![MARA DIGITAL](/img/default-banner.jpg)
- 93
- 195 215
MARA DIGITAL
Приєднався 18 лют 2021
Karibu kwenye Channel yetu ya NEWS MARA DIGITAL TV (Online) Subscribe. Like Comment karibu sana
TARIME NGUVU MOJA KUFANYA MAAJABU TARIME, MAKTABA YA KISASA"CHACHA HECHE AFUNGUKA ,WAKABIDHI KOMPUTA
TARIME NGUVU MOJA KUFANYA MAAJABU TARIME, MAKTABA YA KISASA"CHACHA HECHE AFUNGUKA ,WAKABIDHI KOMPUTA
Переглядів: 428
Відео
MAKAMBI SDA SABASABA WAOMBEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA,NAMBA TATU AFUNGUKA MAZITO WAUMINI WANENA
Переглядів 1649 годин тому
MAKAMBI SDA SABASABA WAOMBEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA,NAMBA TATU AFUNGUKA MAZITO WAUMINI WANENA
THOBIAS CUP YATIMUA VUMBI NYAMISANGURA , BUGOSI FC NA MSATI BOYS WAZICHAPA DIWANI AWAASA VIJANA
Переглядів 10112 годин тому
THOBIAS CUP YATIMUA VUMBI NYAMISANGURA , BUGOSI FC NA MSATI BOYS WAZICHAPA DIWANI AWAASA VIJANA
UJENZI SOKO KUU TARIME MJI WADAIWA KUKWAMA, WANANCHI WASHANGAZWA WAFUNGUKA VIKALI KISA HIKI HAPA.
Переглядів 47414 годин тому
UJENZI SOKO KUU TARIME MJI WADAIWA KUKWAMA, WANANCHI WASHANGAZWA WAFUNGUKA VIKALI KISA HIKI HAPA.
KEMBAKI: "DARAJA HILI LA KINYAMBI LITAKUWA MKOMBOZI KWA WANANCHI" AMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA
Переглядів 169День тому
KEMBAKI: "DARAJA HILI LA KINYAMBI LITAKUWA MKOMBOZI KWA WANANCHI" AMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA
LISSU KUMKABILI RAIS SAMIA UCHAGUZI 2025 ,AFUNGUKA MAZITO ASEMA YEYE HAGOMBEI UWENYEKITI CHADEMA
Переглядів 317День тому
LISSU KUMKABILI RAIS SAMIA UCHAGUZI 2025 ,AFUNGUKA MAZITO ASEMA YEYE HAGOMBEI UWENYEKITI CHADEMA
ALIYEKUWA MGOMBEA UDIWANI KIBASUKA AFUNGUKA MAZITO MKUTANO WA HADHARA WA CHADEMA KIJIJI CHA NYARWANA
Переглядів 868День тому
ALIYEKUWA MGOMBEA UDIWANI KIBASUKA AFUNGUKA MAZITO MKUTANO WA HADHARA WA CHADEMA KIJIJI CHA NYARWANA
MRIMI ZABRONI AHIMIZA WANANCHI KUJIANDIKISHA DAFTARI LA KUPIGA KURA
Переглядів 302День тому
MRIMI ZABRONI AHIMIZA WANANCHI KUJIANDIKISHA DAFTARI LA KUPIGA KURA
CHADEMA NYARWANA"TUIPUMZISHE CCM IMESHINDWA" KATIBU MRIMI ACHARUKA VIKALI NYAHIRI ,MANYATA WAFUNGUKA
Переглядів 2,3 тис.14 днів тому
CHADEMA NYARWANA"TUIPUMZISHE CCM IMESHINDWA" KATIBU MRIMI ACHARUKA VIKALI NYAHIRI ,MANYATA WAFUNGUKA
CHADEMA KANDA YA SERENGETI YACHARUKA SAKATA LA KINYAMBWIGA BUNDA," SERIKALI IWASIKILIZE WACHIMBAJI"
Переглядів 99214 днів тому
CHADEMA KANDA YA SERENGETI YACHARUKA SAKATA LA KINYAMBWIGA BUNDA," SERIKALI IWASIKILIZE WACHIMBAJI"
