NDOA YA MUTAH (TEMPORARY)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @hafsamohamed8587
    @hafsamohamed8587 5 років тому +1

    Mashallah mawaidha yako mazur... Naomb kufaham ni mume yupi ni sahihi wa kuolewa nae ? Kwasbabu unaweza pata weng hujui yupi sahihi

  • @abbubakarmfinanga57
    @abbubakarmfinanga57 3 роки тому

    Asalam aleykum sheh, muogope moja kaka mnapo fundisha Kua ndoa ya mutaa aifai ,et kwa kwa sabab inatumika na mashia semaukwel mbona Masun tunafanya ndoa ya hadaa

  • @mirajiabou2369
    @mirajiabou2369 5 років тому

    maashalla jazakkallah khaira shk

  • @abdulbabalao3160
    @abdulbabalao3160 5 років тому

    Masharifu wambiwe waipenda Sana hii mutah, ndoo mwenye utabaruku kijana changu ( wakike twabaan)

  • @brotherfahad3158
    @brotherfahad3158 4 роки тому

    Asalam aleikum Ustadh je kuna Hadith ya Mtume (s.a..w) kuwa imeharamishwa kwa sababu mm niko katika hali ambayo ya mchanganyiko, samahani ustadh naomba jawabu lako

    • @mabrukawadh2532
      @mabrukawadh2532 6 місяців тому

      Hakuna mahali ameharamisha hawatk tu kusema ukweli na masheikh wengi wanao ivo week am mwezj washaacha

  • @fcleef
    @fcleef 5 років тому

    ustadh bado huja jibu suala

  • @bossmau764
    @bossmau764 5 років тому

    kuna wakat tuna maswali ya private ust ss jarib kutoa namb za cm tukupate kwa wsp pls naomb pokea ombi langu salam aleykum

  • @saedbare8733
    @saedbare8733 5 років тому +1

    Mashallah

  • @zainabuhmbabazi4928
    @zainabuhmbabazi4928 5 років тому

    Shekh watu huwenda uarabuni kwa ajri ya kazi wanaka myaka2 suali watu kamahao waweje ❓

    • @drhasanjabir4193
      @drhasanjabir4193 3 роки тому

      Wewe Sheikh Wacha kupoteza Wa _ Islamu . Sivyo unavyoeleza ndoa ya Muta haina tofauti na ndoa ya kawaida. Ila tu ya Muta baada yamUda unakwisha kuwa na uhalali . Lakini sheria ni zile zile na kuka eda na Urithi na kila jambo. Hio ya Kwenda Guesti usitake kutia chumvi kupotosha watu . Kilchohalalishwa na Uislamu haiwezi kuharimishwa. Kama nyama ya pund ana vingenevyo haikuwahi kuhalalishwa halafu ikaramishwa. Ogopa Mungu .

    • @muhammadsalim1301
      @muhammadsalim1301 2 роки тому

      Kama huyo alieenda kufanya kazi ni mwanamke na nchini kwao ameolewa Naye vipi ,hii ndoa no uzinifu tu

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 років тому

    Shukran

  • @ustadhabdulkariimpuma8953
    @ustadhabdulkariimpuma8953 3 роки тому

    زواج المتعة قراءة جديدة في الفكر السني

  • @zainabuhmbabazi4928
    @zainabuhmbabazi4928 5 років тому

    Kwa Sasa hakuna

  • @nuruabdallah9143
    @nuruabdallah9143 5 років тому

    Kuna wengine hawana UA-cam wewe kama shekh umeulizwa suali jibu

    • @hoodhassan7077
      @hoodhassan7077 5 років тому +1

      na ndo mana akaendelea kujibu kwasababu anajua wapo wasiokua na youtube

    • @drhasanjabir4193
      @drhasanjabir4193 3 роки тому

      @@hoodhassan7077 Wewe Sheikh Wacha kupoteza Wa _ Islamu . Sivyo unavyoeleza ndoa ya Muta haina tofauti na ndoa ya kawaida. Ila tu ya Muta baada yamUda unakwisha kuwa na uhalali . Lakini sheria ni zile zile na kuka eda na Urithi na kila jambo. Hio ya Kwenda Guesti usitake kutia chumvi kupotosha watu . Kilchohalalishwa na Uislamu haiwezi kuharimishwa. Kama nyama ya pund ana vingenevyo haikuwahi kuhalalishwa halafu ikaramishwa. Ogopa Mungu .