Vipi kwasisi ambao mentor wetu wapo mbali kama wewe apo, tunawaona kwenye TV na social media.... Ni vitu gani tuzingatie... Tamani video ijayo uanze na hili
Niliwahi kuwa na mentor ila baadae nikagundua kuwa kuna mambo ya msingi huwa ananificha nikaachana nae ila kwasasa nina role model ambae ni JN,see you at the top.
Ahsante kwa Elimu hii Brother, m namtafta mlezi kwa kweli maana nilikuwa nae ila umeniongezea kitu cha kumfanyia tathimini kwa vigezo ulivyo visema, Ubarikiwe sana 🙏
Katika hili somo. nani awe mentor IMENIGUSA SANA SABABU HALI NILIPITIA LKN PIA NINAENDELEA) MAANA HAPO KWENY MTU WA KUSUNGUMZIA ULICHO NACHO AU KILE UNACHO KIFANYA)
Haimaanishi utafungwa na kila kitu kwake bali unachukua kile anachokushauri na unaongeza na kufanya kile unafikiri ni sahihi. Ila unakuwa unatoa ushirikiano kwake hasa tokana na progress yako.
Hiki nilikuwa nakutafuta sana kukijua kwa muda mrefu... Naona kimekuja kwa wakati wake Sana. Sasa naomba kuuliza. Je, unampataje Mentor? Unamuomba kwamba naomba uwe Mentor wangu ? Au nini hasa unapaswa kufanya?
Shalom pastor Joel umenena vema saa ingine sio sisi tunaotaka mentor ila kilichomo ndani yetu ndio kinaitaji mentor kwaio tujichunguze nn tumeshagundua(potentials,talents,abilities,gifts,ministry) Ubarikiwe sana nimewahi kutumia mafundish yako kuongea na vijana title:NAMNA YA KUILINDA NDOTO YAKO ISIFE) uliwamentor bila wewe kuwepo Mungu akubariki mno more grace! more wisdom!
Thanks Mr joel.but I would like you to inform more about montor and I have some misunderstanding that might you help me, because I found somebody that lies on your montor criteria
Vipi kwasisi ambao mentor wetu wapo mbali kama wewe apo, tunawaona kwenye TV na social media.... Ni vitu gani tuzingatie... Tamani video ijayo uanze na hili
Ujumbe mzuri, nimejifunza vitu vya msingi kutoka kwako. Barikiwa Brother Joel
Thank
I wish you would be my mentor @ Joel N
Ahsante sana Mungu akubariki
Thank you brother. Hili linaenda kubadili maisha yangu na kufikia kilele cha mafanikio yangu!
Thank you brother 🙏
Thanks my brother, najifunzaaa mengii kutokaa kwako God bless you
Niliwahi kuwa na mentor ila baadae nikagundua kuwa kuna mambo ya msingi huwa ananificha nikaachana nae ila kwasasa nina role model ambae ni JN,see you at the top.
Safi sana MKUUU
More life coach Joel Nanauka, be blessed Bro
Nmefanikiwa kupata mentor
Kwa..sasa mentor wangu ni..ww.... Joel....🙏🙏
Thanks bro for your best teaching
Naomba msaada sana kaka katika hili tafadhali
Nakukubali sana mdogo wangu
Ahsante kwa Elimu hii Brother, m namtafta mlezi kwa kweli maana nilikuwa nae ila umeniongezea kitu cha kumfanyia tathimini kwa vigezo ulivyo visema, Ubarikiwe sana 🙏
Joel I luv uuu😍 kaz yako ni njema
Katika hili somo. nani awe mentor IMENIGUSA SANA SABABU HALI NILIPITIA LKN PIA NINAENDELEA) MAANA HAPO KWENY MTU WA KUSUNGUMZIA ULICHO NACHO AU KILE UNACHO KIFANYA)
Hello habari mimi ni moja kati ya fani wako sana natamani kupata menta lakini sijui jinsi ya kupata na sijui na mpataje
Idea ya Mentor ni nzuri lakini ubaya wake utakuwa somehow uko remote controlled
Haimaanishi utafungwa na kila kitu kwake bali unachukua kile anachokushauri na unaongeza na kufanya kile unafikiri ni sahihi. Ila unakuwa unatoa ushirikiano kwake hasa tokana na progress yako.
@@isikesamikeAs a grown up person is a bit a shame to be under someone's Hands, Ladies and Children could be the right choice
👍☝🏿nimependa
#JoelNanauka Kawaida natakiwa niwe na mentor wangapi au itategemea na kitu ninachofanya
Yes sir HAKIKA 💕
Thanks much @joel 🙏
Asante sana
Asante sana Blaza
Congratulations 👏
Hiki nilikuwa nakutafuta sana kukijua kwa muda mrefu... Naona kimekuja kwa wakati wake Sana.
Sasa naomba kuuliza. Je, unampataje Mentor? Unamuomba kwamba naomba uwe Mentor wangu ? Au nini hasa unapaswa kufanya?
@Lukozi mobile Asante sana Kaka Likozi. Nimekuelewa Vyema Sana na Mungu akubariki
@Lukozi mobile hakika nimekubaliana nawe bro
Ujumbe mzuri
Nmekuelewa San bro
🙏
#JoelNanauka why doesn't it play?
Kaka saf sn
Asante
Mwaka huu nimechelews mungu atupe uzima nijoin group mwakani napata nguvu sana kaka barikiwa
Shalom pastor Joel umenena vema saa ingine sio sisi tunaotaka mentor ila kilichomo ndani yetu ndio kinaitaji mentor kwaio tujichunguze nn tumeshagundua(potentials,talents,abilities,gifts,ministry)
Ubarikiwe sana nimewahi kutumia mafundish yako kuongea na vijana title:NAMNA YA KUILINDA NDOTO YAKO ISIFE) uliwamentor bila wewe kuwepo Mungu akubariki mno more grace! more wisdom!
Darasa zako ni ukombozi na nafsi hongera
Mimi Sina na natamani sana kumpata lakini sijui namna ya kumpata
MMI sijafanikiwa kupata menta na kwa hapa Tanzania wapo lakini hao na wapo wachache sana
hapo la pili wengi mtihan
Na kikawaida mda anaweza kuwa na ma mentors wa ngapi??
Soma zaburi 119:97-100
kaka hasara ya kuwa na mentor ni ipi
Asante kwamalifa
Natamani uwe Menter wangu
Thanks Mr joel.but I would like you to inform more about montor and I have some misunderstanding that might you help me, because I found somebody that lies on your montor criteria
Fanya ushushe mzigo mkuu..
Mzigo gani
me bado sijafanikiwa kupata mentar lakin nakuomba ungekuwa wewe?