KWANINI PLATO, ARISTOTLE NA SOCRATES NI MAARUFU SANA, WALIFANYA NINI HASA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @rogermanzekele3181
    @rogermanzekele3181 Рік тому +3

    Asante kwa mafundisho. From Kinshasa 🇨🇩 DRC

    • @EmmanuelNjugunah
      @EmmanuelNjugunah 4 місяці тому

      Nilidhani Magharibi ya RDC mazungumza Kifaransa pekee

  • @donatusnicolaus6403
    @donatusnicolaus6403 11 місяців тому

    Nimejihisi nami Niko Ugiriki ya Kale, nakusalimu Kwa dhati ya moyo wangu Justin Shedy ✍️✍️ me I love philosophy so much 🪴

  • @HalfaSaid-vl6ki
    @HalfaSaid-vl6ki Рік тому +4

    Haya wakwanza Leo like zangu 😄

  • @bakariali7777
    @bakariali7777 Рік тому

    Safi sana

  • @GraceCharuzi-nf6dq
    @GraceCharuzi-nf6dq Рік тому

    Very nice

  • @DANIELMASAI-e7m
    @DANIELMASAI-e7m 2 місяці тому

    Brother umetisha sana hizi nistria za muhimu sana maana wengi hawazi fahamu

  • @afreyghp34
    @afreyghp34 10 місяців тому

    Sijaelewa vizuri Socreates alizaliwa
    Mwaka 470 kabla ya kuzaliwa kwa kristo na kufaliki mwaka 399
    Au umechanganya kidgo Master

  • @joshualaizar
    @joshualaizar 8 місяців тому

    Ahsante naomba historia ya Anaximander Anaximenes na Thales please

  • @samuellubunga
    @samuellubunga Рік тому

    Nice
    Wanafalsafa wakubwa hao umetupa nusu bro ungewachimba kwa ndani kbs

  • @jamesmhande4593
    @jamesmhande4593 Рік тому

    Good

  • @DramatizemewithCr7
    @DramatizemewithCr7 Рік тому

    Unajua mzeee🙌

  • @bobdylan2470
    @bobdylan2470 Рік тому

    Nice

  • @halimama6314
    @halimama6314 Рік тому +1

    😂😊❤ ok

  • @shedyjr3227
    @shedyjr3227 Рік тому

    Hapo kwenye kuzaliwa na kuzikwaa mbona kama, umetupanga!?

  • @castolikiliwike8393
    @castolikiliwike8393 Рік тому

    Kumbe Miaka ya zamani kabla ya Kristo ilikuwa inahesabiwa kwa kurudi nyuma?

  • @emmamga5495
    @emmamga5495 Рік тому +1

    Hao wanafalsafa wa u Greek ya Kale walipata uelewa Africa nchi ya Misri ya kale (Kemet)

    • @AliHamad-qy9ks
      @AliHamad-qy9ks Рік тому

      Ni kweli kwa sababu misri ndo sehemu ilishuka manabii na mitume wengi wa MUNGU

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 Рік тому

    Mkuu tupate history ya Alexander the great

  • @alfredpaulokijangwa1229
    @alfredpaulokijangwa1229 Рік тому

    Wa 10 leo

  • @NikolasiGowela-cg7kn
    @NikolasiGowela-cg7kn 8 місяців тому

    M

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️.

  • @jacobmaganga3354
    @jacobmaganga3354 Рік тому

    MWANZILISHI WA FALSAFA NI THALES OF MILETUS, SOCRATES ALIKUA MWANAFALSAFA BORA BAADA YA THALES HUKU NENO FALSAFA LIKIBUKILETWA NA PYTHAGORAS