#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 38

  • @SalomeMangale-m8i
    @SalomeMangale-m8i 10 годин тому +2

    Maana kwakweli wewe ndio nakutegemea kwa maisha yangu mm pamoja na watoto wangu naomba uwe Kila kitu kwamaisha yangu na watoto wangu huuu mwaka wa 2025 nakuomba uwe mlinzi wangu wewe mapenzi yako yatimie kwa familia yangu kwa na mm ma watoto wangu kwa ulinzi wako kwamaana nkisema ninaweza kwakweli najidanganya eeee mungu ingilia kati ameen

  • @richardcharles2390
    @richardcharles2390 8 годин тому +1

    Mungu nikumbuke mm na family yangu ndani ya mwaka huu🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani 22 години тому +5

    Mungu nikumbuke juu ya mwaka wote huu kwenye maisha yangu, nifanyikishe mwiezi yote funguwa baraka zoooote juu yangu

    • @JulianaGewe-j1q
      @JulianaGewe-j1q 16 годин тому

      Ee Yesu Unikimbuke Unawazuru wengine naomba usinipite.

  • @rosinamtauka9933
    @rosinamtauka9933 10 годин тому

    Yesu uwe kila kitu kwenye maisha yangu na ya watoto wangu na familia yangu, Amina

  • @NeemaKarisa-s2w
    @NeemaKarisa-s2w 14 годин тому

    Amen Hakika hayo maombi hujiskia mzigo nikajisemra moyoni mwangu machozi uchungu mpaka koo inakauka Asante mtumishi Wa MUNGU Amen Mungu aniondolee huzuni yangu anikumbuke anijibu Amen 🙏🙏🙏

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 17 годин тому +1

    Kibali cha watoto wangu naomba mungu wangu kwa uzima ❤afinya njema nikiwa Omani napokea uponyaji wa kiroho kwa jina la yesu amen

  • @SalomeMangale-m8i
    @SalomeMangale-m8i 10 годин тому

    Eeeee mungu uishie milele nakuomba unikumbuke Mimi na watoto wangu unapo zuru wengine na Mimi na watoto wangu usitupite naomba utulinde na Kila mikono ya maadui wote wachawi waganga na hata mitengo yote midomo mibaya utuepushie eeee mungu naomba utufiche ubavuni mwako eeeee mungu naiman tukiwa ubavuni mwako tutakuwa salama kwahuu mwaka Wacha mapenzi yako yatimie wala sio yangu Mimi Ameen

  • @GeorgeJoseph-m9t
    @GeorgeJoseph-m9t 20 годин тому

    Ibaada yangu kabisa Asante roho mt.kwa sauti yako kupitia mtumishi wako....❤

  • @mariamjumaa-e6u
    @mariamjumaa-e6u 20 годин тому

    Naomba msamaaa wako bwana roho hii ya Zambi ziondoke mwenye maisha yangu bwana wewe unajua naomba mapenzi yake yatimizwe naomba niondoe kwenye agano hili la dhambi

  • @josedorothea7939
    @josedorothea7939 23 години тому

    Msaada kwa anayejua jina la msanii na jina la wimbo huo wa (yesu uwe kila kitu kwangu) 🙏

  • @rindkin1856
    @rindkin1856 23 години тому

    Mimi ni mwenye dhambi nisamehee na usikie maombi yangu amina

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani 22 години тому

    Amen amen amen amen amen amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rosemukhwana2262
    @rosemukhwana2262 22 години тому +1

    Asante yesu kwa siku ya leo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @GhFc-w9k
    @GhFc-w9k 19 годин тому

    Yesu na omba uwe kila kitu kwangu na watoto wangu

  • @everlinenafula
    @everlinenafula 22 години тому

    Amen Amen pastor barikiwa July nishudie makuu ya MUNGU

  • @ramadhaniibrahim-zv1ci
    @ramadhaniibrahim-zv1ci 20 годин тому +1

    Mungu wetu ni mwema sana

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 17 годин тому

    Mungu naomba kibali juu ya watoto wangu shuleni wawe kichwa na si mukia kwa jina la yesu amen kibali juuu mwaka huu wote

    • @نيماخميس
      @نيماخميس 7 годин тому

      Najiunganisha na madhabahu haya pamoja n watoto wangu siri,za bibilia amen amen

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 20 годин тому

    Damu yesu inanena mema

  • @FatumaMwaruwa-qf1wf
    @FatumaMwaruwa-qf1wf 18 годин тому

    Ameni🙏🙏

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani 22 години тому

    Damu yako inatakasa ❤❤❤❤❤❤❤

  • @rindkin1856
    @rindkin1856 23 години тому

    Damu ya yesu pita na mimi nipate kazi tafadhali nisaidie watoto wangu amina

  • @angelinemapenz4358
    @angelinemapenz4358 10 годин тому

    Amen yesu uwe kila kitu kwangu🙏

  • @MmungaMbele-u1o
    @MmungaMbele-u1o 19 годин тому

    Amen 🙏🏻🙏🏼🙏🏽🙏🏾🙏🏿

  • @elizageorge2414
    @elizageorge2414 23 години тому

    Asante Yesu

  • @SalomeSimon-f5z
    @SalomeSimon-f5z 16 годин тому

    Ubarikiwe sana Mungu

  • @gladyemmanuel4588
    @gladyemmanuel4588 23 години тому

    Eeeeh Mungu Baba Naomba rehema yako

  • @MaryMishi-lk1zp
    @MaryMishi-lk1zp 7 годин тому

    Yes uwe kila kitu changu

  • @mariamjumaa-e6u
    @mariamjumaa-e6u 20 годин тому

    Sijui niseme nini lakini mungu ni mwema

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 20 годин тому

    Nipo apa mungu wangu

  • @AAa-d3v5s
    @AAa-d3v5s 19 годин тому

    Yesu ukue kila kitu kwangu

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani 22 години тому +1

    Wewe ni bwana

  • @klm645
    @klm645 22 години тому

    Ameeen

  • @ramadhaniibrahim-zv1ci
    @ramadhaniibrahim-zv1ci 20 годин тому

    Leo sikusimama kwenye maombi ya saa 9 usiku nilikua na pambano kubwa sana katika njozi nilivyo amka saa 9 kamili sauti ikaniambia acha kwanza nenda ukapambanee Zima simu nikapambana sana nikashinda

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani 22 години тому +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @MrImma
    @MrImma День тому

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 20 годин тому

    ❤❤❤❤