaa

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 11 місяців тому

    Naombeni kazi

  • @omaryngitu2443
    @omaryngitu2443 Рік тому +1

    Vifaa vya kisasa vinahitajika kuzuia majanga ya moto ili isiharibu miundombinu ya gharama kubwa na kuleta maumivu ya hasara na gharama zinazopotea,big up serikali yetu

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Рік тому +2

    Jambo zuri kariakoo kidodo itapumua

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 Рік тому +4

    Yaani Rais wa China aje kuzindua kimradi kidogo kama hicho, #ACHENI UCHAWA

  • @barutiabuu9492
    @barutiabuu9492 Рік тому +2

    Mnatuletea usenhe wenu nakuja kuuwa wafanya biashara wenu wenuewe kwa tamaa zenu wenzenu kenya wamewatimua hao wahuni ila nyie tamaa zenu na kutokua na udharendo hilo soko likiisha hawo wanao jenga watakua wanaleta bidhaa zao nakuuza hapo unazani sasa wananchi wenu waliopo kariakoo wao watafanya biashara gani nawakati wachina watakua nasoko lao hapo huo niupuuz na kutokua na mawazo nakutokua na uzarendo nchi hii imejaa viongoz wahuni na walio kosa malifa weng wamejawa natamaa tu kwaajili ya matumbo yao nawatoto wao

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 Рік тому +1

    Nasikitika naoña Kariakoo ikifa na safar za wa Tz kufa

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 Рік тому +3

    Wasisaau kuweka pakingi ya magari ya zimamoto

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 Рік тому +2

    Nilikuwa najiuliza hapa kinaendelea nikitu gani kumbe soko safi sama

  • @SimonpaulMayunga
    @SimonpaulMayunga Рік тому +10

    Mheshimiwa nimesikia umesema kutakua na eneo la baa na kumbi za starehe mbona sijasikia kama kutakuwa na maeneo yakufanya na ibada(kuswali) jaman tumkumbuke na mungu yy ndo atupae nguvu ya utajiri

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 Рік тому

      Kwani misikiti si ipo tu mingi jaman

    • @abrahmanifarouckissa5662
      @abrahmanifarouckissa5662 Рік тому

      muhimu sanaaa

    • @user-kr5dp2ip9g
      @user-kr5dp2ip9g Рік тому

      Ulitaka hilo eneo wajenge misikiti na makanisa alafu watu waende kumuomba Mungu ili wapate ajira si ndio?! 😂🤦🏾

    • @J4UPro
      @J4UPro Рік тому +1

      Shetani yupo mbele kwa sasahivi

    • @hsaid8659
      @hsaid8659 Рік тому

      Mbona UK kila mall kuna sehemu ya kufanya ibada

  • @alfredibrahim7085
    @alfredibrahim7085 Рік тому

    Mradi ni mzuri japo una wenyewe ila mbon mnarudisha foleni mmefanya utafiti kweli

  • @Andres-qt6kp
    @Andres-qt6kp Рік тому +25

    Tatizo la upotoshaji kwa watangazaji wetu ni kubwa kama sio cancer huu Mradi ulianza awamu ya tano na miundo mbinu ya barabara kutoka mawasiliano kwenda ubungo ilikamilika kabla JPM hajafariki ni vizuri historia ikabaki katika uhalisia na kama angekuweko huu Mradi ungekua umeanza kazi mimi ni mdau wa huo mradi nilichukua form sep 2020.

    • @omarymkamba3045
      @omarymkamba3045 Рік тому +1

      Sio kweli bararabara na stendi ni mradi wa mwendo kasi ni mradi tofaauti kabisa na huu wa soko.

