⚒️RADDI KWA HASSAN WAZIRI KWA UONGO WAKE NA UBABAISHAJI WAKE, UST.ABUU ZAGHAR حفظه الله تعالى

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 60

  • @HassanMrisho-j2i
    @HassanMrisho-j2i 3 місяці тому +3

    Mashaallah,Allah akulipe Abuu zagar kwakuendelea kuibanisha haq!!

  • @yahyarashid8038
    @yahyarashid8038 2 місяці тому

    Ewe Allah tubainishie haki baina ya makundi haya mawili kwahika hatujuw tushike wapi hakika wewe ni mbainishaj wa haqi amiin aamiin aamiin

  • @yahyarashid8038
    @yahyarashid8038 2 місяці тому

    الهم اهدني لما ختلف فيه من الحق باذنك انك تهدي من شاء الى صراط المستقيم امين امين امين

  • @NaduuAbdilah-uj5vj
    @NaduuAbdilah-uj5vj 3 місяці тому +1

    Masha Allah..nime isubirii kwa hamu sana ..Allah awalipe kherii

  • @ABUU_SAAD-ut4fd
    @ABUU_SAAD-ut4fd 3 місяці тому

    Mashaalllah Abuu Zagar...

  • @hassanhamid4359
    @hassanhamid4359 3 місяці тому +1

    Baraka llah fikum

  • @abdurashidinasorodini
    @abdurashidinasorodini 3 місяці тому

    mashaallah hii imeenda nabado yaani mpaka waseme mwakahuu

  • @MohamedSalim-cm9ih
    @MohamedSalim-cm9ih 3 місяці тому

    Wallah hyu waziri soloka .atajuta

  • @MakameMohdOmar
    @MakameMohdOmar 3 місяці тому

    Shekhe mche ALLAH

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  3 місяці тому

      Na ww pia mche Allah

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 3 місяці тому

      @@Ibnsalim3 jibu izi point alizieleza abul abas uskwepe.
      1)Vp kuhusu alwalaa na walbaraaa kuhusu point alotaja abul abas kua wanachuoni waliwabiidisha watu kwasababu ya watu wanaoshirikiana ktk daawa. Ni mifano ktk Hilo alitaja na ipo.
      2)pia point yake kuhusu tofaut kati ya jarh na taadil ikiwa wanachuoni wametifautiana ktk kumbidiisha mtu flani. Ni ipi kati ya jarh na taadil yenye nafasi zaidi. Na hapa abul abas alitaja kauli za ulamaa.
      3)na ikiwa wanachuoni wakitofautiana ktka kumbidisha mtu fulani. Ni upi msimamo wetu juu ya hilo apa naomba ujibu kwa kutoa mifano Ili ueleweke. (Wafuasi wa hajuri, surury, na ikhwani). Point Hii alitaja pia Abul abaas..

  • @yahyarashid8038
    @yahyarashid8038 2 місяці тому

    Enyi masalafi tumuogope Allah kwann tumekuwa wajasiri sana tunawahukumu watu kwa vipimo dhaifu mno kama tuna chuki tusemen fulan twamchukia kwa ajili ya Allah tusibabaishe tumuogopeni Allah , Allah anaweza kujakubainisha haki wakaja kufedheheka wakatafuta pakwenda kujificha na Allah akipitisha mchujo wake hatutoki sio mimi dhaifu na wala mwengine tukaen tupime mambo kwa haki na uadilifu tusifunge mafundo kwenye nyoyo zetu Allah anatisha wallah ipo siku hili Allah atalibainisha tuwajuwe walioko sawa na walio pinda WALLAHU AGHALAMU

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 місяці тому

    Duh! I get confused kwakwel _Tumube Allah nusrah katika hili

    • @ramaqaasim239
      @ramaqaasim239 2 місяці тому

      kuwa na msimamo akhy mbona huku husemi vile unasema kule usiwe { مُّذَبۡذَبِینَ بَیۡنَ ذَ ٰ⁠لِكَ لَاۤ إِلَىٰ هَـٰۤؤُلَاۤءِ وَلَاۤ إِلَىٰ هَـٰۤؤُلَاۤءِۚ وَمَن یُضۡلِلِ ٱللَّهُ فَلَن تَجِدَ لَهُۥ سَبِیلࣰا }
      [Surah An-Nisāʾ: 143]
      usiwe kama wale wanaozungumzwa kwa hii aya usiwe na nyuso mbili sio sifa za waislamu wallahi Allah aniongoze na akuongoze kutokamana na ushabiki