KEMBAKI ATIKISA MJI WA TARIME " MIMI NI MBUNGE WA VITENDO " AFANYA MKUTANO STENDI YA MABASI
Переглядів 44914 днів тому
KEMBAKI ATIKISA MJI WA TARIME " MIMI NI MBUNGE WA VITENDO " AFANYA MKUTANO STENDI YA MABASI
CHADEMA WAMKAANGA NAPE" KAULI YAKE YA BAO LA MKONO" BAVICHA WAKUTANA WAJIPANGA UCHAGUZI
Переглядів 3,3 тис.14 днів тому
CHADEMA WAMKAANGA NAPE" KAULI YAKE YA BAO LA MKONO" BAVICHA WAKUTANA WAJIPANGA UCHAGUZI
NAMBA TATU AFUNGUKA MAZITO UFUNGAJI MAHUBIRI YA WASABATO ( SDA) SABASABA ,GOD CCM ASHIRIKI IBADA
Переглядів 44514 днів тому
NAMBA TATU AFUNGUKA MAZITO UFUNGAJI MAHUBIRI YA WASABATO ( SDA) SABASABA ,GOD CCM ASHIRIKI IBADA
DC RORYA AINGILIA SAKATA LA MWENYEKITI KUKATALIWA ,MAKONGRO , AAGIZA ZOEZI LA MIPAKA LIFANYIKE UPYA
Переглядів 67314 днів тому
DC RORYA AINGILIA SAKATA LA MWENYEKITI KUKATALIWA ,MAKONGRO , AAGIZA ZOEZI LA MIPAKA LIFANYIKE UPYA
"HUYU WAITARA ATALIA SANA , CHADEMA TUMEJIPANGA" VIONGOZI CHADEMA WAMVAA VIKALI WAITARA & NAPE
Переглядів 8 тис.21 день тому
"HUYU WAITARA ATALIA SANA , CHADEMA TUMEJIPANGA" VIONGOZI CHADEMA WAMVAA VIKALI WAITARA & NAPE
BAWACHA TARIME VIJIJINI WAKIWASHA , VERONICA SANDO AKABIDHI MIKOBA KWA M/KITI MPYA LOYCE MANYATA
Переглядів 1,5 тис.21 день тому
BAWACHA TARIME VIJIJINI WAKIWASHA , VERONICA SANDO AKABIDHI MIKOBA KWA M/KITI MPYA LOYCE MANYATA
WANANCHI WAMKATAA MWENYEKITI WA KIJIJI HUKO RORYA , WACHARUKA VIKALI WAMTAKA DC AINGILIE KATI
Переглядів 2,5 тис.21 день тому
WANANCHI WAMKATAA MWENYEKITI WA KIJIJI HUKO RORYA , WACHARUKA VIKALI WAMTAKA DC AINGILIE KATI
KIKUNDI CHA KIJAMII "SAFI GROUP" WAKIWASHA WAVUNJA MZUNGUKO KWA KISHINDO ,MBUNGE KEMBAKI AFUNGUKA
Переглядів 18821 день тому
KIKUNDI CHA KIJAMII "SAFI GROUP" WAKIWASHA WAVUNJA MZUNGUKO KWA KISHINDO ,MBUNGE KEMBAKI AFUNGUKA
KIVUMBI: WAZEE KOO YA BUKIRA WAJIBU MAPIGO"MBUNGE WAITARA ATOKE AJIBU HOJA ZETU SISI SIO WANAFIKI"
Переглядів 8 тис.28 днів тому
KIVUMBI: WAZEE KOO YA BUKIRA WAJIBU MAPIGO"MBUNGE WAITARA ATOKE AJIBU HOJA ZETU SISI SIO WANAFIKI"
HECHE ANUSURU SHULE HII KUFUNGWA TARIME VIJIJINI, CHACHA HECHE AWAVAA VIONGOZI HALMASHAURI
Переглядів 6 тис.28 днів тому
HECHE ANUSURU SHULE HII KUFUNGWA TARIME VIJIJINI, CHACHA HECHE AWAVAA VIONGOZI HALMASHAURI
BOB WANGWE AKIWASHA NYAMONGO" SIJAJA KUTUMIA JINA LA BABA YANGU CHACHA ZAKAYO HAPANA ............
Переглядів 13 тис.Місяць тому
BOB WANGWE AKIWASHA NYAMONGO" SIJAJA KUTUMIA JINA LA BABA YANGU CHACHA ZAKAYO HAPANA ............
