FADHLA ZA SIKU YA ARAFA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @abdullahiiddi4109
    @abdullahiiddi4109 2 місяці тому +7

    Shukran sheikh darsa yenye makumbusho Muhimu sana Kwa Ummah.
    Allah akuhifathi tuzidi kuelimika akupe Afya nzuri na akulipe Pepo ya Firdausi soteni Jamil Islam
    .
    Amin

    • @rahmamohammed9678
      @rahmamohammed9678 2 місяці тому

      Allaahumma Amiin yaa rabbil Aalamiin ❤ na jaamia Muslimin yaa rabb

  • @halimamuketi6738
    @halimamuketi6738 2 місяці тому

    SubhanaAllah

  • @rahmamohammed9678
    @rahmamohammed9678 2 місяці тому

    Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
    Alhamdhulillah
    Allaahumma Salii wa saliim Ala Sayyidina Muhammad wala alihi wa Ass habihi wa Salaamu ♥️🥰
    Allaahumma Amiin yaa rabbil Aalamiin 🤲🏾

  • @user-nh2wt4yd7w
    @user-nh2wt4yd7w 2 місяці тому

    Subhanna Allah

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 2 місяці тому

    Maa Shaa ALLAH 💚💚💚

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 2 місяці тому

    Arafa yenyewe mnazuia wafuas wenyu kupata thawab mnawachezea wafunge yaumul idd

  • @challengepcn7982
    @challengepcn7982 2 місяці тому

    جزاك الله خيرا يا شيخ
    Nimependa Zaiyidi darsa zako

  • @munaomar9532
    @munaomar9532 2 місяці тому +3

    Shekh mtufunguwe macho hasa hii arafa ni lini ,oman twaambiwa arafa jumapili ,hapo hapo waoman wameenda makka ila watasimma jumamos ,ssi tulioko huku twaambiwa arafa jumapili iddi jumatatu

    • @Mohaa4309
      @Mohaa4309 2 місяці тому

      M nipo Qatar arafa ni Leo jumamosi ila fuata huko ndo sawa

    • @irhadiddi94
      @irhadiddi94 2 місяці тому

      @@Mohaa4309arafa tunafuata saudia watu wanaposimama sio nchi ulokuwepo

    • @khadijamohamad3915
      @khadijamohamad3915 2 місяці тому

      Sheikh hapo maneno yake yako wazi kabisaa..
      Fwata tarehe ya mahali ulipo sio Saudia wala sehemu nyengine...

    • @uiavajiwgav5441
      @uiavajiwgav5441 2 місяці тому

      Omani wametangaza Eid hawajachangaza arafa

    • @uiavajiwgav5441
      @uiavajiwgav5441 2 місяці тому

      Omani wametangaza Eid hawajachangaza arafa

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 2 місяці тому

    ايهما افضل سدوم ولامو ننتظر الجواب من زعيم التكفيري لمسجد الشيبو

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 місяці тому

    arafa mmeikataa,?mkaichia ikapita waumini mkawakosesha fadhila kubwa!!
    enyi masufi mcheni mlo wenu na muwe na uadilifu ktk fatawa za ibada!!

  • @serahmohamed6513
    @serahmohamed6513 2 місяці тому

    Asalam aleikum, nina swali mm niko Saudia na kima saa kenya na Saudia tuko sawa ila dakika chache tuu, sasa sisi kufunga wakisimama Arafa haifai?

    • @khadijamohamad3915
      @khadijamohamad3915 2 місяці тому

      Ws kama waishi saudia fwata muandamo wa huko..so long as ni tarehe 9 kwenu hiyo ni Siku ya Arafa..

    • @muktarkassim6647
      @muktarkassim6647 2 місяці тому

      Ni kweli tuko sawa ila wakati wa Ibada zetu ziko tafauti....kwa sababu wao kusimamisha Ibada zao wako mbele...Alfajiri Yao hatuwezi kuwa sawa na wao na Kuna baadhi ya nyakati tunatafautiana....kwa sababu wasomi wa falaki wakiislam wanatwambia nchi ambayo munapishana Dakika 30 au 45 usifate nyakati zao za Ibada ....kwa sababu Kuna wakati mutakuwa sawa na wakati mwengine mwatafautiana...

    • @muktarkassim6647
      @muktarkassim6647 2 місяці тому

      Kwa ufupi subiri wakati wako wa Ibada ufike na usimamishe ibada