Mungu wangu wimbo unanifariji ata wakati ninapo kata tamaha nakujiona mimi sikitu,ila nina poskia tu wakutusamee wakutukubali niyesu,,hoo yesu amenikubali na madhaifu yangu 🙏🙏🙏🙏mengi yesu amenitende ,,ubarikiwe saana kweli 🙏
Nasikiaga hizi nyimbo kwenye audio kaka Eric nilikua nalitafuta jina lako kila siku hatmaye nimelipata nasikiliza mara 20 kwa siku jamani uwiii MUNGU akutunze mtumishi nabarikiwa mnooo na nyimbo zako MUNGU akubariki kaka
So for 5 years since the release of this Grace filled song i haven't heard it?!?! Oooh my God it ministers to me personally... God increase in you brother
Nikiwa mahali fulani nikitafakari huu wimbo nahisi uwepo wa Mungu ukinizingira kwahiyo niombe likes kwa wale wote ambao hata sasa 2024 bado wimbo huu unawabariki, be blessed man of God Massmassilia❤
Kwa Kweli niki sikiliza nyimbo zako Tonton Mass nasikiya ka kuliya naku kumbuka meingi saaana. Basi acha Mungu wa malipo mema ashugulike kwa ajili yako na familia yako . Ubarikiwe Maman Asaph kwa kazi yaku humiza Mtumishi wa Bwana kwaku yi tembeza neno la Mungu kwa kazi za uhimbaji.Mume lichaguwa fumbo lililo njema. Mbingu zifunguke kwa ajili yenu.
Ukweli Mimi pia ni mtuzi na mwimbaji WA nyimbo za injili lakini Huu wimbo unanibariki kweli Kama siyo Wewe Yesu wengine Tungeipata wapi hii Neema ya Mungu 😰😰😰
Naishi USA lakini nakuwaka naangaliya sana music zako sana kaka yangu wa Bukavu na Mimi niwa uko uko lakini niko wa uvira ila naishi USA Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu naitaji number zako ili nijiunge naweye katika music zako niwe naku support number zangu ni +17206621568
Duh huu wimbo kaka umeuimba kwa iman ya hali ya juu na roho mtakatifu akiwa ndani yako nabarikiwa kila ninapoisikiliza MUNGU akubariki pia kaka massmasiliy
Jamais vu tu es professionnel, les jeunes du groupement d'itara Luvungi aiment tes chansons malgré les désordres faites par L'honorable criminel Luc mulimbalimba
Mungu wangu wimbo unanifariji ata wakati ninapo kata tamaha nakujiona mimi sikitu,ila nina poskia tu wakutusamee wakutukubali niyesu,,hoo yesu amenikubali na madhaifu yangu 🙏🙏🙏🙏mengi yesu amenitende ,,ubarikiwe saana kweli 🙏
Bjr
Amen mpendwa hata nimi, sifa kwa Mungu Baba yetu 🙏
It has become the most favourite song in my collection, I listen to it countless times daily, God bless you abundantly.
Nasikiaga hizi nyimbo kwenye audio kaka Eric nilikua nalitafuta jina lako kila siku hatmaye nimelipata nasikiliza mara 20 kwa siku jamani uwiii MUNGU akutunze mtumishi nabarikiwa mnooo na nyimbo zako MUNGU akubariki kaka
Amen amen
Powerful worship song..I really love this song my God bless 🙏🙏🙏this man🙏🙏
Ndugu yangu Mungu akuinue Sana
amen amen bishop
I listen to this song everyday I love it and I love Mass masila .God increase you mightily
Ndugu yangu Mungu akuinue Sana
amen amen bishop
Ni Mungu Tu ndiye anayesamehe......VERY POWERFUL HEART TOUCHING WORSHIP SONG
So for 5 years since the release of this Grace filled song i haven't heard it?!?! Oooh my God it ministers to me personally...
