Nairobi: Taarifa zaashiria kuwa huenda kuna zaidi ya miili 50 kwenye chumba cha maity cha City

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

КОМЕНТАРІ • 167

  • @emmanuelkimeli9397
    @emmanuelkimeli9397 Місяць тому +26

    I blame ruto

  • @penninahthegrace3036
    @penninahthegrace3036 Місяць тому +38

    Githurai 45 was true😢

  • @estherkirigo8427
    @estherkirigo8427 Місяць тому +14

    And Ruto has no shame, shouting at the top of his voice campaigning hii damu yote iko mikononi mwake.

  • @edwardkamau9063
    @edwardkamau9063 Місяць тому +52

    Woiye....na Bado mjinga anapigia Ruto makofi 😮

    • @baloz8974
      @baloz8974 Місяць тому +2

      Wengi tu kisa 500 shs

    • @nikkonicholas4541
      @nikkonicholas4541 Місяць тому +2

      Ku-overturn serikali sio rahisi na lazima watu wafe..uliza sponsors wa mandamano

    • @wamaithachege4316
      @wamaithachege4316 Місяць тому

      Nani alikua anaoverturn​@@nikkonicholas4541

    • @wamaithachege4316
      @wamaithachege4316 Місяць тому +1

      Continue painting sins

    • @georgeodhiambo2118
      @georgeodhiambo2118 Місяць тому

      Wakikuyu wenzako ndo walimpigia Kura. 😢😢😢😢.

  • @wanjikukamau420
    @wanjikukamau420 Місяць тому +28

    And people want to dialogue with a killer

    • @cosmustitus4468
      @cosmustitus4468 Місяць тому +4

      Raila ni ng'ombe

    • @baloz8974
      @baloz8974 Місяць тому

      Nashanga sana ila tatizo watu wanaangalia siasa na ukabila ndio ulioharibu

    • @user-bb9hw5vw6h
      @user-bb9hw5vw6h Місяць тому

      Never

    • @MAKAVELLI207
      @MAKAVELLI207 Місяць тому

      That may be long gone.

    • @ToxicAfricanKing
      @ToxicAfricanKing Місяць тому +1

      The killer that they woke up early to vote in, even after Kiambaa inferno.

  • @kazungusteve9215
    @kazungusteve9215 Місяць тому +6

    Hussein Khalid, thankyou bro unajituma kwl.

  • @Mzalendo-n8q
    @Mzalendo-n8q Місяць тому +28

    Ruto Hana sifa ya kuitwa kiongozi..so MAANDAMANO lazima tuendeleze tumtoe ruto

    • @baloz8974
      @baloz8974 Місяць тому

      Ruto hana utu wa huruma hili ni janga na yy anatembea kuangalia maslahi yake tu.

    • @nikkonicholas4541
      @nikkonicholas4541 Місяць тому +3

      Mtakufa tena...kama unajua uliingia parliament, wewe potea

    • @Mzalendo-n8q
      @Mzalendo-n8q Місяць тому

      @@nikkonicholas4541 kwanza kuhusu kuingia parliament sikuingia.sio Kwa kuwa naogopa!hapana..ni kwa sababu nko mbali na hapo Nairobi..bt kama ningekuwa karibu ningeingia..kuhusu kufa ,Hilo kwangu sio maajabu ..Kwan nyanyako bado Ako hai!!?na kama alikufa je,aliingia parliament ndo akakufa ama alikufa tu!!?. Ukipata jibu hutoogopa kufa

    • @geoffreykaranja779
      @geoffreykaranja779 Місяць тому +2

      Ndoto ya mchana. Wewe unapanga coupe na kupindua serikali halafu Serikali icheke na wewe...

    • @harrynjenga
      @harrynjenga Місяць тому +1

      Wale wanataka kuenda maandamano endeleeni. It will not be safe for you

  • @josephnganga8010
    @josephnganga8010 Місяць тому +13

    alafu mbwa za watu wanapiga makofi,Ruto akiongea,watu wengi hutumia matako kufikiria

  • @MyAfricathis
    @MyAfricathis Місяць тому +7

    Ruto must go

  • @PatriciaMwinambo
    @PatriciaMwinambo Місяць тому +17

    Wakenya waelemishwe hadi link, ruto ameteka akili zenu wote

    • @baloz8974
      @baloz8974 Місяць тому

      Ruto anaulimi mtamu na hana huruma na yeyeote yule kwake kuua sio kitu .

    • @user-bb9hw5vw6h
      @user-bb9hw5vw6h Місяць тому +1

      Esp mombasa

  • @fatumaadam4271
    @fatumaadam4271 Місяць тому +28

    Bado anasimama juu ya gari kudanganya wakenya 😢

    • @ashleypetertv5894
      @ashleypetertv5894 Місяць тому +10

      I don't blame him I blame kenyans wenye wanaenda kumsikiza na kupiga makofi ka wajinga!

