HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA ZANZIBAR, KWEREKWE & JUMBI IKO HIVI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 тра 2024
  • TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
    #Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

КОМЕНТАРІ • 18

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 10 днів тому +1

    Serikali iajiri Security gurd wakuwepo kila siku ,Maintenance wakuwepo kila siku ,wafanya usafi wakuwepo kila siku 6am to 6pm ila Security masaa24 hapo kidogo mtafanya kitu cha maana

  • @user-xe6jw8pt3d
    @user-xe6jw8pt3d Місяць тому

    MASHALLAH
    Tumesha jengewa nasi tujitahidi KUYATUNZA
    Pia Nafasi zipatikane kwa Bei Rafiki kwa Wafanya BIASHARA

  • @user-ep8jv7ok5v
    @user-ep8jv7ok5v Місяць тому

    Mungu ayanusuru haya masoko isifike baada ya mwaka 1 tu yakawa machafu. Maana lile la samaki kule Malindi washaanza kulichafua.

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 21 день тому

    Ndani ya soko ziwepo huduma za kifedha kama Atm au bank, dispensary kwa huduma ya kwanza na Ulinzi wa kisiasa. Pia huduma za choo za kulipia ili kudumisha huduma za kijamii kwa wote.

  • @rashidally1149
    @rashidally1149 Місяць тому

    Semeni Unguja kuko hivi maana munatamka ZANZIBAR ili kuficha ubaguzi watu wasiojua waone na Pemba imo wakati Pemba kama jina lake pembazoni 😊😊😊

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube Місяць тому

    Wazanzibari wakaazi watuache wazanzibari asili tunufaike kwanza na masoko msitufanyie zogo

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 6 днів тому

    Utakuta watu wanakojolea pembezoni mwa kuta za jingo ilo

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc Місяць тому +2

    Hatutaki Wamachinga kila kona ya Zanzibar sasa masoko tayari.

    • @rajabmsinzia1715
      @rajabmsinzia1715 Місяць тому

      Yes Watengeneze sheria ambayo mtu yeyeto akionekana na kupatikana akiwa na biashara mkononi akitembeza apigwe faini kubwa sana hata Millioni 10 ilimradi watu wasitembeze na kupanga biashara barabarani ni uchafu wa mji ,na lengo la faini sio kukomoa lengo ni Kosa lisifanyike..

  • @alitwaqwa739
    @alitwaqwa739 Місяць тому

    Elimu kubwa inahitajika kwa raia wanunuzi na wafanya biashara lazima Ina hitajika waaminishwe kua biashara ni usafi

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube Місяць тому

    Muacheni raisi azindueeeee

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Місяць тому

    Hayo ndio maendeleo tunayoyataka.Hongera serikali.

  • @rashidally1149
    @rashidally1149 Місяць тому

    Kwani kuna ubaya wa Tanganyika kujiita watanganyika mpaka wajiite watanzania? Na ubaya Unguja kujiita waunguja mpaka mujiite Zanzibar? Kuweni wazalendo

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 27 днів тому

    Kodi yake sasa lazma ukimbie

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 Місяць тому

    Usafi Usafi Usafi hilo ndio kubwa kuliko vyote ,Serikali ni wakati wa kuajiri Campuni za Usafi na kufunga nazo mkataba ili waweze kushughulikia usafi wa masoko ,stendi za mabus vituo vya huduma za afya hilo pia linaweza kupunguza ajira kwa vijana wasio na ajira maana Campuni itaajiri vijana ambao hawana ajira na kuwapatia elimu then wafanye kazi...