NAZARETH UPETE ACHAMBUA UGUMU WA KUNDI LA SIMBA "KWA SIMBA KUNA TIMU ATATOKA NA POINTS 12/ BADO GUMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 22

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 20 годин тому

    Fadlu anajua kushinda mechi za mtoano asante Simba Kwa usajil uu w fadlu

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka День тому

    Upete napenda sana kukufatiria unajua sana kuchambua mpira

  • @johnviperviper4778
    @johnviperviper4778 День тому

    Bravo ana 6

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 18 годин тому

    Simba kashafungwa rayar mechi Juma pili yeye kafungwa leo

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 День тому

    Bravo ana alama sita wacha kupotosha

  • @carlospaul1032
    @carlospaul1032 День тому +2

    Hiyo ni ndoto Mzee sfaxien atapata point tu hawezi maliza na yai 0😂

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 18 годин тому

    Mechi hii simba kashapoteza simba kundi gumu kweli kweli sijapata kuona kundi gumu kama hili

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 18 годин тому

    Tukiacha unafiki mechi simba kundi letu ni gumu sana wale jamaa walitukimbiza hapa kwa mkapa

  • @khadijajumanne3324
    @khadijajumanne3324 День тому

    Watu Hawana heshima na simba kaka lakini watajuwatu naukumbuke kuwa simba haijawahikufungwa angora

  • @Biteme358
    @Biteme358 День тому +3

    inawezekanaje team zote tatu kwa pamoja zikafikisha point 12, ikiwa team hizo hizo zinacheza dhidi ya zenyewe kwa zenyewe??

    • @ce-08
      @ce-08 День тому +2

      Piga hesababu Kila timu hizo 3 za juu Kila moja ikashinda mechi zake zote za nyumban na Kila timu 3 za hapo juu zikashinda ugenini mechi moja moja kwa yule wa 4 yaan timu ya 4 au ya mwisho ipoteze mechi zote

    • @PAULNADA-gy2mm
      @PAULNADA-gy2mm День тому

      😂😂😂😂

    • @omariaman7818
      @omariaman7818 5 годин тому

      Hesabu za yanga bwana kwahy Kila mtu akashinda kwako na Kila mtu akamfunga wa mwisho sio? 😂😂😂😂

  • @BenjaminiMathayo
    @BenjaminiMathayo День тому

    Kama huwezi kuchambua mpira baki tu kwenye utangazaji inatosha

  • @franccoz94
    @franccoz94 День тому

    Kila sku Elie mpanzu,MBONA chamaa wa UTOPOLO hamsemii

  • @Salisalum
    @Salisalum День тому

    Bravos ana alama 7????

  • @AbdirahmanIgge
    @AbdirahmanIgge День тому

    Upete hana lolote yanga uharo hiyo

  • @vonmo3769
    @vonmo3769 День тому

    Fc Bravo Points 7??? 😢😢😢

  • @AbdirahmanIgge
    @AbdirahmanIgge День тому

    Upete ni yanga 😂

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 20 годин тому

    Bado pagumu

  • @ericsallu3237
    @ericsallu3237 День тому

    Ongeza sauti