SHUHUDIA UMATI BALAA MAZISHI YA QARII: USTADH BADAWY AYUBU | KIJIJINI KWAO KIKILO (KONDOA) 1980-2021

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 160

  • @fatmaabdi8813
    @fatmaabdi8813 2 роки тому +18

    Allah amukutanishe nawaja wema walotangulia shekh wetu😢😢

  • @aishaabdalla7624
    @aishaabdalla7624 2 роки тому +2

    Innaa lillahi wainna ilayhi raajiun
    M'mungu amfanyie wepesi wa safari yake, amghufirie madhambi yake na ampe kauli thabit

  • @lelasalum555
    @lelasalum555 2 роки тому +16

    Inna lillah waina illah rajiuna allah warehemu maiti zetu wanaotutoka waislamu waume kwa wake wakubwa kwa wadog nasi ni maiti watarajiwa pumzka kwa amani shekhe wetu

  • @shurlaally1686
    @shurlaally1686 2 роки тому +1

    innallillahi wainna illahi rajiun Allah afanyi wepesi safari yake na katika kabri yake3

  • @maulidinchasi6401
    @maulidinchasi6401 2 роки тому

    Inalilah waina ilah rajioon

  • @mbwanasendaro4707
    @mbwanasendaro4707 2 роки тому +6

    Mwenyezi Mungu amuondoleshee dhiki za kaburini 🤲

  • @anitacizaa413
    @anitacizaa413 2 роки тому

    Inalilahi waina ilayihi rajiun

  • @fatiabakari4020
    @fatiabakari4020 2 роки тому +7

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭mungu ailaze rh yake pahala pema peponi amin

  • @yusuphzungu9250
    @yusuphzungu9250 2 роки тому +7

    Mwenyezi mungu atupe mwisho mwema🤲

  • @adilihassan8455
    @adilihassan8455 2 роки тому +1

    Sote niwaja wa Allah na sote tutarejea kwake ,hizi ni dalili kubwa za kiama Allah anawachukua Hafiz na ivo ndo Quran inapotea tupate ibra,Allah mjalie herizote kaburin mwake,na Hafiz mili yao haiozi ,Allah anaifadhi milyao hadi kiama,yarabi tupe mwshomwema,

  • @kichunaabdhuu4283
    @kichunaabdhuu4283 2 роки тому +5

    Mwenyezi mungu hatujalie mwisho mwema😭😭😭😭😭😭😭

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 2 роки тому +1

    Allahhuma ghafirau warahmahu wasikanah firjanna twakuomba ya Allah uwasamehe maiti wetu uwape kauli thabiti ufanye makaburi yao kuwa miongoni mwaviwanja vya peponi pia umsamehe marehem mume wangu na wazee wetu wote walioko mbele za haki

  • @thuwaybah5679
    @thuwaybah5679 2 роки тому +4

    Innallilah waina ilaihi raajiuun 😭😭😭😭😭😭ALLAH amfanyie wepec katika safar yake na sisi atujaalie mwisho mwema ..Amiin

  • @hamisijuma3174
    @hamisijuma3174 2 роки тому +1

    Mungu ampe kauli thabit kaburin

  • @hassanmkotya4136
    @hassanmkotya4136 2 роки тому +2

    Innallilah wainna ilaih rajiun. Mwenyezi Mungu alifanye kaburi la shekhe wetu kuwa viwanja miongoni mwa viwanja vya Peponi Aamina.😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Sote njia moja yarrabi msamehe alipokosea.

  • @suheilahsuheilah4968
    @suheilahsuheilah4968 2 роки тому +3

    Allah awarahamu wote walotangulia mbele ya Allah awatilie nuru makaburi yao

  • @nyandanyanda4819
    @nyandanyanda4819 2 роки тому +1

    Eeeeeh Allah subhana,ihifadhi roho y shekhe wangu badawi peponi firdausi asiguswe na moto yarab

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому

    Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yangu hapo kama hautojal

  • @fatiabakari4020
    @fatiabakari4020 2 роки тому +3

    Poleni sn ndugu mliofikwa na msiba na jamii yt ktk kijiji hicho from from 🇰🇪

  • @mrsalam1094
    @mrsalam1094 2 роки тому +1

    Kuna shehe moja aliuza kondoa kuna nn mbona wasomaji wanaotuwakilisha kima taifa wote wanatoka kondoa ss afuuatilie atajua sababu nn maana wao kila kitu bidaa kondoa wapo ila sio wengi wanafutilia hiyo bidaa yenu

