Wewe nenda mle ndani angalia shagara bagara zilizomo, kila mtu anajifanyia anavyoona yeye, mapishi kila kona, magenerator hovyo, nyaya za umeme nje nje, yaani ni umaskini tu wa akili, soko la kariakoo linatisha.
Kwanini Kila siku kariakoo maduka yanateketea kwa moto¿?✅ Wanataka kuIjenga kariakoo wajenge lqkini sio kutia watu hasara kwa kuchoma biashara za watu..... Kesho utaona pale palipochomwa... Wanajenga.. upya.. hizi diplomasia tu... Wachachee wataelewa comment yangu🥴
mm ndomana niliamisha biashara zangu zote nikaamia huku nchini DRC Congo mana k koo kila kukicha n moto na migomo wafanyabiashara wenzangu karibuni sana Congo pia poleni sana na wateja wng karibuni Congo kwenye maduka ya moshi futures kwa bidhaa mbali mbali za nyumban
Kuna watu wamefeli kulipa mkopo wa bank ndio wanafanya mamb kama hayo makusudi ili bima waweze kulipa generator ilo kusababisha ajil kivip watu wachunguze ila ipo namna hapo
AYO MAMBO SKIA KWA MWENZAKO,,,IMAGINE NDO KAJUMBA KAKO KAMOJA,,UNAKOKATEGEMEA,,,NA WENGI HATUKATI BIMA ZA NYUMBA,,NI KUUZA KIWANJA AU MABOSI WAINGIE UBIA..
Kuna mtu analalamika (afu mpira wenyew mbovu)sasa hii nchi haya Zima moto la hapo mjini Lina mpira mbovu je mpira mzuri watataka wakautumie wap sasa na wakati hapo ndo sehemu ya kwanz kuchukua ushur na Kodi zaoo.dahh poleni ndugu zetu
apa ndo nimeelewa kua kwanini yule jamaa anaejiita yamungu aliimba wimbo unaoitwa baba mwanzo nilikua nausikiliza lkn sikuelewa maana yake ila kwa hapa ndo nimeelewa maana ya ule wimbo
Ajali imeandikwa ispokua serekali imeshindwa kusimamia mji kila mtu anafanya atakalo leo barabara zote zimefungwa pakupita huna faya itapita wapi mwenye njumba hana haki ya kupitambele ya mlango wake watu wakikosoa wanaonekana wachochezi dunia gani mmeona mji unakua kila pahala biasharA pakupita huna vurugu tupu lazma serekali itumie wajibu wake na isiogope kutumia sharia huruma ikizidi nidhamu inaondoka
Poleni sana jamani mliounguliwa na biashara zenu Inshallah Allah atawapeni badiliyake na vilivyobora zaidi
Dah Mungu awabaliki na wapate zaidi walicho poteza wote waliopata hasara kwa maduka yao sema amina..🙏
Amen
AaaminaYaarabi
Amiin Yaarabb 🤲
Amin
Amina
Dyuuuu mwenyez mungu atuepushe na hiz ajali
Mpango wa kuborsha ilo eneo, mbinu ya kutoa watu kwa lazima
@@joshuanassary5072 tatizo hao watu hawaangaliwi na wakitolewa bila kupata mbinu ya utafutaji utazalisha wezi
Unakalili maisha hyo nyumba ya mtu binafsi kapangisha mpango unatoka wapi
tatizo nini mbona tunagombana wenyewe kwa wenyewe mbona watanzania hatupendani? Ndo maana hatuendelei kwasababu misimamo yetu ni ugomvi za kipuuzi
Polee sanaa wahanga. Mungu atawafungulia ridhi mtapatazaidi ya kiloteketea. Aminii
Hapo kariakoo kunawatu wanachezea maisha yawatu.watu wamewekeza sana hapo kariakoo.
Yaani vipi?
Eti Kila Leo moto Kariakoo litafutwe suruhisho la kumaliza moto huo
@@aly_asgarkuna watu wanachoma makusudi kwa ajili ya kupata Bima. Inawezekana kabisa
Wewe nenda mle ndani angalia shagara bagara zilizomo, kila mtu anajifanyia anavyoona yeye, mapishi kila kona, magenerator hovyo, nyaya za umeme nje nje, yaani ni umaskini tu wa akili, soko la kariakoo linatisha.
