Huyu kijana yuko vizuri sana, anajua kujieleza na kujibu sawasawa, hana papara kama baadhi ya vinana wengine. Anafaa kushiriki vikao vya watu wazima kuzungumzia mambo mazito
Nimependa dada salama haujamuita abdul dogo janja 😍😍😍😍😍😍 Now I have millions of respect kwa janjaro...... amekuwa so matured na Mungu ambariki katika kazi za mikono yake
Dogo janja ni msanii ambae yupo na attitude ya tofauti sana tofauti na wasanii wengine ambao nimewahi pata kuwasikiliza kama akina lunya,msodoki au harmonize..Dogo janja is more than artist nikimaanisha Ana upeo mkubwa sana.
Nina selfie na dogo janja from KIA. Nilifurahi siku nilivyomuona airport nyuma yangu nikamuomba tuselfike! I'm glad to see him on the show! Love his songs haswa na Jide!
@SalamaDegenereus since Golden age you are so great in this field 🔥🔥🔥amazing Talented ⭐️ Janjaro sio dogo tena 😍 Broh aisee kila kauli ulizo sema zimepita chuo ✅✅ ulimi wako umeunganika na ubongo (akili) so wonderful ✨ Salama we LOVE YOU 😘
Huku ndo kukua kwa akili Kweli dogo janja wew ni mwanaume coz hakuna swali ulilokosa jibu na katika yote uliyojibu umetumia hekima na busara. Kweli umekuwa na unajitambua👊 ("Kuwa maarufu haimanishi kuwa unaweza kujibu kila swali tena unachojisikia unatakiwa utambue mazingira na msingi wa swali kabla ya kujibu kile unachouulizwa na nini kitatokea baada ya wew kujibu hilo swali") Asante Salama interview nzuri
@@firdausgreen1391 Nina miaka 40 sasa nilisoma had form 4 nikafeli nikaolewa nikapata bahati nikarisit mtihan mwaka 2008 nikaacha sikufunya mtihan nilikapata ujauzito mtoto wangu wapili nikasema basi tena kusoma lkn elimu inanisuta sana najuta mno kwahivi sasa nipo nchi za watu naumia sana nabahatisha kuongea lkn ningekua na elimu yangu ningekuaje. Kwahiyo ata yy itajuta tuu kwakua ameshajutia kwasasa japokua pesa anayo anafanya atakacho ila elimu itakuja kumdai tuu umri bado 25year kwa mwanaume bado sana
@@ashasiaga3197 subhaanallah pole sana all in all nilitaka kusikia utaongea nini kwa kuwa kwenye comment ya kwanza uliongea kiufupi...nilitaka kujua mawazo yako kiupana kidogo
Salama elewa mdomo unaweza kufanya kazi moja tu na sio kuongea,kunywa na kula. Nadhani mwisho kabisa wa interview ndio una introduce chakula na juices. .ila maji inabidi yawepo ili kulainisha sauti ya mahojiani. Nimafuatilia interview zako nyingi naona interviewers wako wengi wanashindwa kula na chakula kupoa kwa kuwa wanaelewa akiwa na chakula mdomoni atashindwa kuongea vyema. Hata mtume wetu Muhammad alituagiza kuwa tuwe kimya katika kula kwa kuwa kula ni ibada. Dada Salamma huo Ni mtazamo wangu huo ili kuboresha interviews zako.
Huyu kijana yuko vizuri sana, anajua kujieleza na kujibu sawasawa, hana papara kama baadhi ya vinana wengine. Anafaa kushiriki vikao vya watu wazima kuzungumzia mambo mazito
Nimependa dada salama haujamuita abdul dogo janja 😍😍😍😍😍😍
Now I have millions of respect kwa janjaro...... amekuwa so matured na Mungu ambariki katika kazi za mikono yake
YES,he is now grown up..he speaks as a real matured,congrats Janja
Saf janja
From kenya i salute to you Salama on how you interview dogo na vile amejieleza kijasiri.
Dogo janja ni msanii ambae yupo na attitude ya tofauti sana tofauti na wasanii wengine ambao nimewahi pata kuwasikiliza kama akina lunya,msodoki au harmonize..Dogo janja is more than artist nikimaanisha Ana upeo mkubwa sana.
Show kubwa nnayoipenda YAHSTONe🙌 Janja kaongea.kwa hekima sana kweli amekuwa congrat
Hongera Dogo janja umekuwa na una hekima pia Mungu akucmamie kwenye kazi zako
salama n crush wang aiseeeee. mungu akupe maisha marefu just niwe nakuona tu
Ni Willy from Burundi msani wakizazi amabe nakubali sana tanzania ni uyo dogo namkubali sana ni Dogo ambae anajielewa sana nampenda sana
Dogo janja umekua, you speak as a real grown up person, keep up janjaroo
Interview nzuri sana hii dogo janja kakua kiakili anajibu vzr maswali sana kwa busura.