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 2 роки тому

      Kelele

    • @abdallahomary3414
      @abdallahomary3414 Рік тому

      Bingwa wa Qur an hakuwahi kutoka kondoa acha kujifagilia mabingwa wengi wanatoka pwani ila kondoa mna wasomaji wengi wanaosoma tajweed hiyo ni fani unamjua yahaya hussein wewe aliyewahi kuwa bingwa wa east africa au unaongea tu

  • @jacobponga1540
    @jacobponga1540 2 роки тому +9

    Hakika Kwake Allah tulipotoka sote, na marejeo yetu sote ni kwa Allah

    • @asiaaliy4366
      @asiaaliy4366 2 роки тому

      😭😭😭😭😭😭 innalillah wainnarajihun Allah amepe kaburi lake nuru

  • @laisamaujud1157
    @laisamaujud1157 2 роки тому +1

    Alieandika kichwa cha habar naomba asahihishe Qur'an haiwezi kuzimika kw kufa kiumbe Innalillah wainna ilaih rajiuun

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 2 роки тому +2

    Inna Lilla hi wain inna allahi tarjuin Mola akuhifadh mashukiyo yako yawe pepon pamoja na waja wema akujalie jiran yako mtume wetu Mohammed (SAW )

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 2 роки тому

    Huwezi kuandika balaa la mazishi mtu ka huyu .
    Unasema kinacho faa .
    SIO BALAA HII NI REHEMA .
    NA TUNA NLILIA WIVU KWA KUPENDWA.

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 2 роки тому +5

    رحمه الله اخانا وشيخنا البدوي بعثه الله يوم القيامة من الآمنين

  • @yussuphsultan1400
    @yussuphsultan1400 2 роки тому +4

    Inna Lillahi wa inna illaihi rajiuun, Allah SW amhifadhi ndugu yetu!!!

  • @istambuliahmedi8203
    @istambuliahmedi8203 2 роки тому +5

    اللهم غفر له ورحمه واسكنه فى الجنة،. اللهم ثبته بالقول الثابت

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 2 роки тому

    Kabla haijafika mwisho hii video nahis kuchanganyikiwa alefarik ni yy kweli nimuonae kweny pc hiyo ama🤔🙄😭innah lillah wainnah illah rajiuna wacha nimalizie kuona nitaelewa vzr😳😭Allah Akbaru

  • @aishamohammed2427
    @aishamohammed2427 2 роки тому

    Innalillah wainnailaih rajiuna

  • @halimali2740
    @halimali2740 2 роки тому +3

    Inna lilah waina ilayh rajiun allah amjalie kauli 😭

  • @SubiraMakau
    @SubiraMakau Місяць тому

    Ilnallah mwenyenzi mungu amor kauli sabit

  • @hamdanvitalis2576
    @hamdanvitalis2576 2 роки тому +1

    Allah mujalie pepo mjahuyu allahma amiiin

  • @abubakarimchani8362
    @abubakarimchani8362 2 роки тому

    😭😭😭😭😭

  • @aishandwata2207
    @aishandwata2207 2 роки тому

    Yarabi murehmu mujalia mako meme peponi tunakumba yarabi .

  • @zaitunimaulidi585
    @zaitunimaulidi585 2 роки тому

    Innallilah wainnallilahi rajiuun Allah ampa Nuru kwenye kaburi lake inshallah inauma sana

  • @ajmalkiango4715
    @ajmalkiango4715 2 роки тому

    Daah mashekhe mwenye hii nasheed ya swallu ala alkamali anitumie

  • @ukhutykhadija9714
    @ukhutykhadija9714 2 роки тому

    Ina lilahi waina lilahi rajiuna allah ampe kaul thabit

  • @bashiriddy8673
    @bashiriddy8673 2 роки тому

    Inna lilah waina ilah rajiun kuna jambo moja sijaelewa kwenye msiba qur'an yanini inasomwa wakati siyo sehemu yake? Maiti inatakiwa kufanyiwa mambo matatu
    1.Kuoshwa
    2.kuswaliwa
    3.kuzikwa
    Basi hii qur'an inakuwaje inasomwa?

    • @abdallahomary3414
      @abdallahomary3414 Рік тому

      We muhawabbi acha mambo ya kiwahhabb kwan kuna ubaya kusomwa qur an mcban niambie kuna madhambi yanayopatikana yakisomwa maneno ya Mungu kwenye mcba

  • @ahmedaljabri1206
    @ahmedaljabri1206 2 роки тому +2

    Polesana ndugu Jamaa na malafiki waliyefikwa namsiba mwenyezimngu amempenda zaidi mbele yake nyumayetu mwenyezimngu uilaze lohoyamalehem maalipema peponi amiina

  • @حواسعيد-ب3ع
    @حواسعيد-ب3ع 2 роки тому +2

    lnalilahi wainailaihi rajiuun

  • @beautyandfashiontipsforbot4524
    @beautyandfashiontipsforbot4524 2 роки тому +2