God increase in you brother
Nikiwa mahali fulani nikitafakari huu wimbo nahisi uwepo wa Mungu ukinizingira kwahiyo niombe likes kwa wale wote ambao hata sasa 2024 bado wimbo huu unawabariki, be blessed man of God Massmassilia❤
Mass Masilya must be really eternally congratulated for this song that is touching us for its strong deep message
Ndugu yangu Mungu akuinue Sana
amen amen
Ndugu yangu Mungu akuinue Sana
amenamen bishop
Yah ni kweli Mtumish Mass hakuna mwingine na hatatokea. Mungu akubariki 🙏🙏🙏
Kwa Kweli niki sikiliza nyimbo zako Tonton Mass nasikiya ka kuliya naku kumbuka meingi saaana. Basi acha Mungu wa malipo mema ashugulike kwa ajili yako na familia yako . Ubarikiwe Maman Asaph kwa kazi yaku humiza Mtumishi wa Bwana kwaku yi tembeza neno la Mungu kwa kazi za uhimbaji.Mume lichaguwa fumbo lililo njema. Mbingu zifunguke kwa ajili yenu.
Ukweli Mimi pia ni mtuzi na mwimbaji WA nyimbo za injili lakini Huu wimbo unanibariki kweli Kama siyo Wewe Yesu wengine Tungeipata wapi hii Neema ya Mungu 😰😰😰
amen bishop
Ali Mukhwana hata Mimi huu wimbo unanibarki sana
Msula B ameen
chapeni collabo kubwa na huyu jamaa mbali na the previous one
Fine tune, nice sound and great message. God bless you brother
Ubarikiwe nime bar🥰🙏🏻🤲🙌👌ikiwa na nyimbo zako mngu akulinde saaan kka
I am really blessed ... what a powerful worship song !
Naishi USA lakini nakuwaka naangaliya sana music zako sana kaka yangu wa Bukavu na Mimi niwa uko uko lakini niko wa uvira ila naishi USA Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu naitaji number zako ili nijiunge naweye katika music zako niwe naku support number zangu ni +17206621568
This Song💥💥
Ahh ROHO MWEMA Ayape Hifadhi Maisha Yako🙏
Baikiwa mtumishi wa❤🙌🙌👐🤲🙏🏻🙏🏻mngu mngu
Barikiwa sana mtumishi huu wimbo wanibariki sana kweli kama si Yesu sinjui ningelikuwa wapi .
Mungu azindi kukuinua ndugu.
mtumish umeimba na roho mtakatifu. hakika ni nyimbo ya upako. nabarikiwa Sana Sana Sana. be blessed moreee
STEVE NDAULA kabisa kaka
The favorite song forever!!haijalishi napitia wakat gani ni wimbo unaonitia moyo san🙏🙏
Asante Kaka ubarikiwe Sana wimbo unitia moyo Sana ninaposkiiliza natiwa nguvu 🙏🙏
Duh huu wimbo kaka umeuimba kwa iman ya hali ya juu na roho mtakatifu akiwa ndani yako nabarikiwa kila ninapoisikiliza MUNGU akubariki pia kaka massmasiliy
Powerful worship
Merci pour votre réponse rapide je vous remercie
This song is still a blessing to me 2021...
Mungu akuchangaze kukazi kubwa kama iyi ubarikiwe sana
This song is a blessing
Thank you very much Brow for the Nice and wonderful song which fulfilled with holly-worshiping .
May God Bless you.
Ndio
Finally I got this song,I have looked for it for some time,Thank you Jesus
nice song my friend God lift and bless you more
amen amen bishop
AMEN AMEN BISHOP
Wakutusamee ni wewe wakutubaliki ni ww ni wimbo uro beba nguv Za Mungu kufunguah watu hongera mtumishi kwa ujumbe
huyu mtuu anaeohoo yasifa moyoni mwake anaimba kwaroho makweli naona akifanga mbali duniani siku mojaa yatazibitika hya maneno
GOD Bless you more power man of GOD raise you up in JESUS might name I love this song soo much
Amen
This gospel singer must be honored for this song that is highly spiritually inspired
Amen..Great worship 2024❤️
Wimbo mzr ,lkn untubania Sana weka na vyanzo vingne kama boomplay
Huu wimbo unabariki sana moyo wangu.God bless you so much mtumishi.More revelations coming through you.
