Familia yaacha maiti nje ya mlango wa dadake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 922

  • @khalidyussuf971
    @khalidyussuf971 6 років тому +5

    Nashukuru mwenyezi mungu kuwa mwislamu sababu hatuna mambo ya kuzikana kwa shamba.alxamdulilah

  • @nantaledorah6126
    @nantaledorah6126 4 роки тому +50

    I don't know how many times have i watched this story!just to watch Wanjiko's teeth saying i have every thing every thing i have!!

  • @edwinmandela
    @edwinmandela 6 років тому +12

    Material possession over sibling sendoff! That’s how low mankind has gone.

  • @glorymoncharii1166
    @glorymoncharii1166 Рік тому +2

    May God strengthen and comfort the family

  • @johnmathu9268
    @johnmathu9268 3 роки тому +12

    Let the deceased family sue her and then she will explain to the court how the family land ended up in her name.

  • @dragochen1181
    @dragochen1181 4 роки тому +1

    Thank twice

  • @anneakinyi4916
    @anneakinyi4916 3 роки тому +2

    Kwa maisha yangu i have NEVER met mwanamke sura mbaya hivi.....huyu hata anafaa kupelekwa jehanamu achekeshe mashetani bcoz kwa msitu hata mnyama hawezi kumla kamwe......watatoroka

  • @TerryClarice
    @TerryClarice 5 років тому +9

    Niko na everything.. Everything I have..

  • @uwezowamunguutendaokazi3043
    @uwezowamunguutendaokazi3043 4 роки тому +1

    Amen amen. Wote tunazikwa kaburini. Uyo mzua maziko ajui ya mbele yake. Mungu atusaidie. Amen.

  • @millicentrinka5360
    @millicentrinka5360 5 років тому +9

    Spirits ought to be respected they are very powerful

  • @MwithalieBenardKimathi
    @MwithalieBenardKimathi 7 місяців тому

    Siku zote mungu atupee hekima ya kuchanganua mema maishani🙏🙏

  • @leahkairu2279
    @leahkairu2279 6 років тому +3

    Which type of people are are in this weak selfish world of today God have mercy 😭😭😭😭😭

  • @mzitoclassic545
    @mzitoclassic545 5 років тому

    Mungu atusaidie kwa hayo

  • @kevsimply5273
    @kevsimply5273 6 років тому +10

    Aaah Nani uyo anataka kugrab chaba ya mathee?😭😭

  • @MaryMary-ci2ek
    @MaryMary-ci2ek 2 роки тому +2

    Familia zingine ni mungu.

  • @cyrillkhasiahi8979
    @cyrillkhasiahi8979 2 роки тому +13

    The moment you allow matters of land inheritance culture to women you should expect more than this .

  • @patrickmugambi1176
    @patrickmugambi1176 2 роки тому

    From which country????

  • @kenya731
    @kenya731 3 роки тому +3

    Kwa hii dunia kuna watu na viatu you woman have a human heart he is your brother let his soul rest in peace

  • @mrsilas2987
    @mrsilas2987 2 роки тому +1

    aki our lovely mumbi ladies we fear you

  • @elizabethnthenge1271
    @elizabethnthenge1271 6 років тому +4

    I love Jesus

  • @jannet506
    @jannet506 6 років тому

    Mbona mawanjiku wanaroho chafu hivi ,,,Dah! Mamangu anaitwa wanjiku but she's the best mumy ever akijam utajua yuwaitwa wanjiku

  • @wanjamaria9911
    @wanjamaria9911 6 років тому +47

    Surely unaweza fanyia bro yako hivyo😠😠vile ako sura mbaya huyo mwanamke

    • @conceptahimbezi9979
      @conceptahimbezi9979 6 років тому +1

      Tami Tamina ata meno

    • @asenathmutua5311
      @asenathmutua5311 6 років тому

      Everything I hafu...she is so stupid...

    • @anastaciaw9806
      @anastaciaw9806 6 років тому

      Tami Tamina imaging ameniuthi sana yaani ananyangaya watoto wao shamba atakufa kama ghasia

    • @eliudgitau8905
      @eliudgitau8905 6 років тому +1

      nancy wanjiku surely huyu adhania akifa atazikwa na nani hii nilaana bro yake anamuonea kwa umbali ya dunia hulipiwa hapa hajui ana muda upi wa Kuishi,shame on her.