HECHE AUNGURUMA NYAMONGO" MKINICHAGUA 2025 FEDHA ZA CSR ZITARUDI KWA WATU WA NYAMONGO"
Переглядів 12 тис.Місяць тому
HECHE AUNGURUMA NYAMONGO" MKINICHAGUA 2025 FEDHA ZA CSR ZITARUDI KWA WATU WA NYAMONGO"
HECHE ASIMAMISHA MJI WA SIRARI , AMCHAMBUA WAITARA " SIONI ANASHINDIA WAPI HUYU ,APOKELEWA KISHUJAA
Переглядів 65 тис.Місяць тому
HECHE ASIMAMISHA MJI WA SIRARI , AMCHAMBUA WAITARA " SIONI ANASHINDIA WAPI HUYU ,APOKELEWA KISHUJAA
MWANACCM KITAJI MUSOMA ADAI KUTEKWA NA KUJERUHIWA, KATIBU UVCCM MKOA WAMBURA AHUSISHWA,AKANUSHA
Переглядів 531Місяць тому
MWANACCM KITAJI MUSOMA ADAI KUTEKWA NA KUJERUHIWA, KATIBU UVCCM MKOA WAMBURA AHUSISHWA,AKANUSHA
ZAKAYO ARUSHA JIWE LINGINE GIZANI "WAITARA AMESHINDWA KUJIBU HOJA ZA SIRARI ANATUMA WATU KUTUKANA"
Переглядів 4,5 тис.Місяць тому
ZAKAYO ARUSHA JIWE LINGINE GIZANI "WAITARA AMESHINDWA KUJIBU HOJA ZA SIRARI ANATUMA WATU KUTUKANA"
MFAHAMU MSANII WETU RED 19 THE KING, MSANII WA KIZAZI KIPYA TARIME MATA TZ, AFANYA MAKUBWA HAYA...
Переглядів 50Місяць тому
MFAHAMU MSANII WETU RED 19 THE KING, MSANII WA KIZAZI KIPYA TARIME MATA TZ, AFANYA MAKUBWA HAYA...
YAMI KUTUA MILAN LONGE JUMAMOSI UZINDUZI ALBAM BAD BOY KILLER KUKIWASHA , SHUHUDIA WAOTO WAREMBO
Переглядів 149Місяць тому
YAMI KUTUA MILAN LONGE JUMAMOSI UZINDUZI ALBAM BAD BOY KILLER KUKIWASHA , SHUHUDIA WAOTO WAREMBO
NAMBA TATU AWAVAA WANAODAI KATIBA MPYA, AMPONGEZA RAIS DKT SAMIA KWA KULINDA AMANI YA NCHI
Переглядів 712Місяць тому
NAMBA TATU AWAVAA WANAODAI KATIBA MPYA, AMPONGEZA RAIS DKT SAMIA KWA KULINDA AMANI YA NCHI
HII NI YA MOTO KULIKO ZOTE WIKI HII TAZAMA RED 19 THE KING AKITEMA CHECHE JUU YA ..................
Переглядів 54Місяць тому
HII NI YA MOTO KULIKO ZOTE WIKI HII TAZAMA RED 19 THE KING AKITEMA CHECHE JUU YA ..................
"TUNAOMBA RAIS SAMIA AMKEMEE MBUNGE WAITARA WAZEE KOO YA BUKIRA WAJA NA TAMKO ZITO HILI HAPA.....
Переглядів 13 тис.Місяць тому
"TUNAOMBA RAIS SAMIA AMKEMEE MBUNGE WAITARA WAZEE KOO YA BUKIRA WAJA NA TAMKO ZITO HILI HAPA.....
Nipo Tanga huyu jamaa Simu yangu imejaa speach zake ni mwamba kweli kweli anafaa kuwa kiongozi milele
Hongereni
Hakika mnafanya matendo ya huruma Sana ndg zangu,mwenyezi mungu awazidishie Kwa kweli
Waitala subili kifo cha mende.
Acheni ubaguzu kumbukeni kidole kimoja hakivunji chawa,
Kelele tu huyo hamna hoja
Halima Mdee tunamsubiri jimboni kwake Kawe,Chadema msimpoteze Halima na Ester Bulaya.
Heche,hacha kumponda Waitara Amelia bungeni sio kazi nyepesi tumpongeze kwa hilo.
🤣🤣🤣🤣
Kama mlivyohudhuria mkutano wa Heche,jiandikishe na mjitokeze kupiga kura.
Kijana upo vizuri
Heche we wakuigwa hasa ujasili
Simba wa mkoa wa mara
Point this is the voice of leadership into tanzania people
Point this is what type of leader need no fear msiwaogope hii nchi ni yetu sote sisi watanzania million 60 sio mali ya mtu sisi hii nchi yetu sote
Good speech ccm must go
Wew ndio umeolewa na mafisiemu
Huyu jamaa sio mwanasiasa anapuyanga tu yeye mwenyewe ameolewa
Hapo naona nape ame weka wazi kabisa yani hakuna kuhangaika ushauliwangu hapo ss uanaetangaza lazima muwebenet naee abanwe
Hakika heche wewe ni jembe hizo pikipiki walizo nunua kimatabaka kunyanyasa watu wengne watajua muda ukifika karibu sana gibaso mla oheche waitara atakoma
Heche John yupp kwenye level ya URAIS siyo ubunge wa Sirari. Unaweza kuwa M/kiti wa Taifa CHADEMA na mambo yakaendelea. Ni mashine.