    • @Andres-qt6kp
      @Andres-qt6kp Рік тому

      @@omarymkamba3045Mradi wa mwendo kasi ni moja ya miundo mbinu ya kuwafikisha wateja hapo kutoka kuona zote za Dar ndio plan ya Soko hilo kwa taarifa kampuni inayo jenga Soko hilo wameweka Kambi Ubungo plaza hotel since 2019 na kuna picha Mvano wa jengo litakavyo kuwa ndio tulipolipia kupata eneo la biashara

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 Рік тому

      ​@@omarymkamba3045kuma nyingine hii mbichi kabisaa inatafuta BORO la KIRUGULU 😂😂🤣🤣

    • @luganomwaisumo1938
      @luganomwaisumo1938 Рік тому +6

      Wote ni watanzania acheni ushabiki wa simba na yanga kwenye maendeleo ya Tanzania,tunacho taka maendeleo

    • @KelvinMtavangu-ow8yo
      @KelvinMtavangu-ow8yo Рік тому +3

      Yes, huo ni upotoshaji mkubwa. Mfano. Eti ameupiga mwingi na kuzima kabisa dira ys hayati JPM? Hii hakika waandishi wetu wawe wakwe? Mnyonge mnyongeni lakini.......? R.I.P. JPM. AMINA.

  • @thomasbutingo17
    @thomasbutingo17 Рік тому +1

    Wachina nawakubali xn kwa Technology na Engineering wao ni no. 1

    • @KelvinMtavangu-ow8yo
      @KelvinMtavangu-ow8yo Рік тому

      Sawa kabisa. Ila wachina wasiuze na wasiwe machinga kama Kariakoo?

  • @barutiabuu9492
    @barutiabuu9492 Рік тому +1

    Viongoz wakiafrika acheni tamaa mana hizo faida mnazo zipata kwa ajir ya familia zenu kumbukeni hamtazikwa nazo mtaziacha kuweni na uzarendo acheni tamaa ipo siku moja yenu kila kitu kina mwisho siku moja mwisho wenu utafika

  • @daudimazengo7772
    @daudimazengo7772 Рік тому +3

    Dar inauwezo wa kubeba hata ghorofa 100. Kwanini ni ghorofa 3 tu?

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba Рік тому +2

    Kila kitu Dar, ndio nini, sasa hata sie wa Kanda ya ziwa tunaitaji vitu hivyo

    • @zolongOne
      @zolongOne 9 місяців тому

      Wanunuzi wapo huko? Hilo ndio tatizo

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 Рік тому +1

    Kariakoo ifungwe kabisa. Kariakoo hamna vyoo hamna barabara za kupita , hamna hewa nzuri , mitaro inashindwa kuhimili maji taka, hamna parking za magari, hamna sehemu za maji ya zimamoto, majengo yamekaribiana sana bila kuacha njia. Naomba serikali ifunge Kariakoo wafanyabiashara wote wahamie hapo.

  • @wiliummahaya2482
    @wiliummahaya2482 Рік тому

    Vipi kwema

  • @anthonypatrice5247
    @anthonypatrice5247 Рік тому +2

    😢😢😢😢😢 tunahitaji viwanda siyo maduka

    • @amosiabdulallh7965
      @amosiabdulallh7965 Рік тому

      Maduka tunaajiri ww

    • @amosiabdulallh7965
      @amosiabdulallh7965 Рік тому

      Tunasajir ww

    • @eng_jocha
      @eng_jocha Рік тому

      Ndo tunazidi fanywa soko la bidhaa zao. Ukiwa mfanyabiashara wa kati hutowaza sana kuwepo ama kusiwepo viwanda vyetu

    • @johnzege209
      @johnzege209 11 місяців тому

      Viwanda bila masoko?acha ujinga

    • @abelimwakijungu1226
      @abelimwakijungu1226 5 місяців тому

      Tunahitaji watu wengi zaidi wenye fikra kama wewe

  • @zolongOne
    @zolongOne 9 місяців тому

    Mwezi wa tatu huu

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen Рік тому +2

    Na magari ya zimamoto weka nayo matatu🤔Hilo ndio muhimu🤝

  • @tanzaniayetu6973
    @tanzaniayetu6973 Рік тому +1

    Arusha kwannn hamjengi soko lakisasa namanga ili mpaka utumike kibiashara,viongozi waarusha hamuutendei haki jiji la arusha kabisa,ukizunguka mipaka mingine ya nchi hii utagundua kunafedha nyingi hazikusanywi ipasavyo mpakani