    • @baloz8974
      @baloz8974 Місяць тому +2

      Tatizo ni hao vibaraka njaa zao ndio zinakubadili kusikiliza urongo wake

    • @Fagiolachuma-gc1pl
      @Fagiolachuma-gc1pl Місяць тому +2

      Can you blame him!!!!! How can you when kenyans are like mbwa ziko on heat!!!! Kila saa wanafuata matanye ya ruto kama nzi!!! Wacha watu waendelee kuteseka tu😡😡😡i hate my fellow kenyans for this

    • @SharonEmmanueli
      @SharonEmmanueli Місяць тому

      Wamelipwa jamani ​@@ashleypetertv5894

    • @harrisonwangechi4469
      @harrisonwangechi4469 Місяць тому

      Watu wa coast ni wasaliti​@@Fagiolachuma-gc1pl

  • @user-mv5nv6ww9c
    @user-mv5nv6ww9c Місяць тому +6

    Kenya Kenya mungu utuhurumie sisi wanyonge

  • @millicentmbataru8941
    @millicentmbataru8941 Місяць тому +2

    Oh n̈o
    Lord mercy

  • @silusmaratani8081
    @silusmaratani8081 Місяць тому +4

    Raila and Ruto in one bucket

    • @susankaburu4527
      @susankaburu4527 Місяць тому

      2007

    • @ToxicAfricanKing
      @ToxicAfricanKing Місяць тому

      You cannot wish away the fact that people were given a choice between the two and voted in Ruto under the pretext that he was a hustler like many, and not a dynasty. 😂

  • @emmanuelchema62
    @emmanuelchema62 Місяць тому +2

    Nimekasirika sana😮 na hii gorverment

  • @jamesmwangi3945
    @jamesmwangi3945 Місяць тому +5

    Hio no Githurai haki ,tugege are still clapping

  • @apostlejacksonmalonza375
    @apostlejacksonmalonza375 Місяць тому +2

    Now I will vote for kalonzo

    • @vumbisnap
      @vumbisnap Місяць тому

      He won't win, Ye na raila wako kwa boat moja pamoja

    • @tomondiek2839
      @tomondiek2839 Місяць тому

      he cant beat ruto be serious

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 Місяць тому

    Uuui, Uuui Uuui Uuui Uuui Kenya yetu, 50 Bodies tena?

  • @ApostleFredProphecy
    @ApostleFredProphecy Місяць тому +2

    Huyu Jamaa ni mwongo sana... alikuwa wa MUHURI.. Kazi kutetea waalifu peke yake

    • @MrMuoki
      @MrMuoki Місяць тому

      Sawa , sema ukweli basi

  • @petermacharia7171
    @petermacharia7171 Місяць тому +5

    Murderous generation...

  • @AryAart-kj4uk
    @AryAart-kj4uk Місяць тому +1

    Oh my God help our children cz ths country is smelling blood

  • @davidmacharia8652
    @davidmacharia8652 Місяць тому +1

    It's very bad.

  • @lucyknight1769
    @lucyknight1769 Місяць тому

    This is soo sad.Justice to the fallen .

  • @legendaryDay.v
    @legendaryDay.v Місяць тому

    Kila kitu n ruto zingine n ujinga wa wakenya Parliament na statehouse sio choo ya town kuingia venye mnataka

  • @hagaitina7645
    @hagaitina7645 Місяць тому +2

    Results of being used by politicians

    • @vumbisnap
      @vumbisnap Місяць тому

      The protests are not because of a politician telling his fanatics to go to the street

  • @janewandungu3922
    @janewandungu3922 Місяць тому

    Ooh God
    Why kill
    Is it a sacrificial or what is happening
    God have mercy

  • @georgendiga
    @georgendiga Місяць тому

    Mau mau fight for freedom but never regarded, GenZ fought finance bill but Raila was rewarded.

  • @fatmafayadh7899
    @fatmafayadh7899 Місяць тому +3

    lolz this is very sad

  • @geoffreykaranja779
    @geoffreykaranja779 Місяць тому +11

    Kindly wewe Activist ambia watu wasijaribu kuingia protected areas kama parliament, statehouse, garrisons, police stations,state lounges etc. Kufanya hivyo ni waandamanaji kutumia na kutumiwa Kwa nguvu kupita kiasi

    • @ngangawanyoike1545
      @ngangawanyoike1545 Місяць тому

      There were too many cameras and too much media presence at parliament for these deaths to have happened there undetected. No SH, Garrison, Police Station was breached by the protesters. In all likelihood these are the disappearances we've been hearing about.