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 місяці тому

      @@ramaqaasim239 Mimi sina nyuso mbili.... isipokuw nilikuw nilikuw bado sijaijua haqqi ni ipi,,,ndo mana ulikuw unaniona natapatapa koz haya maswala yalikuw yananchanganya saaana.. tena saaana! but alhamdulillah saiv nshaanza kupata mwanga! ila so kama eti nina nyuso mbili makusudi,, noooo! usinfikirie vibaya..... Lakin pia sitakiw kuwa fixed upande mmoja! penye haqqi ndipo napokimbilia

    • @ramaqaasim239
      @ramaqaasim239 2 місяці тому

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Allah akuwafikishe akhy...hivi ni vipi MTU atajua haqqi

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 місяці тому

      @@ramaqaasim239 Utaijua haqqi kwa kuitafuta kupitia Qawli za ulamaa kuhusu jambo fulan.....

    • @ramaqaasim239
      @ramaqaasim239 2 місяці тому +1

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x akhy misingi ya kuipima haqqi sio Maulamaa Asema imam maalik ALLAH amrahamu "Kila mtu inachukuliwa kauli yake na inaraddiwa yaani anaregeshewa ISIPOKUWA mwenye kaburi hili akimaanisha kaburi la mtume صلى الله عليه وسلم"
      Miqyas au mizani ya kuipima haqqi
      1.QURAN
      2.SUNNAH(hadithi za mtume)
      3.QIYAAS
      4.IJMAA YA WANACHUONI
      akija MTU lazima apitie hizo miqyas ndio hoja zake ziswihi

  • @MohamedSalim-cm9ih
    @MohamedSalim-cm9ih 3 місяці тому

    Hakika mbweko zimewafedhehesha watu wao

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 3 місяці тому

      Mualim ajibu points hizi.
      1)point ya alwalaa walbaraaa. Ambapo Abul abaas alitaja point kua kuna maulamma waliwabkdiisha watu kwa sabab ya marafiki zao wanaoshirikiana ktk dini. Yey ajibu point Hii askwepe.
      2)pia point ya abul abas kuhusu jarh na taadil ni ipi yenye nguvu. Yaani ikitokezea wanachuoni wamejeruhi na wengine wameadikisha juu ya kadhia ya mtu fulani.

  • @Khalid-xd2yl
    @Khalid-xd2yl 3 місяці тому +1

    Mzungumzaji,kasome vizur siira ya salaf,
    Pia sikiza vizur hoja za mwenzio alaf ndio ujibu

    • @hassanhamid4359
      @hassanhamid4359 3 місяці тому +1

      Nyinyi hamtaki elimu mumekaa kushabikia jambo liko wazi kua lina pande mbili isikilize vizuri Allah anajua ume elewa vipi Allah atuongoze katika dawah salafia

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 3 місяці тому +2

    Naam tangu nifuatilie hizi rududy 😂 nawaona hawa akina mafuta niwababaishaji tu labda mtu awe na ushabiki. Ndiyo atakataa ila kwa hojjah madhubutib😢 wala hawana qasimu mafuta na vijana. Wake na mafuta anajikuta mwamba sijui. Anajiona mwanazuoni aty hawezi jibu wataoto😂.as mtuambie nyie mahadady .dini inautoto????

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 місяці тому

      Mafuta ndo amesema kuwa hawezi kuwajibu watoto au kasema mwingine??? ... uadilifu ni muhim,,, bila shaka aliyesema hvo so mafuta mwenyew

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 місяці тому

    Lakini mm nina swali hapa: kama kwenye jamii kuna watu wanafanya bida'a za wazi,tuseme labda masufi...je ninaruhusiwa kuwabidi'isha na kuwatahadhalisha kwa watu au ni hadi hyo kazi waifanye maulamaa? Na maulamaa watawabidi'ishaje watu wasiowajua???

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  3 місяці тому +4

      Bilq ya shaka hao tayar jambo liko wazi kuwa ni watu wa Bid'aa, lkn yule mtu Ambae anadhihirisha Sunnah na anaifanyia kz Sunnah huyu huwezi kumbiisha mpk adhihirishe Bid'aa wazi wazi na mpk afikishiwe ujumbe wa dawa'a na hali hapa Kuna Hali mbili ikiwa huyu mtu anafanya Bid'aa lkn hajui kuwa ni Bid'aa huyu hatuwezi kumbiisha mpk kufikishie Elimu na hoja zilizowazi na Hali ya pili mtu anajua kuwa anafanya bidaa na afahamu kuwa ni Bid'aa na akafikishiwa ujumbe na hoja lkn akafanya inaadi na kuwaacha hakki Hali ya kuwa amepata ubainifu huyo ndio ndio anabiishwa na kz hiyo wanafanya Wanawachuoni pindi watakapopelekewa hii Khabar na ndipo wao hutoa hukmu ya huyo mtu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 місяці тому

      @@Ibnsalim3 Maa shaa Allah! Baarakallahu fiyk...nimekupata vzr

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 3 місяці тому

      Naam atakae kuja kukupinga atakua anaushabiki na shabiki huyo atakua niwamafuta na genge lao ??​@@Ibnsalim3

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 3 місяці тому

      @@Ibnsalim3 sasa Vp Hawa maikhwani, surury na wafuasi wa yahya hujuuri.