  • @AliAbdalla-lb8su
    @AliAbdalla-lb8su Рік тому +1

    Nyie wabara hamna jema kila kitu munaekewa nyie lakini hamutaki sjui munataka nini basi iyo miradi tuleteeni sisi zanzibar maana tumesahaulika kila kitu tunaekwa nyuma km nchi tofauti wakati ni nchi moja hii Tanzania 🇹🇿

    • @emilbocco5895
      @emilbocco5895 Рік тому

      Acha wivu, samia ni rais wa bara, Mwinyi ni rais wa zanzibar ,Muungano wetu haumpi nafasi samia kuingilia biashara za zanzibar, ulishasikia samia ameuza kisiwa huko zanzibar, huku bara anaweza kufanya chochote akijisikia, kwa ufupi Tanganyika rais wake ni samia Hassan

  • @faisalkamara6122
    @faisalkamara6122 Рік тому

    Uwekezaji ungefanyika kwenye uzalishaji na sio maduka. Tanzania itageuka kuwa nchi ya wachuuzi sia wazalishaji. Tunauza vitu ambavyo hatuvizalishi tunawafaidisha wengine.

    • @davidanselmo4041
      @davidanselmo4041 Рік тому

      Hii ni Africa nzima itakuwa inakuja sio tu Tanzania yaani china imehamia Dar

    • @jeremiaaugustino7187
      @jeremiaaugustino7187 Рік тому

      ​@@davidanselmo4041unaona sawa kugeuzwa frem? Point ni viwanda

  • @hajimgwami5224
    @hajimgwami5224 Рік тому +1

    KITU KIZURI SANAAAA

  • @alfredibrahim7085
    @alfredibrahim7085 Рік тому

    Wachina wameamua

  • @felicianfrancis9895
    @felicianfrancis9895 Рік тому +3

    Kwani akija mzimbabwe kuna shida gani?? Africa ni moja, wazawa sawa wapewe kipaumbele na wageni pia si mbaya. Kwani hakuna watanzania wanaofanya biashara nje ya nchi hii?? Badili mitazamo, tusonge mbeleew

    • @mcback4384
      @mcback4384 Рік тому +1

      Mzawa kwanza mzee, hata huko unakotaja wazawa lazima wapewe kipaumbele

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 Рік тому +1

      Tanzania 🇹🇿 kwanza wazawa kwanza huo ndio mwendo hutaki hamia Mogadishu 😂😂😂🤣🤣🤣

    • @Amanofpeople-p5t
      @Amanofpeople-p5t 3 місяці тому

      Family abv all & ur county above anything 🇹🇿

  • @frankmare1708
    @frankmare1708 Рік тому

    Mtoa maelezo kuna uswahili mwingi sana maswali ya msingi unakwepa, umeulizwa dakika ya 8:09 ila jibu ulo toa hata hueleweki

    • @havefun4free615
      @havefun4free615 Рік тому +1

      anatutoa mchezonii😂😂 huenda hata yeye haelewi maana maelezo aliotoa hapo ni kama maduka hayatokuwa ya wabongo..

  • @straitnews3441
    @straitnews3441 Рік тому +2

    Kwa mmenda kuongeza msongamano wa magari hapo tenA😢

  • @KelvinMtavangu-ow8yo
    @KelvinMtavangu-ow8yo Рік тому

    Imeenda hiyo kwamba Soko la Kariakoo litakuwa na hali gani? Au ndio........?

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 Рік тому

    Hayo maduka yalitangazwa kwa watu ili washindanishwe?!