AMEN AMEN MY SISTER
eeeee winie muimbaji wakimataifa ubarikiwe saana
Wakutubariki wakututakasa wakutusamehe ni wewe Mungu, yoooo Yesu weeeeeeee asante saaaaaana
Wimbo uyu nimuzuri Sana nimebarikiwa kupitiya wimbo uyu
kk Mungu akubariki sana weye ninoma sana Mungu akupenguvu
kk Mungu akubariki sana weye ninoma sana Mungu akupenguvu
❤❤kaka yangu' mungu aendeleye nakukupenda'ndomana maono mengi sana🙏🙏
Amen!Jina lake libarikiwe
Nabarikiwa sana na huu wimbo nikiitazama msalaba,hakika wa kutusamehe ni yeye tu
Akuna mwengine wakutusalehe kweli wewe Mungu ubarikiwe.
Alleluya 🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️😭😭😭😭😭😭
Mass masilia you are the best ...this song really touch my heart...wakutusamehe ni yesu tu pekeyake...point taken
Amen amen
This song blesses my heart. Thank You Jesus. Nani angeweza kunikubali! Yesu wangu...
Amina mtumishi wa mungu nyimbo hii inamifanya nipate faraja sana
Mungu akurikiri sana kaka yangu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Nime barikiwa ni hii nyimbo 🙏🏻 ubarikiwe sana
salut man of god you are alays there...Mungu Akuzidishie kibali
Ubarikiwe kaka kwa huu wimbo powerful 🙌🏻🙌🏻
Glory to the Lord, wakutubariki ni wewe tu ... sifa ni za Bwana !
The song remains new each year...
A nice song actually wakutusamehe n yesu
vraiment wakutusamehe ni wewe Mungu
This song is bless me every day
Ubariki mtumishi wa .Mungu
Apa Lubumbashi tunakupenda sana
Mungu Awawezesha muhendelewe
Vraiment que Dieu te protèges contre les meilleurs papa mass 🙏
Wimbo huu umehutendea haki.
Jambo mungu ubarikiwe Sanaa
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Good job massmaslia l love your job
wimbo wa baraka sana...Ubarikiwe mtumishi
Shalom brother.
Nina shauri lakutowa : waweza ku niandikiya ku email yangu. Paulh1bai@gmail.com
Wah hii wimbo.... Wa kutubariki..... Hallelujah....
🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭
Iyi nyimbo imenibariki sana
Amen Amen
Best of my blessing in August
❤❤❤❤❤barikiwa mtumishi
Mungu wa mbingu akupe provision ya kile alicho kitia ndani yako
amen amen
AMEN AMEN
God blesse you nice song also nice sound and voice
My favourite song
Que le tout puissant augmente l'onction
kaka mungu akubariki kwakazi unayo ifanya apokali
amen amen
Merci homme de Dieu pour la chanson
Amen amen 🙏
2022🙏🙏
Ameen
Wimbo mtamu sana
Loved by Zambian
🥰🥰🥰🥰
🎉😊😊😊
Ndugu yangu nime kosa maneno yakusema but aliye juu akutiye tu nguvu na ku kuongezea maono
amen amen
amen amen
Amen Amen Amen
Nice song .be blessed bro
Amen Amen Amen 🙏
Jamais vu tu es professionnel, les jeunes du groupement d'itara Luvungi aiment tes chansons malgré les désordres faites par L'honorable criminel Luc mulimbalimba
Barikiwa Sana
Ubarikiwe sana,nami nimebarikiwa
Wangapi wanausikiliza 2021? Gonga 👍
Cette chanson me bénisse tant
Oh yesu inyimbo nihatari mass Mungu aendeleye kukufunuliya utungaji wanyimbo za baraka na utukufu kama iyi nyimbo.amen
God bless you