@@saimonntani6831 ni kuni kwahio imelipua genereta
Pia msisahau kusikiliza nyimbo yangu yakwanza MAMA najua wote munamama kama unampenda mama ako kasikilize mama yangu
Poleni Sana ndg zetu MUNGU awape moyo kuu MDA huu mgumu.
Poleni sana mungu awapeni nguvu inshallah 🤲
Kwanini Kila siku kariakoo maduka yanateketea kwa moto¿?✅
Wanataka kuIjenga kariakoo wajenge lqkini sio kutia watu hasara kwa kuchoma biashara za watu.....
Kesho utaona pale palipochomwa... Wanajenga.. upya.. hizi diplomasia tu...
Wachachee wataelewa comment yangu🥴
Lahaula walakuwatailabilah subhanaAllah
Ukute mwenye nyumba aliambia auze hiyo nyumba ili ijengwe ghorofa alikataaaa but watu wamekuja na plan B
Mchezo huo mbona inajulikana....usenge usenge tu.
Poleni sana kwa janga zito ilo mungu awatie nguvu
Pole wapambanaji Mungu awatie nguvu kupoteza malizenu!
Kufanya biashara ni risk ila kuwa na biashara kkooo ni risk zaidi daaah
Kwa mwenye akili ameshaelewa 😂😂
hapo kuna ndugu waligoma kuuza nyumba, wengine wameitia moto, maana hakuna wa kuirepair, ila sasa madalali watajitokeza wakishawishi hiyo nyumba iuzwe
Mtihani jamani kah Allah awatie nguvu waliounguliwa na vitu vyao
Polen sana jamani na hali ilivyo ngumu iv daah poleni 🙏
Poleni Sana mungu awatie nguvu
Wananunua v 8 m 600 fire mbovu du Africa viongozi wetu mtihani
😂😂😂😂😂
Aisee Afrika na majanga ya moto!!hasa hii nchi ya afrika mashariki..mungu tuokoe
Nawapa mwezi mmoja tuu ..hapo linasimama ghorofa
Allah awafanyie uwepesi. Inn shaa Allah.
Nimesikia moja ya mwananchi akihoji kuwa mipira ni mibovu, sasa msaada upo kweli
Jamani nyie watu wanahangaika na maisha tena wanapata janga la moto.
Poleni sana kwa kweli
Poleni wapendwa wetu jamani!
Hapana hapa kunanamna hii nchi saiv..😎 ngoja mwanasheria wang arud 😂
Jamani Mungu Ibariki Tanzania
Uzeni hicho kiwanja wenye hela zao wajenge Magorofa vijumba vyakizamani vyanini tena Karikoo?
Duu masikini kwa hali hii ya uchumi jaman poleni sana 😢😢
SubhanAllah 😢 poleni sana
mm ndomana niliamisha biashara zangu zote nikaamia huku nchini DRC Congo mana k koo kila kukicha n moto na migomo wafanyabiashara wenzangu karibuni sana Congo pia poleni sana na wateja wng karibuni Congo kwenye maduka ya moshi futures kwa bidhaa mbali mbali za nyumban
Duh ingine tena😢😢😢
Poleni sana but kila jambo lina sababu Mungu atawapa zaidi ya hivyo endeleeni kupambana 🙏
Ivi amnaga mbinu nyingine yakuboresha ilo soko nje na kuchoma mali za ummah😢😢😢😢😢😢😢
mungu awape nguvu
Kuna watu wamefeli kulipa mkopo wa bank ndio wanafanya mamb kama hayo makusudi ili bima waweze kulipa generator ilo kusababisha ajil kivip watu wachunguze ila ipo namna hapo
Zimamoto wa tz gari inaenda speed eneo la tukio kwa ving'ora vingi alafu kumbe halina hata maji ya kuzima moto.
Duuh poleni sana
Poleni sana dah Mungu atunusuru kwa kweli
Wafanya biashara hamtoi zakka ndio maana munaharibikiwa kila siku
we lini ulitoa
Ukiwasikiliza vizuri walio hojiwa unagundua watanzania hatuna elimu ya kujieleza
Poleni sana aisee
Poleni sana jameni Mungu awatie nguvu juu sio rahisi
Mungu awatie nguv wote
Jamani ee mungu kila mara watu wanapata hasara
OMG so sorry !May God stand with you all.
