Enjoy the Tattoo Piano Version done by Lava Lava as appreciation for all your support on his carrer Tattoo available on all digital platforms Worldwide Credits to : Great Ludar
You probably dont care but if you're bored like me atm then you can stream pretty much all of the new series on InstaFlixxer. Have been watching with my brother for the last days =)
Nakubali lava hujawah niangusha fundi wangu nakukubali kushinda hata bosi wako mondi na wengine your the best
Ongera sana kaka diamond kwa kukuza vipaji
Q Chillah akalime mbaazi watanzania, Waziri kasema tunazipenda sana.. Usiniulize kwanini nimemtaja Chillah am a singer. Bravo Lavalava. Bora Tuachane ipo kichwan kwangu always.
+254 inasikia kwa ukubwa love the piano version inatesa sana... mafun wa lavalava gonga like hapo kama unaikubali
Who IS Here After Kiba Played dis live🔥🔥🔥
Mashallah nice song naipendaaa sanaaa very good baba
Lava lavaa unanilizaaa my brother nyimbo zako zoote zinatupitiya sisi wa bina damu I love you sistar Noor
Sana fundi #lavalava ..so kwa saut hyo.. Salute bro.. 🙌👌👏👏
Well done lavalava ngoma iko poa sana,japo sijui kiswahili 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Lavala huwa unanisuuzanga moyowangu nakukubali nakupenda pia wew nakazizako zote songambele mukaka
Naupenda sana huu mwimbo asante hii niyawote umetupatiya yarabi mjaqaaliye bro lavlav awe juu zaid inshaallah
Atari fundi mtoto wa Ximba awezi kufanana na nyau lazima atafanana na simbaa
daah lavalava unanyota baba unaweza 👏👏👏 ngoma kaliiiiii WCB 4 life
wcb for life.udom wote gonga like na wasaf wote
Nakupenda bure we lava lava,siku ndongo utamushangaza diamond.
Tunazidi kukuombea lavalava🎸🎹🎧📻🎤. Usichoke kukuomba mungu atazidi kukusaidia
Kazi safi Sana,
Continue keeping it real and taking Tanzanian Music to another level
twendee sawaa lalava ni mkalii sanaa
Vonga like apa
Unajua mzee baba
Ukichangiag na piano unauwa kabisa nakuja uko uko 🏃🏃🏃🏃🏃
Lava lava usilie sanaa njoo nikupende..mapenzi ya kikenya
QweeynBoo mwaah
kama unakubali Tanzania zao LA vipaji duniani gonga Like hapa
Best song,best video, best artist ur the best lavalava
Nakukubali sana.unaimba kwa hisia nakupenda sana
Nashindwa kuichoka hii nyimbo kila nikiingia kweny you tube ya lavalava lazima niangalie lavalava anajua adi ana boa
Kama Umekubali WCB Kuna Vipaji Na Lavalava Kauwa Gonga Like Mingi Mingi
Simba Wa Morogoro ametisha m namkubalia uyu jama miaka 100000000000
You probably dont care but if you're bored like me atm then you can stream pretty much all of the new series on InstaFlixxer. Have been watching with my brother for the last days =)
@Dax Zavier Yea, I have been watching on instaflixxer for since november myself :)
@Dax Zavier definitely, been watching on instaflixxer for since november myself :D
Wayaaaaaa lav lav🔥🔥🔥🔥🔥😍😍😍😍
Lavalavaaaa nakubaliii damu yangu
ur are genius mwamba nakuelew xanaa Mr lovebite
Hatareeee lava lava 👏👏😍😍🔥🔥
Big up sana 😍😍😍
From Kenya piga like +254
Kazi nzuri bro #nakukubali_sna yaan unajua mpaka hatariiiii👏👏👏👏😘😘
Wasif zima na mkubali lava lava Anajuwa sana 💌🔥🔥
Wa kwanza... Zanzibar... Gonga like
sawa ww mtoto
Representing Kenya +254. Kama unamkubali lava lava gonga like👍.
