Hawa jamaa noma walikuwa wanajua ni wakali wa mchiriku Kuna nyimbo kipande chake kinasema ,kumnunulia mpenzi wangu kiatu Cha sky way, baba gari kubwa walitisha
Dah nakuita mkuu maana umenigusa xana yani nilihangaika zana kupata ckuzipata hata huku shukran xana kwa kuziweka yani shukran xana tupe vyombo ivi ndio vitu vya ukweli xaxa na msg za maana.nice xana
Huu ni Muziki halisi wa Vijana Wazawa wa vitaa vya Dsm, unaongelea vitu halisi na sio mambo ya kumithilika toka Ughaibuni! Shukrana sana Kaka @ Muddy B.
hisani music club kundi la masela halisi na sio masela mavi hawa wa sik hizi waporaji wa wazi wazi" hawa machizi ndio walioleta mapinduzi halisi ya mnanda kutoka ktk uhuni na kuwa mziki wa kila mtu na kuufanya usela uheshimike rasmi"
Hahaa, Marehemu Mkama Sharp ndio alianzisha Night Star baada ya kulivunja kundi la Red Star! Akawachukua Khalfan Wa Mizoga aka Wami ( Mpiga kinanda), Haidary Kessy (Muimbaji), Big Boy (Mpiga Ngoma wenyewe wakiita Double Bass na Kistuli). Nilishamuomba Mudy B kuhusu Night akaniambia anawatafuta.
Hao jamaa walikuwa hatari sana kwa kupiga mchiriku, kosa kubwa lililofanyika kwao walishindwa kujitambua, matokeo yake wajanja wachache wakafanya muziki wao ukaonekana wa kihuni ili wapate kuwatumia na matokeo yake serikali ukaupa mgongo. kipindi hiko mchiriku ukipigwa ni mapanga njenje, wavuta bangi kibao ukijipindua tu umeibiwa. Kuna kipindi Silent Inn pale Mwenge walikubali mchiriku upigwe lakini nasikia zilitokea vurugu za wahuni ndio ikawa mwisho. Nawakumbuka sana hao jamaa walikuwa hatari kwa kupiga huo muziki, ukisikilza wimbo kwa mfano huitwao 'Mola wangu' vinanda vilivyopigwa mule ni hatari tupu. nakumbuka baadhi akina Mzee Kejeri, Ally Ally, Balalu, Muddy kadogo na marehemu mzee baruti aliyeanzisha kundi lingine lililoitwa Fadhila. Mimi nawaambia Game bado ipo, wanaweza kujikusanya wakarudi kivingine kwa mapigo yale yale wakamodifie kidogo watauza. Nakupongeza sana Muddy B. kwa kutuletea hao jamaa, nimesikia mahojiano yako vizuri kweli inasikitisha. Napatikana kwa +255 754283001. Na wewe weka namba yako tukutafute
Nakumbuka kipindi hicho nlikuwa huko sumbawanga kuna jamaa yangu mtu wa mlandizi ndo alikuwa ana sikilizs
Aisee hawa jamaa walikua wanajua sana
Nikisikikiza hizi nyimbo natamani kutoa machozi duh! Maana hawa jamaa walikuwa wanaimba kwa hisia sana
Tunashukuru sana hii ni dhahabu.Hakuna kitu muhimu kama kuhifadhi kumbukumbu
Oi, oi mwamba!
Kaka Muddy B ubarikiwe kwa kutupa raha za muziki wenye hisia kali....
Ebwana pamoja sna mkuu!
Hawa jamaa noma walikuwa wanajua ni wakali wa mchiriku Kuna nyimbo kipande chake kinasema ,kumnunulia mpenzi wangu kiatu Cha sky way, baba gari kubwa walitisha
Dah nakuita mkuu maana umenigusa xana yani nilihangaika zana kupata ckuzipata hata huku shukran xana kwa kuziweka yani shukran xana tupe vyombo ivi ndio vitu vya ukweli xaxa na msg za maana.nice xana
Karibu sana, kaka. Wakati unaenda sana.
Mungu ni mwema sana...yan hata nashindwa nikushukuru vipi kaka...hakika umeniburudisha vya kutosha...Allah bless u Muddyb
Pamoja sana kaka. Ndio lengo kuburudika ndugu yangu..
Haya mambo yamenikumbusha mbali sana
Nakumbuka machimbo ni kiwa sehemu moja majimaji tunduru mwaka 1994
nikweli
Daahh hivi vitu vya zamani nilikuwa navitafuta sana shukrani
Huu ni Muziki halisi wa Vijana Wazawa wa vitaa vya Dsm, unaongelea vitu halisi na sio mambo ya kumithilika toka Ughaibuni!
Shukrana sana Kaka @ Muddy B.
Coooperrr!
wazawa hasa kaka. kabla watu hawajaanza kuiga
@@zombazezu Hahahaha wala si uwongo!
2021 bado nipo nawasikilizs hisani ..
Dah chozi limenitoka umenikumbusha mbali enzi hizo wengi wametutoka dah from Dubai
Leo naenda kukutana na Kaziba. Mpiga vigoma wao wa Gari Kubwa.