    • @wanjamaria9911
      @wanjamaria9911 6 років тому

      Eliud Gitau # umenena 👍👍👍

  • @Metrinelmbenzi
    @Metrinelmbenzi 11 місяців тому

    😢mwenyezi mungu awaraisishie

  • @bantuempress1744
    @bantuempress1744 6 років тому +16

    Only 4by 6

    • @essynimst8319
      @essynimst8319 6 років тому +2

      chriss cherry seriously!!out of a whole 3 acre.Even if its yours not your mothers,just out of blood ties you cant do it??Mungu akuone sana

    • @faithklove9419
      @faithklove9419 6 років тому

      chriss cherry imgn hii ni laana

    • @faridakangethe9059
      @faridakangethe9059 6 років тому +2

      Can you imagine na yeye pia akifa ataliacha tu

    • @dennismandere1903
      @dennismandere1903 6 років тому

      chriss cherry imagine my dear only 4 by 6

    • @SupergirlLizz
      @SupergirlLizz 6 років тому

      Sad...😔😔😔😔

  • @claudiusochola5017
    @claudiusochola5017 3 роки тому +2

    Wooooow🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @shamreenkhaemba3674
    @shamreenkhaemba3674 5 років тому +4

    This is a wicked woman, hii ni tamaa ya aina gani kweli, your own brother surely, will she live forever,

  • @childofthemighty1341
    @childofthemighty1341 3 роки тому

    OmG. How sad.

  • @richardray2680
    @richardray2680 6 років тому +5

    This woman deserves all the curses she can get! It's your mothers land and its your brother. How greedy and evil can you be!

  • @bridgesypropertiesagencylt539
    @bridgesypropertiesagencylt539 4 роки тому +1

    My God.

  • @brigidmua9558
    @brigidmua9558 6 років тому +7

    Aibu

  • @danielamwayi3887
    @danielamwayi3887 3 роки тому

    Poleni sana

  • @dubabaxakazoom.5530
    @dubabaxakazoom.5530 6 років тому +5

    Giving value to a land than a brother ... sad indeed...kila mtu atauwacha hii dunia bila lolote only ur dead wll follow us..madam change

  • @marylutengano1555
    @marylutengano1555 3 роки тому +1

    Niko na everything!!!😂😂

  • @blesdgal379
    @blesdgal379 6 років тому +15

    Ww mjinga umezaa kweli ??,umukane ndugu yako adi kifo ..waah

  • @samuelmwangi9209
    @samuelmwangi9209 3 роки тому

    haiya. kwani space ya kuzikwa inatoshanaje?

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 6 років тому +19

    Makubwa haya sasa nipicha gani hii dou Mungu wangu huyu dada muuwaji roho mbaya akifa yy itakuaje na atawacha shamba muoneni meno.meusi hapigi mswaki

  • @rukiabari9431
    @rukiabari9431 4 роки тому

    Si sawa

  • @sergeantshii3880
    @sergeantshii3880 6 років тому +6

    Wat a shame! !
    Je, ukifa sasa hivi itakuaje.?

  • @frenkmasanja63
    @frenkmasanja63 Рік тому

    poleni sana

  • @roseirungo1950
    @roseirungo1950 6 років тому +64

    HAHAHAHA yaani mnamfanya hadi wanjiku aongee kingereza lol😬

    • @kaboom4180
      @kaboom4180 6 років тому +3

      Rose Irungo acha.ujinga😂😂😂😂😂 izo meno

    • @eunicenelima9485
      @eunicenelima9485 6 років тому

      Rose Irungo 😂😂

    • @hammerQ954
      @hammerQ954 6 років тому +6

      Rose Irungo 😂😂everithing i have 😃😃

    • @winfrednjambi1526
      @winfrednjambi1526 6 років тому

      😂😂

    • @naomienelly8398
      @naomienelly8398 6 років тому +2

      😂😂😂😂😂 everything everything I have

  • @blessedbrenda3624
    @blessedbrenda3624 6 років тому +11

    This lady can someone tell her that she might be the next in line she's just soo heartless like as if she will live 4ever God🙆🙆 we have nothing on this earth

  • @anglejuma187
    @anglejuma187 4 роки тому

    Jaman kweli kenya mna shida sana

  • @franciswambugu8444
    @franciswambugu8444 5 років тому +5

    you come here to the earth without everything and you go back without everything 1stTimothy chapter 6:6

  • @rukiabari9431
    @rukiabari9431 4 роки тому +1

    Ndugu yako kweli kwa wakati huu mgumu unakataa azikwe eeeh! Mungu tunusuru na. Akili hizi yarab............ Meno mabaya akili mbaya zaidi Mungu atakuhukumu

  • @severinifulgensi2686
    @severinifulgensi2686 5 років тому +5

    Huyo ana wazimu mtu anazikwa sehemu ya ukubwa gani?si 3*6 tu?

