Kaka ninakushukulu Sana nimekuwa nikifatilia Sana toka Mwaka Jana .. kiukwel nimeinuka Sana kichumi Mwaka Huu 2024 Mwezi wapili nilipata hasala Zaid Ya Milion 20 nikapoteza na Nyumba .. ila Namshukulu MUNGU Kwa Saiv sijihisi kupoteza nimejenga na Biashal Yangu imesimama Ndani ya miez 8 .. Nataman Siku Moja tuonane Hakika Ninaamani Sana Na Niliachilia Nanikapambna upya
Habari ya (asubuhi, mchana na jioni )ikitegemea unasoma comment hii mda gani, Pitia Video yangu itakayokufanya uone upande wa pili wa sarafu ya fedha nilifafanya siri ulizofichwa kuhusu mafanikio. Siku njema
Hii ni elimu ambayo uwezi kuipata shuleni ❤ nipeni like zangu
Utamu wa maneno huongeza elimu.
Joel unaimani kubwa sana
Kenya watching be blessed bro.
Allah akuzidishiye ujuzi
Huna baya kaka🙌🙌
Asante sana bro Umgeni fundisha bro ❤😢
kweli kaka malengo muhimi
Asante Sana coach Joel 🙏
AMEN SANA Nashukuru 🎉🎉❤❤
Kaka mungu Akulinde maan kila siku najifunxa kitu kpy
Ni kweli kabisaa kaka yangu
Nakukubali sn kaka
Be blessed kaka joeli. Kila siku najifunza kitu kipya 🙏🏽
Nimeongeza tena maarifa
🙏🏿🙏🏿🙏🏿✍️✍️
Kaka ninakushukulu Sana nimekuwa nikifatilia Sana toka Mwaka Jana .. kiukwel nimeinuka Sana kichumi Mwaka Huu 2024 Mwezi wapili nilipata hasala Zaid Ya Milion 20 nikapoteza na Nyumba .. ila Namshukulu MUNGU Kwa Saiv sijihisi kupoteza nimejenga na Biashal Yangu imesimama Ndani ya miez 8 .. Nataman Siku Moja tuonane Hakika Ninaamani Sana Na Niliachilia Nanikapambna upya
Nakukubari Sana Kaka Joel
Sio mbaya leo nimekuwa wa 4 naomben like ata 4 tu
Video
Vudeo
Huu upumbavu hatuutaki apa like kaombe uko kwenye miziki
Nadhani umepotea njia.😂
Huku tunafanya personal development sio hayo mambo ya likes ... that's poor mindset
Ubarikiwe kwa madini unayotupa
Fact kak I remember that😂😊
Nadhani ungekuwa na unatoa jumbe za sauti pia
Huwa anatuma kwenye grup la WhatsApp
Asante 🎉🎉🙏🇨🇩
Asante kaka Joel
Kitabu nitapataje nipo mkoa wa songwe
Nataka baadhi ya vitabu nipo Arusha namba ya sm plz
Yes
Sioni tairi kwenye screen mkuu
Aisee wewe mtu unaelimisha mpaka raha!
Kaka Joel hiyo graph ya life balance mbona hujatuonyesha me cjaona unavofanya