  • @Shakazulu1
    @Shakazulu1 Місяць тому

    Hao Gen Z ndio walipigia ruto kura,

  • @sabinaodindokinywa122
    @sabinaodindokinywa122 Місяць тому

    😢😢😢

  • @patrickkariuki9542
    @patrickkariuki9542 Місяць тому +1

    Githurai tunakuja kuangalia watu wetu

  • @obarelida
    @obarelida Місяць тому

    and he has been galavanting all over the country lying like a madman

  • @blessedmum7317
    @blessedmum7317 Місяць тому +9

    Woiiye, ruto niwewe uliamlisha watoto wa watu wauwawe, utapatana na ghathabu ya mungu.

    • @mwanakenyahalisi5302
      @mwanakenyahalisi5302 Місяць тому

      hii ni ujinga unaongea, yeye ndio aliwapiga risasi ama ni polisi wa zakayo?

    • @elizabethnjoki6397
      @elizabethnjoki6397 Місяць тому +1

      ​@@mwanakenyahalisi5302use common sense as commander in chief nothing escapes his eye n ear

  • @fatumaadam4271
    @fatumaadam4271 Місяць тому +2

    Jamani 😭😭😭

  • @tobiusjtz7607
    @tobiusjtz7607 Місяць тому

    Really? What a pity?

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 Місяць тому

    I think Kenya yetu Wanainchi wakawaindaa hatuna mwenyewe. 😢😢😢😢

  • @user-ro2oz7sj8p
    @user-ro2oz7sj8p Місяць тому

    😢so sad ...and right now Ruto is campaigning.

  • @pamelamukudi
    @pamelamukudi Місяць тому

    🤔🤔🤔 tunaenda ICC express

  • @ayuma4747
    @ayuma4747 Місяць тому +2

    God.... 😭😭

  • @dubabaxakatv2993
    @dubabaxakatv2993 Місяць тому

    Baba alisema hawezi salimia mtu mkono yke iko na damu....halafu anakula chakula na huyohuyo sahini moja.....baba unapenda hela.

  • @paparonahtv
    @paparonahtv Місяць тому

    Lets wait 8 8 soon inakam ruto lazma aende home

  • @josephmusyoka3066
    @josephmusyoka3066 Місяць тому

    God God God save your holy people

  • @mwanaahaidar
    @mwanaahaidar Місяць тому +1

    Wenye wali loot properties nadhani kila mkenya aliona maandamano ya last tym vyenye wamenunuliwa motor bikes mpya hata registration bado! Nashangaa wenye hawaelewi!! That kamtu iz nah good leader at all...

  • @paulnzioka1009
    @paulnzioka1009 Місяць тому +6

    Aki na raila anagoja watu wakufe aingie Kwa serikali...mgaga kweli..
    Kalonzo Tosha

    • @Ikayo76
      @Ikayo76 Місяць тому

      Raila ni ngombe atajuta sana

    • @vumbisnap
      @vumbisnap Місяць тому

      Yani bado kuna watu wanafikiria hivi ka wewe? Na ati mnapiganga kura... Kenya is doomed

  • @issakaharu2161
    @issakaharu2161 Місяць тому

    Ruto is killer from inheritance

  • @stevenkimani4976
    @stevenkimani4976 Місяць тому +1

    Hawaogopi kifooooo

  • @bensonkhaita29
    @bensonkhaita29 Місяць тому

    God have mercy on us.The killer government

    • @vumbisnap
      @vumbisnap Місяць тому

      What do you want god to do? Give us an example

  • @margaretngigi4721
    @margaretngigi4721 Місяць тому +1

    Could it be githurai guys

  • @fredydzombo8796
    @fredydzombo8796 Місяць тому

    Ruto's government, shaka hola, mkuru wa njenga, githurai 45, genz, this is confusion ni mungu tu

  • @marywairimu6527
    @marywairimu6527 Місяць тому

    Seems we dnt have a country here!!!

  • @kahurire3498
    @kahurire3498 Місяць тому

    Bona Kenya hatuna gadget ya finger print ata kama umedead unafaa ujulikane kupitia finger print na inaprovide kila kitu.

  • @michaelkanene744
    @michaelkanene744 Місяць тому +2

    Mp fulani aliwaambia vijana wadogo waende mbungeni na kusisitiza yeye ndiye atawafungulia gate.Lkn la kushangaza wakati walienda yeye alirukia kwa fence na kuhakikisha its on camera.Are u thinking what I'm thinking?

    • @harrynjenga
      @harrynjenga Місяць тому +1

      Same MP alipiga DJ Risasi

    • @AzimioWalianguka
      @AzimioWalianguka Місяць тому +1

      Ni ile kipii ilipiga DJ risasi

    • @susankaburu4527
      @susankaburu4527 Місяць тому

      Yes, na akajifanya hakua ana jua kitu.lord save youth's

  • @Ikayo76
    @Ikayo76 Місяць тому

    Citizen can never bring this.