  • @zakariamaganga6785
    @zakariamaganga6785 4 роки тому

    Emmanuel,richard

  • @aliceamanya6457
    @aliceamanya6457 6 років тому +99

    Ngumi moja kwa hizo meno akiamuka mazishi imeisha

    • @jirajuma8654
      @jirajuma8654 6 років тому

      Alice AMANYA Chinekee 🤣🤣🤣

    • @rukiahassan9959
      @rukiahassan9959 6 років тому +2

      Alice Amanya hhhhhhh umenichekesha sehemu ambayo sistahili

    • @trizaanjeri2574
      @trizaanjeri2574 6 років тому

      Hahaha... Umenena

    • @carenngesa5461
      @carenngesa5461 6 років тому

      Alice AMANYA 😂😂

    • @cipladapretty8617
      @cipladapretty8617 6 років тому

      Alice AMANYA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uwiiiii

  • @esthergathoninganga9556
    @esthergathoninganga9556 4 роки тому +1

    Shame shame kwani 6/6 akizikwa ni acre moja😠😠😠shindwe wewe na meno😬😬😬😷😡😠

  • @marygatumi6019
    @marygatumi6019 6 років тому +52

    Sasa huyo mama akiona hio geneza ya bro yake anasikia aje?Uko na everything including meno mbaya.

    • @TerryClarice
      @TerryClarice 5 років тому +1

      Pwaaaaahhhhaaa...nimecheka mpaka nikalia...

    • @neemajuu7243
      @neemajuu7243 5 років тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @abubakaryomary3985
      @abubakaryomary3985 4 роки тому +2

      Ana meno mabaya kama ya fungo aisee angekuwa karibu yangu ninge mtia ngumi moja yange n'goka yote ni mshenzi ana roho mbaya

    • @rehemamlaponi216
      @rehemamlaponi216 4 роки тому +1

      Haha haha mijino kama ngiri

    • @daviddavido8473
      @daviddavido8473 4 роки тому

      Poanoo

  • @bettynyambushh1936
    @bettynyambushh1936 5 років тому +1

    I will comment later pliz,,, I'm at the hospital, my daughter swallowed memory card 16GB and now she has sang all the songs,,,, pray for her pliz she no reach videos😏😏

    • @slimmy.b1520
      @slimmy.b1520 4 роки тому +1

      Are you sure what u say?????????