Poleni Sana apo ndo utajuwa faida ya bima
Lakini hivyo vinyumba vya kizamani vinafanya nini hapo kariakoo?
Mtihani
Jamani tutubuni hakika ili ni gharka,🤷😭🙏
Polen sana jaman hiyo ni hasara sana
Kuonge pia kipaji jmn..Suleman umenichekesha sana
Poleni sana kwa mkasi huu
Jamani kariakoo Kuna nini? Hili Sasa linahitaji uchunguzi zaidi. Haya mambo ya kuungua kwa soko la kariakoo limekuwa linajirudia.
Poleni sana Allah awatie nguvu
Kupata hasara kwenye biashar inauma sana poleni ndugu
Poleni wafanya bihashara 😢😢
Nyie tena k/koo🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Ila joto ni kali sana uwezekano wa milipuko sio ajabu jamani...poleni sana wenzetu
Subhana allah
AYO MAMBO SKIA KWA MWENZAKO,,,IMAGINE NDO KAJUMBA KAKO KAMOJA,,UNAKOKATEGEMEA,,,NA WENGI HATUKATI BIMA ZA NYUMBA,,NI KUUZA KIWANJA AU MABOSI WAINGIE UBIA..
Generator how
Hapo Kuna kamchezo kachafu
Hasara njoo kama ivo😅😅😅😅
Otea kabila lahuyu mwamba
Poleni San ndgu zetu
Kuna mtu analalamika (afu mpira wenyew mbovu)sasa hii nchi haya Zima moto la hapo mjini Lina mpira mbovu je mpira mzuri watataka wakautumie wap sasa na wakati hapo ndo sehemu ya kwanz kuchukua ushur na Kodi zaoo.dahh poleni ndugu zetu
Hawa Wana walio kuja na goma linaitiwa Kariakoo tuwaite manabii au 😂😂😂😂 akina lava na wenzake
Kariakoo panaungua kila baada ya miezi
Allahu Akbaru
Maisha acha yaitwe maisha ulala tajiri unaamka maskini
Lini tena iyo jaman
apa ndo nimeelewa kua kwanini yule jamaa anaejiita yamungu aliimba wimbo unaoitwa baba mwanzo nilikua nausikiliza lkn sikuelewa maana yake ila kwa hapa ndo nimeelewa maana ya ule wimbo
إنا لله وإنا إليه راجعون
Huu mchezo sasa kila baada ya mda kariakoo moto
Mungu watienguvu wafanyabiashala hawa
Innalillahi wainna ilayhi raajiun
Ukiangalia mazingira ya maduka na kimaendeleo ya Sasa mweny akili timamu ataelewa
kweli kabisa mwanngu hilo eneo soon linasimama gorofa...
Mbona zima fire 😂😂😂😂
Polen sana ndugu sangu watanzania
Dah hatari sana kila siku k/koo mtafanya wafanyabihara watakimbia ,maana si salama kwa Mali zao
Kweli aisee, Kila siku moto jaman huruma nawaonea😢
Shida ni tanesco wameunga nyaya hovyo kilasiku moto
Tena
poleni xqnaaa😭
Shida nini Kariakoo litafutwe suruhisho la huo moto jamani Watu wanapata hasara
Subhna Allah 😢
Poreni Allah awape subra
Hapo wanaondolewa kidizain ili watu waangushe ghorofa
Ajali imeandikwa ispokua serekali imeshindwa kusimamia mji kila mtu anafanya atakalo leo barabara zote zimefungwa pakupita huna faya itapita wapi mwenye njumba hana haki ya kupitambele ya mlango wake watu wakikosoa wanaonekana wachochezi dunia gani mmeona mji unakua kila pahala biasharA pakupita huna vurugu tupu lazma serekali itumie wajibu wake na isiogope kutumia sharia huruma ikizidi nidhamu inaondoka
Mbona nimesikia mwenzao anasema mipira yenyewe mibovu
Lini hiii
Some of you you forget God let the fire burn
Kama shida ni majenereta huo ni uzembe wa nchi
Allah atampeni badala
Poleni
Na hali ilivoo ngumu makini daah mtu unakufa na presha hapo
Poleni sanah
Poleni sana.
Isijekua ni hujuma ya wahuni fulani
Hi