  • @brianjulius781
    @brianjulius781 Рік тому +1

    bado hakujibu swali
    Mtu akihitaji mzigo mkubwa Kama pisi 400 au 500 za nguo anaweza kupata hapo hapo au ndo vilevile uagizwe Tena kwa kuweka oder

    • @malikkb6444
      @malikkb6444 Рік тому +2

      Ushambiwa unaupata hapohapo

    • @jumannemfaume
      @jumannemfaume Рік тому +1

      Unapata hapo hapo ni soko kubwa la jumla kama vile masoko ya dubai na Yale ya china

  • @rarevisuals
    @rarevisuals Рік тому

    mi nadhani mmeongea na mtu asie sahihi.....hamna kitu anaongea zaidi ya kutuvuruga tu. Mara maduka ni ya wazawa mara ni mbadala wa mtanzania kwenda kununua china....huyu kawaka sio bure.

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 Рік тому

    Wachina watawekeza Kwa mda Gani hapo?

  • @MalikJabil
    @MalikJabil Рік тому

    Wachina wanatengeneza soko inje ya inchi yao, na wewe unaweka mipaka kwa wa zimbabwe ,waburundi na wacongo,unahisi wakisusa kuja kurangua izo bizaa,ilo soko si utafugia nguruwe?

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 Рік тому

      @User tulia kuma yako matakoni iwazi 😂😂🤣🤣

  • @amanam2735
    @amanam2735 Рік тому

    Machinga Complex imejaa?

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 Рік тому +1

    Zembwela huelewekagi tena siku izi.. hopeless.

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 Рік тому

      Tatzo kila jambo mnawaza siasa ndo shida

    • @lucasmhagama8166
      @lucasmhagama8166 Рік тому +1

      Wewe akili yako ndio haieleweki ndugu sasa kosa la Zembwela nini hapo? Visilani tu

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 Рік тому +1

      Hilo jina tu unajua kabisaa hii ni hasara 00 akili 😂😂🤣🤣

    • @altonkanjolonga2380
      @altonkanjolonga2380 Рік тому +1

      heshima yake yote imenunuliwa aibu tupu

  • @KelvinMtavangu-ow8yo
    @KelvinMtavangu-ow8yo Рік тому

    KUMBE WAZAWA TUNAWEZA MIRADI MIKUBWA? HONGERA SANA. KULIKONI BANDARI ZETU? NADHANI TUMEKENGEUKA TU. HADI WAARABU WAMEPEPERUSHA
    BENDARA YETU KWA KUSHEREHEKEA JAMBO LAO?

    • @eng_jocha
      @eng_jocha Рік тому

      Mwenye nyumba anampangisha mpangaji afu mpangaji anafanya sherehe kumpongeza mwenye nyumba ujue ndani hiyo nyumba kuna.......(malizia mwenyewe)

  • @barutiabuu9492
    @barutiabuu9492 Рік тому

    Huu nimrad wa faida zenu na familia zenu ila sio kwasababu ya mtanzania acheni kuwaongopea watanzania sisi hatujasoma ila akili tunazo mnakuja kuuwa soko la kariakoo ambalo ni watanzania ndiowako hapo acheni kutuona sisi hatuna akili

    • @jumamnemo8383
      @jumamnemo8383 Рік тому

      Maneno matatu ya mwisho katika comment yako.yanakueleza ulivyo

  • @daudimazengo7772
    @daudimazengo7772 Рік тому

    Mhhhhh hapo Tanzania ya viwanda imebaki story.
    Itakuwa Tanzania ya already made materials.
    Chezea ngozi nyeupe wewe

    • @emilbocco5895
      @emilbocco5895 Рік тому

      Kwani viwanda vikijengwa Tanzania ,hizo bizaa wataziuza kwenye soko gani? Tembeleeni nchi zilizoendelea ndio mtajua huu mradi unamaana gani,