BWANA YESU KRISTO akuzidishie neema apostle, hakika iko neema ya BWANA YESU juu yako. Iko deep na siyo wote wanaweza kukuelewa, unless naye awe deep spiritual. Ubarikiwe sana.
Ooooohhhh mtumishi wa MUNGU umefanya nikumbuke mengi kwani mimi ni muimbaji na mara nyingi nilikuwa nikimuona mtumishi wa MUNGU Rose muhando pamoja na ninapitia mengi ila bado MUNGU ananipa neema
Lakin tujitahidi sana kusoma neno la Mungu ili kuondokana na ngonjera za manabii (unajua kuna watumishi wa aina mbili Kuna manabii wa shetan. Na manabii wa Mungu sijui sasa katika katika hili Mungu atusaidie kuelewa.
Ongea,acha mzunguko,unapoteza mwelekeo,tunataka ujumbe,hawakuwai kujiita wakubwa,leta ujumbe, Mungu haitaji campeni Yuko na nguvu,madarasa tumepita mengi go direct to the point sir,crusade to crusade,church to church,maziwa tushapita hiyo stg,
Ulimwengu wa roho una level 3 Iwe Nuru au Giza 1.deep 2.deeper 3.deepest! Ss level ya 3 hiyo🙌🙌 Hili somo ukilipata ndo utaelewa kwann shida hiyohiyo unaenda Kwa mtumishi 1 hupati mpenyo,na sio kwamba Hana Mungu huyo mtumishi ila kiwango Cha shida Yako Kiko juu ukilinganisha na kiwango Cha nguvu za Mungu Cha mtumishi anakuhudumia!
We Malisa hebu acha kuchanganya mawakala wenu wa shetani na Mwakasege. Hii ni kumchafua Mtumishi wa Mungu Mwakasege. TB Joshua ni wakala wa shetani na amehusika kuzipeleka roho nyingi kuzimu. Stop mentioning Mwakasege kwenye huu uchafu
Yesu alipozaliwa walimpinga wala hawakumwelewa kabisa na walimuuwa kabisa wakipinga sio mwana wa Mungu. kwahiyo hata TB Joshua kwa wale wapingaji wa Mungu wa kweli hawawezi mkubali. hawako rohoni wanaangalia jambo moja tu wanazungumza hilo yale mengine mema aliofanya hawayaoni... aisee tuchunge sana midomo.
What for hizo story?? Who's TB Joshua? Kwan huyu alikuwa mtumishi wa Mungu?? Hizo maono zako zipime kwenye mizani! Hubirini injili ya kweli acheni story zisizokuwa na vichwa..Mungu amekuita kama kimya yeye atakusemea, Cha kushangaza unajinadi kweli yani,watumishi wa Mungu hawapo Ivo
Mpaka hapo kuna maswali mengi sana yanakuja kichwani. Ukitafakari kwa akili ya kawaida kauli yako inatia shaka sana juu ya kile unachozungumza. Musa ambae alikuwa kipenzi cha Mungu kama ambavyo maandiko yanasema Kutoka 33:11 Naye BWANA akasema na Musa uso kwa uso, kama vile mtu asemavyo na rafiki yake. Kisha akageuka akarejea hata maragoni; bali mtumishi wake Yoshua, mwana wa Nuni, naye ni kijana, hakutoka mle hemani. Maombezi ya Musa kwa Mungu. Musa aliongea na Mungu uso kwa uso ila leo roho ya musa haifanyi kazi ila roho ya TB Joshua ndio inayofanya kazi, je hii ni kweli mtumishi?
Mungu tusaidie TB Joshua hakua mtumishi wa MUNGU aliehai, acha uongo, Tatizo wakristo lakin waliopo kwenye ulimwengu wa kiroho ni wachache ndo wanaibuka mitume na manabii wanatumia biblia vile vile lakin tunasahau maneno ya YESU. Siku mkifa ndo mtajua kube Kuna mitume na manabii walikua fisi
Acha kutukana watumishi wa Mungu wewe, shida umejawa wivu na chuki kwa sababu huna hizo karama, brother tafuta kwenda mbinguni na si kutukana watu wa Mungu kama TB Joshua na Mwakasege. Aliyepewa kapewa bro so kama huna iyo gift huna tuu
Ila Kuna watu watahukumiwa kwa Yasiyowahusu, je hayo unayoyapinga wewe una ushahidi!? Na kama TB JOSHUA haikuwa wa Mungu wa Mungu ni Yupi? Ebu mwogopeni Mungu wewe sio mashauri wake
Yaan ww pole sana hakikisha unamuomba MUNGU upya usije ukatupwa jahanum maadam hujafa hujachelewa kupenda kwako pesa unajibiwa na wapenda pesa TB Joshua hayuko Mbinguni
TB Joshua hakua mtumoshi wa Mungu alikua wakala wa shetani number moja, huu ujinga wa maji magita chumvi udongo, kekui, ya upako kampula za upako, ni zana za kishetani kupotesha watu, Mungu asaidiwi na huwo ujinga vya imani potofu, siku ya mwisho ndiyo watajua au awajui watambiwa ondokeni kwangu cwajui, ckila alitalo jina la Yesu ni mtumishi wake
Wakala wa shetani anakuwaje!? Ulichoona kwa prophet T.B.Joshua ni Annointing water tu.. Tusiwe na mapokeo yaliyopitiliza..alifanya mengi na makubwa mazuri, onesha uwakala wako wa Mungu badala ya kuwanyoshea vidole masihi wa Bwana
Huyu mtumishi yuko na uelewa wa juu ambao wengi wetu bado kuweza mwelewa. watamwelewa wazee wa rohoni sio watoto
More grace on you Man of God for hounoring my noble Prophet TB Joshua❤❤❤
BWANA YESU KRISTO akuzidishie neema apostle, hakika iko neema ya BWANA YESU juu yako. Iko deep na siyo wote wanaweza kukuelewa, unless naye awe deep spiritual. Ubarikiwe sana.
