3 - KUANGUSHA NGOME ( 13 NOV 2024 ) | MJAKAZI EUNICE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024
  • Whatsapp 0625553365 | CALLS 0759377463

КОМЕНТАРІ • 10

  • @ChristanahChristanah-oo8jn
    @ChristanahChristanah-oo8jn 18 днів тому

    Glory be to Jesus Christ

  • @user-ok5zy3br2g
    @user-ok5zy3br2g 16 днів тому

    Amen barikiwa sana

  • @marthambarikiwa7811
    @marthambarikiwa7811 17 днів тому

    Amen

  • @paulomtweve3819
    @paulomtweve3819 18 днів тому

    Bwana ainuliwe

  • @CosmasIddy
    @CosmasIddy 16 днів тому

    Nina swali Mtumishi
    Roho mtakatifu ni nani? Na anafaida gani kwa mtu?

    • @goodvictoryeunice
      @goodvictoryeunice  15 днів тому

      Yohana 1:1
      Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
      Yohana 1:14
      Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
      Yohana 4:24
      Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
      Yohana 14:26
      Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.
      Zaburi 32:8
      Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea; Nitakushauri, jicho langu likikutazama.
      MUNGU = ROHO MTAKATIFU =YESU KRISTO
      ■ Msaidizi ■ Mwalimu ■ Mshauri