Daaaa nimekumbuka mbali sana. Nyie ndiyo waanzilishi bhana
umetisha..vipi lile toleo la nyuma lina wimbo wa nirudishe kwetu ulikonitoa unalo
Herbert Samuel hapana kaka...
Wameniahidi kunipa ngoma nyingi zaidi!
dah maisha safari, nakumbuka kigambon kulikua NA kundi linaitwa Topazi,
hisani music club kundi la masela halisi na sio masela mavi hawa wa sik hizi waporaji wa wazi wazi" hawa machizi ndio walioleta mapinduzi halisi ya mnanda kutoka ktk uhuni na kuwa mziki wa kila mtu na kuufanya usela uheshimike rasmi"
Kaka muddy Ivi awa wana wapo kweli ata habari zao tu hazipo wapo wapi nawanashughulika na nini
Dahaaaa kipind hicho nilikua mdog hiz nyimb dahaa nakumbuka mbali san
kaka tuletee vitu vya night stars wakina Haidary Kessy, Hard boy na Kibaka mdudu
Hahaa,
Marehemu Mkama Sharp ndio alianzisha Night Star baada ya kulivunja kundi la Red Star!
Akawachukua Khalfan Wa Mizoga aka Wami ( Mpiga kinanda),
Haidary Kessy (Muimbaji),
Big Boy (Mpiga Ngoma wenyewe wakiita Double Bass na Kistuli).
Nilishamuomba Mudy B kuhusu Night akaniambia anawatafuta.
tupia nyimbo nasikia wowowo inamaana gani ya hisani
Nitaenda Jumapili hii kwao!
Dah kaka umefanya nisitishe shughuli zangu kwa muda
Da sio poa nimekumbuka mbari sana tena sana uwa natoa machozi naposikia nyimbo zao 😂😂😂
Big up muddy
Pamoja sana mwamba!
Enzi hizo kulikuwa na Hisani gari kubwa, night star, Urahibu,Zipolali,atomic
Nishaziona kaka
kaka naomba tupia za kale nyingi michiriku ndio zetu
Hakuna noma kaka. Nitajitahidi kufanya hivyo!
Kitambo sana
Nakubal xn
Muddyb Haidari Kesi yupo kweli
Sina uhakika sana kaka... Ngoja nifuatilie habari zake!
Woooow
Next time tuletee nyimbo za night star
Ninazo kaka. Basi tu nimesahau kuzitupia!
Muddyb Mwanaharakati kaka hebu nitumie kwenye namba yangu 0755371056
Night star ya kina Hard boy, Haidary Kessy, Kibaka mdudu
Hili kundi lilikuwa la marehemu Mkama shapu
Maskani yao ilikuwa Kariakoo mtaa wa Kibambawe
Muddy B, wimbo wa Dar Nyota naupataje?
Ngoja nitazama maktaba yangu!
Hakika kama zipo za Dar nyota tupia humu - 0788 200059 whatsaap
Da Nyota iletetuickie
Nice
Hao jamaa walikuwa hatari sana kwa kupiga mchiriku, kosa kubwa lililofanyika kwao walishindwa kujitambua, matokeo yake wajanja wachache wakafanya muziki wao ukaonekana wa kihuni ili wapate kuwatumia na matokeo yake serikali ukaupa mgongo. kipindi hiko mchiriku ukipigwa ni mapanga njenje, wavuta bangi kibao ukijipindua tu umeibiwa. Kuna kipindi Silent Inn pale Mwenge walikubali mchiriku upigwe lakini nasikia zilitokea vurugu za wahuni ndio ikawa mwisho. Nawakumbuka sana hao jamaa walikuwa hatari kwa kupiga huo muziki, ukisikilza wimbo kwa mfano huitwao 'Mola wangu' vinanda vilivyopigwa mule ni hatari tupu. nakumbuka baadhi akina Mzee Kejeri, Ally Ally, Balalu, Muddy kadogo na marehemu mzee baruti aliyeanzisha kundi lingine lililoitwa Fadhila. Mimi nawaambia Game bado ipo, wanaweza kujikusanya wakarudi kivingine kwa mapigo yale yale wakamodifie kidogo watauza. Nakupongeza sana Muddy B. kwa kutuletea hao jamaa, nimesikia mahojiano yako vizuri kweli inasikitisha. Napatikana kwa +255 754283001. Na wewe weka namba yako tukutafute
Unisamehe sana. Nilikuwa mbali kaka. Namba yangu ni: 0713538427
Sasa hivi jagwa wanawakilisha vizuri
Kweli brother
Hayo Mahojiano tutayapataje mzee ili nasi tuone na kusikia
bila kusahau Mfaume,Gololilo,Bwana Kicheko
Muddy B kwani na ww ulikua unapiga mchiriku?
Ndio mdau was music huu
cess naterious kk mudi ivimsasa wadanyota yukowapi au vijana wamkamashapu mm nimdauwako mkubwa waisani galikubwa naitwa tolaboi kulwa rumbesa tunaonana sanatu
KAka tutafutue na bimbo Zatokyo
Hawa jamaa walikua wanajua sana
😂😭😭🤦🤦🤦
Naam
Naona harakati zinaendelea, mzazi! Tupo tu hapa!
Nitafutie vitu vya Night Stars tafadhali @Muddy B
Baba Safi
Pw kaka
zipolali ulaibu atomiki