Ubarikiwe Mtumishi,hakika Mungu akupeleke viwango vingine.Nimekuelewa sana
Nimeelewa Baba Mungu akutunze na ubarikiwe sana
Hubir injili achana na watumishi wa Mungu, anaye wajua ni Mungu tu
Ninakuelewa na ni kweli kabisa mw Mwakasege ni jembe la Mungu ili watu wamjue Mungu
God bless you my apostle ❤❤❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰🥰
GO AHEAD.... GOOD AND BLESSING!
Ooh hallelujah God is good always
Glory to God
God is good, Good morning
Duuh! Acha ngonjera mtumishi
Mimi nakukubali kwa habari ya Mwakasege
Naakikisha hili this same day niota Mtumishi mwakasege ananiambia njo nikutambulishe Kisha akaanza kunimwangia Mafuta kichwani
Hapanaaaaaaa nagomaaaaaaa tb joshua hakuwa mtumishi wabwana alikua wakala wakuzim yule hayo maono sio kabisaa
Wajuaje???,T b Joshua is a Saint n a prophet of the most high God
Sina haja hata kumalizia ujumbe wako BwanaYesuKristo yu tayari kurudi asije akatukuta tukisikiza unabii wa uongo
T b Joshua ni mtumishi was Mungu
Works will introduse you ,stick on God
Ooooohhhh mtumishi wa MUNGU umefanya nikumbuke mengi kwani mimi ni muimbaji na mara nyingi nilikuwa nikimuona mtumishi wa MUNGU Rose muhando pamoja na ninapitia mengi ila bado MUNGU ananipa neema
Wow
ASANTE SANA MTUMISHI WA MUNGU.
Mkristo yeyote ambaye hakuelewa/haelewi mafundisho ya tbjoshua atadhimini imani yake sana
Kwanini usimwambie mwakasege kwenye mnachanganya sana mada
Niombee mutumishi wa Bwana
Of course roho yake inatenda kazi mnooo!
Jina la Bwana libarikiwe!
Baba zangu hawa
HAKUNA MTU ANAKULAZIMISHA KUSIKIA BASI ACHA KUSIKIA KAMA UNATUKANA ACHENI UJINGA JAMANI
Lakin tujitahidi sana kusoma neno la Mungu ili kuondokana na ngonjera za manabii (unajua kuna watumishi wa aina mbili
Kuna manabii wa shetan.
Na manabii wa Mungu sijui sasa katika katika hili Mungu atusaidie kuelewa.
Ongea,acha mzunguko,unapoteza mwelekeo,tunataka ujumbe,hawakuwai kujiita wakubwa,leta ujumbe, Mungu haitaji campeni Yuko na nguvu,madarasa tumepita mengi go direct to the point sir,crusade to crusade,church to church,maziwa tushapita hiyo stg,
Amen utukufu umridiye Mungu
kaka umeeleweka kwa wanao elewa ila confution yake mmmha sipati picha
Ulimwengu wa roho una level 3
Iwe Nuru au Giza
1.deep
2.deeper
3.deepest!
Ss level ya 3 hiyo🙌🙌
Hili somo ukilipata ndo utaelewa kwann shida hiyohiyo unaenda Kwa mtumishi 1 hupati mpenyo,na sio kwamba Hana Mungu huyo mtumishi ila kiwango Cha shida Yako Kiko juu ukilinganisha na kiwango Cha nguvu za Mungu Cha mtumishi anakuhudumia!
We Malisa hebu acha kuchanganya mawakala wenu wa shetani na Mwakasege. Hii ni kumchafua Mtumishi wa Mungu Mwakasege. TB Joshua ni wakala wa shetani na amehusika kuzipeleka roho nyingi kuzimu. Stop mentioning Mwakasege kwenye huu uchafu
Yesu alipozaliwa walimpinga wala hawakumwelewa kabisa na walimuuwa kabisa wakipinga sio mwana wa Mungu. kwahiyo hata TB Joshua kwa wale wapingaji wa Mungu wa kweli hawawezi mkubali. hawako rohoni wanaangalia jambo moja tu wanazungumza hilo yale mengine mema aliofanya hawayaoni... aisee tuchunge sana midomo.
What for hizo story?? Who's TB Joshua? Kwan huyu alikuwa mtumishi wa Mungu?? Hizo maono zako zipime kwenye mizani!