Prince Newton Kenya tutakosaje dogoo👍😂
prince Newton tuko ndani +254 kama kawa💪👍👍👍👍👍👍
Prince Newton nimemkubali
Prince Newton like yangu hutokosa......luv this guy
Hatariiiii
Eu me emociono ouvindo essas músicas. Como amo essa cultura.❤️❤️❤️ 🇧🇷🇧🇷🇧🇷
safiii sanaaa kijana nakubali
Always 🥰 your music style, keep up
Nakukubali sana unaimba kwaisia
LavaLava nakukubali saana kaka, unajielewa achana na Hermonize kapata jina juzi tuuuu Leo anakuwa na kiburi cha kutafuta kiki kwa Alikiba,
Isack Makasy vp
kaaaali mzeeeeee bb umenikonga aiseee
Hujawahi niangusha bro unajua sana
Acha ugomvi hapo unawasema watu
Kwanini ucjutie magari boss wenu
Anayohonga kwa madem @lavalava
very nice.Great job @ hard working guy #God bless you ....lavaboy
Am here after Alikiba sang and recognise this as his lava best song
Wow!!! Excellent
ngoma kali kinoma yaani
Aaaah mkosei nyinyi wcb lavlav tamu san
Npenda xauty ,,,,, ttooooo mwiln mwang love more good musc
hahaha nakupenda sana jamaaa yangu
Wimbo wa taifa aw😅😅🤣😃🔥🔥🔥 ... km unamkubal fundi mitambo twende pmj ss😍😍😚👍
Nimekukubali
Amne Mkubwa c
Amne Mkubwa Sawa mtt mzr
Amne Mkubwa hahahaha
Amne Mkubwa
am in love with the song the words,soo beauriful GOOD JOB LAVA LAVA
Napenda xana nyimbo zake anajua kuimba uxipo mkubal unalako
Moto wa fayaaa.... Up up on de air
Watu humu ndani wanapenda like mpaka wanaboa, kama hupendezwi nao em gonga like apa twende sawa.
god bless you mungu aibaliki safali yako√
Bado sana teja ndo kali bro hapa umebuma😂😂😂
Yaan ww ni kiboko ya wcb unauimbaj wa kipekea ako big up to you brooo
nzuri sana lover boy from usafini
Mwangu unajua sana mpaka kero
akiamungu uyo Dada apo wakwanza angevaa tu, suluwali ndefu maana ivo vibaja ovyooo na miguu yenyewe kakosa yote kushoto kutupu
Mashallah lavalava unakipaji endelea kutupa ladhaa
u will go far...u humble dude,,thts the spirit
kama unamkubal lava lava gonga like yako hapa.
Dah wape wape lava lava we nooooomaaaaa!
ww acha tuuu mungu akupe maisha marefu
Mimi inatokea Oman sinijui vizuri Swahil, Ila naeza SEMA, hili dude ni msiba..
Kama wa mkubali lavalava 100% gonga like ya nguvu hapa please.🔥 ✌
unajua xnaaaaa 👏👏👏
Love from 254..we love you
I knew this guy was gonna blow up immediately I heard 'tuachane' at that time it only had 20k views.
Good job!!!
Safi sana fundi
Nice piano version is more sweet then the original one I like it
Nice lava lava kwa sauti safiiii kama malashiiiii
mr love bite uko juuuu 🔝
ushasemaaaa
always dope ,,,lavalava
Umeharibu nyimbo mjomba hiii ni mbayaaaaaa
Kam umeikubali like hapo chini ndugu
Asanteeee zawadi yetu tumeipokea kwa mikono miwili,,!!!!!!
Big up 👊 👊 🔥🔥🔥
kama unaamin hik kilaz gong like hap
Big-up brother lava lava
Wawoo ...like beat...mungu akujalie
kama wapenda nyimbo ya lava lava nime like
kwa WCB Nyimbo za Majonzi No yako Mr unatisha isee nakubali sana the way unavyoandika
nzuriiiiiiiiii 😘😘😘😘😘
MashaAllah Lava Lava umejaliwa sauti,big up bro
tishaaaaaa sana
imekaa powaaaaaaa
Napenda sauti ya kuiimbiia kasida tuu hapa kwa jamaa huyu
mm hataaa sjaerewa kbxa badara uachie ngoma unazingua na ma Vision haya
Asante sana lavalava kwa zawadi hii 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nzuri sana
Safi sana bonge la nyimbo
Song liko pouw sanaaaaa
mashallah mashallah upo vzr xana hongera
Kaka hii uliua saana ujue mpaka imeliza sana leooo
Wajanja tumeelewa nic lavalava
Dah!!!!! salute wcb like father like son
Gud brother
Nice sanaaa bro
Jitahidi sana kubadilika ktk Melody zako