    Innallah wainnailahi rajiunn

  • @jamilahjuma9273
    @jamilahjuma9273 2 роки тому +1

    Allah atupe mwisho mwema na sisi😢😢

  • @Zena-h4p
    @Zena-h4p 2 роки тому

    Inna lilah waina ilahi raajiun mungu akulaze pema pepon akusahe makosa yako na ss tulio nyuma yako atujaalie mwisho mwema

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 2 роки тому +2

    Innalilah wainna illah rajuun, allah amuhifadhi miongoni mwa waja wake wema yaarab, khakika umati tumeumbiwa Wanadamu ifikapo saa na wakati hatuna budi kurejeya kwake, poleni wana family na ndugu zang kutoka kondoa kikilo...✍🇴🇲🇹🇿

  • @sultansaid992
    @sultansaid992 2 роки тому

    Innalillahi Wa innalillah raajiun

  • @shallytv6316
    @shallytv6316 2 роки тому

    Inalillah wainna ilaihi rajiun...

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 роки тому +2

    Poleni sana ndugu jamaa na marafiki

  • @sogoyikissoyi8400
    @sogoyikissoyi8400 2 роки тому +3

    INNALILAHI WAINA ILAIHI RAAJUUN

  • @BINTIwaKITANGA
    @BINTIwaKITANGA 2 роки тому +2

    Inna ilayh WA Inna ilayh rajiun 🤲 Allah ampe kaul thabiti shekh wetu

  • @zawiajuma715
    @zawiajuma715 2 роки тому +2

    Allah akutie nguvu kaka a Rajayi katika hiki kipindi kigumu

  • @maliktariq5218
    @maliktariq5218 2 роки тому

    Inalilahi waina ilaihi rajiuni

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 2 роки тому +3

    Innallah wainna illayhi rajiuun

  • @madinaabdallah4246
    @madinaabdallah4246 2 роки тому

    Innalilah wainailah rajiuna

  • @AymaanMajiid
    @AymaanMajiid 8 місяців тому

    Allah amraham amsamehe makosa yote

  • @rashidikanyama7227
    @rashidikanyama7227 2 роки тому +2

    Innalilah wainnailaihi rajjighuun

  • @fatumathabit6498
    @fatumathabit6498 2 роки тому

    Innallilah wainalllilah rajiughun

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 2 роки тому +1

    Emungu namie nipe mwisho mwema😭😭😭🤲🤲ameena yarabii

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 11 місяців тому

    Innaillah wainnalillah rajiun

  • @RafiaIddy
    @RafiaIddy Рік тому

    Innalilah wainnailah raajiun

  • @khalfaniRashid-z5r
    @khalfaniRashid-z5r 4 місяці тому

    Haooooo masuufiiii watu wa bidaa.

  • @arafakinyuma376
    @arafakinyuma376 2 роки тому

    Allah ampe kauli thabiti

  • @AllySadalla
    @AllySadalla 18 днів тому

    Inna lillah wainna illaih rajeen

  • @matatomlik1846
    @matatomlik1846 2 роки тому +2

    Innalilah wainna ilayihi rajiun 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @vumiliambonde6822
    @vumiliambonde6822 2 роки тому

    Inallih wainallih raajun

  • @sabraabdilnasir8826
    @sabraabdilnasir8826 2 роки тому +2

    Innalilahy wainnailayhi rajioun

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 роки тому +2

    Poleni sana wanafamllia

  • @ramadhanideu6444
    @ramadhanideu6444 Рік тому

    Allah akurehem

  • @maryammrangi5157
    @maryammrangi5157 2 роки тому +2

    Innalilah wainna ilaih rajiuna alla amtilie nuru katikakabur lake amino yarabbiy

  • @ashrafkhamis1051
    @ashrafkhamis1051 2 роки тому +1

    Sisi sote ni waja wa mwenye zimungu kwake tutarejea.mola amrahamu na amlaze pema pamoja na wema.