Yeah sure semaa when t comes to interview Salama ur one of the best presenter and the right job wish upatee tv station this shows ziende live...
Chemchem ni bora kuliko mafuriko
Ni sawa na moja mara mia kuliko mia mara moja
Dah yupo vzur mnooooo!!! Kwa hii interview anajtambuaa mnooo!!
Uyu Jamaa n mchuga aseee, very real. Tunajivunia Masta ✊🏾
Aisee Chali ya RChuga uko makini 👏🏿
Napenda kiswahili
Nimechukua neno "kufungana mota"
Jah bless Janjaro uendelee kutuwakilisha akina mboyole
Great interview...Ila the fact kuwa lzm mwanamke avumilie kila balaa ndo awe defined kuwa mwanamke bora still leaves me speechless😩
Also me for real
Agreed this baffles me a lot 😪😭
Nina selfie na dogo janja from KIA. Nilifurahi siku nilivyomuona airport nyuma yangu nikamuomba tuselfike! I'm glad to see him on the show! Love his songs haswa na Jide!
Nice interview.. dogo amekuwa sana 👌🏼
Nice one Abdul amekomaa akili mpka life vile inampeleka anaikubali, shutout to samaki samaki na salama👍
Dogo ana hekima mno🙌🏽 BORA CHEMCHEM KULIKO MAFURIKO✊🏽 tuletee Ali kamwe salama mzee wa mambo 10
Hii interview ilkuwa nikii underrate mpka nimetenga mda kuitazama...big up janjaroo...Sense nyingi🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾💯💯💯💯💯💯💯
Hongera kwa kipindi auntie salama
Tunaomba tuletee
-Mpoki
-Zamaradi
Salama for me, u are a legend, you inspire me since long time,proud of u sister.(Love from a burundian to France)
@SalamaDegenereus since Golden age you are so great in this field 🔥🔥🔥amazing Talented ⭐️ Janjaro sio dogo tena 😍 Broh aisee kila kauli ulizo sema zimepita chuo ✅✅ ulimi wako umeunganika na ubongo (akili) so wonderful ✨ Salama we LOVE YOU 😘
bonge la shoo .. sio mtu anaulizwa be anajibu .. te janjaa smart sana ongera bro tunafatilia shoo ugaiibunn yann hadii unafurahii
Abdul una maneno ya hekima sana salute kwako brother 😘
Nakukubali sana dogo janja
Big up #Dogojanja nimependa sana hii interview kwani tunajifunza sisi vijana na bila kusahau #Salama be blessed.......🙏
DAH dogo janja nakukubali sana, upo sawa sana
Napendaga interview za janjaro 🖤
Chalii ya chuga gonga like kama umetokea chuga A town
Afadhali ya chemchem sio mafuriko ,i like it
Dogo anabusara Sana 🤗😍,anaongea point nakubali sana
Nimeipenda hii interview aisee shemeji yangu nakukubali sana mungu akusimamie kwa kweli
The interviewer,so graceful.And a good listener too
I like this young star is humble
Huku ndo kukua kwa akili
Kweli dogo janja wew ni mwanaume coz hakuna swali ulilokosa jibu na katika yote uliyojibu umetumia hekima na busara.
Kweli umekuwa na unajitambua👊
("Kuwa maarufu haimanishi kuwa unaweza kujibu kila swali tena unachojisikia unatakiwa utambue mazingira na msingi wa swali kabla ya kujibu kile unachouulizwa na nini kitatokea baada ya wew kujibu hilo swali")
Asante Salama interview nzuri
Mamy salama napendaga unavyo ongea dear mom💕😘
Salamaaaa we nomar
Nakupenda da salama tuletee na hamisa basi mpendwa wetu
👊
Dogo hongera, good talk!
Nimependa ulivomuhamisha swali kuhusu baba yake 🙌
Kipindi kizur sn hongeraaa salamaaa 💯💯💯💯
Janjaro ana hekima sana 😍
Hongera sana salama, Hongera sana janjaro
Janjaroo well Answered Questions damn boy you Smart Man. With the best Interview presenter Aunty Cheupe I love this show🇹🇿❤️💜🇰🇪💓🇹🇿👐
Nakukubali hongera sana dogo janja
Dada Salama ...FarajaNyalandu & Nancysumari natamani kuwaona/kuwasikia.