Hubirini injili ya kweli acheni story zisizokuwa na vichwa..Mungu amekuita kama kimya yeye atakusemea, Cha kushangaza unajinadi kweli yani,watumishi wa Mungu hawapo Ivo
Acha makasiriko na wivu brother
T b Joshua ni Nabil wa Bwana
Wewe mjinga pumbavu
Wacha katakana mtu bila kujua basi were ujuae tueleleze
Mpaka hapo kuna maswali mengi sana yanakuja kichwani. Ukitafakari kwa akili ya kawaida kauli yako inatia shaka sana juu ya kile unachozungumza. Musa ambae alikuwa kipenzi cha Mungu kama ambavyo maandiko yanasema
Kutoka 33:11
Naye BWANA akasema na Musa uso kwa uso, kama vile mtu asemavyo na rafiki yake. Kisha akageuka akarejea hata maragoni; bali mtumishi wake Yoshua, mwana wa Nuni, naye ni kijana, hakutoka mle hemani. Maombezi ya Musa kwa Mungu.
Musa aliongea na Mungu uso kwa uso ila leo roho ya musa haifanyi kazi ila roho ya TB Joshua ndio inayofanya kazi, je hii ni kweli mtumishi?
Mbona unaongea kama Prophet David Richard au roho yake ipo ndani yako?
Ndio baba yake wakiroho ni David Richard mungu ambaliki Sana aposto malisa nafunguliwa kwajili yake❤❤❤
Mungu tusaidie TB Joshua hakua mtumishi wa MUNGU aliehai, acha uongo, Tatizo wakristo lakin waliopo kwenye ulimwengu wa kiroho ni wachache ndo wanaibuka mitume na manabii wanatumia biblia vile vile lakin tunasahau maneno ya YESU. Siku mkifa ndo mtajua kube Kuna mitume na manabii walikua fisi
Acha kutukana watumishi wa Mungu wewe, shida umejawa wivu na chuki kwa sababu huna hizo karama, brother tafuta kwenda mbinguni na si kutukana watu wa Mungu kama TB Joshua na Mwakasege. Aliyepewa kapewa bro so kama huna iyo gift huna tuu
Wewe mwenye macho ya rohoni tuambie unayoyaona
Alikuwa mtumishi wa baba yako?!! Acha kujihukumu kwa mambo usiyoyajua. Lakini utajuaje alikuwa nani wakati hata wewe mwenyewe ujujui??!!!!
Je ni wewe ndiyo uwafanyae watu kuwa watumishi wa Mungu? acha kuwakataa usio wajua kama hujui kaa kimya
Ila Kuna watu watahukumiwa kwa Yasiyowahusu, je hayo unayoyapinga wewe una ushahidi!? Na kama TB JOSHUA haikuwa wa Mungu wa Mungu ni Yupi? Ebu mwogopeni Mungu wewe sio mashauri wake
BWANA akukemee
Nathan gave na watanzania na Malibu bil akufikiri
Yaan ww pole sana hakikisha unamuomba MUNGU upya usije ukatupwa jahanum maadam hujafa hujachelewa kupenda kwako pesa unajibiwa na wapenda pesa TB Joshua hayuko Mbinguni
Huna mbingu usisaau. Na anaehukumu mwanadamu ni Muumba wake. wewe pambana ufike usikose mbingu kwa kuwaona wengine hawakuingia
@@neemashuma4302 pole
TB Joshua hakua mtumoshi wa Mungu alikua wakala wa shetani number moja, huu ujinga wa maji magita chumvi udongo, kekui, ya upako kampula za upako, ni zana za kishetani kupotesha watu, Mungu asaidiwi na huwo ujinga vya imani potofu, siku ya mwisho ndiyo watajua au awajui watambiwa ondokeni kwangu cwajui, ckila alitalo jina la Yesu ni mtumishi wake
TB Joshua akiwa wakala wa shetani wewe utakuwa walaka wa nanii????!!!!! Pepp wa michanganyo wewe. Bwana Yesu na akukemee
@@levinamathias8507usiwe mbishi mambo ya rohoni ni siri yakifunuliwa unaweza usiende kusali ubaki nyumbani
Musiseme watumishi wamungu vibaya mungu hapendi munabeba laana mimi naogopa sana Tb Joshua alikuwa ni mupakwa mafuta mwakasege nimupakwa mafuta🙏🙏🙏
Wakala wa shetani anakuwaje!? Ulichoona kwa prophet T.B.Joshua ni Annointing water tu.. Tusiwe na mapokeo yaliyopitiliza..alifanya mengi na makubwa mazuri, onesha uwakala wako wa Mungu badala ya kuwanyoshea vidole masihi wa Bwana
@hosealutangilo5058 hawa ndo mawakala wenyewe wanawachanganya watu wasijue kweli wabaki njia Panda Wao ni waongo kama alivyo baba yao ibilisi
😂majeshi majeshi dadeki ni kupiga,kuvunja kuharibu ni vitaaa....Kwa Gwajima utajifunza
Kanisa la kuimba sijalijua anaelifaham aniambie nitafurahi