Maamuzi ya CHADEMA baada ya Sugu kuhukumiwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 77

  • @maryammbogo9612
    @maryammbogo9612 6 років тому +3

    Mungu yupo na haki itatendeka. Adhabu na hukumu ni batili.

  • @yasinjames556
    @yasinjames556 6 років тому

    one love prof, hope right is just around da conner keep da struggle up

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter2592 6 років тому +6

    Kuna baadhi ya watu wana comment utadhan mambo haya yanayofanyika ktk nchi yetu kwasasa ni yenye haki.

    • @wanenetv9672
      @wanenetv9672 6 років тому

      DAWA ZA ASILI/TIBA ZA ASILI/: ua-cam.com/play/PL_DSXHfkoymz_mON4Y4rJ7Tu9HulfT8W7.html

    • @maillewilfred3787
      @maillewilfred3787 6 років тому

      sasa kisicho haki kipi watu wanalopoka kama wanaishi sayar yao peke yao msilete siasa kwenye ukwel huo ni unafk tu

  • @emmanuelathony2184
    @emmanuelathony2184 6 років тому

    fanyen kwel

  • @masumbukojackson8425
    @masumbukojackson8425 6 років тому

    jaman mnafikir siasa mtaenda nazo kaburin? jifunzeni kupitia mwenyekiti wenu mbowe alivyo na hakili nyingi,

  • @maulidmango5575
    @maulidmango5575 6 років тому +4

    Hii nchi ina manyumbu wengi kuliko simba, KAZI tunayo

  • @mako331
    @mako331 6 років тому +7

    We have to respect the President and the tittle that he's carrying, nyie tukiwapa nchi itakuwa nchi ya matusi na vurugu so ndio mnachotetea

    • @saidaali9379
      @saidaali9379 6 років тому

      makoiga mg naona kuna salama watu wanatekwa wengine wanauliwa kinyamahongera baba una moyo mgumu

    • @maillewilfred3787
      @maillewilfred3787 6 років тому

      +Saida Ali walio tekwa wametekwa na nani na walio uliwa wameuliwa na nani?

  • @hakizajohn4395
    @hakizajohn4395 6 років тому

    Kama maamuzi yalifanywa sio sahihi...kateni rufaa ili haki itendeke!!!Binafusi nskuombea Sugu ushinde na uweze kuendelea na majukumu yako,kama ulivyoaminiwa na wananchi wako.

  • @franklewice8133
    @franklewice8133 6 років тому

    Chadema ni kikundi cha wahuni tu, kuanzia mbowe mwenyekit had wanachama wao, hopeless

  • @hashimcheppa1658
    @hashimcheppa1658 6 років тому

    Jamani mazoea aina nafasi kwenye awamu ya..tano

  • @sadickrajabu4536
    @sadickrajabu4536 6 років тому

    Mhm kudadeki safi raisi bora

  • @gervastweve8612
    @gervastweve8612 6 років тому +9

    kuna mijitu ina comment ujinga utadhani nchi inaendeshwa kwa haki kwel

    • @kasimukinjuge1109
      @kasimukinjuge1109 6 років тому

      watu bana akiuwa MTU kimya ila akihukumiwa et tii sheria

    • @abdalahmohamedi1806
      @abdalahmohamedi1806 6 років тому

      Gervas Tweve si ndio hapo taifa limeshapotea hili

    • @gervastweve8612
      @gervastweve8612 6 років тому +1

      abdalah mohamedi yaani mimi nayashangaa matanzania mengne yaan xjui kwann hawapendi kuendana na ukwel ,bali kuwa bendera tuu

    • @abdalahmohamedi1806
      @abdalahmohamedi1806 6 років тому

      Gervas Tweve yaani mm hicho ndio nakishaangaa ndio maana kenyata alimwbiaga nyerere anaongoza maiti

    • @malickmakatta6089
      @malickmakatta6089 6 років тому

      mnataka nani afungwe sasa kwahiyo sheria kwao isitumike, itumike kwa wengine, hakuna aliye juu ya sheria

  • @shufaamohameed2603
    @shufaamohameed2603 6 років тому

    IPO siku haki itatendeka uongozi huu ni Wa mbavu sn

  • @musamabura5200
    @musamabura5200 6 років тому

    Time will tell

    • @georgegazo1231
      @georgegazo1231 6 років тому

      sugu kitu gani sana fungwa mitume na manabii sembuse sugu. Afungwe tu aishike adabu.

  • @maryamennock5844
    @maryamennock5844 6 років тому

    yani kuna ma mtu ni mbululazi yanacoment as if ni haki walichofanyiwa

  • @aloycemalya4701
    @aloycemalya4701 6 років тому

    Makuma nyie na atatoka tu

  • @justinesagaya371
    @justinesagaya371 6 років тому +1

    tatizo lenu mnajifanya mnaelewa kila kitu kumbe upuuzi tu..... na mtanyooshwa hadi muelewe

  • @faidhangaga4757
    @faidhangaga4757 6 років тому

    Nimegundua hakuna kitu kinachokera kama comment za UA-cam,yani it seems raia wa UA-cam wengi hamnazo kuliko mitandao yote duniani mxeewwwww

  • @davidchungu1806
    @davidchungu1806 6 років тому +3

    NASHANGAA IKO MIJITU INACOMMENT UJINGAA UJINGA. YAANI MNAFURAHIA WATU WANAONEWA WANAFUNGWA BILA SABABU ZA MSINGI!! KWELI WATANZANIA MMEROGWA,