  • @user-xf3bk2uh4n
    @user-xf3bk2uh4n Місяць тому

    Kwani huyo ni Denzel Washington

  • @musyokastephen508
    @musyokastephen508 Місяць тому

    Right now i cant watch fake citizen tv

  • @user-rc2ye4ri6t
    @user-rc2ye4ri6t Місяць тому

    Watu wambombsa wanapigia makofi raisi

  • @aliceamanya6457
    @aliceamanya6457 Місяць тому +1

    Mandamano iendeleee

  • @bensonathewa5956
    @bensonathewa5956 Місяць тому

    Polisi ni maumbwa

  • @mwanakenyahalisi5302
    @mwanakenyahalisi5302 Місяць тому

    so sad, some could be street kids caught in the demos, some from githurai and pipeline and Kware. its very unfortynate that baba could go to bed with the devil!

  • @monixmoni5307
    @monixmoni5307 Місяць тому

    Yet ruto said only few people died unless something is done Kenyans will continue dying

  • @NGACHI100
    @NGACHI100 Місяць тому

    Kenyans are not fools

  • @user-bb9hw5vw6h
    @user-bb9hw5vw6h Місяць тому

    Na walio katakatwa waliwekwa
    hapo pia je walichukuliwa na wapendwa woa

  • @user-bb9hw5vw6h
    @user-bb9hw5vw6h Місяць тому

    Oh my so they are dead...

    • @vumbisnap
      @vumbisnap Місяць тому

      No they're just sleeping heavily because of the cold weather

  • @user-bb9hw5vw6h
    @user-bb9hw5vw6h Місяць тому +1

    God is not m an

  • @gracehellen2311
    @gracehellen2311 Місяць тому

    Shame on Kenya police(hooligans)

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 Місяць тому

    Wskivunja amani gonga tu bila ya hivyo amuwezi tawala

  • @higahassib6614
    @higahassib6614 Місяць тому

    And he’s still lying to Kenyans

  • @Aronduu
    @Aronduu Місяць тому

    If am not wrong these are people who were inside parliament and others were and are being kidnapped till now

  • @decoloniz_afro
    @decoloniz_afro Місяць тому

    Sad indeed and still you worship ruto raila as your gods

    • @vumbisnap
      @vumbisnap Місяць тому

      Who are you talking to or about?

  • @KoinoniaExperience4199
    @KoinoniaExperience4199 Місяць тому

    Why in the world did you guys give power to a murderer and hypocrite pretending to be a Christian. Over and over I told my friends this guy was dangerous and religious leaders were misleading Kenyan but they refused to listen. For goodness sake how many more lives are we going to lose for power greed.
    God’s judgement swiftly come upon him in Jesus Christ name.

  • @setrickhamasi9533
    @setrickhamasi9533 Місяць тому

    Wale wanaeda kw amikutano sjui nikunyabwa walinybwa

  • @mosonikcheomet1206
    @mosonikcheomet1206 Місяць тому +2

    Ni mwenye Ali demonstrate ama ni mwenye alizuia demonstration ako na makosa??

    • @baloz8974
      @baloz8974 Місяць тому +1

      Una maanisha nini ? Aliyeua au aliyeuliwa nani mwenye haki sio ?

    • @nikkonicholas4541
      @nikkonicholas4541 Місяць тому

      Wenye wanademnstrate juu ya kulipa 500😢

    • @kenvix9797
      @kenvix9797 Місяць тому +1

      What are you really saying?

    • @MyAfricathis
      @MyAfricathis Місяць тому +1

      What are you saying?

  • @user-jy7ne3iw7y
    @user-jy7ne3iw7y Місяць тому +1

    Achani kuenda maandamano. Acheni kama hamtaki kufa. Nonsense

  • @alfredmokua3061
    @alfredmokua3061 Місяць тому

    Wakenya wametekwa akili na ruto..wajinga nyinyi

  • @dismasateka1897
    @dismasateka1897 Місяць тому +1

    State managed si huyo jamaa ni yule analipwa na ford foundation akina boniface mwangi bure kabisa

  • @johnthuo7312
    @johnthuo7312 Місяць тому

    Hiyu jamaa alikua mtetezi wa halifu mombasa sasa amejua Nairobi hata yeye achunguzwe siwezi mwamini

  • @alextercisio
    @alextercisio Місяць тому +4

    Walikuwa wanafanya nini uko Parliament?? Learn to minds your own businesses if u want to live in Kenya ..
    Stop telling is about criminals bodies tell us those looted properties who did it??

  • @benjaminmaseso5352
    @benjaminmaseso5352 Місяць тому

    Ruto must go