  • @africamakikia7459
    @africamakikia7459 6 років тому +38

    Watu wanyeri mlikozea wapi lakini bro wako una mukana Heheee ajabu

    • @magdalinebosibori995
      @magdalinebosibori995 6 років тому +1

      Lilia Akwan ni Alana hiyo

    • @anntabz4193
      @anntabz4193 6 років тому +2

      Magdaline Bosibori Alana ni nn???..curse ama....."laana" si Alana

    • @africamakikia7459
      @africamakikia7459 6 років тому

      Ann tabz ni poa my dear sometime madishi ina matatizo kidogo i understand ❤❤

    • @africamakikia7459
      @africamakikia7459 6 років тому

      Magdaline Bosibori aminia kipenzi

    • @rebeccanyambura223
      @rebeccanyambura223 6 років тому

      Lilia Akwan imagine ...na vtu Za dunia unakufa unaziacha tu

  • @michaelwanda3396
    @michaelwanda3396 6 років тому +8

    Your own bro????????hii nayo ni serious walahi bilahi

  • @thomasnduati5188
    @thomasnduati5188 3 роки тому

    Niko na everything everything i have😀😀

  • @gladysjack1003
    @gladysjack1003 6 років тому +19

    Vijemeno Kama jini👹👹👹

    • @amirsab1158
      @amirsab1158 6 років тому

      Gladys Jack hahahahaha

    • @chareemuchareemu1197
      @chareemuchareemu1197 6 років тому

      😂😂😂😂

    • @joiceanne8195
      @joiceanne8195 6 років тому +1

      Gladys Jack ...u made my madaka walai aty Jini 😂 😂😂😂😂😂😂lol

    • @gladysjack1003
      @gladysjack1003 6 років тому

      Annise joy aki binadamu nika anakulaga mchanga hio meno.... apana

    • @dennismandere1903
      @dennismandere1903 6 років тому

      Gladys Jack hahaha

  • @gladysnanjalamisiko7883
    @gladysnanjalamisiko7883 4 роки тому

    Poleni

  • @lizliza5948
    @lizliza5948 6 років тому +7

    Yani unamkana bro yako? ata ww njia Ni Iyo Iyo tu...pia ww utakanwa tu hivyo😏😏😏

  • @josphinemumo8503
    @josphinemumo8503 2 роки тому

    Ai......😭😭😭😭

  • @BEST_LYRIC
    @BEST_LYRIC 2 роки тому +4

    God have mercy. My brother has done the exact same thing, and worse still my mother is homeless and seems powerless. As a family we are still in a state of disbelief. How greedy can a human being be???

  • @wanjirudaizy4497
    @wanjirudaizy4497 5 років тому +2

    I have everything I have really

  • @felistasmaina5132
    @felistasmaina5132 6 років тому +5

    Niko na every thing I have

  • @janerosejuma5840
    @janerosejuma5840 2 роки тому

    Kwani Wakikuyu pia hung'ang'ania mashamba? Mtu amefariki hata achukuwi place kubwa woyee!!😭😭😭

  • @millicentadhiambo3080
    @millicentadhiambo3080 6 років тому +3

    May the soul of the brother rest in eternal peace!!!According to my community...this Wanjiku shouldn't be talking about land ya mamake....his brother has right to the land more than her....she should be claiming land elsewhere i.e where she's married...hope the late brother shall forgive her.

  • @bittymukhwana4616
    @bittymukhwana4616 5 років тому +1

    Greeed

  • @lavenderlucy3444
    @lavenderlucy3444 6 років тому +8

    Jesus mama alinunulia watoto wake wote shamba kaburi tu ,tulikuja bure na tutarudi bure

  • @marywangare109
    @marywangare109 2 роки тому +1

    Rest in peace baby girl may God protect you were are

  • @zinapzinap5665
    @zinapzinap5665 6 років тому +6

    mbona tunabiaca kwanini hamujifunze kwa uyo marehemu nibingapi amebeba wazike mwiliwake

  • @loisewambui2185
    @loisewambui2185 6 років тому +11

    saitani,hiyo shamba wagawe,sasa hivi,kila mtoi sehemu yake, kabla ya mazishi, ndio ajue ni Mali ya mama yao wote

  • @mildredtsisika
    @mildredtsisika 2 роки тому

    You have everything! So?

  • @tinahtinychristen5492
    @tinahtinychristen5492 6 років тому +9

    Sawa basi na "mijino " yako utapambana na ghost baadae, saitaaan😡😡he's ur Bro nkt

  • @bancypius6919
    @bancypius6919 3 роки тому

    Really 🙆🙆🙆🙆

  • @alujessy210
    @alujessy210 6 років тому +5

    mwachieni hilo jeneza hapo meno yenye yametoka utadhani yuataka kulima nayo mcheeeeew kama ni mm huyo marehemu ungejuta ww mbwa koko

  • @agnesmaizah3834
    @agnesmaizah3834 3 роки тому +1

    Huyu jezeb after 3 yrs ako wapi🤔 citizen si mrudi uku mtwambie

  • @shixsteve5705
    @shixsteve5705 6 років тому +16

    Roro yako imeoza kama hizo vijimeno zako,sura kama chura imekufa nkt!

  • @manuandera3151
    @manuandera3151 2 роки тому

    After Everything ya pili niliexpect wanjiku amwage ngoso lakini wapi😂😂

  • @PramodKumar-dy3iu
    @PramodKumar-dy3iu 6 років тому +37

    Every thing u hv.ok kula ndugu yako huna aibu ukinyang'anya watoto wenu shamba na vile umezeeka?