Nikipindi changu pendwa. Ww je?🔥🔥🔥najivunia salama na
@salamana....we really appreciate and enjoy your show.
Thanks and keep up
One of the best YahStone Town Interview... 👌👌 Perfect
Hii soundtrack huku mwishoni ni 🔥
Nice interview lakn sauti ipo chini sanaa.
Ndo
Eee
Dogo janja wewe wa kwetu tunakukubali sanaa
Kweli dogo umekua jmn
Da Salama Naomba tuletee bushoke na Kassim Mganga
Wise sana Dogo janja 🙌🏽
hasant san Mungu akupe afya njema na umri mrefu nizidi kujifunza
Nasisitiza hichi kipindi kinamafunzo na heshima kwa kila anafuatilia kinajenga tabia za watu!!
Nakupenda da salma,, hongera kwa kazi yako...
Vizuri sana Janjaro, busara zako Mungu akuongezee...
Ahsanteee Salama, hivi vipindi vyatufundisha mengi sana..
Stay blessed, kipindi kiendelee mbele.
Always nakukubali sana salama💕💕
Umri wako bado sana dogo nenda shule usije ukajuta kwa mara nyingine hakuna jipya kwako mungu akusimamie ila upo vizur sana
Akienda skuli akafanye nini sasa????....wakati maisha anayawezea since akiwa kadogoo
@@firdausgreen1391 Nina miaka 40 sasa nilisoma had form 4 nikafeli nikaolewa nikapata bahati nikarisit mtihan mwaka 2008 nikaacha sikufunya mtihan nilikapata ujauzito mtoto wangu wapili nikasema basi tena kusoma lkn elimu inanisuta sana najuta mno kwahivi sasa nipo nchi za watu naumia sana nabahatisha kuongea lkn ningekua na elimu yangu ningekuaje. Kwahiyo ata yy itajuta tuu kwakua ameshajutia kwasasa japokua pesa anayo anafanya atakacho ila elimu itakuja kumdai tuu umri bado 25year kwa mwanaume bado sana
@@ashasiaga3197 subhaanallah pole sana all in all nilitaka kusikia utaongea nini kwa kuwa kwenye comment ya kwanza uliongea kiufupi...nilitaka kujua mawazo yako kiupana kidogo
Salama elewa mdomo unaweza kufanya kazi moja tu na sio kuongea,kunywa na kula.
Nadhani mwisho kabisa wa interview ndio una introduce chakula na juices. .ila maji inabidi yawepo ili kulainisha sauti ya mahojiani. Nimafuatilia interview zako nyingi naona interviewers wako wengi wanashindwa kula na chakula kupoa kwa kuwa wanaelewa akiwa na chakula mdomoni atashindwa kuongea vyema. Hata mtume wetu Muhammad alituagiza kuwa tuwe kimya katika kula kwa kuwa kula ni ibada. Dada Salamma huo Ni mtazamo wangu huo ili kuboresha interviews zako.
point
Salama upo vzuri hadi rahaa yaani ila usisahau vijana wa kwenu wanahitaji kuinuliwa pia
Nice interview
Eti sipapendagi dar😁😁😁
Nice
Salama tunamtaka mkojani ,🙏🙏
Hahahahaha mkojani banah..hatareee
Asante salama
Next msodoki
Interview kalii sana
Nimeipenda sana
We're all wise Before we speak...Dogo janja is Good..hii ni interview yake ya pili nasikiliza, akili yake ni kubwa!!
Jamani huyo msosi Tayari umepowa aise🙆🙆🙆 mbona hamli
Ww umeona msos ty??😂😂😂😂😂
@@aloycesimon2028 Kabisa😂😂😂
Ckuwez😂😂😂😂🙌🙌🙌
Tuletee Dr kumbuka
Mbona hamli
naomba utuletee hamisa mobeto
Up xaw janja
👌
Salama tuletee Chali ya R
Salama tuletee na zuchu bas
Jaaaaaanjarooooo
Tunamuomba zamaradii
Salama mlete nuh mziwanda
Hii shoo iko poa Sana nimeipenda
Dingii yang mimi😀😀😀
Dah mwanang we jamaa una akili sana duh nimekukubali
Umekua Abdul
🔥🔥🔥
Salam mlet harmoniz
🔥💯✔
Inna lillah waina ilayh rajuun
Abduli kachaaa umekuwa dogo
Salama mlete hamisa mobetto
Nimeboreka sana
Dogo umekuwa
SALAMA NAOMBA UTULETEE DIAMOND PLATNUMZ ,,,,, TUJIFUNZE VITU