Na makamanda utupieni macho na ule mgodi wa Chirorwe,na kwenyewe nako ni ujanjaujanja tu,Ebu tupieni macho na hapo
Mbona unajabia sana unaengea kama unahijiwa na polisi ngojera tu
Wananchi wa Tarime mjini,ninyi ni waelewa siku zote na mna msimamo,ninyi siyo watu wa kuyumbishwa na upepo au nguvu za soda za ccm zinazopatikana wakati wa uchaguzi! Uchaguzi ukiishapita hakuna la kufanyika zaidi ya kukaa bungeni kupitisha mikataba mibovu ya kinyonyaji na kuuza rasilimali za Nchi! Tarime ya Chadema msidanganywe na ccm! Ikatae ccm uchaguzi huu 2024/2025 kuanzia wenyeviti wa vitongoji, mitaa, vijiji, madiwani, wabunge na Rais,msíwachague hao wauza Nchi ccm! Kumbuka maisha magumu,ghalama za juu za maisha,na kodi kubwa kwa wafanyabiashara na wananchi,unyang'anyi wa ardhi kwa wananchi kote Nchini unafanywa na serikali ya ccm,kukataa kulipwa kwa haki tathimini za ardhi zenu mgodini kubafanywa na serikali ya ccm,leo wanawadanganya hapo! Msikubali uongo huo mkairudisha ccm madarakani! Jimbo la Tarime mjini Bob Wangwe anatosh, jimbo la Tarime vijijini John Heche anatosha,asanteni. Ccm ni janga la Taifa!
Hakuna ki2
Akili.kubwa.bro.kulalamika.tumeibiwa.kura.ni.ufala.sasa.ni.ccm.kulalamika
Waitara.umeona.dhambi.ya.usaliti.mwanbie.mpupavu.mwenzio.msigwa..na.fala.silinde.muda.utaongea
Chagune viongozi makini wenye akili za ziada kubishana ktk uchaguzi rafu ikizidi mjua Cha kufanya ila mjiandae muzimiwa mtandao ili msiwasiliane na viongozi wenu
P1 kmanda
Jambazi la mkoa wa mara
Mama.abduli.hii.emendaaaaaa
Ccm.mama.abduli.mjipange.nchi.emeeda.hii.imendaaaaaaa
wameamuka asante heche
huyu mbunge
big brain mmi heri niweke chadema sio hi kijani inatuchelewesha😊
Washa moto mburula akimbie
Asante wananchi wa Rorya kwa kutumia haki yenu kumkataa huyo kibaraka wa ccm! Kama wananchi mmemkataa huyo mwenyekiti kutokana na utendaji wake mbovu ni vizuri apishe hiyo nafasi mchague mwenyekiti ambae atawatumikia wananchi na siyo kuitumikia ccm na kunyanyasa wananchi! Asantè.
Huyo mwenyekiti atakua ni wale wakuteuliwa
We lifisi yemu acha tusikilize akili kubwa
Hongera sana Haiche
Tanzania o'mtima m/kiti wangu wa Kijiji miaka hiyo na tulifanya kazi sana na inaonekana.
Ahhhhh
Witara Bandari vipi .kwisha
Pigeni chini huyo waitara kibaraka wa mafisadi
Tuko pamoja kamanda
Nawaomba Mjinadi vizur bila kutajana Majina
Heche oyeeee
Tarime ujinga huo ulikuwa zamani .....naona mnatutafta ....endeleeni nyie matapeliii....
Unafikir unajua sana kutukana eti wewe mkundu wa viongoz wenu wajinga wapumbavu nyinyi machoko ya ccm
Yaani nyie ni washenzi sana watu wa hovyo ngoja na mm niingie online naona mnavyo potosha dada zetu ....hamna kitu watu wa hovyo chadema hamna chochote mnachoweza...mnatakaka kuturudisha tulipo toka...huyo heche si kaongoza wajinga nyie alifanya nn zaidi ya maumivu2..
Kwao kwenyewe alishindwa kufanya maendeleo hata kwenyewe Kijiji alichotoka wewe vipi kajifunze kiswahili jinga wewe
Huyu heche alipewa miaka mitano alipewa aliishiwa kutuambia iyeke mukwigha nkuruma
Mbona unapuyanga
Unafilwa na wanaccm wenzio