Baba mungu azidikupa nguvu uzidi kupambana Ila ningeomba maranyengine ingetosha kusema utachangia ila using toa pesa mbele zawatu Mana minamini wewe usha jitoasana zaidiyahicho ulicho toa leo Kama nitakua nimeteza Katika ushariwangu utanisamehe Zanziba kanza mamlaka kamili
Kama ACT wataendelea kumkumbatia huyu jamaa basi ndio imeenda tena na awamu hii., huyu jamaa haelewi chochote amelewa madaraka hana hisia zozote kwenye chama cha ACT ni kama analazimishwa tu., ameshakisaliti chama kitambo
sura yake na moyoni alivyo ni Tafauti kabisa huyoo
Jana hiyo
Baba mungu azidikupa nguvu uzidi kupambana
Ila ningeomba maranyengine ingetosha kusema utachangia ila using toa pesa mbele zawatu
Mana minamini wewe usha jitoasana zaidiyahicho ulicho toa leo
Kama nitakua nimeteza
Katika ushariwangu utanisamehe
Zanziba kanza mamlaka kamili
Lini hii jamani
Umeifanyia nini Znz?
Vp lakin wewe
Siasa za shutma hazina nafasi kwa sasa,jiulize weye unayemshtumu Mazrui ukifanyika nini Znz?
Marhaba ametupig hapa hii yamiaka iliyopita huyu siee tena mazrui wa leo ccm wamesha muweka kiganjani zaman......