Hawezi kuponda kwa sababu haebdekezi ushabiki. Bali Huwa anaeleza Changamoto za mchezaji husika na hata huyu kamueleza vizuri kuhusu udhaifu wake msikilize vizuri hadi mwisho utaelewa. Masuala ya kuponda wachezaji ni hukooo kwa wanaoongea kishabiki!
Mimi Yanga dam kbs ila nilitamani sana wamchukue SUDI ABDALA nimeangalia clip zake huyu MCAMEROON RICALDO ila mzito sana SUDI ABDALA Mwepesi mnoo ana speed sana tusisahau alishawahi kuja mtu anaitwa JAMA MBAA mwili nyumba ila tulijuta kumchukua tusisifie mchezaji sababu anakuja kwetu
Wachambu wampira wote wangekuwa kama wewe mpira wa bongo ungekuwa na tija ila Hawa waliovamia fani kwasababu ya njaa wanahalibu mpira wetu unakuwa kama siasa
Moto sana, mbwaduke vijana wanasema wewe ni noma sana.wengine waste kwa tanzania wewe ndiye mchambuzi muasisi wa kudadavua
Mbwaduke noma. Sana mchambuzi. Mkweli
Best punditry Mbwaduke na Mzinga aka Kilwa finest
Nitafurahi sana Yanga wakimpata tunahitaji namba 9 ya asili.
Kwenye wachambuzi wote watanzania wakwanza nihuyu mwamba ramadhani bwaduke
Shukrani sanaaa babaa hunampinzani tz
Mimi namkubali Ramadhani MBWADUKE na Gharib NZINGA 🎉🎉🎉
Brooo upo kama mimi tu
Huko vizuri sana
Kaka we nafasi yako katika michezo ni Bora Sana unajua kweli kweli tuna jifunza kwako endelea kutupa madini ila angalia usije kufungiwa
Kina jemedari,oruma,Jeff wajifunze Toka kwako
Kujifunza lazma uwe na akili, hao vilaza unawataza bangi wamuachie nani!!!
Mbwanduke na Gharib mzinga ndo wachambuzi bora Tanzanian
Mbwaduke safiiiii sana
Mchambuz bora Tanzania kwa sasa
Nakubali kazi yako kaka
Mungu akujalie katika kazi yako iliyo tukuka
Wewe ndomchambizi mwenye kutambua unacho kichambua
Oky nakubali kaka have a diy live from tz
Yanga isajili vizuli mashabiki tusiumie sana
Uchambuzi bora kabisa
Mwaduke nupenda sana uchambuzi wake
Have a diy live from Tanzania
👏👏💪🙏
Mambo ni moto
nakukubali sanaa
❤❤❤❤❤❤chambuzi kweli kweli
We ndo huwa nakuelewa sana,wengine wametanguliza unazi!
Huna mpinzani dady wewe ni moto
Huyu ndiye mchambuzi wa soka hapa Tanzania. Wengine ni mawakala wa vilabu vikubwa hapa tz.
Ndugu ramadhaani unachambua vizuri ila kila mchezaji ni mzuri kwako... Hujawahi ponda Any player.
Hawezi kuponda kwa sababu haebdekezi ushabiki. Bali Huwa anaeleza Changamoto za mchezaji husika na hata huyu kamueleza vizuri kuhusu udhaifu wake msikilize vizuri hadi mwisho utaelewa. Masuala ya kuponda wachezaji ni hukooo kwa wanaoongea kishabiki!
Uchambuzi Bora kabisa na wa uhahika
Bwaduke ww ni asset
Inabidi wachambuzi wengine wakufuate uwape elimu ya kuchambua ball
Mimi Yanga dam kbs ila nilitamani sana wamchukue SUDI ABDALA nimeangalia clip zake huyu MCAMEROON RICALDO ila mzito sana SUDI ABDALA Mwepesi mnoo ana speed sana tusisahau alishawahi kuja mtu anaitwa JAMA MBAA mwili nyumba ila tulijuta kumchukua tusisifie mchezaji sababu anakuja kwetu
Watalia vilio sana uwanjani, maji yatakuwa mmmaaa!
Ameshadakwa airport huyo
Good
Hayo yote atatengezwa tu.
Sahihi mchambuzi bora
Wachambu wampira wote wangekuwa kama wewe mpira wa bongo ungekuwa na tija ila Hawa waliovamia fani kwasababu ya njaa wanahalibu mpira wetu unakuwa kama siasa
Saf biroo
Mambo ni motooo
Una digrii ya uchambuzi bali wengine ni walala hoi na porojo mingi tuuuuuuuuu
mbwandekee acha kutisha watu ww
Wengine wakasome
Igi alizocheza ziko nafasi yangapi kihubola....
Yanga hawana pesa ya kumsajili huyu jamaa sbb nirahisi kumbakisha Mayele kiliko ķumnunua huyu timu iliyoshindwa kumalizana na Fei Djuma Yanik itawezaje ?
Acha ku panic
Mmmh wewe ndio wale wale
Wewe wakala wa makolo tu huna jipya.