JINSI YA KUANGUSHA NGOME PART-2 || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 15/09/2022
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa
Asante kwa mafunzo yko mazuri pastor and God bless you 🙏🙏🙏
Through you man of God I started speaking in tongues when man of God arome was preaching am Elizabeth from Kenya
God bless you man of God
Mchungaji Mungu akubariki sana, neno hili limekuja kwaajili yangu.
Baba Mungu aendelee kukutunza na kuilinda huduma yako....Ahsante Sana kwa SoMo zuri baba🙏
Amen kwasasa nimetoka Kwajina la yesu kristo
Asante kwa mafundisho yenye nguvu unaniinuwa sana pastory 26:40
Mungu akubariki kwa mafundisho unayofundisha kanisa
MUNGU akubariki mtumishii
Mungu akubariki sana mtu wa Mungu
Amen Amen Amen 🙏
Mchungaji umezaliwa kwajiliyetu mwaga baraka
Asante ntumizi wa mungu
Amen
Ooooh Hallelujah nimepata kitu kipya mungu akubariki sana mchungaji Aminaa 🙏🙏🙏🙏
My Lord!My God!Pastor of my season....Bless you up!!
Asante mtumishi kwa somo Hilo limenibariki Sana ubarikiwe Sana 🙏
Shikamoo baba leo unanipiga za usotu , yooote unayo yaongea niyangu kabisa , napata pesa nyingi sanaaa lakin nazitumia ovyo , lakini kwaneno hili , naamini nitapona
Mtumishi Mimi Niko Saudi Arabia na hili neno limeeleza kile ninachopitia sasa naomba usimane nami katika maombi ya kuangusha ngome za kiza. magonjwa
Nabarikiwa sana na mafundisho ya chanel hii