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 роки тому

    Inalilaa waina lilai rajun

  • @najmayukosawagosi9354
    @najmayukosawagosi9354 2 роки тому +2

    Mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amiin

  • @iddiali8057
    @iddiali8057 2 роки тому +2

    Innaa liLLAH wainnaa ilaih rajiuun

    • @mwajumamaulid6772
      @mwajumamaulid6772 2 роки тому

      Innalilah wainna ilah ranighun Alla awape subra family yake

  • @aminaally5895
    @aminaally5895 2 роки тому +2

    Inalillah Wainaillaih Rajiun

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 2 роки тому +1

    Inalilah wanailh rajiuuu ALLAH amjaaliee pepo ya daraja la kwanza

  • @fatnahusseinalhajj599
    @fatnahusseinalhajj599 2 роки тому +2

    Innalillahi wainna ilayhi raajiun

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 2 роки тому +1

    Innallillah wainailaihi raajiun Allahuma ghfrillahu warhamhum waskanal filjanna

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +1

    Allah akupe kauli Sabity kipenzi chetu

  • @Raya-em8wz
    @Raya-em8wz 2 роки тому +2

    Inna lilah wainna ilaih rajiuo

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 2 роки тому +2

    انا لله وانا اليه راجعون الله اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة

  • @zarahgerrey6693
    @zarahgerrey6693 2 роки тому +1

    Inalilah wainaillah ilahi rajuun.Allah ampe kauli thabit

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 2 роки тому +3

    رضي الله عن القراء والمستمعين وعن جميع المسلمين

  • @chikumbarouk6013
    @chikumbarouk6013 2 роки тому +1

    Allah ampe makaz mema innallilah wainallillah rajiiiun 😭

  • @mariamsudi8845
    @mariamsudi8845 2 роки тому +2

    Inalilahi wainailaihi lajuuna

  • @nyapolasuleiman3485
    @nyapolasuleiman3485 2 роки тому +4

    Inna lillahi wa inna illeihi raajiun..Allah akuweke pema kwenye wema Sheikh wetu

  • @zawiajuma715
    @zawiajuma715 2 роки тому +1

    Inali lahi waina ilah rajighuna

  • @maryamsulemani2024
    @maryamsulemani2024 8 місяців тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 2 роки тому +1

    Innalillahi wainnaillahi rajiun 😭 🤔

  • @hamedahameed148
    @hamedahameed148 2 роки тому

    Innalilah wainna ilayih rajiun ALLAH amuondolee mazito yaliyopo kaburini

  • @sarahronoh540
    @sarahronoh540 2 роки тому +1

    Innalillahi Wainnah Ileyhi Rajiun Allah Rahma

  • @mwanapilikaiama4013
    @mwanapilikaiama4013 2 роки тому

    Inalilahi waina ileihi rajiun kaeni pole mliopatwa n msiba mwenyezimungu awape subra wkati huu w huzni ishaallah

  • @nuruali9608
    @nuruali9608 2 роки тому

    EWE MOLA ! MREHEME SHEKH WETU UMPE QAULI THABIT...YY NA MAMAANGU NA BABAANGU NA WAISLAM WALOTANGULIA MBELE YA HAQI..

  • @rashidikiumba8768
    @rashidikiumba8768 2 роки тому

    Inalilah waina ilaih rajiun 👆 mungu akulipe gher ,, Dua twakuombea ulale pema peponi.

  • @ayshaaisha7630
    @ayshaaisha7630 2 роки тому

    😭😭😭

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 2 роки тому

    YARABI amsamehe thambi zake na amkutanishe na kipenzi chetu mtume Muhammad (S.A.W ). amin amin YARABI amin.

  • @sakinamohamedi2396
    @sakinamohamedi2396 2 роки тому

    Allah alifanye kaburi lake Kuwa miongoni mwa viwanja vya peponi

  • @jumaabdallahaman9030
    @jumaabdallahaman9030 2 роки тому

    Mbele yake nyuma yetu

  • @zuhurambonde1982
    @zuhurambonde1982 2 роки тому +1

    Kondoa dini ilipozaliwa

    • @rashidikanyama7227
      @rashidikanyama7227 2 роки тому

      Una ushahidi na unayoyasema

    • @zahararahara7637
      @zahararahara7637 2 роки тому

      Allah Akupe kitabu chako kwa mkono wa kulia innshaallah.

    • @abdallahomary3414
      @abdallahomary3414 Рік тому

      Kondoa dini ndo ilipozaliwa iv unajielewa kweli wewe yan dini izaliwe kondoa? Dah kweli hujielewi

    • @abdallahomary3414
      @abdallahomary3414 Рік тому

      @@rashidikanyama7227 hajielewi et dini ilipozaliwa kondoa dah kweli mtambo yan dini izaliwe kondoa?

    • @rashidikanyama7227
      @rashidikanyama7227 Рік тому

      @@abdallahomary3414 dah

  • @kassimukipingu5343
    @kassimukipingu5343 2 роки тому +1

    Allahu maghufirili kubur

  • @ndayushimiyerungarunga8438
    @ndayushimiyerungarunga8438 2 роки тому +1

    Innalillah wainnaillahi Rajiun

  • @ndayushimiyerungarunga8438
    @ndayushimiyerungarunga8438 2 роки тому +1

    Innalillah wainnaillahi Rajiun