Mji wangu: Goma

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 лис 2024
  • Mji wa Goma, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo upo katikati ya volkano hai na Ziwa Kivu. Unapakana na Rwanda na hukumbwa na machafuko ya makundi yenye silaha katika kanda hiyo. Ni mji wa mshairi Ben Kemuntu, na hapa anakukutanisha na wakaazi wa Goma ambao wakati mwingine hukabiliwa na kitisho cha vita na mripuko wa volkano Nyiragongo. #VijanaMubashara #77asilimia

КОМЕНТАРІ • 3

  • @ReubenTV
    @ReubenTV 2 роки тому +1

    Kumbe usalama upo ila watu ni waongo sana, me ningekuwa Goma sahv

  • @bnkundwa
    @bnkundwa Рік тому +1

    Goma is the center for food security.

  • @YgetteUwamahoro-oj2uf
    @YgetteUwamahoro-oj2uf Рік тому

    Bjr.uteza ni saidiya na address yenu niju yakazi ndakupa