Siasa ni hatari wakina zito walikaa enje ya makao makuu kujadili namna ya kumshauri mwenyekiti kufanya uchaguzi wa mwenyekiti wakaonekana wanataka kupindua uongozi ila lissu anaisema chadema wakati yeye ni kiongozi wachama hapo hakuna kiongozi ila mbowe ni mtu chuma kama hamumtaki aje ccm
Madongo ya wazi kwa Mbowe
Ndo mnalijua leo
Lisu,husiwe na chuki ili ujenge umoja.Mdee,Esta na Matiko wapo mioyoni mwa wanachadema.
Wewe msagie mbwewe kiaina
Hahahaha,,,,chama kimeshagawika
Acha Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti vinginevyo chama kitakufa Mbowe ni mtoto wa Nyerere.Ni mzalendo na siyo beberu na msenge kama wewe😅