VUKA MSTARI WA MATATIZO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @victorialema4033
    @victorialema4033 7 місяців тому

    Ee Mungu nisaidie nivuke Msitari na vizuizi vilivyowekwa kunizuia nisivuke Mimi na familia angu.. Asante Sana chief Apostle 🙏

  • @domingosj
    @domingosj 7 місяців тому +1

    Nabarikiwa nikiwa Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 7 місяців тому

    navuka mistari mimi uzao wangu mimi na familia yangu mimi na ukoo wangu

  • @GladysMonranga
    @GladysMonranga 7 місяців тому +1

    Kwa msaada wa Mungu nitaruka na nitapita kutoka KENYA

  • @AgnessNyansambo
    @AgnessNyansambo 7 місяців тому

    Ooh Yap

  • @GladysMonranga
    @GladysMonranga 7 місяців тому +1

    Hoo my God naomba nivuke mipaka ya magonjwa madeni nipokee baraka sa Mungu kutoka

  • @MwanaHuseni-jf2lv
    @MwanaHuseni-jf2lv 7 місяців тому

    Navuka na familia yangu in Jesus name be blessed apostle ❤❤❤ frm kenya

  • @MwanaHuseni-jf2lv
    @MwanaHuseni-jf2lv 7 місяців тому

    Amen Mungu aniondolee vzuizi nvuke mstar in Jesus name 🙏🙏🙏 y

  • @doricelema2591
    @doricelema2591 7 місяців тому

    Ninavuka kila mstari wa kikwazo katika maisha yangu katika jina la Yesu.

  • @noreennyamwaya6858
    @noreennyamwaya6858 7 місяців тому

    Navuka Kwa damu ya mwana kondoo from Kenya

  • @elizabethmwambai480
    @elizabethmwambai480 7 місяців тому

    Nimepokea baraka zangu ubarikiwe mtumish wa mungu

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 7 місяців тому

    Ehee Mungu nakuomba uniondolee mipaka au mstari unaoninyima kuvuka kwenda kwenye baraka zangu

  • @lusianguno6434
    @lusianguno6434 7 місяців тому

    Navuka magonjwa, naingia napokea uzima. I connect. Ameen. 🖐💪

  • @jumagoldeni6881
    @jumagoldeni6881 7 місяців тому

    Ahsante mtumishi wa mungu

  • @elizabethnamwinga3210
    @elizabethnamwinga3210 7 місяців тому

    Navuka mstari wa vizuiz nafikia hatima yangu.Amen 🙏

  • @stellahokworo3947
    @stellahokworo3947 7 місяців тому

    Hallelujah amen ❤mafunzo mema ❤

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 7 місяців тому

    Navuka mipango yote ya shetani

  • @AshaKajinga-y5s
    @AshaKajinga-y5s 7 місяців тому

    Navuka vizuizi na kuufikia mpaka wa Mungu

  • @samwelikisigila4818
    @samwelikisigila4818 7 місяців тому

    NINAVUKAAAA

  • @fostinenangila1680
    @fostinenangila1680 7 місяців тому

    Naomba nivuke mipaka ya maginjwa na shida

  • @veronicajohn7645
    @veronicajohn7645 7 місяців тому

    Navuka vizuizi vyote vya kiuchumi kwangu, naweka ulinzi juu ya baraka zangu hakuna awayo yeyote atavuka kuharibu baraka zangu

  • @eddahwangatia2344
    @eddahwangatia2344 7 місяців тому

    Nimeota leo kugwama kwenye mtaro wa (sewage) nikaomba Mungu anivushe. Kuingia tu UA-cam immediately napatana na haya mahubiri. What a Merciful Jesus