Shule kadhaa zimeanza kutumia fursa ya muhusiano ya uchina shuleni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лип 2024
  • Baada ya taifa la Kenya kuwa na uhusiano wa karibu na taifa la uchina baadhi ya shule nchini zimeanza kutumia fursa hiyo kuelimisha wanafunzi kuhusu tamaduni kutoka taifa hilo. Shule ya Brookhurst ndio ya hivi punde kualika wanafunzi kutoka uchina kuigiza mila na desturi kama njia moja wapo ya kuimarisha uhusiano zaidi.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

КОМЕНТАРІ •