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 3 місяці тому

      @@Ibnsalim3 ebu ekezea vizur kupitia mifano wa hao tupate kuelewa vzr. Baraka Allah fikum.

  • @AdamJuma-ov9eb
    @AdamJuma-ov9eb 3 місяці тому

    We Abu zahgar huwezi kufananisha shekhu swaleh lfauzan na hasani awazi Allah amsameh

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 2 місяці тому +1

      Amemfananisha wapi hemu acheni ushabiki na mipasho na taasub

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  2 місяці тому +1

      Kwnn nani kasema tumemfananisha sheikh abuu mua3wiya na sheikh fawzañ km hujamfahamu shikh abuu Zaghar ni kwamba km Kuna Wanawachuoni waliompa udhuru sheikh Muhammad Al imamu moja wapi ni sheikh fawzañ

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 місяці тому

      ​@@Ibnsalim3mbona hata kuna wanazuon wengine wamempa udhuru yahya al hajuuriy ??? Kwann sasa tunasema kuwa mahajaawirah sio masalafy??? Kwo mm hapo naona shida so kupewa udhuru na Fawzan!
      Lakin pia nimeona Abul Abbas katoa masharti ma4 ambayo ilibidi Muhammad Al imaam ayatimize kwanza ili apate udhuru wa kusaini ule mkataba,ikabainika kuwa Muhammad Al imaam hakutimiza hayo masharti....hili nalo mnalizungumziaje!

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 2 місяці тому

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x apa ndipo ulipompata, anakwepa. Swali hili ni Zito kwao. Wamepindaaaa

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 місяці тому

      @@AbulqassimAshirazy-yd7th yani mwanzon hawa watu walikuw wananiumiza kichwa lakin baada ya kuona hilo swali wanaliruka nkajua kuwa masalafy wapo kwenye haqqi bado!

  • @AdamJuma-ov9eb
    @AdamJuma-ov9eb 3 місяці тому +1

    Swali hili unatakiwa ulizwe wewe kwa sababu unamuweka Abu muawiya kundi la maghulam

    • @yahyarashid8038
      @yahyarashid8038 2 місяці тому

      Wewe umachuki binafsi na Abuu muaawiya Allah amrahamu lakin Allah atafichua haqi sisi tunamdhania kheri abuu muaawiya na Allah anamjuwa zaid kuwen waadilifu kabla hamujaenda kwa allah wallahu aghalamu

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 2 місяці тому

    😂 ulisha jibiwa dalili ukiwa mwanazuoni kazungumzia Jambo la kuraddy mtu bc inaangalia kizibiti hilo Jambo Alie radiwa Yuko nalo? Au Hana ikiwa analo bc inazingatiwa jariihe ya aliemjeruhi sasa hizbi mnahanganika Nini kuminyana ktk batwir 😂

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  2 місяці тому

      Ninawasisi akhuy hujamsikiliza vzr sheikh abuu Zaghar hajazungumzia kumraddi mtu humoo !!!

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 місяці тому

      @@Ibnsalim3 Yale masharti ma4 ambayo ilibidi Muhammad Al imaam ayatimize ili apewe udhuru mnayazingatia lakin??? Mana nyie imekuw kila mtu akikosea mnasema amepewa udhuru! Imefikia hatua hadi BACHU mwenzenu anawapa udhuru akina Nurdin kishki na kuwachukulia kama masalafy...... ameenda weeeee, ikafikia hatua akawasifu hadi tabligh... Mtaenda hvo mpaka lini? Mkiendelea hvo Da'awatusalafiyyah mtaichafua!

  • @jumangodu2402
    @jumangodu2402 2 місяці тому

    Tunaomba mtuelezee wazi kuhusu mkataba aliousaini Muhammad Imamu na Mashia halafu tutajua kama kama abuu muawiya alipatia au alikosea kumtetea?
    Mzozo upo hapo

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  2 місяці тому +1

      Vp ileezwee mara ngapii inavyoonekana ww hufuatili ndio Mana mpk leo unawasisi sn

    • @yahyarashid8038
      @yahyarashid8038 2 місяці тому

      Na hatajuwa maana ni shabiki sio mfuatiliaji na mtaka kuelewa wallahu aghalamu