    • @evafrancis225
      @evafrancis225 6 років тому

      Lol.. its sad though

    • @modestarmunjal2718
      @modestarmunjal2718 6 років тому +1

      Waah,I thought ni kwetu ,hata kwenu wapo...sisi tulinyang,anyway wakati huyo alichukua kufa nilidhadi ata ataroliwa kwa shamba yote aende ,hehee,kumbe ni 4by6t,huwa naona t shamba hapo ,nkt wanadamu

    • @virginiahwamahiu7312
      @virginiahwamahiu7312 6 років тому +1

      I would sweet talk Wanjiku drive her to Molo leave her in a hotel but her lunch???and update my guys at home to proceed with the burial tuchimbe shimo same day ??? Before she is back hehehe

  • @salometindi9751
    @salometindi9751 3 роки тому

    Kaburi hutake place kidogo sana.why

  • @joiceanne8195
    @joiceanne8195 6 років тому +4

    The way Iove my brother huyu badala aomboleze... Kuongea kizungu mwitu vitu za dunuia mathy wewe utazikwa hewani au Acre ngapi Watu wapedane jamani

  • @neliamutamera2094
    @neliamutamera2094 4 роки тому

    Anyone explain to me pliz

  • @deejaypillo1111
    @deejaypillo1111 5 років тому +5

    Wakikuyu hukua warembo...huyu wanjiku joo 🤔

  • @neliamutamera2094
    @neliamutamera2094 4 роки тому

    English pliz

  • @wlkmwlkm8486
    @wlkmwlkm8486 6 років тому +5

    Hahaha hahaha. Wanaitwa wakikuyu. Angeachiwa mali na marehemu hangetoa meno makubwa. Hahaha hahaha mali Kwanzaa maiti badae

  • @jastonwiliam2379
    @jastonwiliam2379 4 роки тому

    Pole

  • @elisawangare3296
    @elisawangare3296 6 років тому +3

    Surely na shimo ni space kidogo tu si aache azikwe ama amkule kinogo

  • @wambui185
    @wambui185 2 роки тому

    Imagine unafanya bro yako hivi na amekufa akuna siku atafufuka mubishane, na jee bwana ako🤔🤔hee wanaume muna nguvu kama huyu yuko na mshikaji✌🚶🚶

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 6 років тому +6

    Huyo akiwa my sister naeza mchapa vibaya

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 3 роки тому

    Huruma iko wap Kenya,,,???

  • @kenyafinest964
    @kenyafinest964 6 років тому +14

    Greed is such an ugly thing. She’s so caught up in being the owner of the land she acquired fraudulently that she will refuse her own flesh and blood to be laid to rest. It’s sad.

    • @lungiao229
      @lungiao229 6 років тому

      Kenya Finest
      She's evil that's why her teeth are brown. She doesn't have time to groom herself she's chasing land. Is she going to go to the grave with this land? That's why Satan made her ugly she doesn't belong to the kingdom of God.

  • @levindalolalola7255
    @levindalolalola7255 5 років тому

    Mungu ampumzishe kwaamani

  • @mamajoan6270
    @mamajoan6270 5 років тому +6

    Wanjiku shame shame feeling like i can change my name

    • @cateogwayo8138
      @cateogwayo8138 4 роки тому

      Hahaaa hiyo sasa umepita boundary,, nowadays am tired with everything as well, not name si news I wish the judiciary can change my nationality,, Kenya nahama hahaaa.

  • @jacintandinda4981
    @jacintandinda4981 2 роки тому

    What is land? Ah

  • @Dymitri-Babushka.
    @Dymitri-Babushka. 5 років тому +3

    Roho mbaya takataka kasia

  • @josedeviper6477
    @josedeviper6477 3 роки тому

    ...donia hii 😭😭😭

  • @searahss2459
    @searahss2459 6 років тому +4

    Kwani anazikwa aka moja?atawewe utaiacha tu.

    • @divinahchausiku9337
      @divinahchausiku9337 4 роки тому

      Anafanana tw n iyo meno yake.....wasichana we nyeri mlikosea wapi

  • @emilywanjiku7221
    @emilywanjiku7221 6 років тому +2

    I really don't understand some people. Kwani anatumia a whole acre?

  • @daggiekangethe789
    @daggiekangethe789 6 років тому +34

    mali tu ya dunia kila mtu atatoshea 4/6

  • @julianamutua3296
    @julianamutua3296 4 роки тому

    Maria citizen tv

  • @elizabethwambui9901
    @elizabethwambui9901 5 років тому +3

    Malipo ni hapa duniani tu! Hilo shamba ambalo ume lidhamini kuliko ndugu yako litakuletea dhiki usio ielewa!

  • @brastomisheck9391
    @brastomisheck9391 3 роки тому

    So vizur kwa anacho kifanya

  • @mtumishiwake4006
    @mtumishiwake4006 6 років тому +5

    Kwenda mwangalie kuanzia meno mchawi huyoo shamba hilo.lote kwanza kwenu sio kwako mpumbavu

  • @njokiraeguar5215
    @njokiraeguar5215 2 роки тому

    Sad