    • @yugakiyumbi9909
      @yugakiyumbi9909 6 років тому

      DAVID CHUNGU, Wewe ndio umelogwa na unaandika upuuzi, nchi hii inaongozwa kwa misingi ya sheria. Unaamka asubuh na bangi zako unatukana Rais, ww ni nani had uachwe. Chadema na mashabiki wao wote nyumbu tu. Amehukumiwa na mahakama uonevu uko wapi, mawakili walikuwepo ,wanasheria wake wote walikuwepo mbona hawajamtetea akashinda kama hana hatia?. Acheni ushabiki wa kisenge. Ucwe kama unafirwa mkunduni. Kasome sheria za nchi na katiba ndo uje uropoke huku. Mpuuzi wewe

    • @davidchungu1806
      @davidchungu1806 6 років тому

      yuga kiyumbi MISINGI YA SHERIA UNAIJUAWEWE? KAMA UNAIJUA USINGECOMMENT UJINGAUJINGA!! UNATAKIWA UTAMBUE SASAHIVI HAKUNA SHERIA KUNA UBABE NA UONEVU.TU. SHERIA YA UPANDE MMOJA ULIIONAWAPI?!!! HALAFU UNAKATAA HUJAROGWA BUREKABISAWEWE,

    • @davidchungu1806
      @davidchungu1806 6 років тому

      Hendry Kisanga SINA MDA WA KUJIBIZANA NA WATU WA JINSIYAKO NITAKUA NAJIDHALILISHA TU,

    • @yugakiyumbi9909
      @yugakiyumbi9909 6 років тому

      Ni sheria IPI inaruhusu kutukana ?

    • @davidchungu1806
      @davidchungu1806 6 років тому

      yuga kiyumbi UNAMUULIZANANISASA?!! IULIZE AKILIYAKO. KWANI WEWE UNAIJUAHII KESI MWANZOMWISHO AU UNAJUA KUCOMMENT TU. HOVYO!!!

  • @maxgerad5083
    @maxgerad5083 6 років тому

    Mnataka afungwe nani??

  • @yusufkey4032
    @yusufkey4032 6 років тому

    jamani watanzania kuwe wazalendo stop comment stupid things these guys are behind our enemy's hata hawawezi kujiamulia there on things wa na subiri malaya wao@ mange kimambe ndio nn ...ebu wtz mkuwe wazalendo many of you u don't know the beauty of this country..mtoke tz afu mtajuwa....

  • @daudimaguha9447
    @daudimaguha9447 6 років тому +1

    Mclie lie,,, wajameni, mnyika yupo,, msigwa yupo yule jamaa wa mungu,, 😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @abdallahmkumbi7859
    @abdallahmkumbi7859 6 років тому

    Bado heche

  • @abelsabibi6192
    @abelsabibi6192 6 років тому +2

    heshima na nidhamu ni muhimu,,ukirudia kuendeshwa na mihemuko utaitesa familia yako

  • @ezapesambili2902
    @ezapesambili2902 6 років тому +1

    Sugu ww bado mdogo kwenye Nchi ya tz Usiwa ige kina Zitto kabwe wana mkondo mref

  • @arqamhaiadar1835
    @arqamhaiadar1835 6 років тому +4

    Viongozi mnafaa kuwa waadilifu ili watu waige mifano mizuri kutoka kwenu

    • @victorngowa8876
      @victorngowa8876 6 років тому

      Arqam Haiadar jielewe na wewe bhana khaaaa kosa lake nn

    • @Dr.lyana2024
      @Dr.lyana2024 6 років тому

      Arqam Haiadar video yaxxx

  • @abelsabibi6192
    @abelsabibi6192 6 років тому +3

    dogo Sugu,,hii nchi sio yako,we ni mtu mdogo sana ktk nchi hii,,tumia akili yako vzr kwani utapita wala si mbali sana,tazama hatima yako dogo

  • @deisywlibrt3332
    @deisywlibrt3332 6 років тому

    Adabu utakuja

  • @shaibumkanda9194
    @shaibumkanda9194 6 років тому

    Hii inchi ya ccm wengine hatuwajui

    • @magrethfifi7633
      @magrethfifi7633 6 років тому

      ccm ndowanaakili kuliko chama chochot tz

  • @yusufkey4032
    @yusufkey4032 6 років тому +1

    wengine wana kufata kule jela you have to respect our president idiot people mtajuwa kuna srkali watu wa chache hawawezi kutu choganisha watanzania

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 6 років тому +2

    Aombe kifungo cha njee ila awe na adabu

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 6 років тому +8

    Mdo mjifunze kutii sheria sio kila kukicha mnaamasisha ujinga tumechoka.

    • @shafiiislamttv251
      @shafiiislamttv251 6 років тому +1

      shemela ruhinda zamwamwa ww Hajielewi unashabikia ukuda

    • @reinaphilbert9465
      @reinaphilbert9465 6 років тому +1

      shemela ruhinda pole nahis umeongea bahat mbyaa

    • @greatthinker370
      @greatthinker370 6 років тому +2

      Tumechoka au Umechoka

    • @victorngowa8876
      @victorngowa8876 6 років тому +1

      Shemela ruhinda kafirwe uko ujielew wewe limbuken

    • @shemelaruhinda6113
      @shemelaruhinda6113 6 років тому +2

      Victor Ngowa Hizo kauri ndizo zinazo waponza na bado mtaozea magerezani nitukane tena nitakulipa.

  • @sebastiansalamba8236
    @sebastiansalamba8236 6 років тому

    Tumewachoka tumewachoka tumewachoka hatuna haja ya makesi yenu maneno ya kijinga tumechoka yafuteni vingine hasa ya ufisadi kutetea maslahi ya nchi mnatumia rasilimali fedha,watu vibaya tumechokaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 6 років тому

      Sebastian Salamba pumzika

    • @henryrono7325
      @henryrono7325 6 років тому

      Nchi ya Tanzania ilikuwa na Sheri kipindi cha Mwl.J nyerere kwa inaendeshwa kiubavu tu!